Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

yericko najua nakuumiza sana,
ila umeyataka mwenyewe,

nani leo angekuja kujua ya kwamba nyerere yule uliekawa unasema ni baba yako mzazi si baba yako rasmi??

Jamvi lote hivi sasa linakutambua kwa ulimbuken wako,watu wenye weledi wao kama jasusi na wengine washakupuuza,umebaki unawapa heko wendawazim walioamua kuligeuza hili jukwaa la dini na kusema kwamba umeshinda,umeshinda kwani ulikuwa una shindana na nani??
Kwan ilikuwa vita baina ya uislam na ukristo??

leo tarehe 19/6/2013 tumeshuhudia uhalisia,naomba uwasalimie mputu huko kwa maana kuna taarifa zinasema butiama hufahamiki,,

pole sana
 
Haha ....hapa kazee kanapewa ahsante kwa kukaaa pembeni ya Nyerere+ kupokea kula ya siku hiyo....hayo ndio marupurupu ya wazee wa kiswahili...Hizo ndizo ahadi za miungu yao...

Hapana mkuu,

Mzee Mshume Kiyate alikuwa swahiba wa Mwalimu Nyerere sana,

Hivyo unapoandika historia ya Mwalimu Nyerere ni vizuri akatajwa,

Lakini tofautisha historia ya Nyerere na Historia ya Tanganyika/Tanzania

Kwahiyo historia ya Tanzania hana kipaumbele cha kuwemo!
 
Ndugu yetu Mohamed Said amewabinafsisha na kuwaita ni wazee wake/wazazi wake, wengine hatuna haki ya kuwaenzi!

HAIWEZ KULANDANA HATA KIDOGO,

Moh Said hajawaita WAZAZI KAMA ULIVYOFANYA WEWE KUMUITA NYERERE MZAZI NA KUKIMBILIA JF KUJIVERIFY NAE,

YEYE KAWAITA HAO NI WAZEE WAKE,UMEOANA YEYE KAJA KUJIVERIFY YA KWAMBA JINA LAKE NI MOHAMED SYKES??

AU MOHAMED MSHUME KEYATE??

SASA KIPI KILICHOKUPELEKEA WEWE KUJIBINAFSISHA NA KUJIITA YERICKO NYERERE??

HADI KUFIKIA KUSABABISHA USUMBUFU KWA FAMILIA YAKE KUJA KUKUANA HAPA JUKWAANI??

SIO VEMA KUDANDIA MABABA ZA WATU,UNA MDHALILISHA NA KUMYONGESHA MAMA YAKO MZAZI,

SIO VEMA HATA KIDOGO...
 
Wala wasikushughulishe mkuu,

Hawa tumewashinda ndani ya uwanja na nje ya uwanja!

Dunia iliyoanza kupotoshwa sasa imeujua ukweli halisi!

Sasa hivi wamepaki ma mc tu!
Ha ha..hawa jamaa na genge lao wanchekesha...wanatuletea mpaka habari za "hukumu ya daudi kwa kondoo tena wa kike 99 wa camp moja na 1 wa camp ya pili".

Upotoshaji umeanza long time, masikini MS kumbe nae ni mhanga.....mchanganyiko wa ile hukumu maarufu ya solomon na mfano wa Yesu wa thamani ya Kondoo mmoja ktk mia.

Sikutaka sana ingia ktk issue ya kidini ila Wakristu kufanikiwa kwao kulianza kabla ya Mohamed, Na Quran ina thibitisha hilo...pale mohamed anapowashutumu wayahudi kwa kupotosha maandiko kwa kalamu, na wakristu kwa kuficha Injil na kupenda starehe na kuwa mali.Nyerere wa Karne hii hawezi laumiwa km hawa jamaa ni watu wayajuayo maandiko yao na kuwa wakweli hata kidogo.Leo hata wachina wasioupenda Ukristu km Taifa ,raia wake sasa hivi wanajiunga kwa fujo kwa vile wanautafsiri km mafanikio.Sijui baad aya miaka na wabudha wataseme hivyo.

