Ha ha haa... picha imekukera eehh kuna watu humu jamvini maandishi hawayaelewi,hivi mbuzi akigoma kwenda unambembeleza wimbo wake unaujua ni kiboko tuu:deadhorse: kuna watu huku wanakula viboko vya picha tuu hiyo ndio dawa yao.
hujaelewa hata nilichouliza..ndio maana huwa unasema wengine wajui..mimi najua .Huna akili timamu.Sijui umejazwa majinn mangapi.hadi kukugeuza kuwa monster.SI mara ya kwanza kushuhudia familia zenu zikiwa na watu possesed hadi muyatulize.
Nicholas,
Hutokeaa mtu ukasoma kwa haraka na ''gist'' ikakupita.
Haya humtokea kila mtu wala si jambo geni.
Hebu jitulize soma tena kipande hiki:
''Halikadhalika najua itakuwa tabu kwako kuamini kuwa Rashid Ali Meli bila ya
kumshauri yoyote alichukua fedha kwenye safe ya ofisi yake Dar es Salaam
Municipal Council akampelekea Iddi Faizi Mafongo ili atunishe mfuko wa safari
ya kwanza ya Nyerere UNO 1954.''
Mohamed Said unapiga sana tori zilizo nje ya huu mjadala....mengi huyaongeayo hayana mchango kabisa, wewe unadhani yatainua profile yako hapa...
HEMBU CHANGAMKA FAFANUA KTK RED KUNA SIFA GANI KWA HUYU MTU UNAYEMFAGILIA HAPA.
Bahatisha nani huyu hapa chini?
Ritz siunajua ukisusa wenzio wanakulaView attachment 97619Kwani ni nani?
Huu ndiyo uchochezi wa Mohamed Said, ha haa ha.
Naona unajisifu kuwa ulialikwa German...hapa kuna mengi ya kuongea ambayo sijui km utaweza thibitisha.
Tukirudi hapa Mfumo Kristo roughly meaning Christian dominance .Nadhani utakuwa umeona ulivyoweka tfsiri wrong..sijui ni kutojua huko au ni kuwa confuse...kutumia ".Christian dominance" Dominance si "..negative aspect...by default ".Tafsiri yake ni kuwa Christian wanashikilia hatamu..na kwa Tanzania Wakristu wameshikilia nyanya nyingi muhimu.Na hakuna ushahidi kuwa walinyang`anya.Wenzetu wanaojua udhaifu wa waislam..wanaweza peleke mawazo ktk namna ya kuwawezesha ila si hayo usemayo kuwa walidhulumiwa.
Ila wewe si msislam wa kwanza kwenda magharibi na version nyingine ya fikra zao, wakipata sifa kidogo basi wakirudi nyumbani ,huja na version ingine ya hizo praise.Hata CUF WENYEWE NI WALIBERALI WAKIWA NJE YA NCHI...WAKIRUDI ZENJI NI WAPINGA ULIBERALI,NI WAZALENDO.WANA VERSION AYO YA KUPELEKA WEST, WANA YA BONGO HADHARANI,WAN AYA BONGO MISIKITINI NA WANA YA KUMPELEKEA SULTANI.
Huu ujinga utawa cost sana....
-Nyerere aligombea chaguzi kadhaa kabla ya uhuru na mkampa kura kibao.kama alikuw ana makosa basi msingempa kura.Mispende tumia tofauti zake na mabepari kupitisha agenda mbaya.Mlifanikiw akutumia "Ubaguzi/apartheid" na sera za Tanzania kuingiza Tanzania ktk "movement za kiislam Africa na mashariki ya kati".
West wanatofatiana na Nyerere ktk ujamaa na ubinafsishaji ambao uliwafaa sana waislam kuliko Wakristu..watu waliokuwa hawajui uwekeza na kufanya bila usimamizi wakapewa vitengo.Ila uaminifu ,misimamo ,kuchukia kwake ubaguzi wa aiana yoyote na uzuri wa kichwa yake.Waingereza na wamarekani walijua anatofautiana nao kiuchumi na sera na hakuwa na woga,ila walijua hata wao watakuwa salama ktk mikono ya Nyerere km wao ndio wanadai haki.
Ninachokupendea ni pale unapoleta ushahidi unaotosha kumaliza mwenyewe..Historia ya nchi hii imeficha sana majina ya kiislam ktk wanaoitwa mashujaa kwa jambo moja tuu...kuwashika watu wengi kuwa hao jamaa walikuwa waafrica haswa, waliofight kwa uhuru wa mwafrica...mimi kama kawa huwa nikisoma historia kuna vitu huwa vinaniamsha hisia, na hivyo kuchimba zaidi.
Majimaji ilikuwa ni vita ya kiislam na waislam ktk upande wa Watumikishaji(wafanya biashara ya utumwa), biashara ya Wayao ambao walichukua watumwa hadi malawi,kwa ukatili mkubwa kwa vile walikuwa wakristu na wapagani..HADI LEO CHUKI YA WAMALAWI IPO JUU YA WATANGANYIKA,NA HATA MGOGORO WA ZIWA UNASURA HIYO.Wamalawi wanajua kuwa watanganyika ni waislam wauza watumwa.
