Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz,
Chief Marealle hakuwahi kuwa mfadhili wa Nyerere. Actually he was not very enthusiastic about TANU. Ni Wachaga wa kawaida tu kama Aikaeli Mbowe, Nsilo Swai, Eliufoo na Lucy Lameck waliochangamkia harakati za TANU.

haha...hembu mwambie huyo Ritz....hao watu waliwajibika km wanachama na hivyo kupata stahiki zao..waliozidisha michango walizidisha kwa nafsi zao kwa chama TANU na si kwa Nyerere.Stori za kwenye pombe na magenge ya gahawa na dengelua si dili sana.

Sidhani km Nyerere alikuwa akipoke aufadhili hovyo hovyo..angefadhiliwa ktk nini?Lazim pawe na sababu ya fund raising kichama,chini ya waratibu wa chama, na hivyo zoezi likifanyika then Wawakilishi wa chama ktk hiyo mission wanakwenda...Sasa km issue ni waliochanga kingi in terms of cash and assets mbona ni kawaida sana kwa jamii.

Pia mkumbuke ktk hiyo michango kambona na Kawawa walikuwa ni washiriki wakubwa km si wakuu km mawaziri wakuu wengine.
 
Ritz

Wala sishughulishwe na wewe kwenye mambo nyeti!

Nakuacha tu upite!
Ritz na zomba huwa nawaambia kila siku wana fujo km wanyama waharibifu..ambao wakiingia ktk kiota cha ndege basi huvurugavuruga na kuondoka just because walikuwa wanataka jikuna tuu n amikwara mingine.
 
Nyerere alisingiziwa mengi km kawaida ya wabongo hata ukila kwake au mkiwa out pamoja na kila mtu akalipa bili yake.....ukija fanikiwa wengi watataka waje kupata fadhila kwa gia ya kuplay victims na kuku-blackmail kuwa huna shukrani and the sort.

Nyerere angepoke vitu km zawadi binafsi angekuwa multi bilionea.

Nashukuru, kwa hiyo kumbe Yericko Nyerere, alimsingizia Nyerere kuwa alikuwa ananuliwa nguo na viatu, pamoja na gari na Chifu Mariale.
 
Last edited by a moderator:
Hint; Umeshawahi kumsikia mtu anaitwa Rolihlahla?

PN 46664

maswali ya kijinga km ya Kinana ktk mikutano ya CCM huwa nimekuambia siwezi jibu km utakavyo.Andika unachotaka kijadiiwe na si maswali ya loosers....
 
NDIO = Yeye tu
HAPANA = Isipokuwa yeye tu.

Umeshawahi kusikia kura za maruhani? Sasa jiulize za Nyerere zilikuwaje?

Nania kakuambia nina muda wa hao malaika wenu, kwetu hao ni mashetani.Blood suckers.
 
Ritz,
Hapo siwezi kubisha. Ninachojua ni kwamba Marealle alikuwa more loyal to Edward Twining than to TANU. Kwa hiyo inakuwa vigumu kwangu kuamini kuwa mtu aliyekuwa loyal kwa gavana wa ukoloni atatoa msaada wake kwa Nyerere na TANU. I need more research on this.
Kwa ujumla Marealle hakuwa trustworth ila muhimu....aliside na wazungu mara zote..na hata kuwa mangi mkuu ilikuwa ni dili ya kuwauza Mangi wengine.Hata km alichangia mchango wowote hauwezi kuwa sadaka hata madhabahuni.
 
ha haa haaa acha uongo wewe majibu yako wapi Iran au Indonesia wataangaika na mpuuzi kama wewe, umeshindwa kuwasaidia Chadema umeamua kuleta kamba, nakuwekea mipini unalialia nimekuwekea Science and Qur'an unatukana.

Kwako mimi ni mpuuzi...km uionavyo ilm dunya.........wenzio waliona ni very serious issue haswa aliporudia na walioutosa uislam na wenye ushawishi mkubwa duniani.Watu waliomkaribisha zakir Naik ktk mdahalo hadi leo hajatokea..Kaishia jiandikia mambo yake ktk mtandao wake na TV series zake tuu.Mahali ambapo anapata wahuni km wewe,zomba,chama na wengine.....wahuni wa kupiga kelele na kuvuruga mdahalo halafu wanakimbia kusema mtu wao kashida.
 