Hawa jamaa nawapatia sana huruma kwa kupenda jidanganya, huwa hawapotezi sana muda kuyasoma maandiko yao sijui ni kwa vile kuna mengi yanasemwa wasiyopenda yasikia au ndio kutotosha kwa maandiko yao.Hawajajua bado kwanini waliambiwa wasome maandiko ya nyuma ili wawe waumini kamili...wanitafute kwa muda wao niwasaidie hilo.

Tunayo kazi ktk hii dunia..
 
We kweli hujui hata km unakojoa au unakunya....wewe si ndio maarufu sana huku kwa kuwaambia mod "Threads zipelekwe jukwaa utakalo"?

Sasa kwanini thread kumi tofauti zikae pamoja.

Wewe kila siku nakuambia wasipokuwahi jamaa zako ipo siku utakuja kuingia uchi ofisi za Chadema.

Una tatizo kubwa kwenye ubongo (Biochemically) imekufa, (Biophysically) nayo imekufa hata (Energetically) nayo imekufa hata ubongo wa mbele (Prefrontal area) nao umekufa, kwa kifupi wewe saizi ni chizi.

Na huu ni msimu wa maembe lazima ushinde sokoni.

Mimi toka lini nikaangaika na Mods kulalamika.
 
hapana mkuu,

mzee mshume kiyate alikuwa swahiba wa mwalimu nyerere sana,

hivyo unapoandika historia ya mwalimu nyerere ni vizuri akatajwa,

lakini tofautisha historia ya nyerere na historia ya tanganyika/tanzania

kwahiyo historia ya tanzania hana kipaumbele cha kuwemo!

vema,
tunataka kuskia ukimuita mwalimu nyerer,na sio kumuita baba yako sawa?

Na pia sasa ni wakati umefika kwa kuwa kina andrew wamekuja kukukana na kukuonya uache kulitumia hilo jina basi uliondoe ili usisababishe usumbufu kwa familia yao,

usije ukaenda mitaani huko ukafanya utapeli na udanganyifu tena kama ulivyoufanya hapa jukwaani ukaleta bughdha tena,

yericko labda ulijuze jamvi hli,hivi inawezekana kweli wewe uwe na uchungu na nyerere zaid ya wale watoto wake wa damu??

Hivi inawezekana kweli kama haya anayoyasema moh said andrew asiwe na lolote la kusema akabakia kuwa kimya na kuondoka zake??

Huoni kama amekudharau na kukupuuza sana??

Pamoja na kujikaribisha na kujikomba komba kwake je umemuona akikujibu??

Sasa je huoni kinyaa na unyonge kwa wewe kuendelea na hulka kama hii??

Pili pili usoila wewe yakuwashia nini??

Maskin andrew kaishia kutukwanwa na kudhalilishwa na vijana wako uliowatuma kisa kakana kukufaham??

Yericko unatia kinyaa sana...
 
Bibi Titi tunamuenzi,tunajua siasa sio plain sailing,kuna ups and down,kuna fall outs,but all in all we will always cherish uliyoyafanyia taifa hili.
attachment.php
 
Mohamed Said ndie nguzo ya wachochezi hapa,

Kwahiyo akisema anaondoka wanaweweseka sana kwakuwa hawatakuwa na mtu wa kumshangili, zaidi matusi yao hayabadiliki ni yaleyale ya awali!

Sisi tupendao haki na tusimamiao ukweli tunasema Mohamed Said na aende salama, tunamshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha hapa, tunamtaka radhi kwa tuliyomkwaza na akakereka kwelikweli,

Wafuasi wake hawana uwezo wakujenga hoja wala wakujibu hoja ila ni mabingwa wa matusi na kelele,

Tunawakaribisha kama bado watakuwa na hamu ya kuwepo hapa bila kiongozi wao!

Wenye moyo safi tunaendelea kukung'uta jamvi na masalia yake!
 
