Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

maswali ya kijinga km ya Kinana ktk mikutano ya CCM huwa nimekuambia siwezi jibu km utakavyo.Andika unachotaka kijadiiwe na si maswali ya loosers....

Fanya jitihada kidogo, u mfinyu sana. Kwa kukujuza tu, huyo ni Nelson. Sasa rudia jibu lako.
 
Nicholas said:
Naona umechanganyikiwa sana..hukutegemea kuwa umeingia ktk kitu usichokijua ndio maana uliamini kirahisi huo ujinga ukadhani ni kweli.

Nimekuambia Fatwa zinatolewa kwa jambo lihitajilo maamuzi ya wanazuoni wa kiislam wakati waumini hawajui wafanye nini.....na si vitu vya wazi ktk vitabu vya kiislam..km nguzo za kiislam.SO hapa ni tafsiri za watu ambazo zinaweza kuwa wrong ,na hapa ni big time wrong ila kwa haraka zao za kuu boost uislam na makafir kutaka kula hela wakawadanganya wakapitisha fatwa.
Kwa hiyo elezea wapi ni wrong katika Fatwa niliyoinukuu.
NIcholas said:
Wapo watu wamekula hela za bure kwa kuwapa waislam explaination kuwa theory ya evolution ipo ktk Quran.Kwa kudai mtu aliumbwa ktk tone la damu..... Wakati researchers wa Kikristu wakakataa kabisa na baadaye evolution imekuja thibitika ina mapungufu sana, na kwa kiasi kikubwa ni dini ktk sayansi zaidi ya sayansi ,kwani kila kitu ni imani zaidi ya sayansi.Pia Eveolution ni msingi mkuu wa kumkataa Mungu.
Umesema watu ina maana anaweza kuwa yoyote yule Myahudi, Mkristo, Rastafarian n.k
Ni Muislamu gani anayekubaliana na evolution kiasi cha kuwadanganya watu kuwa ipo katika Quran? nifahamishe.
Nicholas said:
Pole sana, hata osama alikuwa na fatwa zake..nasikia hata bongo wamezipiga sana huku ma ulamaa wakitofautiana....usiogope wewe si wa kwanza ku dive ktk pool yenye kuta za buluu bila maji.
Usidanganye watu!
Osama hajawahi kutoa Fatwa wala kudai yeye ni Mufti! na alifahamika hivyo, zaidi alijulikana (kutokana na baadhi) kama Mujahid na si Mufti!
Wengine walimuona ni Mujahid katika Jihad ya kwanza dhidi ya Soviet ila alichokuja kufanya baadae ni kujikwaa na kwenda kinyume na Jihad

Tafsiri na ufahamu wake wa Fatwa za Ulamaa kama Ibn Taymiyah ndizo zilizokuwa zikileta utofauti wake wa kimawazo na Ulamaa lakini hakuwa akitoa Fatwa.
Nicholas said:
Kwa kiasi kikubwa huu ni umbea....Suleiman na hekima zake alimuudhi mwenyezi mungu alipooa wanawake wa mashariki na kukaribisha miungu yao..mashariki walitoka jamii za kiarabu zilizokuwa na upagani na walifuga majinn....hadi leo wasoma nyota na wachawi wa kiislam..waote wana attribute haya ktk nyumba ya solomoni.
Nilikueleza huko nyuma kuwa unachanganya Uyahudi na Uislamu, Uislamu unakataza unayosema (uchawi na usomaji nyota) na mtu anayeyafanya huwa ametoka katika Uislamu:

Quran 2:102. Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua"

Wakati Mayahudi wa Kabbalah wanafundishwa uchawi nikinukuu:
Kabbalah: The sacred books of black magic of Orthodox Judaism which form a large part of the basis of the western secret societies, from Rosicrucianism to Freemasonry and the OTO. Kabbalism is itself derived from the sorcery of ancient Babylon and...Pharaoic Egypt".-Craig Heimbichner , Blood On The Altar.
Nicholas said:
huku mujahidina wakichinjana kila mara(kwako utadhania ni vita tuu ila ni shetani yule yule anafanya hivyo haki yake ipatikane) huku mkipumbazwa kuwa ni hila na fitna za Marekani.Marekani ni taifa lenye mika chini ya 300,wakati waislam wameivuruga al kaaba kwa karne kadhaa tangu enzi ya muhamad...siku zote mtashuhudia watu wakikimbilia kumwaga damu na kujisifu kuwa nchi ilikuwa bwawa la damu.But kinachosimama ktk yenu si roho sahihi ya kuponya wengine.

Wayahudi walipotoka kila mara na kuadhibiwa na Mungu hadi wajirudi na kumlilia Mungu.Ila pamoja na miaka yao mingi ktk kundi lenye dini, hawajawahi uwa watu wengi km waislam walivyouwana na kuua wengine ktk historia.Leo hii waislam bila sababu za msingi wanawahi kumwaga damu kwa jina la dini yao.
Karibu kila penye umwagaji damu duniani utakuta kuna mkono wa Mayahudi:

Umwagaji damu uliomwagika Sudan mpaka kupeleka Sudan ya Kusini kujitenga ni mkono wa Mayahudi. Kwa Mayahudi "great Israel" inaanzia Nile na kuishia Euphrates" hivyo nchi zote zilizo ndani ya Nile na Euphrates ni mali ya Mayahudi.

Kwao wao njia ya kuzipata hizi nchi ni kuwa wakati sasa hivi hawana uwezo wa kivita kuzichukua basi wanaanza kuzisambaratisha ili kuzivunja nguvu ili baadae waje kuzichukua kiurahisi, huo ni mkakati uliotumika kwa makusudi kuigawa Sudan kunakoanzia Nile.
Iraq kwenye Euphrates nayo ni mkakati uleule.

..iliyokuwa inafuatia ni Misri mabadiliko yametokea kidogo baada ya kungolewa Mubarak.

Yanayotokea Afghanistan,Pakistani, Yemen, Syria nako kuna mkono wa Mayahudi ili kupunguza idadi ya Waislamu ambao kihesabu zinaonyesha kuwa ki wastani vijana ni wengi zaidi kuliko wazee, hivyo Mayahudi wanapiga hesabu kwa miaka kadhaa vijana hawa wa baadae ikitokea 5% yao watafuata mrengo wa kina Osama basi Mayahudi hawataweza kujilinda.
Ndio maana WANAPUNGUZWA sasa hivi huko Afghanistan,Pakistan,Yemen na Syria. Nitakultea ushahidi kutoka kwa Profesa wa Kiyahudi.
 
Kwa hiyo elezea wapi ni wrong katika Fatwa niliyoinukuu.Umesema watu ina maana anaweza kuwa yoyote yule Myahudi, Mkristo, Rastafarian n.k

Nikurahisishie...ni kwamba dhana ya kutumia Fatwa yenyewe ni makosa.Ni maamuzi tuu ya walio hai leo.Ila si kitu kilicho wazi ktk uislam kwa muislam wa mwanzo,wa sasa na ajaye.Hiyo ya watu ni wendawazimu wako.
Ni Muislamu gani anayekubaliana na evolution kiasi cha kuwadanganya watu kuwa ipo katika Quran? nifahamishe.Usidanganye watu!
Osama hajawahi kutoa Fatwa wala kudai yeye ni Mufti! na alifahamika hivyo, zaidi alijulikana (kutokana na baadhi) kama Mujahid na si Mufti!
Wengine walimuona ni Mujahid katika Jihad ya kwanza dhidi ya Soviet ila alichokuja kufanya baadae ni kujikwaa na kwenda kinyume na Jihad
Teh teh umeamua hamia ktk "uongo mtakataifu" kusitiri dini?Osama katoa fatwa nyingi tuu,kuanzia kushambulia israel, kushambulia US, kushambulia raia ,watoto na wanawake na mamabo yakafanyika...na alikulikana kama sheikh...sasa km wewe unakataa tuthibitishie kwanii sasa amri yake ilipata mwitikio mkuu?N aalikufa shujaa hata kwako wewe.

Tatizo lenu kila mnarukia km mnavyorukia vyama mara CUF,mara CCM mara uhuru..huku mkiruhusiwa kudanganya kwa maslahi ya dini"uongo mtakatifu"....eveolution ipo very core ktk vitabu vya wanapropaganda za kiislam.
Tafsiri na ufahamu wake wa Fatwa za Ulamaa kama Ibn Taymiyah ndizo zilizokuwa zikileta utofauti wake wa kimawazo na Ulamaa lakini hakuwa akitoa Fatwa.Nilikueleza huko nyuma kuwa unachanganya Uyahudi na Uislamu, Uislamu unakataza unayosema (uchawi na usomaji nyota) na mtu anayeyafanya huwa ametoka katika Uislamu:

Quran 2:102. Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua"

Hakuna cha kukusaidia hapa hizi ni junks na uongo mtupu.
Wakati Mayahudi wa Kabbalah wanafundishwa uchawi nikinukuu:
Kabbalah: The sacred books of black magic of Orthodox Judaism which form a large part of the basis of the western secret societies, from Rosicrucianism to Freemasonry and the OTO. Kabbalism is itself derived from the sorcery of ancient Babylon and...Pharaoic Egypt".-Craig Heimbichner , Blood On The Altar.Karibu kila penye umwagaji damu duniani utakuta kuna mkono wa Mayahudi:
Umbea mwingine judaism haiwezi kuwa basis ya uchawi ...halafu uislam na ukristu ukawa sio.Ila Uislam unaweza kuwa na wengine wasiwe kwani uislam ulichukua vitu vingi hata kwa upotoshaji ktk dini za mwanzo+jumlisha mambo ya kipagania ya waarabu ambao atayari walishaishi na majinn miaka mingi sana.Na walishafikia kuzaa nayo.

Umwagaji damu uliomwagika Sudan mpaka kupeleka Sudan ya Kusini kujitenga ni mkono wa Mayahudi. Kwa Mayahudi "great Israel" inaanzia Nile na kuishia Euphrates" hivyo nchi zote zilizo ndani ya Nile na Euphrates ni mali ya Mayahudi.
wazo lako lina shida mbili:
1.km eneo lote ni la wayahudi kwanini sasa waislam mnataka waondoa ktk nchi yao?
2. Tofauti za waislam wenyewe washia na wasunni na kupend akwao vita tuu kumemwaga sana damu ktk jamii ya kiislam kuliko hata mapigani an makafir.Uislam una vita na kila kitu na kila dini..wahindu, wakristu, wabudha..hadi sasa duniani.
Kwao wao njia ya kuzipata hizi nchi ni kuwa wakati sasa hivi hawana uwezo wa kivita kuzichukua basi wanaanza kuzisambaratisha ili kuzivunja nguvu ili baadae waje kuzichukua kiurahisi, huo ni mkakati uliotumika kwa makusudi kuigawa Sudan kunakoanzia Nile.
Iraq kwenye Euphrates nayo ni mkakati uleule.

..iliyokuwa inafuatia ni Misri mabadiliko yametokea kidogo baada ya kungolewa Mubarak.
Israel wanafight for survival tuu na si kingine....quran imeandika aya kibao za kuua wayanahudi hat wale waliojificha nyuma ya jiwe na miti mawe na maiti yataoangea na kusema kuna myahudi kajificha hapa.Quran inasema muue mkristu na myahudi popote umkutapo..sasa iweje tena usema mnachokozwa nyie wakati dini inawaambia muwashambulie mkiwakuta?
Yanayotokea Afghanistan,Pakistani, Yemen, Syria nako kuna mkono wa Mayahudi ili kupunguza idadi ya Waislamu ambao kihesabu zinaonyesha kuwa ki wastani vijana ni wengi zaidi kuliko wazee, hivyo Mayahudi wanapiga hesabu kwa miaka kadhaa vijana hawa wa baadae ikitokea 5% yao watafuata mrengo wa kina Osama basi Mayahudi hawataweza kujilinda.
Ndio maana WANAPUNGUZWA sasa hivi huko Afghanistan,Pakistan,Yemen na Syria. Nitakultea ushahidi kutoka kwa Profesa wa Kiyahudi.
uongo matakatfu na sasabu za kijinga ni kawaida yenu na tunu zenu.....nimekwambia hizo ni hilla za majinn ili yaendelee kuwnywa damu.Hapa shida ni maagano yenu na si wayahudi....sababu za vita na kushindwa kwa waislam duniani zimekuwa tk kufanyiwa hila kila mahali.Hapa kwetu wametumia kisisngizo cha myahudi, baadaye "Mfumo Kristu na Vatican".

Kwa taarifa yako wayahudi km ni kuwaua waislam hawashindwi kuna millions of ways na hivyo si tishio....waislama wameamua jiachia ktk kuzaa ili wazidi makafir, hata hapa kwetu wamekuwa hadi wanapitishana ktk mitihani na makazini..

Ila pia hujajua jinsi gania uzao wa "binamu nyama ya hamu" ulivyo ineefficient na unaongeza uwezekano ulemavu wa ubongo na mwili..Tafiti zimeonyesha vifo vya utotoni ktk uislam ni vingi sana pamoja na kwamba wanazaana sana.

Pia waislam wanaoondoka ni wengie kuliko waislam wanavyodhani,na hata idadi ya watu wanaosilimu na muda mfupi kuondoka ni wengi sana.Na hili si tishio kwa myahudi km matendo na mafunisho ya waislam.

Pengine wakati wakati tunaachana na hii habari ya dini ..Naomba niambie "majinn" yanayokula damu na mavi....vinapatika wapi hivi ktk dunia ya kiislam?viumbe ambao ni very crucial ktk uislam hadi wakapewa aya yao.Angalizo:Qurani haisemi kuwa majinn mazuri yanakula kiu tofauti na manayoyaita mabaya, kwa hiyo sitegemei jibu la kuchekesha.
 
Nicholas,
Mazungumzo yanapendeza yapoongozwa
na kutawaliwa na staha.

Mie naona staha haipo ndiyo naona bora
nijitoe.

Wewe huna chochote..staha gani unataka hapa?tukufagilie n akukudekeza?wewe kimbia tuu si maswali kibao umeskip..

Sasa unaskip ukitegemea nini hapa ktk kutetea hoja zako?km hujibu maswali si useme tuu kuwa umeshindwa uingie stage ingine ya kuwajibika kwa uchochoezi wako.
 
Kumbe tulikuwa tunazungushana tu hapa tumeona sasa kwenye huu uzi ni vita baina ya waislam na wakirsto.

Hakuna tena uchochezi wa Mohamed Saidi wala historia ya uhuru uzi umegeuka jukwaa la dini.

Hakuna tena kufyonza Ilm ni kufyonza kashfa za kidini.

Acha wehu...."Tangu mwanzo Uchochezi huu upo wazi una base ktk "uislam ,siasa, ukombozi wa taifa,".Idea nzima ya MS ni uislam kudhulumiwa ktk historia na siasa za nchi hii.

Ingawa humu ndani tumejitahidi sana warudisha jihadist ktk thread "uislam na siasa za Tanzania na maendeleo ya nchi" zaidi ya kuongelea dini yao.Ila wamejitahidi sana kutaka leta mambo ya kutaka kuza dini zaidi ya kuthibitisha wanchodai...MFUMO KRISTU.
 
Kumbe tulikuwa tunazungushana tu hapa tumeona sasa kwenye huu uzi ni vita baina ya waislam na wakirsto.

Hakuna tena uchochezi wa Mohamed Saidi wala historia ya uhuru uzi umegeuka jukwaa la dini.

Hakuna tena kufyonza Ilm ni kufyonza kashfa za kidini.

Spike Lee,

Utaona nikiweka mabandiko ya kueleza matokeo ya maana sana
katika historia panakuwa baridi sana wanaogopa hata kuuliza vitu
ambavyo vingeweza kutoa picha zaidi.

Mathalan ninaposema Abdu Sykes na Chief Kidaha walipata kuzungumza
kuhusu TANU 1950 kabla hata Abdu hajasikia jina la Nyerere kwa mtu wa
kawaida ungetegemwea yaje maswali kama haya mfano kwa nini Abdu na
Kidaha walizungumza habari ya TANU.

Au swali liulizwe wapi mazungumzo yalifanyika.
Kidaha alikuwa na nguvu gani katika siasa za Tanganyika nk.

Wapi!
Kimya akinyanyua kalamu mtu kusema ni ujuvi mtupu.

Anakuambia uache wehu.
Hapo ndipo mnakasha ulipofika.
Ustaarabu uko wapi?!
 
Au swali liulizwe wapi mazungumzo yalifanyika. Kidaha alikuwa na nguvu gani
katika siasa za Tanganyika nk.

Wapi!
Kimya akinyanyua kalamu mtu kusema ni ujuvi mtupu.

Anakuambia uache wehu.
Hapo ndipo mnakasha ulipofika.
Ustaarabu uko wapi?!

Tatizo unakwepa hoja na kupenda ngano,
 
Jasusi,
Katika maziko ya Ally Sykes kabla hatujafanya salat janaiz yaani kumswalia maiti niliombwa
na familia niseme kitu kuhusu Ally Sykes.

