Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kadogoo,
Dhana kwamba kuna watu waliliwa na simba kwenye vijiji vya ujamaa ni uwongo mtupu. Na kama watu walikula yanga si ni heri kuliko kufa njaa kama ilivyotokea Ethiopia?


Mzee Jasusi,

Niwie radhi kuingilia majadiano yenu kiduchu na nduguyo Kadogoo.

Lakini roho imenuma nimeshindwa kustahamili,kwanini unataka kupotosha ukweli kwasababu tu ya mahaba yako ya upofu kwa Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa"

Mimi binafsi nazijua Family 8,zilizoliwa na simba wakti ule wa ile Social experiment/Sera ya "Vijiji vya Ujamaa" ya Nyerere.

Njia ya kwenda Mtwara/Lindi...pale njia panda ya Nangurukuru nafikiri pana kijiji kinaitwa Sinza,mbele kiduchu kuna kingine kinaitwa Miteja Sinza. Unaingia ndani kama maili sita hivi kuna kijiji kingine kinaitwa kwa Songoro.

Hapo kuna watu/wanakijiji wanne walidhuriwa na kuuwawa na simba. Mmojawapo ya watu waliouliwa na simba katika hicho "kijiji kipya" ni Mke wa Sheikh/Imam wa msikiti Marehemu Mzee Mwinchande Saleh,akiitwa Bibi Mame Koroboi.

Barabra kuu ya kwenda Tanga/Arusha pale Mkata...ukiingia ndani kama unaelekea Handeni pana kijiji cha KwaChaga...ingia ndani kama maili kumi utafika KwaNkonje.

Huko kwenye "kijiji kipya" cha Nyerere nako pia walikufa watu kadhaa kwa kutafunwa au kujeruhiwa na simba.

Kati ya watu maarufu waliokufa/kuliwa na simba alikuwapo pia Mchawi/Mtabibu mkuu wa kijiji wakti huo Marehemu Fundi Idd Khatib Kihongwe na Msaidizi wake John Mwinyikheir.

Kuna mengi mno kuhusu Wananchi kuliwa na Simba kutokana na ile sera mbovu ya Nyerere ya "Vijiji vya Ujamaa".

Alipoamrisha na kulazimisha
kuwahamisha Watu/Wananchi kinguvu bila ya ridhaa zao, kutoka kwenye vijiji vyao vya asili na kuwatokomeza kwenye misitu/mbuga,kabla hata hakujawa na huduma zozote/yoyote muhimu inayostahili ili Mwana-Adam kuwezaishi!?

Wananchi wengi walilazimishwa kuacha mali zao,nyumba,makaburi na mashamba yao ya asili nyuma,huku hawajui wendako ni wapi na watakuta nini!?

Inasemekana kuna baadhi ya Wananachi walijinyonga na kupoteza maisha kwa hasira zao na kutojua la kufanza!? Hili sina hakika nalo,lakini nimepata kulisikia mara kadhaa.


Niwie radhi kwa huo uchechefu wangu kiduchu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz,Kadogoo
 
Ritz,
Sijameza hizo ngano za Chifu Marealle. Nimehoji.
 
Wewe Yericko,mtoto wa nje ya ndoa/mwanaharamu unaweza vipi kunifunza mimi adabu!?

Wewe ndo ujifunze lugha njema unapozungumza na wenzio! Ok!?

Tafadhali usirudie tena kunambia niwe na adabu...hilo kwenye mila na dasturi zangu ni tusi zito mno!


Umemaliza,
Hujabakisha hata mazide..
Nakufautilia kwa utuvu mno,,,
 


Ufunguo,

At first I thought it was funny,then I realised the awful truth of your poison.

Your post well noted Sir,but your assumptions not appreciated.

I'm afraid most of the issues you mentioned already been discussed here...done and dusted!

Most of your opinion gets taken without Historical context. Where do you get your facts!?

Muslims are not playing victims,cause they are those people.

You lie and distort facts through half information and buzz words to make think that you know it all.

Positive criticism is not hatred and should not be seen as such,it is only through debates and counter-debates that we can contribute to improve things.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz,The Big Show
 

Gombesugu,
Nimekusikia ndugu yangu. Lakini niongeze kiduchu tu. Siyo sisi ndugu zake tuliyoitupa TANU na CCM iliyoanzishwa naye. Kama unakumbuka hata yeye aliwahi kusema kuwa CCM si mama yake. Waliomwangusha Nyerere ni hawa viongozi wa sasa wa CCM ambao wanaona kujilimbikizia mali ni tija na kusahau misingi ya umoja na mshikamano wa wafanyikazi na wakulima wa Tanzania ambao leo CCM inawageuza kuwa watwana wa wawekezaji na waporaji wa mali zetu. Ningesema mengi lakini kwa sasa hayo yanatosha kabisa. Angalia yanayotokea Mtwara.
 
Uzuri mmoja ni kuwa vijiji hivi vya Mwalimu bado vipo na vingine ni miji midogo sasa. Huduma mbalimbali za kijamii ziliwezekana kujengwa na kutolewa kwa sababu ya vijiji hivi. Baadhi yetu tuliweza kukamatwa na kupelekwa shule kwa sababu ya kuibuliwa na vijiji hivi. Hebu fikiria kama ungenikosa humu JF!


Umoja na UTANZANIA ulijengwa na vijiji hivi. Sera hii ya vijiji na utekelezaji wake usingekosa wahanga wake nchi nzima. Kufanya mapenzi tu watu wanaumia, wanakufa. Itakuwa kujenga vijiji?


Mnaweza kumchukia Mwalimu mnavyotaka. Ametawala nchi hii muda mrefu sana. Asingekosa maadui.
 


Mzee Jasusi,

Nashukuru,lakini imenilazim kucheka kiduchu maana naona shutuma zimekua nzito kiduchu!ahaha!!

Basi naomba tumalizie haya "mazungumzo yetu" siku nyingine ndugu yangu,na labda pia tumualike ndugu yetu JokaKuu ili awe "Referee wetu"!?ahaha!!

Nimefurahi tumezungumza japo kiduchu ndugu yangu.

Ahsanta.

Cc;JokaKuu
 

:clap2: Al Habiby gombesugu,

The habit of "faultfinding" blinds us of all the goodness of others and gets to a stage where fault is found even where it does not exist.
 
Last edited by a moderator:



Yericko,

So sad to hear all your fables and fairytales,especially when you always try so bloody hard to link them with Sheikh Mohammed.

Yericko,you are a plague in our society. People need to woken up and confront your lies and keep distance from your poison.

Infact,you are in league with the Devil,who is cursed forever!

You started this shit not Sheikh Mohammed,this is your own doing.

It's you and your Slave Nicholas,who are spreading Islamophobia,hatemongering and scapegoating Sheikh Mohammed.

By the way majority of peace loving Christians in Tanganyika/Tanzania don't consider you as their mouthpiece.

It's about time you realise and accept your place in our peaceful society.

Basically,I mean just shut up and get a life!

Cc;Ritz,The Big Show
 
Ritz,
Sijameza hizo ngano za Chifu Marealle. Nimehoji.

Jasusi,
Nimeandika kitabu ''Uamuzi wa Busara'' Abantu Publications (2007).

Katika kitabu hiki Yusuf Ngozi kazungumza kuhusu matatizo waliyopata
kutoka kwa machifu kule Kilimanjaro wakati wanaunda TANU pale Moshi
mwaka 1955.

Hawa machifu ni akina Marealle na Abdiel Shangali.

Abdu Sykes alihangaika sana na Chief Kidaha kujaribu kumvuta aje TAA
wamchague kuwa rais ikashindikana.

Ukweli ni kuwa machifu walichelewa kuiunga TANU mkono.

Baada ya uhuru kuna wengine Nyerere akawaweka kuzuizini kama Chief
Msabila Lugusha
, na yeye Chief Kidaha Makwaia.

Kuna machifu wengine Nyerere alikwendanao vyema kama Chief Amri Dodo.
 
WildCard,

Hakuna anayemchukia Nyeyere tunaeleza tu mapungufu yeke hata mwenyewe anakiri msome hapa chini.
 
Wanajamvi,

Tunaweza kuwa kama tunarudi nyuma lakini nivema kufanya hivyo ili kuwafunza wengi wanaoufuatilia mjadala huu!

Tuiangaze kwa kifupi Zanzibar!

Historia ya Zanzabar!

Historia inajionesha ya kwamba kiasi cha miaka 20,000 kumekuwepo makazi ya bidadamu katika visiwa vya Zanzibar.

Visiwa hivi ni sehemu ya kumbukumbu ya kihistoria ya dunia wakati Waajemi wafanyabiashara waliigundua na kufanya ndio makao makuu kwa safari kati ya Mashariki ya Kati, India, na Afrika.

Katika karne ya mwanzo AD Zanzibar pamoja na mwambao wa Afrika ya Mashariki ulikua katika ufalme wa Saba, katika kipindi cha karne ya 3 na 4AD, Wabantu walianza biashara na Waarabu waliokuja Afrika ya Mashariki.