Bibi Titi tunamuenzi,tunajua siasa sio plain sailing,kuna ups and down,kuna fall outs,but all in all we will always cherish uliyoyafanyia taifa hili.
attachment.php

Hawa ndio wazee wetu wapigania uhuru wa Tanganyika!

Tunawaenzi kivitendo na kinadharia!
 
LAKINI TUJIULIZE,

KWANI MAJINA YAMEPOTEA HADI ALIKIMBILIE JINA LA NYERERE??

AMELETA USUMBUFU HATA NDANI YA CHAMA CHETU CHADEMA,

wengi hata viongozi kama @Dr Slaa Mnyika Zitto na wengineo maskin walikuwa wanajua ya kwamba huyu chakubimbi ni Mwana wa Mwalimu nyerere,

Kumbe ni limbukeni tuh na mbabaishaji wa mjini,yeye alidhani ya kwamba angeweza kulitumia jina hili kama mtaji wake kisiasa kwamba hata mtoto wa nyerere nae anaichukia CCM,sasa ukweli wameutambua na amedharaulika kwa kias kikubwa sana,

WANACHADEMA WENGI TUNAMDHARAU NA KUMWONA KINYAA NA TAKA TAKA KWA ULIMBUKENI WAKE NA UDANGANYIFU WAKE WA HALI YA JUU,

KAMA KAFIKIA HATUA YA KUONGOPEA HATA NASABA YAKE ATAWEZA VIPI KUAMINIKA NA KUPEWA IMAN YA CHAMA??

HII IWE FUNDISHO KWA VIJANA WENGINE WANAOPENDA STATUS ZA BURE BURE NA KUJIKWEZA KWEZA KUSIKO NA MBELE WALA NYUMA,

HUU NI WAKATI SASA WA KUMPUUZA NA KUMWONA KINYAA YERICKO MDANDIA NASABA ZA WATU...
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said ndie nguzo ya wachochezi hapa,

Kwahiyo akisema anaondoka wanaweweseka sana kwakuwa hawatakuwa na mtu wa kumshangili, zaidi matusi yao hayabadiliki ni yaleyale ya awali!

Sisi tupendao haki na tusimamiao ukweli tunasema Mohamed Said na aende salama, tunamshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha hapa, tunamtaka radhi kwa tuliyomkwaza na akakereka kwelikweli,

Wafuasi wake hawana uwezo wakujenga hoja wala wakujibu hoja ila ni mabingwa wa matusi na kelele,

Tunawakaribisha kama bado watakuwa na hamu ya kuwepo hapa bila kiongozi wao!

Wenye moyo safi tunaendelea kukung'uta jamvi na masalia yake!
KWA heshima tunamuomba Mohamed Said afanyie marekebisho makubwa kitabu chake nakala ya nne.royalities alizopata tokana na ku stir feelings katika past publications zake naona is enough-sasa its time awafanyie watanzania hisani kwa kutumia academic honestness na kuandika the plain truth
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu,

Mzee Mshume Kiyate alikuwa swahiba wa Mwalimu Nyerere sana,

Hivyo unapoandika historia ya Mwalimu Nyerere ni vizuri akatajwa,

Lakini tofautisha historia ya Nyerere na Historia ya Tanganyika/Tanzania

Kwahiyo historia ya Tanzania hana kipaumbele cha kuwemo!

Yericko.

Nafikiri unahitaji kujiongeza zaidi katika fikra zako.

Kwanza ilikupasa ujiulize al Marhum Mshume Kiate walifahamiana na Nyerere kivipi? kupitia siasa au kwenye mchezo wa bao au kwenye vibalaza vya Gakhawa?
Na Mshume Kihate alimkarimu Nyerere kama Nyerere au kama kiongozi wake katika Siasa?

sasa kama utayaangalia hayo kwa jicho la tatu utaona kuna umuhimu mkubwa sana kumwingiza katika Historia yenu. Kumbuka kuwa taifa la tz mpaka leo wanamkumbuka na kumuhenzi Mzee Moris Nyunyusa au Mwinamila kwa kupiga ngoma na kucheza ngoma Tu seuze Al marhum Mshume kihate.

