Shariff Ritz,
Salaam Al Akhiy.
Ngoja hiyo safari yako ya Kigombe tufuatane pamoja ili tuzidi kumchemfua yule "maluuni wa Rombo",msemaji wa Chadema na Vatican hapa jamvini!ahaha!!
Yeye si tunajua yakuwa ana allergy na Uislamu,Waislamu na watu woote wa Mwambao! Lakini ikifika wakti za chaguzi ati hao Chadema wanataka na kutaraji kura za watu haohao wanaoshinda kutwa kucha kuwakebehi na kuwatukana hapa jamvini!?...pumbavu mkubwa huyo Nicholas...najua lazima atakua ni Mchaga maskini wa roho na maisha!ahaha!!
Nawajua vizuri mno na nimeishi nao kiundani. Kule kwao kaskazini pia wanabaguana mno kwa Class na eneo utokalo...sasa stress zake za maisha anataka kujamalizia hapa jamvini!?ahaha!!
Lakini pia huyo Nicholas anasaidia kwa sisi wengine kuona picha khalis ya hao Chadema!...
Nataraji nikifika hapo mojawapo ya shughuli yangu kubwa ni kuja kumnasihi ndugu yetu Al Khalifa The Big Show ajitoe huko Chadema kwa haraka mno. Najua labda CCM "imewaangusha" kiduchu wana Mtwara nao wamekereka...lakini wakumbuke ubaya wa CCM si wema wa Chadema hata siku moja...."zimwi likujualo halikuli likakwisha"!!
Kwa kifupi moyo wangu wabubujwika na machozi kumuona ndugu yetu Al Sahib The Big Show,katumbukia ndani ya hilo handaki la hao mahasidi na maharamia kina Nicholas na huo upuuzi wao wa udini na ukabila=Chadema!!
Lakini Insha Allah Mola ipo siku tamrejesha nyumbani...CCM
Tuendelee na safari yetu ya Mwambao...wewe Shariff umeamua kuanzia Kigombe,mimi nakusihi turejee nyuma kiduchu Vijiji viwili ili tuanze upya.
Tongoni,Mwarongo,Kirare,Kigombe,Choba,Pangani,Bweni,Kibinda,Mauya,Mwera,Ushongo,Ushongo Mabaoni,Tungamaa,Sakura,Kipumbwi,Kipumbwi Mtoni,Msangazi,Mikocheni,Sange,Makorora,Mkwaja,Saadani,Buyuni,Buyuni Kuu,Bwagamoyo, mwanakalenga,Mwanamakuka,Kitopeni,Zinga,Mbegani,Mlingotini,Kaole,Ununio,Kunduchi,Msasani mpaka tunaishia Kipata kizingitini kwa Sheikh Mohammed na kuendelea na Darsa!
Kwa wale wa Mikoani/Mabara,tafadhalini msichukie mno...siku nyingine kipata fursa tutafanza safari yetu kuanzia Songea mjini mpaka Madaba...na tutasimama pale Peramiho kuamkua kiduchu!
Ahsanta.