Katika karne ya 7 AD,waarabu walikuja Zanzibar kibiashara pia kusambaza Dini ya KIISLAM, Waarabu ndio waliyoipa jina ZANZIBAR kutokana na neno la Kiarabu ZINJI BAR yaani sehemu ya watu weusi.

Lugha ya kiswahili imeanza kutumika kiasi cha karne ya 13 AD,Lugha ya kiswahili ilitokana na kuchanganyika lugha ya kiarabu na lugha za kiafrika.

Karne ya 16 AD wareno walikuja Zanzibar lakini utawala wao ulifuatiwa na kutokuwepo utulivu,lakini biashara ya Utumwa iliwaweka watu pamoja.
Waarabu kutoka Oman walichukua utawala Zanzibar katika karne ya 17 AD,na Zanzibar ilikua ni makao makuu ya utawala wa Waomani.

1820-1870 Zanzibar ilifaidi matunda mazuri ya kiuchumi na maendeleo yaliyosababishwa na utawala wa kisultani na hivyo kupelekea Zanzibar kuwa na mwakilishi nchini USA na kupelekea kuenea kwa Dini ya wa kiislam.

Katika karne ya 19 AD Zanzibar ilikua chini ya utawala wa Oman, mwaka 1830 Zanzibar ilikua inaongoza kwa kilimo cha karafuu ,na hiyo kupelekea mahitaji ya watumwa kuongezeka kutumika katika kilimo. 1885 kamisheni kutoka Uengereza na Ujerumani iliamua kuigawa Zanzibar kutoka katika utawala wa Kisultani na ndio ulikua mwisho wa utawala wa kujitegemea kwa Zanzibar na mnamo mwaka 1886 sultani alikubali maridhiano hayo.

1890 Zanzibar ilikua chini ya utawala wa waingereza rasmi lakini uchaguzi wa mwanzo ulifanyika mwaka 1957,na miaka iliyofuata kukawepo fujo na machafuko kutoka kwa waafrika wanaodai uhuru dhidi ya utawala wa kiarabu.
Mwezi wa 12 mwaka 1963 Waingereza waliipa uhuru Zanzibar chini ya jumuiya ya madola,na mwezi wa pili mwaka 1964 Zanzibar ilifanya mapinduzi chini ya John Okello maariufu kama Mungu wa Afrika au Field Marshal kujikomboa kutoka katika utawala wa kisultani,muda mchache baadae yani mwezi wa nne iliungana na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA.


Sasa ndugu zangu tunaweza kuanza kuzama kuichambua Zanzibar na kufika kule kanisa lilipo nunua ardhi kutoka kwa Wakoloni na kuwapa wakaazi wa Zanzibar (weusi)
 
Wewe Yericko,mtoto wa nje ya ndoa/mwanaharamu unaweza vipi kunifunza mimi adabu!?

Wewe ndo ujifunze lugha njema unapozungumza na wenzio! Ok!?

Tafadhali usirudie tena kunambia niwe na adabu...hilo kwenye mila na dasturi zangu ni tusi zito mno!

Al Habiby gombesugu,

Huyo jamaa wala asikuumize kichwa hebu hapa chini msome mtoto wa kwanza wa Nyerere.
Yericko alisema Mwalimu Nyerere ni baba yake mzazi,mimi nimesema tu,that is news to me,sina taarifa. Mama yake mzazi ni nani?
Msome tena hapa chini.

CC, Jasusi, Mohamed Said,
 
Last edited by a moderator:

Sources of Information?
Ni marufuku kumeza ngano za nazi...

 

Nikweli Machifu walichelewa kujiunga na TANU na wengini walijaribu kupingana nayo waziwazi,

Lakini hili sio kosa lao, siasa za kichifu katika zama hizo zilikuwa mikononi mwa Edward Twaining,

Licha ya uchifu wao kuwa ni cheo cha juu cha kiafrika, lakini katika zama hizo paligeuka kuwa cheo hicho ni dhamana ya Muingereza!

Kuna tofauti kidogo na machifu wa karne ya 19 waliohudumu kipindi cha Mjerumani, hawa walipigana vita ya ukombozi wa kweli katika himaya zao wakitumia raslimali watu waliokuwa nao!
 
Al Habiby gombesugu,

Swadakta MashaAllah...If there are a few ways of looking at the words or actions of others, a true believer will always look at them in the most positive way.

Those who always look at them negatively, picking on the most negative possibilities, need urgent spiritual help & guidance to remedy their condition.

We are clearly taught to go as far as giving others the benefit of the doubt if any.
 
Last edited by a moderator:

Edward Twining.
 

Umeshikwa na kigugumizi cha ghafla. Ukweli ukidhihiri...
 

Hapo umeamua kuuona ukweli!
Yericko Nyerere, upoooooooooo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…