Kumbuka Al Habbib Mohamed Said katufungua wengi kwanza kwa kulijua tu hilo Jina lake Mshume Kihate na ufadhili wake kwa Nyerere na mchango wake mkubwa kwa TANU. Bila kutajwa na MS basi tusingeweza mfahamu hata kidogo na mchango wake ungekuwa bure kwa taifa la Tz.

Hongera sana Al Habib Moh'd Said kwa darsa zako.

KWA heshima tunamuomba Mohamed Said afanyie marekebisho makubwa kitabu chake nakala ya nne.royalities alizopata tokana na ku stir feelings katika past publications zake naona is enough-sasa its time awafanyie watanzania hisani kwa kutumia academic honestness na kuandika the plain truth

Na ndio kusudio la kiuungwa la mnakasha huu,

Tutamshukuru kwa kupokea maoni ya wanamnakasha huu!
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said ndie nguzo ya wachochezi hapa,

Kwahiyo akisema anaondoka wanaweweseka sana kwakuwa hawatakuwa na mtu wa kumshangili, zaidi matusi yao hayabadiliki ni yaleyale ya awali!

Sisi tupendao haki na tusimamiao ukweli tunasema Mohamed Said na aende salama, tunamshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha hapa, tunamtaka radhi kwa tuliyomkwaza na akakereka kwelikweli,

Wafuasi wake hawana uwezo wakujenga hoja wala wakujibu hoja ila ni mabingwa wa matusi na kelele,

Tunawakaribisha kama bado watakuwa na hamu ya kuwepo hapa bila kiongozi wao!

Wenye moyo safi tunaendelea kukung'uta jamvi na masalia yake!

Ritz,

NA WANAJAMVI WOTE,NADHANI SASA TUNASHUHUDIA MANENO HAYA YA KUCHOKA YA YERICKO,

KAMA VILE ALIVYOUANZISHA HUU UZI,BILA MASHIKO BILA SABABU ZA MSINGI,

SISI NA WALIO WENGI TUMENUFAIKA SANA NA UWEPO WA MOH SAID NA ILM ALIYOIMWAGA HAPA JUKWAANI SI HABA NA TUMEJIFUNZA MENGI,

LAKINI MIMI KAMA MIONGONI MWA WATU NILIONUFAIKA NA ILM YA NDUGU YANGU MOH SAID,

NISEME WAZI KWAMBA KILICHOPELEKEA HADI YERICKO MDANDIA NASABA ZA WATU KUSEMA MANENO HAYA NI AIBU KUBWA ILIYOMKUMBA MARA BAADA YA FAMILIA YA NYERERE KUJA HAPA KUMKANA KUTOMFAHAM WALA KUMTAMBUA KAMA YEYE NI MTU WA UKOO HUO,SEMBUSE HUO UBABA WAKE WA NYERERE ANAOULILIA,

SASA BASI KWA MANTIKI HIYO,WAKATI TUNAFIKIRIA KUYAFANYA HAYO,

1.AFUTE HILI JINA,KWANI IMETHIBITIKA SI MWANA FAMILIA.

2.AOMBE RADHI JUKWAA HILI NA MODS KWA USUMBUFU ALIOUSABABISHA KWETU NA KWA FAMILIA YA NYERERE.