Na hapa ndipo uliposhindwa tumia kili au kufany makusudi ili umtumie mungu wenu wa utumikishaji na mauaji.Wabenektini walikuwa upande wa wajerumani kwa vile ndio njia pekee ya kuondosha utumwa na kuwa salama ktk "mfumo islam " uliokuwa ukiendeshwa na waarabu kwa ushirika wa makabila ya kishenzi enzi hizo "wayao", "manyema".Historia ya Pugu inaonyesha jinsi walivyopata shida na uislam.Wakakimbilie kule mlimani ili kuwa salama...na baadaye wakaja komboa nchi..kwa kutoa wanafunzi ambao walikuwaja kuwa fahari ya taifa.Waislam hado leo hawajajtambua kuwa wanatumika.
The small minded will take our words wrongly & the evil minded will go out of their way to misinterpret them. It happens to revelation too.
Sasa km msomi unayejipambanua kwa sifa nyingi haujaweza kuw amwaminifu vya kutosha ni vipi utajitetea ktk huu njadala mabo unahuru upotoshaji na kukosa uaminifu kwako?
Kwanini hujanukuu nilichoandika kwa kukunukuhu moja kwa moja?NIlikuwambia nilipokunukuhu, na ukaamua chukua kile ambacho nilimjibu Ritz(Brainless man himself).Nukuhu yenyewe ni hii..Naomba pia uifanyie kazi,kwani uliipotezea...kwa jinsi ulivyo dhaifu morally.
The Big Show,
Salaam Al Akhiy.
Ndo nachungulia kwa utuvu asubuhi hii ile mipini yenu na bayana zenu adimu na Shariff Ritz, mloziteremsha jana baada ya Salat Al Ishai.
Nimecheka kiduchu ulipomwambia ndugu yetu Maika nafikiri,yakuwa huo ufumbuzi toka kwa Sheikh Mohammed kwani yeye anafanza mradi/utafiti wa Malaria!?ahaha!!
Nakhis ukiangalia kwa utuvu haya majambo,ni kinyume cha matarajio ya wengi mno khasa huyo Yericko&Co. Yaani huu mnakasha/mjadala pia umesaidia mno kuondosha kabisa ile Credibility(kama iliwahi kuwapo) ilokua inapewa ile Historia ya Kivukoni.
Nafikiri kwa Sheikh Mohammed,yeye amepata jukwaa zuri na jingine zaidi la kutambulika nchini na kuzidi kusomesha.
Wanajamvi wengi mno hapa ambao pamoja na kukiri kwao yakuwa hawakubaliani na baadhi ya vitu/maandiko ya Sheikh Mohammed...lakini nafikiri kwa mara ya kwanza wamejikuta wanakumbana na vitu adimu toka kwa Sheikh Mohammed,na wao wenyewe kukiri kwa mapana bila ya kulazimishwa/kuhimizwa na yeyote,yakuwa Historia ya Kivukoni ni utumbo na uozo mtupu...na sio tu yakuwa ina matundu mengi mno, bali ile ina mashimo na mahandaki mengi mno!
Nastaajabu,huyo Yericko hiyo kesi yake ya "Uchochezi,Uhaini na Ugaidi" dhidi ya Sheikh Mohammed alitakiwa ende akawafungulie wale mazumbukuku na Wachochezi wa amani ya nchi waloandika ule utumbo wa Kivukoni!?
Ahsanta.
Cc;Ritz
Nicholas,
Rashid Ali Meli alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnatouglo 1954.
Nicholas,
Rashid Ali Meli alihudhuria mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnatouglo 1954.
Nikakuuliza hikiNicholas,
Hutokeaa mtu ukasoma kwa haraka na ''gist'' ikakupita.
Haya humtokea kila mtu wala si jambo geni.
Hebu jitulize soma tena kipande hiki:
''Halikadhalika najua itakuwa tabu kwako kuamini kuwa Rashid Ali Meli bila ya
kumshauri yoyote alichukua fedha kwenye safe ya ofisi yake Dar es Salaam
Municipal Council akampelekea Iddi Faizi Mafongo ili atunishe mfuko wa safari
ya kwanza ya Nyerere UNO 1954.''
Mohamed Said unapiga sana tori zilizo nje ya huu mjadala....mengi huyaongeayo hayana mchango kabisa, wewe unadhani yatainua profile yako hapa...
HEMBU CHANGAMKA FAFANUA KTK RED KUNA SIFA GANI KWA HUYU MTU UNAYEMFAGILIA HAPA.
Je kila aliyehudhuria mkutano/mikutano ya TANU ni muhimu awepo kwenye historia ya TANU?
Ninathubutu kusema wazi kuwa kitabu cha TANU cha Kivukoni wewe hujakisoma kabisa!
Laiti ungesoma hata utangulizi tu usingesema hayo!
Nakushauri nenda kakisome kisha njoo tujadiliane!
Ondoa uwendawazimu wako hapa! ulivyojuha unadhani na wewe ni kizazi cha waarabu! mpuuzi wewe!Ha haa siku shangai ikishafika weekend lazima upate mauchokozi kiti kirefu at work