Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Labda tuwaite hawa ndio wanaelewana lugha na wewe, kahtaan. Nonda. Myanguneni. Ally Kombo. Gavana.
 
Last edited by a moderator:

Naaaaam naaaam mkuuu!

Umelifungua baraza kimang'amuzi ya nera!

Sasa hawa maamuma tunaweza kwenda nao hatua kwa hatua na kuwasomesha vema!

Ritz, GombeSugu na wenzio ninaomba jitulizeni hapa tuwape elimu na sio ilm yenu!
 


I dont know,
lakin kwa kuwa tuh Adrew kama mwanafamilia wa julius kakana katu katu kumfaham huyu mwana asie na baba basi nashawishika kusema kwamba huyu mdandia nasaba za watu ana case kubwa ya kujibu,
especially katika kutumia jina la watu kinyume na sheria pamoja na kulidhalilisha,
Ni wakati wa kumpuuza sasa kwa kila anachokisema.
 

Junks junks bogus.
 
Miezi 6 mmeshindwa kuonesha uchochezi.Tumebaki hapa tunazungushana na hoja zile zile.
Sasa wewe Nicholas nakushauri uwe na adabu unapozugumzia Uislamu.
Fatwa kama uliyoitaja hapo juu huwezi kujua kuwa kweli imetolewa na Osama,halafu waliosaini ni wale wale walio kwenye mkanda wa kimarekani.
Kumbuka uzushi na uonevu pamoja na uadui wa Amerika kwa waislamu ndio sumu utakaoliua taifa hilo.Hivyo unapoquote vitu kama hivyo angalia sana kuchunga heshima yako.
Elewa kuwa waislamu wengi hatushughulishwi tena na uzushi kama huo wala huu wa Yerico.
 
nicholas has nailed it.post yake ni epic and pure scientific.ninamashaka kama wewe na ritz mmemuelewa/mtamuelewa.lol

Kama wewe umemuelewa chizi basi na wewe ni chizi, kawaida wehu kwa wehu ndiyo wanaelewana.
 
Naaaaam naaaam mkuuu!

Umelifungua baraza kimang'amuzi ya nera!

Sasa hawa maamuma tunaweza kwenda nao hatua kwa hatua na kuwasomesha vema!

Ritz, GombeSugu na wenzio ninaomba jitulizeni hapa tuwape elimu na sio ilm yenu!

Yericko,

Achana na hizo junks bogus, eleza kina nani walipewa ardhi Zanzibar na Kanisa.
 
nicholas] Kwanza amani ya bwana iwe juu yako!
La pili nimesoma mistari kadhaa ambayo imenifanya nikuandikie huu ujumbe,
Unaonekana kuwa ni mtu mwenye jazba saaana juu ya imani yako, na hilo halikatazwi lakini ukivuka mipaka ukaanza kutoa kashfa hapo ndipo unachafua mazingira ya malumbao kabisaa na unatangasha shari na watu woote wenye imani ambayo una ikashifu,

sasa kabla ya kuendelea zaidi hebu nikuulize,
We una tatizo gani na uislamu??
Au uislamu umekufanya nini mpaka unaanza kuwaita watu wendawazimu, vichaa, wehu n.k?

Siku zote mwerevu hutoa hoja zake na kuwaachia watu wafaidike, ukiona mtu anakimbilia kuanza kashfa, ni mawili hapo:
Aidha ameshindwa hoja sasa hii inakuwa ni njia ya kujihami, au ana matatizo ya akili,

Sasa wewe unasema uislamu unaufahamu saaana,

SWALI NAKUULIZA :nini tatizo lako tukusaidie??
Ila naomba kitu kimoja tu! usinichanganyie lugha! kama unataka kutumia lugha ya wakoloni unakaribishwa,
!la unataka ktumia lugha yetu hii vilevile tutakuwa pamoja,

Onyo: Tafadhali jenga hoja na matusi waachie walevi!
 
Nicholas said:
ila kilichotolewa kwanini hakikuwa tayari ktk sheria za kiislam?
Inaonyesha wazi kuwa hujui Fatwa inatolewa katika masuala gani:

Muislamu anaweza kumuendea Mufti yoyote na kumwambia ammpe Fatwa ili asiswali kwa siku kadhaa kwa vile tu hujisikii kuswali?

Anaweza kumwambia Mufti amtolee Fatwa ya kuwa asifunge Ramadhani kwa vile haipendezi kwake?

Anaweza kumuomba Mufti ampe Fatwa ya kwenda kulala na mwanamke mmoja aliyempenda? ...

Mfano mwingine wa kuwa Fatwa inatolewa kutokana na utayari uliopo katika Shariah;
Mtume SAW amekataza kuwaua viongozi wa Kikristo na wa Kiyahudi (hii ni katika Hadith)
Lakini kama kuna Askofu au Rabbi ameshika silaha na yeye anatuua, hapa kwa watu kama mimi tutakuwa na utata; je Askofu yule na yeye hatumuui au tunamuua?

