Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Baba nimeshakuwekea majibu yako au unatumia simu ya tochi kaazime PC utazame majibu yakoHembu yaweke hapa na wengine wahushuhudie.,,jinsi hani imani yenu haipo portable.Yesu alisema...siku zaja waabudio wa kweli hawatanagalia milima ya Sinai(Alipopewa Moses Amri 10),wala Yerusalem(lilip Hekalu la Solomon)..ila ktk Roho na kweli.......weka na Qibla.Kwani waaminio ktk roho Mungu wao ndie Muumbaji ,ajua alichokiumba.NDIO MAANA AKAWAAMBI SIKU ZAJA.....