3.AAHID KUTORUDIA KUTUMIA JINA LISILO MUHUSU KUJA KUJIVERFY NALO HAPA JUKWAANI,KWAN WATU KAMA HAWA NI HATARI,HUKAWII KUSKIA KESHO ANAJIITA YERICKO KINGUNGE NGOMBARE MWIRU..
etc etc,

4.ASITUINGILIE PALE SISI TUTAPOKUWA TUNAENDELEA NA MJADALA WA HISTORIA PALE TUTAPOFIKIRIA KUUANZISHA KWA KUMUOMBA MOHAMED SAID KATIKA UZI MWINGINE NAFASI ITAPOPATIKANA NA MODS WASIDIRIKI KUUZUIA MJADALA HUO,KWANI HILI NI JUKWAA HURU,,

MWISHO NENDA SALAMA YERICKO,NADHAN IWE MWANZO NA MWISHO KWA WEWE KUENDELEA NA TABIA YENYE KINYAA KAMA HIYO,PIA USIWARITHISHE KIZAZ CHAKO,KWAN UTAWACHANGANYA,MWANAO AKIJA KUJUA BABU YAKE NI NYERERE HALI YA KUWA UHALISIA SIO HUO UTASABABISHA MATATIZO MAKUBWA,

YOU MUST BE ASHAMED OF YOUR SELF...
 
Yericko.

Nafikiri unahitaji kujiongeza zaidi katika fikra zako.

Kwanza ilikupasa ujiulize al Marhum Mshume Kiate walifahamiana na Nyerere kivipi? kupitia siasa au kwenye mchezo wa bao au kwenye vibalaza vya Gakhawa?
Na Mshume Kihate alimkarimu Nyerere kama Nyerere au kama kiongozi wake katika Siasa?

sasa kama utayaangalia hayo kwa jicho la tatu utaona kuna umuhimu mkubwa sana kumwingiza katika Historia yenu. Kumbuka kuwa taifa la tz mpaka leo wanamkumbuka na kumuhenzi Mzee Moris Nyunyusa au Mwinamila kwa kupiga ngoma na kucheza ngoma Tu seuze Al marhum Mshume kihate.

Kumbuka Al Habbib Mohamed Said katufungua wengi kwanza kwa kulijua tu hilo Jina lake Mshume Kihate na ufadhili wake kwa Nyerere na mchango wake mkubwa kwa TANU. Bila kutajwa na MS basi tusingeweza mfahamu hata kidogo na mchango wake ungekuwa bure kwa taifa la Tz.

Hongera sana Al Habib Moh'd Said kwa darsa zako.

Nasikitika kukuambia kuwa ikiwa ulikuwa humfahamu, hilo ni kosa lako tu wala sio la mtu mwingine,

Sisi tunaopekua maandiko ya historia na nyaraka mbalimbali tulimjua siku nyingi sana, sio huyo tu wapo wengine wengi!

Lakini ukweli utabaki kuwa yeye sio kipaumbele katika Historia ya Tanganyika, labda kwenye historia ya Julius Kambarage Nyerere huko ni muhimu!
 
Yericko.

Nafikiri unahitaji kujiongeza zaidi katika fikra zako.

Kwanza ilikupasa ujiulize al Marhum Mshume Kiate walifahamiana na Nyerere kivipi? kupitia siasa au kwenye mchezo wa bao au kwenye vibalaza vya Gakhawa?
Na Mshume Kihate alimkarimu Nyerere kama Nyerere au kama kiongozi wake katika Siasa?

sasa kama utayaangalia hayo kwa jicho la tatu utaona kuna umuhimu mkubwa sana kumwingiza katika Historia yenu. Kumbuka kuwa taifa la tz mpaka leo wanamkumbuka na kumuhenzi Mzee Moris Nyunyusa au Mwinamila kwa kupiga ngoma na kucheza ngoma Tu seuze Al marhum Mshume kihate.

Kumbuka Al Habbib Mohamed Said katufungua wengi kwanza kwa kulijua tu hilo Jina lake Mshume Kihate na ufadhili wake kwa Nyerere na mchango wake mkubwa kwa TANU. Bila kutajwa na MS basi tusingeweza mfahamu hata kidogo na mchango wake ungekuwa bure kwa taifa la Tz.

Hongera sana Al Habib Moh'd Said kwa darsa zako.