Kweli ulitakiwa uache usivyovijua!

Nitajie idadi ya siku ambazo msafiri amewekewa katika Quran au Hadith yaani zikizidi hizo siku basi inakuwa si msafiri tena.

Idadi ya nini ili nithibitishe dini yenu ina vitu impracticle na muanze nishutumu kuwa nimeitukana dini yenu?

hembu hesabu ktk miaka 2 siku (366x2) mara swala 5 ulizoskip ukiwa huko sijui ktk orbit au mwezini(usipoona mwezi) ,hambu tupe mchanganuo utafanyaje kuzilipa bila kuacha zinazoendelea?halfu utuambie practicality ya uislam.

swala =366x2x5.=3660

Tuachane na hii mambo.Dont talk about the future wakati bado upo in the past,hata present hujafikia.usijejikuta unahitaji mtume mwingine wa kwenda ongea na mungu wenu aombe tena swala zipunguzwe kwani ......hutakuwa na muda wa kutafuta hela zaidi ya kafir ambaye tayari anawapa headache hapa.Imagine mwanasayansi huyo atatakiwa rudi zaidi ya mara 2.Kwa sasa watu wanajipanga kwenda kusihi ktk moon, na mars kwani dunia imeshachafuliwa sana na magaidi.Sijui mtabaki au ndio utakuwa mwisho...
 
Nashukuru, kwa hiyo kumbe Yericko Nyerere, alimsingizia Nyerere kuwa alikuwa ananuliwa nguo na viatu, pamoja na gari na Chifu Mariale.

Ni udogo tuu wa fikra zako...pia nakuhurumia km na wewe ndio mojawapo ya waazuoni maimam wa misikiti influential...itakuwa ni disaster ya kufa mtu ktk ulimwngu wa waislam.

Nimekuambia km kuna sehemu wanachama walitakiwa changia kwa hali na mali walitoa kwa mission maalumu na kuratibiwa na chama.Ila mjue Nyerere hakuwa kachoka kihivyo...alikuwa kt ya wasomi wachache na watu muhimu wenye marafiki na kipato angalau kidogo ila kilikidhi haja zake binafsi.

"Hakuwa mtu wa kutaka zaidi ya bakuli lake la kushiba"..suti zipi sasa wakati jamaa alikuwa anavaa kijamaa na kila kitu kilikuwa cha kushonwa?Km ni nyingine sijui km za masomoni zilikuwa zimeisha."hata nyumba ya butiama alisema yeye si Tembo"...
 
Idadi ya nini ili nithibitishe dini yenu ina vitu impracticle na muanze nishutumu kuwa nimeitukana dini yenu?

hembu hesabu ktk miaka 2 siku (366x2) mara swala 5 ulizoskip ukiwa huko sijui ktk orbit au mwezini(usipoona mwezi) ,hamebu tupe utafanyaje kuzilipa bila kuacha zinazoendelea?halfu utuambie practicality ya uislam.

=366x2x5.

a.
Ha ha ha!
Msafiri muda wake unaisha pale atakapomaliza safari yake! Hakuwekewa muda maalum ukiachilia rai za ulamaa wanaoweka mwisho siku 3 na wengine 19 (lakini hizo ni rai tu).

Sasa hilo la msafiri aliyekwenda mwezini kuwa swala zake zitakuwa 366x2x5 umelitoa wapi?
 
Ha ha ha!
Msafiri muda wake unaisha pale atakapomaliza safari yake! Hakuwekewa muda maalum ukiachilia rai za ulamaa wanaoweka mwisho siku 3 na wengine 19 (lakini hizo ni rai tu).

Sasa hilo la msafiri aliyekwenda mwezini kuwa swala zake zitakuwa 366x2x5 umelitoa wapi?

Unajichekesha bure ukidhani unapunguza ugumu wa concept:Mwenzio katoa mfano wa jamaa aliyekwenda ktk orbit tuu hapo tayari ni problem hata angeingia ktk Interetional space center,bado yupo safarini...kwani ile centre si stationery relative to the Earth`s surface, si km unakwenda Moro tokea Dar then unashuka na hivyo unakuwa ktk ardhi km ulipotoka na kiujumla ni km umefika na upo sationery.Ila space ukingia ktk kituo cha utafiti ni km kubadili ndege Angani .Tena ndege hiyo iwe inazunguka dunia mara nyingi sana kwa speed kubwa sana ili ibaki angani....hembu tuambie ktk kila dakika utakuwa umeangalia na kuipa mgongo Qibla mara ngapi?

