Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Naona umechoka kukaa ktk ngozi ya kondoo....sasa unajiachia full.Nashukuru sipo na wewe ungerusha mabomu au jilipua.

Ukisikia paaaaaa!! basi ujue imekupata ha haa ha...unajibu kinyonge kabisa mpaka unatia huruma.
 
Nakubaliana mkuu katika maelezo haya,


Akili zako na zake zinalanda,na ndio maana unakubaliana na kila unachokiandika,

Watu wenye akili zao timamu washakupuuza muda mrefu sana,wamekudharau wameondoka zao,

watu kama@Mwanakijiji Jasusi na kadhalika,walipobain kuwa wewe hamnazo huwez tena kuwaona wakikuangalia kwa jicho lile lile la awali,

Ukweli kuhusu ukanjanja wako kwa sasa upo wazi sana,pole sana
 
Last edited by a moderator:
Wazee wa fitna hamkuanza leo....si mkaharibu historia..halafu mkaandika yenu..tena ambayo ni kazi ya ubunifu.Hata element ya kuweka wauza watumwa kuwa mashujaaa...ni hizo fitana na dili.

Kuzimu haiishii hapo ktk kuwatumia.

Mental retadation, historia ya Kivukoni kwako ndiyo unaona ndiyo ya kweli?
 

Sweet Ritz wewe hata kuongopa hujui-yaani wewe kila kitu umehadithiwa na mzee wako
 
Last edited by a moderator:
GombeSugu na Ritz

Mnachokifanya hapa ni kuvunja sheria za JF,

Kuna kipengele kinaitwa
"Name Calling"

Mnakiuka na kuvunja sheria za JF na mwisho mkichukuliwa hatua mnaanza kulalamika!

Nani kawaambieni Nicholas ni kiongozi wa Chadema?

Zaidi mnatoka nje ya mada yetu kwa kuingiza siasa za Chadema na CCM jambo ambalo ni kinyume cha uzi huu!

Ninawaomba ndugu zangu, tiini sheria za jf bila shuruti na zingatieni maadili ya Mnakasha huu!
 
CCM hapakaliki. Namuunga mkono The Big Show kutambua ukweli huo. Na gesi ya Mtwara haitatapeliwa na mtu.
 

Kwahiyo wewe uliyeendelea kubaki hapa ni mwerevu zaidi ya hao?

Hahaha ukiwa tahira kila kitu utakiona ni chepesi kwako!
 
Last edited by a moderator:

Ritz,
Sijawahi kusoma historia ya TANU iliyoandikwa Kivukoni. Kitabu changu cha kwanza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika kilikuwa cha Judith Listowell, mwaka 1966 baada ya kitabu hicho kuchapishwa. Lakini Mohamed Said ametutaarifu hapa kuwa marehemu Klerru alipewa jukumu la kuandika historia ya TANU, sasa sina hakika kama hiyo kazi ndiyo iliyozalisha kitabu cha Kivukoni.
 

Bro Jasusi,

Nashukuru lakini kuna wenzetu wanasema kitabu hicho ndiyo kinafundishwa mashuleni.

Unajua habari zozote za Dr Mayanja Kiwanuka, kuhusu kuandika historia ya TANU?
 
Last edited by a moderator:

Yericko Nyerere,

Acha kutisha watu kama kawaida yenu mnaanza kukimbilia Mods.

Hivi unajua maana ya "Name Calling" tumemtaja jina huyo unayemtetea humu jamvini tunajua itikadi zetu.

Unabisha siyo Chadema? Nikuletee mabandiko yake akisifia Chadema? Hata wewe pia ni Chadema.

Hakuna tatizo waambie mods watupige ban.
 
Last edited by a moderator:
Bro Jasusi,

Nashukuru lakini kuna wenzetu wanasema kitabu hicho ndiyo kinafundishwa mashuleni.

Unajua habari zozote za Dr Mayanja Kiwanuka, kuhusu kuandika historia ya TANU?

Namfahamu Dr. Mayanja Kiwanuka. Aliwahi kuja nyumbani kwangu alipokuwa anasoma Syracuse University. Sijawahi kuona kitabu alichoandika, kama ameandika kitabu chochote kuhusu historia ya TANU. Nadhani Mohamed Said ana habari zaidi juu ya hilo kuliko mimi.
 
Kwahiyo wewe uliyeendelea kubaki hapa ni mwerevu zaidi ya hao?

Hahaha ukiwa tahira kila kitu utakiona ni chepesi kwako!

Simple & Clear,

Mimi nipo hapa Kumsoma Moh Said na kumpuuza Yericko kwnza kwa kudandia nasaba isiyo yake,pili kuyashangaa mauza uza yake kama yale ya ugaid na umahiri wake wa kujitamba katika kutoa huduma bora ya ndoa kwa mkewe..!

Tutakuheshim endapo utakuja na hoja za msingi,lakin kama kudandia nasaba za watu no thank you,,,!!!

Utatusamehe kwa hilo....
 

Nashukuru ngoja tamuuliza, vipi na Hassan Upeka?
 

Wala hakuna aliyepoteza muda kubishana nae kihivyo,kwani kwa yote aliyoandika bado yanaweza tafsiriwa kwa mitazamo mbalimbalia.

Shida ipo kwenu kukimbilia kila kitu mkidhani kinawapa advantage..huo unguli lazima mumpe...Ila hamjaangalia kuwa alikuwa na hasira na taifa hili kwa kutaifisha kila kitu..Na pia dhidi ya ujamaa.In one hand mnamnashangilia kitu mnachokipiga vita.

By the way waislam huingia ktk mkumbo kwa vitu vya kupita sana:Mojawapo ya vitu vilivyowaponza ni hivi:

-Debate ya Wakristu na Atheist magahribi iliahamia ktk sayansi km source ya ushahidi...King wa Saudia akawahi mlipa Prof mmoja hela nyingi sana..ili akae chini atafutue kitu chochote ktk Quran kinachoweza thibitisha kuwa uislam unaendana na Sayansi.Jamaa akatafuta jukns kibao akaziweka ktk book na kuenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Bible ndio ipo kinyume na sayansi.Waislam wakadanganyika, wakaanza kusema magharibi waliiba ilm ya waislam....ila hawakua na majibu .Kama waliibiwa elimu ktk Quran ,Quran nayo iliibwa?Km iliibwa iliyopo itaaminika vipi kuwa si feki?Au km hawakuichukua na waislam wanaamini kuwa wao ndio waijuayo kuliko makafiri,kwanini tena wameshindwa isoma na kutengeza rocket?


-Injil ya Barnaba iliteka sana dunia ya kiislam..injil ya baranaba iliandikwa na scandalous writer karne kadhaa baada ya Yesu.Ila hadi leo wanamihadhara wa kiislam ambao hawaja update vichwa vyao wanaitumia majukwaani.

-Suala la atheist na ushoga kuulazimisha kwa nguvu hadi kuweka mapandikizi ktk makanisa.Waislam wametumia km kitu cha kutetea dini yao.Kitu ambacho dunia ya kiislam imekithiri kwa hilo na mafundisho yao yana mengi ya kuthibitisha kinyume.

-Conspiracy theories zimekuwa zikitikisa sana dunia ya kiislam..wamekuwa wakiamini kila kitu ni hila, fitna,na kina mkono wa wayahudi,marekani na mataifa ya magharibi.Mengine yalitokea kabla hata taifa la marekani halikuwepo.

-Sasa hivi issue ya Freemasons itawatafuna wakijaamka karibu wote ni wachawi,watoa makafara,huku wakiacha nyanja za elimu zikiwa zimekufa kabisa.Habri ya Freemason na masomo yake sasa hivi imeshakuwa ni multi-million project kwa Tanzania pekee.Huku karibu kila misikiti kuwa CD/DVD na vijarida vinauzwa kwa waislam masikini ili wajawe na hofu, wawe matomaso wasioamini kila kitu bila idhini ya Maalim.


Naweza waelewa nanyi ktk jitihada zenu za kutaka lazima huyu jamaa akubalike ili mumtumie km daraja.Amini nawaaambia hata sasa hivi tukichukua isatri ktk hicho kitabu ,bado hakuna kitu ch akuwasaidia sana waislama wa tanzania ktk tope walilonasa.Sanasana itazidi thibitisha jinsi gani waislam walivyoachwa solemba baada ya mabadiliko ya enzi kuja...wakristu walikuwa katika posistion nzuri(walijiweka) ya kupata faida na kuwa na minimum damage...
 
SASA alikuwa na input yoyote AU ni wale wenzangu wa kwenda kumpokea Nyerere airport wakiimba TANU itajenga nchi

Mzee wangu alikuwa mnywa kahawa tu na mkaa vibarazani.

Lakini nashukuru katuacha vizuri mijengo ya kumwaga ha haa ha, na shule katupeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…