Niliomba nyaraka zake familia wazihifadhi kwa kuwa mimi nimezisoma na ni hazina katika
historia ya uhuru wa Tanganyika.

Jasusi
Nataka nikudokeze kitu.

Kuna barua ya mkono kutoka kwa Chief Marealle kwenda kwa Ally Sykes Marealle akimzungumza
Nyerere kwa Ally Sykes...

Very interesting reading...

Marealle anamtikadi Nyerere kuwa ni rafiki ya Ally Sykes...kisha akamwambia Ally asubiri uhuru
upatikane...

Wakati ule Nyerere, Ally Sykes na wazalendo wengine hawawivi na wakoloni.

Watafiti wakatapokuja kumuandika Chief Thomas Marealle watakuja labda na mambo tusiyoyajua.

Sheikh Mohammed,

Salaam Al Akhiy. Niwie radhi niliadimika kiduchu,W'end yoote tulikua kijijini ndo tumerejea asubuhi hii. Bakhti njema leo nafanzia kibarua/shughuli zangu hapahapa nyumbani,kwa hiyo tapata wasaa wa kuchungulia haya mauzauza ya hapa jamvini.

Khabar za Chief Marealle si siri kubwa saana. Mimi binafsi na Mzee wangu tunajuana nao na kuheshimiana nao kwa kiundani.

Nisingependa kunena mengi kwa sasa,lakini hata Marehemu Kibo na Alfred ambao ni marafiki zangu wa karibu,nilikua nikiwaambia na kuwatania kila mara...majibu yao yalikua ni kucheka tu!?

Sasa anapokuja kiwavi Yericko,mchovu wa fikra kutaka kutufanzia makhanatha ya Historia ndo inalazim tumnyamazie na kumuhurumia.

Unajua tatizo la baadhi ya hawa jamaa zetu hapa jamvini,watu wengi wanaojaribu kuwazungumzia au wao kuona ndio watu wa maana saana na ambao wao huwasikia tu kwenye radio na kuwasoma vitabuni,sisi tunawajua na kuwafahamu kiundani kuliko vile wao wanavyofikiri.

Nipa fursa kiduchu niendelee kupitia haya matusi walioachiwa Waislamu hapa jamvini.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Spike Lee,

Utaona nikiweka mabandiko ya kueleza matokeo ya maana sana
katika historia panakuwa baridi sana wanaogopa hata kuuliza vitu
ambavyo vingeweza kutoa picha zaidi.

Mathalan ninaposema Abdu Sykes na Chief Kidaha walipata kuzungumza
kuhusu TANU 1950 kabla hata Abdu hajasikia jina la Nyerere kwa mtu wa
kawaida ungetegemwea yaje maswali kama haya mfano kwa nini Abdu na
Kidaha walizungumza habari ya TANU.

Au swali liulizwe wapi mazungumzo yalifanyika.
Kidaha alikuwa na nguvu gani katika siasa za Tanganyika nk.

Wapi!
Kimya akinyanyua kalamu mtu kusema ni ujuvi mtupu.

Anakuambia uache wehu.
Hapo ndipo mnakasha ulipofika.
Ustaarabu uko wapi?!

Sheikh Mohammed,

Man cannot remake himself without suffering...for he is both the marble and the sculptor.

Al Akhiy you have been sculpting for a while now,the results are both painful and refreshing at the same time.

"The radical of one century is the conservative of the next. The radical invents the views. When he has worn them out,the conservatives adopts them".-Notebook,1898 by M. Twain.

Insha Allah may Allah increase rewards and Sabra upon all your undertakings....Inna Allah maas'birina.

Ahsanta.
 
Kumbe tulikuwa tunazungushana tu hapa tumeona sasa kwenye huu uzi ni vita baina ya waislam na wakirsto.

Hakuna tena uchochezi wa Mohamed Saidi wala historia ya uhuru uzi umegeuka jukwaa la dini.

Hakuna tena kufyonza Ilm ni kufyonza kashfa za kidini.

Spike Lee,

Salaam Al Akhiy.

Hayo yoote usemayo,mimi niliyaona na kunena tangia bayana yangu ya mwanzo hapa jamvini.

Pia naliwahi kumshauri hata Sheikh Mohammed yakuwa tuondoke hapa jamvini ili kufungua Thread nyingine na kuendeleza darsa,sababu huyo Yericko na wenzie tayari umeshawapa publicity kubwa mno.

Lakini wakti huo nilikua mgeni kiduchu humu Jf,hivi karibuni ndo nakuja tanabahi tena ndugu yetu Zomba maskini ndo alosema, yakuwa kumbe Sheikh Mohammed mara kadhaa akitaka kufungua Thread/s hapa Jf,hao kina Mods huwa ghafula wanaifunga!?

Ndio maana pana mwanajamvi fulani aliwahi pita hapa siku moja akatuonya na kutukemea,yakuwa Waislamu acheni kujisumbua na hao watu hiyo sio Jamii Forum bali ni Christian Forum!?ahaha!!

Haina neno,sisi wengine haya majambo tushayazoea miaka mingi mno.

Tuendelee na mauzauza na upuuzi/"mnakasha".

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Nicholas,
Mazungumzo yanapendeza yapoongozwa
na kutawaliwa na staha.

Mie naona staha haipo ndiyo naona bora
nijitoe.

Mohamed Said,

Ukijitoa kwa sababu ya uwepo wa watu wanaostahiki kupuuzwa kwa kweli utakuwa haututendei haki sisi wenye kuipigia magoti hii ilmu,
Kumbuka kwamba wengine tunanufaika nayo si kwa upekee wetu tu,hata na kwa jamaa zetu twawahabarisha pia,

Tafadhwali tafadhwali,

Ombi letu kwako ni ilmu,chonde chonde...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!
Msafiri muda wake unaisha pale atakapomaliza safari yake! Hakuwekewa muda maalum ukiachilia rai za ulamaa wanaoweka mwisho siku 3 na wengine 19 (lakini hizo ni rai tu).

Sasa hilo la msafiri aliyekwenda mwezini kuwa swala zake zitakuwa 366x2x5 umelitoa wapi?

Sideeq,

"Yaa Ibn Sideeq...Rabeek Ibn Rabeek"!

Tafadhali nakusihi mno Al Akhiy...mwache huyo mtu ni dhaifu wa mengi.

Hii ni Mission na Crussade kubwa mno ilopangwa na wengi,yeye hapa ni kama kinara tu wa kuwafurahisha wenzie walio pembeni.

Yapo mengi mno ya kumjibu/kuwajibu,lakini itakua tumeingia kwenye mtego wao, nasi kujumuika katika shughuli za kuwatusi na kuwakejeli ndugu zetu wengi wa Kikristo ambao tumeishi/tunaishi nao kwa staha na hishma nyingi tena kwa miaka kadhaa.

Hayo masuala ya malumbano ya kidini mwachie yeye/wao wenyewe.

Ni vizuri anavyofanza hivi nami nitamsihi huyo Nicholas aendelee tu hivi hivi hapa jamvini. Their true colour is shining now and this exonerate our Brother Sheikh Mohammed from all their malicious silly allegations.

Natumai umenifahamu kwa japo kiduchu.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Wakuu Nicholas na Sadeeq

Ninawaomba msitoke nje ya mada,

Tutulie kwenye Historia ya Tanganyika na mapito yake,

Tukiingiza mijadala ya dini itatutoa uwepo wetu hapa!

Tuendelee ndugu zangu!
 
Hapo mkuu umejibu kisomi na kwa hekima ya juu sana!

Nilikuwa nalitazamia sana jibu lako kwenye swali hili!

Hahaa thank you Sir!

I respect you!

Salute sana!

Nadhani hili tuliache kama lilivyo na mimi sitafuta nilichoandika kule nyuma,

Ila wenye vichwa maji wanaendelea kuweweseka!

Nashauri kama siku mtu atatokea kuandika historia ya Chifu Marealle bila shaka akiacha kisa cha makutano ya 1958 ya pale Mzumbe na Gavana Twiing atakuwa hajaitendea haki historia hiyo,

Lakini kisa hicho hakiishii hapa tu bali kiende mpaka viwanja vya UNO nchini Marekani na kutua mikononi mwa Julius Nyerere na Safari ya kurudi huku wakicheka pamoja ni muhimu kuwepo katika historia hiyo!

Watu watashangaa, hata Mohamed Said atashangaa, lakini ndivyo ilivyo!

Hadithi ni ndefu, inatupeleka mpaka mtaji wa ufunguzi wa benki ya makabwela (NBC)

Mungu mrehemu Mwalimu Nyerere huko aliko!

Where do you get your "facts" from!?...this is distortion of Historical facts,the most diabolical conspiracy of all time!
 
Back
Top Bottom