Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Baba nimeshakuwekea majibu yako au unatumia simu ya tochi kaazime PC utazame majibu yako
 
Mwaga nondo hizo-hapa naamini hata the GOAT atapata elimu
 

Kweli unadhani haya yanjibu maswali yangu yanayotaka jua.Muislam ataweje kwenda ishi ktk aga za juu bila kuacha uislam wake duniani?teh teh...yaani ni ama wewe ama uislam wako..wenyewe mnasema ma mpira ama wewe...

Kweli Yesu alijua akawaambia ufalame wenu ni wa hapa hapa duniani.NI hayo tuu nilimpa Ritz ili asijaze sana junks hapa.Il anaona wewe hujasoma umekurupuka.

Kwa taarifa yako hayo maswali yangu yamepelekea indonesia na Iran wanafanya tafiti Jinsi gani watajibu challenge za kukimbizana mataifa mengine ktk anga za mbali halafu islam ukabaki naa nafasi.Nilipost ktk forum ambazo wapo km MS

Kukusaidia tuu ili upate pa kuanzia.Search ktk google na You tube "Son Of Hamas". upate ushuhuda na mwanga huone jinsi mtoto wa mwanzilishi wa hamas .Hamas ambayo mnatumia mabilioni ya hela, na roho za watu kufanya ugaidi mkidhani mnawasaidia kupata kitu kikubwa.Jinsi alivyoutazama uislam na movement za hamas.Pia ukipenda wasome vyema watoto wa Nyerere na Hata Nyerere mwenyewe jinsi gani wamekuwa wakiingalia CCM aliyoi asisi Mzee wao au Nyerere Mwenyewe.ndhani hizi hype zitakutoka na utapata kweli itakayokuweka huru.
 
Umempatia kweli kweli...AA/TAA walishanuka ktk misuse ya hela..

Wanajamvi,
Mimi silazimishi kuaminiwa ila naomba kusikizwa basi.

Katika memoir zake ''Under the Shadow of British Colonialism'' Ally Sykes ana haya ya kusema:

''When the meeting was called Dr. Kyaruzi was elected President and my elder brother Abdulwahid Secretary.

John Rupia, the veteran member of the struggle since the days of the African Association was elected Treasurer and I was elected Assistant Treasurer. But the Association had nothing in its coffers.
''

Huu ulikuwa mwaka wa 1950.

Kufika mwaka 1953 ndipo ukapitishwa mchango wa nchi nzima fedha zilichangishwa na Japhet Kirilo, Saadan Abdu Kandoro na Abbas Sykes ambao walitembea majimboni kuchangisha fedha kwa ajili ya safari ya UNO baada ya Kirilo kurejea mikono mitupu.

Fedha zilizobaki zikatumika katika safari ya Nyerere UNO 1955.

Fedha hizi kutoka majimboni zilitumika katika safari ya Ally Sykes na Denis Phombeah kwenda Salisbury December 1953 na kipindi hiki Nyerere tayari alikuwa rais wa TAA na Abdu Sykes makamu wake.

Hapajapatapo kuwa na ubadhirifu wa fedha si AA wala TAA katika kipindi chote cha miaka 4 ambako uongozi ulishikwa na Dk. Kyaruzi kisha Abdu Sykes na mwisho Nyerere.

Ndugu zangu hawa wanaandika huku nyoyo zimekasirika kiasi wanakosa kujiuliza maswali mengi sana.

TAA haikuwa na fedha ikiwategemea sana wafadhili wake wakuu: Mzee Rupia, Dossa, Abdu na Ally Sykes.

Katika hali kama hii wezi wataiba nini wakati hazina haina kitu na fedha za kuendesha chama zinatoka kwenye magari 7 ya mchanga ya Dossa, biashara za Mzee Rupia na Petrol Station ya Abdu Sykes?
 
ndio maana Nyerere alikataa kuandika kitabu,maana ingebidi wazee wengi wa pande hizi waumbuke-amekwenda kaburini na negative secrets nyingi za new street

Son of Alaska,
Sie tumefunzwa adabu na wazee wetu.

Kuna mambo kwetu ni mwiko hatusemi hata tukibanwa vipi.
Achana kabisa na fikra za kitabu cha Nyerere.

Asingeweza kuandika kitu wakati wazee wetu wako duniani.
Kama angeandika angeandika haya niliyoandika mimi.

Asingekuwa na uso wa kusema yeye kaanzisha TANU na akabaki
na uso wa kumtazama Chief Kidaha Makwaia, Abdu Sykes, au
Dossa Aziz au Steven Mhando kuwataja hawa wachache.

Nadhani tumeelewana.
 
magari 7 ya mchanga ya Dossa na petrol station ya Abdu=hapo kama kawaida umem downplay Rupia. Coffers za Tanzania ziko empty na hapo hapo watu wanaiba-hii mifano tazama na audience unayo address please
 
Baba nimeshakuwekea majibu yako au unatumia simu ya tochi kaazime PC utazame majibu yako

hehe.. wewe tuu huwezi jibu haya..hata iran, indonesia kuna wanazuoni wenye kujua sayansi na wenye rasilimali kubwa sana za propaganda....walishindwa...niliwapa maswali hayo mapema sana.Ndio maana yule mama wa Iran alipokwenda space alijaribu sana jipambanua kwa dini..ili adanganye watu kuwa uislam unawezekana space km sehemu ya majibu ya maswali yangu hayo.

Bado vichwa vinawauma..nao walikimbilia kama wewe ila niliwapa maelezo ya kisayansi kabisa.Waliniambia ngoja ttakuandalia majibu.Ninachoelewa ni kwamba walianzisha kitengo cha kuangalia hiyo challenge.
 

Jee, unamjuwa Mshume Kiyate?
 
magari 7 ya mchanga ya Dossa na petrol station ya Abdu=hapo kama kawaida umem downplay Rupia. Coffers za Tanzania ziko empty na hapo hapo watu wanaiba-hii mifano tazama na audience unayo address please

Tatizo lako unaelewa lakini huna fahamu.
 
Hapa unatumia oratory therapy kuwabambikia wenye akili za kushikiwa kama sweet@Ritz and co
 

Huoni, husikii, husemi wala huwezi kujirudi. Hili ndio tatizo lako. Una uelewa finyu.

Umeshaleta hata kimoja kinacho ashiria uchochezi wa Mohamed Said?
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

1) Ule mkanda wa video wa "baba'ko" uliotuahidi uko wapi?

2) Ile historia ya kina Mkwawa uliotuahidi utatuletea baada ya kuonana na "Chifu", sijaiona mpaka leo, Jee, uliiweka humu? Naomba link au namba ya post kama jibu ni ndio.

3) Jee, Andrew kisha kukubali kama u nduguye?
 
Last edited by a moderator:
wanaukumbi Mohamed Said sasa anamtusi Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…