Bila shaka yoyte nitahitaji msaada wa Mufti anitolee Fatwa, na hata kama atatoa Fatwa ya kumuua basi itakuwa ni kwa Askofu yule tu (na anauliwa kwa sababu anatuua, si kwa Uaskofu), mahali pale tu mathalan Fatwa hii imetolewa Kenya siwezi nikaichukua na kuja kuitumia Tanzania,na kwa wakati ule tu ina maana kama baada ya miaka miwili tunaweka fungamano la amani kati yetu na Wakristo hii Fatwa inakuwa batili.
Baada ya Mzunguko wote huo unaona kuwa mafundisho ya asili yapo palepale.
Nicholas said:
Yaani sheria za manispaa husika zinaweza wekwa na kutewa kila mara halmashauri zinakaa, na mara nyingine wanaweza kuja gundua kuwa sheria nyingine ni makosa.....fatwa nazo zina sura km hiyo...
Hili ni tusi kwa Waislamu:
Fatwa hutolewa kutoka kwenye vyanzo ambavyo ni Wahy(revelation) Quran na Sunnah wakati sheria za manispaa zinatungwa (kama sikosei) bungeni ambapo wabunge wa aina mbalimbali huwepo na kuathiri pamoja na kushiriki katika utungwaji wa hizo sheria, ninamaanisha Wabunge na Mawaziri Mafisadi, walevi, wachawi,wevi, wasagaji, n.k Nikikuambia kuwa hiyo ni Declaration of War iliyotangazwa na Amir wa Jihad na Mujahidina (kama alivyokuwa akijiona mwenyewe) na kusainiwa na Ma-Amir mbalimbali na si Fatwa iliyotolewa na Bin Laden utasemaje?

Kwa sababu Amir ndiye anayeweza kuja na kusoma tangazo au kutangaza Jihad (na inawezekana tamko lake likawa lina Fatwa ndani yake)..unaweza kuiposti hiyo unayoiita wewe na mwandishi fatwa ili tuiangalie pamoja? Povu la nini?
...ulitakiwa uonyeshe huo uongo wake!
Nicholas said:
Unasemea hii?Babylonian Talmud: Yebamoth 59
Hembu soma tena, halafu pange point zako vyema bila kuwa thisi desperate
Vipi umeshachanganyikiwa nini?

Nilkuwa nikikuthibitishia uchawi wa Mayahudi, nyingine hiyo nikinukuu:

Pharisaic Rituals:Erubin 21b (p. 150). "Rabbi Akiba said to him, "Give me some water to wash my hands." "It will not suffice for drinking," the other complained, "will it suffice for washing your hands?"
"What can I do?' the former replied, "when for neglecting the words of the Rabbis one deserves death? It is better that I myself should die than that I transgress against the opinion of my colleagues." [This is the ritual hand washing condemned by Jesus in Matthew 15: 1-9].
 
Yericko,

Achana na hizo junks bogus, eleza kina nani walipewa ardhi Zanzibar na Kanisa.
Jana nilipoweka hapa hostoria ya Zanzia kuanzi miaka 2000 iliyopita nilifanya hivyo kwa maksudi mazima nikidhani kuna mtu atahitaji kujua zaidi historia hiyo,

Lakini ajabu wewe uliishia kuomba source of information tu,

Nilistaajabu sana lakini nikakusihi usome na ujenge hoja kutoka kwayo,

Lakini kumbe nalikuwa nikimpigia mbuzi gitaa!


Jitulize taaaratibu bila papara wala jazba!

Rudi ukurasa wa nne kutoka hapa tulipo na kisha uisome ile historia ile, baada ya hapo njoo ukurasa wa pili tu nyuma hapo tumeeleza wazi jinsi Wakristu Wareno ilivyowalazimu kuinunua ardhi na kuwaokoa manusura wa kibantu

Tumeweka na kile ukitakacho siku zote alimaarufu kama SOURCE
 

Junks, junks, crackpot bogus.
 

i learned long time ago.,
Never to wrestle with A PIG,
YOU GET DIRTY,AND BESIDES THE PIG LIKES IT,
SO IN THIS VERY DAY WE PITA TUH,SINA MKUKI MIMI...
 
Jitulize taaaratibu bila papara wala jazba!

Rudi ukurasa wa nyuma hapo tumeeleza wazi jinsi Wakristu Wareno ilivyowalazimu kuinunua ardhi na kuwaokoa manusura wa kibantu

Tulia sasa tuanze mijadala ya kidini, wewe na huyo jamaa yako ambaye unamsifia matamu hapo...ha haa ha.
 
Exactly,
mimi baada ya kumtambua huyo jamaa namdharau kama taka taka,
kihiyo kbs

Hivi ndugu yangu kuna mtu hapa anaepingana na wewe ambae humdarau?

Nilikuuliza kule nyuma kuwa hakuna unachotaka kujifunza katika uzi huu zaidi ya matusi, kejeri na ngano za Mohamed Said?

Hutaki kuingiza chochote kile akilini mwako zaidi ya hayo?

Pole sana mkuu, sikulaumu wewe ila nakusikitikia tu na kukuombea kwa Jah akupe ufahamu
 
Tulia sasa tuanze mijadala ya kidini, wewe na huyo jamaa yako ambaye unamsifia matamu hapo...ha haa ha.

Jiepushe kuweka mahubiri ya kidini hapa!

Tunajadili historia hivyo kuwa mwangalifu tunapolazimika kuhusisha dini tusije vunja kanuni za mjadala huu!
 
Naona jamvi limechafuka hamaki zimeongezeka watu wakiitana nguruwe, wehu pamoja na machizi...

Wengine wakija na kupiga mikwara mizito mizito... Ngojea niendelee kufatilia mpambano...
 
hahaha ritz bhana!ofcoz mim ni chiz kweli ndio mana nipo sambamba na thread hii since day one ili nijifunze japo sichangii mara kwa mara kama ufanyavyo wewe mwerevu na team yako michango yenu ni mingi na ni too low.
 
naona watu njaa inawasumbua humu ndio maana mipasho ni mingi na mikwara mingi hoja mmeweka pembeni...

Ngojea nimwite Mshume Kiyate aje awapatie hela ya kitoweo kwanza halafu tuendelee...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…