Sasa hao ulama sijui hata km wanajua zaidi ya safari za ngamia ziendazo ktk uso wa dunia ileile na hivyo kufanya relative motion ktk ya point A na Point B kuwa nill baada ya kufika.

Uliposema kuwa baada ya kurudi mtu atalipiza nikajaribu kukupa picture tuu ili unipe mchanganuo...mbaya zaidi ukichukua option ya huyo mtu kubaki mwezini halafu unatagemea theori ya kuja lipiza siku basi utakuwa umetuhakikishia dini ndio imeishia duniani.Si miaka mingi waislam walikuwa wakishindwa escape kula nguruwe ulaya.Wengine walishindwa shika uislam ktk Poles ,sehemu ambayo tofauti ya mchana na usiku inaweza kuwa masaa zaidi ya 12,jua na mwezi vinaoneka karibu masaa yote.Sayansi inakopwa tena kuwaarifu waislam wa pande ingine kuwa mwezi umeonekana.Hata issue ya kuwa na idd au sherehe nyingine siku moja iliwachukua muda waislam sasa imebidi wakubaliane nalo.Tuu kwani dunia ni natural inafuata naturala principals ,dini...iiiiii mmhhhhhh..si natural ndio maana haiwezi cope na hiyo habari.kuwa wakati kwingine kukiwa mchana kwingine ni usiku kwingine asubuhi etc.
 
Uliposema kuwa baada ya kurudi mtu atalipiza nikajaribu kukupa picture tuu ili unipe mchanganuo...mbaya zaidi ukichuku option ya huyo mtu kubaki mwezini halafu unatagemea theori ya kuja lipiza basi utakuwa umetuhakikishia dini ndio imeishia duniani.
Things are getting out of your hands now!
Wapi nimesema kuwa swala inalipizwa?! ...ni Ramadhani ndiyo niliyokuambia kuwa inalipizwa si swala.Swala ndio huchanganywa mwanzo wa wakati wake au mwisho wa wakati wake
Nicholas said:
Ila space ukingia ktk kituo cha utafiti ni km kubadili ndege Angani .Sasa hao ulama sijui hata km wanajua zaidi ya safari za ngamia ziendazo ktk uso wa dunia ileile na hivyo kufanya relative motion ktk ya point A na Point B kuwa nill baada ya kufika.
Ungeangalia kwanza hukmu ya msafiri aliyeko jangwani au msituni anafanya nini wakati akitaka kuswali na hajui Qibla kiko wapi
Nicholas said:
Wengine walishindwa shika uislam ktk Poles ,sehemu tofauti ya mchana usiku iaweza kuwa masaa zaidi ya 12,jua na mwezi vinaoneka karinu masaa yote
Si kweli! mimi mwenyewe nimeishi katika hizi sehemu (Kiruna, Sweden), simjui Muislamu yoyote aliyeshindwa kushika Uislamu kwa sababu unayoisema.
Katika sehemu kama hizi Waislamu wanachanganya swala hasahasa maghrib na Isha ili kuwahi fajri na hili si kwamba wamelibuni wenyewe bali ni kutokana na Hadith ya Mtume SAW aliyechanganya swala Madina bila ya udhuru wowote tunaoujua kama vile safari.
 
Things are getting out of your hands now!
Wapi nimesema kuwa swala inalipizwa?! ...ni Ramadhani ndiyo niliyokuambia kuwa inalipizwa si swala.Swala ndio huchanganywa mwanzo wa wakati wake au mwisho wa wakati wakeUngeangalia kwanza hukmu ya msafiri aliyeko jangwani au msituni anafanya nini wakati akitaka kuswali na hajui Qibla kiko wapi
Si kweli! mimi mwenyewe nimeishi katika hizi sehemu (Kiruna, Sweden), simjui Muislamu yoyote aliyeshindwa kushika Uislamu kwa sababu unayoisema.
Katika sehemu kama hizi Waislamu wanachanganya swala hasahasa maghrib na Isha ili kuwahi fajri na hili si kwamba wamelibuni wenyewe bali ni kutokana na Hadith ya Mtume SAW aliyechanganya swala Madina bila ya udhuru wowote tunaoujua kama vile safari.

-kukurahisishia nikwamba:
- Ktk miaka 2 huwezi kosa ramadhani kadhaa ndani yake.
- Utapataje Maghrib na Isha ukiwa space bila sayansi kukusaidia.
- Hata ishu sweden haifanani na hiyo hadith kwani madina time zilikuwa zikijulikana wakati sweden huwezi jua time kwa kuangalia anga. Pia ujue muhamad alivunja sana sheria za kiislam kuliko walivyoamriwa waislam.Mojawapo nisheria ya hovyo ya wajane wake tuu ndio wasiridhiwe na waislam.Wakati wengine aliwaacha wabichi kabisa...sasa huku si kuzuia resources tuu?kuwafanya waislam wawe wazinzi..kwani baada ya Muhamad kufa si watakuwa walitumika kimaficho kwa vile hapakuwa tena na mistari ya kufungua.Pia mistari hiyo sasa hivi inafanya nini tena tk Quran?Si haina kazi tena na imepitwa na wakati?
 
-kukurahisishia nikwamba:
- Ktk miaka 2 huwezi kosa ramadhani kadhaa ndani yake.
- Utapataje Maghrib na Isha ukiwa space bila sayansi kukusaidia.
Nina nukuu Fatwa ya swala mwezini:
The time is taken from the point that the astronaut left the Earth.
The reasoning given behind this was the Malaysian Astronaut Sheikh Muszaphar Shukor who went to the International Space Station in 2007. He worked out his prayer times from the point of departure in Kazakhstan.
This was because the space station travels around the world at 17,000mph (27,400km/h), making Mecca a target in perpetual motion. With 16 orbits a day and five daily devotion sessions determined by times of sunrise and sunset, devout Muslim astronauts could technically pray as many as 80 times in 24 hours.
Nicholas said:
Hata ishu sweden haifanani na hiyo hadith kwani madina time zilikuwa zikijulikana wakati sweden huwezi jua time kwa kuangalia anga.
Ni hadithi ipi unayokusudia wewe? nitajie tuone kama haihusiani.

BTW Madina pia kuna kipindi katika mwaka huwezi jua time kwa kuangalia anga.
 
Nina nukuu Fatwa ya swala mwezini:
The time is taken from the point that the astronaut left the Earth.
The reasoning given behind this was the Malaysian Astronaut Sheikh Muszaphar Shukor who went to the International Space Station in 2007. He worked out his prayer times from the point of departure in Kazakhstan.
This was because the space station travels around the world at 17,000mph (27,400km/h), making Mecca a target in perpetual motion. With 16 orbits a day and five daily devotion sessions determined by times of sunrise and sunset, devout Muslim astronauts could technically pray as many as 80 times in 24 hours.
Kwanini fatwa itumike ktk kitu kilichopaswa kuwa wazi ktk maandiko ya kiislam?Fatwa inatolewa km pale panapohitaji uchambuzi na makubaliano ya wanazuoni na wenye mamlaka ktk uislam.Yaani jambo ambalo waislam wan mashaka nalo , au maagizo.Na mara nyingine wanazuoni wenyewe wanaweza wasiafikiane kwa vipindi fulani.Hata osama alikuwa na Fatwa zake..suni na shia nao wana Fatwa zao.

Hiyo 80 times a day si issue ni kuwa na well defined 5 prayer sessions and times.Pia huyo jamaa hata angejidanganya vipi time aliyochukua ni ya duniani wakati akiwa nje ya dunia.Yaani km kulala na mwanamke mwingine na kumuwaza mwingine(ushirikina).Uislam hautumii dunia km saa ila mwezi na jua, sasa yeye akiwa nje ya dunia anatumia dunia kivipi na kwa ruhusa ya nani?Na akiangalia mwezi kuna sehemu anaweza uona mwezi,jua, na dunia usiku na mchana.Anaweza funga na kufunga kwa kuangalia dunia na si mwezi?.Pia kapoteza sense of direction which is crucial "in the earthly islam".

Naona umekwepa nilipokuambia Muhamad hakufuata uislam alioufundisha mwenyewe.Mtajidanganya sana.Tayari mmeanza ishi kwa fatwa na conditions nyingi km wala mirungi wanavyochanganya madawa ili mirungi iende.Amri ya wake zake kutoolewa na muislam km wajane wengine ni bogus kwelikweli...wakati wengine aliwaacha makinda kabisa.