Mohamed Said na al akhiy wenzangu,

LEO TAREHE 19/6/2013 DARSA limewafikia watu takriban 224,449,

Mimi naaga rasmi,kwa kuwa nimenufaika vya kutosha na darsa hili na nitaendelea kunufaika na darsa hili milele na milele hadi naingia kaburin,

Nachukua fursa hii ya kipekee kukushukuru Moh Said,A la khiy zangu wote pamoja na wana mnaksha wenzangu kwa namna moja ama nyingine kwa siku zote nilizokuwapo hapa ndani,

Wapo wengi nimewakwaza,kwa namna moja ama nyingine wanisamehe ni sehemu tuh ya mnakasha,na sisi sote ni watanzania,

Nimejifunza kuiona chuki waz waz ya baadhi ya wenzangu dhidi ya dini yangu ya uislam,lakin si neno ni sehem pia ya mjadala,

Kikubwa nilichofurahi zaid ni kutambua bila shaka yoyote kwamba kumbe YERICKO (......),SI MTOTO RASMI WA NYERER JAPO ALIKUJA JF KUJIVERIFY NALO HILO JINA,ILA KWA BROTHER ANDREW KULITHIBITISHA HILO MIMI NIMETOKEA KUMDHARAU NA KUMSHUSHA SANA YERICKO KWA TABIA HII YA KUKOSA KUJIAMIN NA KUJITAMBUA,LAKIN PIA SI NENO WANADAM TUNATOFAUTIANA,

NAONDOKA ZANGU,ILA ILIKUWA FURAHA KWANGU KUJADILIANA NA WENZANGU HAPA KWA TAKRIBAN MIEZ SITA NA USHEE NA SASA,

"SIKUWAUMBA WANADAMU,ILA KWA LENGO MOJA TUH,WANIABUDU MIMI MOLA WAO NA KUNIPWEKESHA"

MUNGU MKUBWA,MUNGU IBARIKI TANZANIA,HISTORIA ILIYOKAFICHWA LEO IMEFICHULIWA KIUNAGA UBAGA,KWA HILO NI FURAHA KUBWA SANA KWA MOLA KUMWEZESHA MOH SAID LEO TUMEITAMBUA NA TUMEIHIFADHI KWA MASLAHI YA TANZANIA YA LEO NA TANZAIA YA KESHO.

"YERICKO TAFUTA BABA YAKO RASMI",,KWA HERI...
 
LAKINI TUJIULIZE,

KWANI MAJINA YAMEPOTEA HADI ALIKIMBILIE JINA LA NYERERE??

AMELETA USUMBUFU HATA NDANI YA CHAMA CHETU CHADEMA,

wengi hata viongozi kama @Dr Slaa Mnyika Zitto na wengineo maskin walikuwa wanajua ya kwamba huyu chakubimbi ni Mwana wa Mwalimu nyerere,

Kumbe ni limbukeni tuh na mbabaishaji wa mjini,yeye alidhani ya kwamba angeweza kulitumia jina hili kama mtaji wake kisiasa kwamba hata mtoto wa nyerere nae anaichukia CCM,sasa ukweli wameutambua na amedharaulika kwa kias kikubwa sana,

WANACHADEMA WENGI TUNAMDHARAU NA KUMWONA KINYAA NA TAKA TAKA KWA ULIMBUKENI WAKE NA UDANGANYIFU WAKE WA HALI YA JUU,

KAMA KAFIKIA HATUA YA KUONGOPEA HATA NASABA YAKE ATAWEZA VIPI KUAMINIKA NA KUPEWA IMAN YA CHAMA??

HII IWE FUNDISHO KWA VIJANA WENGINE WANAOPENDA STATUS ZA BURE BURE NA KUJIKWEZA KWEZA KUSIKO NA MBELE WALA NYUMA,

HUU NI WAKATI SASA WA KUMPUUZA NA KUMWONA KINYAA YERICKO MDANDIA NASABA ZA WATU...

THE BIG SHOW jamani usimuite mwezio takataka! Hata kama hukubaliani nae unadhalilisha uumbaji wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom