Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #17,541
Spike Lee,
Salaam Al Akhiy.
Hayo yoote usemayo,mimi niliyaona na kunena tangia bayana yangu ya mwanzo hapa jamvini.
Pia naliwahi kumshauri hata Sheikh Mohammed yakuwa tuondoke hapa jamvini ili kufungua Thread nyingine na kuendeleza darsa,sababu huyo Yericko na wenzie tayari umeshawapa publicity kubwa mno.
Lakini wakti huo nilikua mgeni kiduchu humu Jf,hivi karibuni ndo nakuja tanabahi tena ndugu yetu Zomba maskini ndo alosema, yakuwa kumbe Sheikh Mohammed mara kadhaa akitaka kufungua Thread/s hapa Jf,hao kina Mods huwa ghafula wanaifunga!?
Ndio maana pana mwanajamvi fulani aliwahi pita hapa siku moja akatuonya na kutukemea,yakuwa Waislamu acheni kujisumbua na hao watu hiyo sio Jamii Forum bali ni Christian Forum!?ahaha!!
Haina neno,sisi wengine haya majambo tushayazoea miaka mingi mno.
Tuendelee na mauzauza na upuuzi/"mnakasha".
Ahsanta.
Cc;Ritz
Acha kupotosha jamii iliyopo hapa ndugu,
Viwango vya jamiiforums vimezingatiwa mpaka hapa tulipo!
Usiwafundishe jf kufanya kazi yao!
Jibuni hoja sio kukwepa