By the way islam na waislam sifa zao ni kwamba hawapo flexible ktk tafsiri na maandiko.nakusikilizia unavyoruka km swala ambaye simba hukadakia juu.


Ni hadithi ipi unayokusudia wewe? nitajie tuone kama haihusiani.

BTW Madina pia kuna kipindi katika mwaka huwezi jua time kwa kuangalia anga.

Si hasithi uliyosema kuwa inasema mtume akipokwenda kinyume...wala sikuhitaji ijua kwa vile....kipindi kile jua na mwezi (elimu za nyota) ndivyo vilikuwa muhimu sana na sehemu ya wasomi wa kiislam.Hadi leo elimu ya nyota ni roho ya waislam waganga ,watabiri ,waiba nyota na wengine walioshika dini.
 
Sideeq unaonaje tukiachana na hii ishue ya dini ili tuendelee na "mafisadi wa mwanzo kabisa wa nchi hiii" ambao nao km wa leo wanataka Hero status.Nilikuwa nasoma kitabu cha dogo "Son Of Hamas" huku nacheki ktk you tube interview zake "anamwita mungu wa hamas gangster" ana tabiria kuwa dini ya babake na hamas inakaribia kufa kama CCM nikawa nacheka sana na kushangaa kwanini wayahudi walimtumia ila kawa Mkristu na si kufuata dini ya Kiyahudi....Pengine ungepoteza muda kumsoma kuliko kuendelea hapa.Ningependa turudi ili tusiwapoteze wachochezi wetu ambao wamepata relief sasa hivi.
 
Kwanini fatwa itumike ktk kitu kilichopaswa kuwa wazi ktk maandiko ya kiislam?Fatwa inatolewa km pale panapohitaji uchambuzi na makubaliano ya wanazuoni na wenye mamlaka ktk uislam.Yaani jambo ambalo waislam wan mashaka nalo , au maagizo.Na mara nyingine wanazuoni wenyewe wanaweza wasiafikiane kwa vipindi fulani.Hata osama alikuwa na Fatwa zake..suni na shia nao wana Fatwa zao.

Hiyo 80 times a day si issue ni kuwa na well defined 5 prayer sessions and times.Pia huyo jamaa hata angejidanganya vipi time aliyochukua ni ya duniani wakati akiwa nje ya dunia.Uislam hautumii dunia km saa ila mwezi na jua, sasa yeye akiwa nje ya dunia anatumia kivipi?Anaweza funga na kufunga kwa kuangalia dunia na si mwezi?.Pia kapoteza sense of direction which is crucial "in the earthly islam".
Ninanukuu Fatwa ya kufunga Ramadhan mwezini:
"The National Fatwa Committee had given some leeway to the astronaut to perform his religious obligations in space.
and the times for beginning and ending the fast should follow the local time in Baikonur, where the launch will take place in Russia".
Nicholas said:
Si hasithi uliyosema kuwa inasema mtume akipokwenda kinyume...wala sikuhitaji ijua kwa vile....kipindi kile jua na mwezi (elimu za nyota) ndivyo vilikuwa muhimu sana na sehemu ya wasomi wa kiislam.Hadi leo elimu ya nyota ni roho ya waislam waganga ,watabiri ,waiba nyota na wengine walioshika dini
Hapana !umechanganya Uislamu na Uyahudi!

Ni dini ya kiyahudi ndiyo inayofundisha uchawi, usomaji nyota na ushirikina. nikinukuu:

[TD="width: 100%"] Kabbalism is a system of Jewish mysticism and magic and is the foundational element in modern witchcraft. Virtually all of the great witches and sorcerers of this century were Kabbalists - William J. Schonoebelen (The Dark Side Of Freemasonry).
The Cabala is not new. It's been around for centuries. The Cabala is actually ancient magic. It is an exotic blend of devilish, sometimes fanciful, New Age mystical practices topped by a philosophical bent of Jewish supremacism. Orthodox Judaism, or phariseeism, is rife with cabalism, and Jewish rabbis are the Cabala's greatest promoters.
[/TD]

[TD="width: 50%"] [/TD]
[TD="width: 50%"][/TD]



Ha ha ha kina Yericko wakiamka asubuhi watajiuliza tumepotea jukwaa nini?
 
Ninanukuu Fatwa ya kufunga Ramadhan mwezini:
"The National Fatwa Committee had given some leeway to the astronaut to perform his religious obligations in space.
and the times for beginning and ending the fast should follow the local time in Baikonur, where the launch will take place in Russia".
Naona umechanganyikiwa sana..hukutegemea kuwa umeingia ktk kitu usichokijua ndio maana uliamini kirahisi huo ujinga ukadhani ni kweli.

Nimekuambia Fatwa zinatolewa kwa jambo lihitajilo maamuzi ya wanazuoni wa kiislam wakati waumini hawajui wafanye nini.....na si vitu vya wazi ktk vitabu vya kiislam..km nguzo za kiislam.SO hapa ni tafsiri za watu ambazo zinaweza kuwa wrong ,na hapa ni big time wrong ila kwa haraka zao za kuu boost uislam na makafir kutaka kula hela wakawadanganya wakapitisha fatwa.Wapo watu wamekula hela za bure kwa kuwapa waislam explaination kuwa theory ya evolution ipo ktk Quran.Kwa kudai mtu aliumbwa ktk tone la damu..... Wakati researchers wa Kikristu wakakataa kabisa na baadaye evolution imekuja thibitika ina mapungufu sana, na kwa kiasi kikubwa ni dini ktk sayansi zaidi ya sayansi ,kwani kila kitu ni imani zaidi ya sayansi.Pia Eveolution ni msingi mkuu wa kumkataa Mungu.

Pole sana, hata osama alikuwa na fatwa zake..nasikia hata bongo wamezipiga sana huku ma ulamaa wakitofautiana....usiogope wewe si wa kwanza ku dive ktk pool yenye kuta za buluu bila maji.

Hapana !umechanganya Uislamu na Uyahudi!

Ni dini ya kiyahudi ndiyo inayofundisha uchawi, usomaji nyota na ushirikina. nikinukuu:
Kabbalism is a system of Jewish mysticism and magic and is the foundational element in modern witchcraft. Virtually all of the great witches and sorcerers of this century were Kabbalists - William J. Schonoebelen (The Dark Side Of Freemasonry).
The Cabala is not new. It's been around for centuries. The Cabala is actually ancient magic. It is an exotic blend of devilish, sometimes fanciful, New Age mystical practices topped by a philosophical bent of Jewish supremacism. Orthodox Judaism, or phariseeism, is rife with cabalism, and Jewish rabbis are the Cabala's greatest promoters.
Kwa kiasi kikubwa huu ni umbea....Suleiman na hekima zake alimuudhi mwenyezi mungu alipooa wanawake wa mashariki na kukaribisha miungu yao..mashariki walitoka jamii za kiarabu zilizokuwa na upagani na walifuga majinn....hadi leo wasoma nyota na wachawi wa kiislam..waote wana attribute haya ktk nyumba ya solomoni.Ibrahimu aliondoka ktk nchi ya wazazi wake ambao walikuwa wapagani....Al kaabar wapagani walitoa sadaka miaka mingi sana kabla waislam hawajaigeuza kuwa madhabahu ya makondoo,huku mujahidina wakichinjana kila mara(kwako utadhania ni vita tuu ila ni shetani yule yule anafanya hivyo haki yake ipatikane) huku mkipumbazwa kuwa ni hila na fitna za Marekani.Marekani ni taifa lenye mika chini ya 300,wakati waislam wameivuruga al kaaba kwa karne kadhaa tangu enzi ya muhamad...siku zote mtashuhudia watu wakikimbilia kumwaga damu na kujisifu kuwa nchi ilikuwa bwawa la damu.But kinachosimama ktk yenu si roho sahihi ya kuponya wengine.

Wayahudi walipotoka kila mara na kuadhibiwa na Mungu hadi wajirudi na kumlilia Mungu.Ila pamoja na miaka yao mingi ktk kundi lenye dini, hawajawahi uwa watu wengi km waislam walivyouwana na kuua wengine ktk historia.Leo hii waislam bila sababu za msingi wanawahi kumwaga damu kwa jina la dini yao.

Ha ha ha kina Yericko wakiamka asubuhi watajiuliza tumepotea jukwaa nini?


Kumbe ndio unaona sasa hivi kuwa hili jukwaa halistahili kuwa la kidini....naomba basi ufanye hivyo.
 
Back
Top Bottom