THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
yericko najua nakuumiza sana,
ila umeyataka mwenyewe,
nani leo angekuja kujua ya kwamba nyerere yule uliekawa unasema ni baba yako mzazi si baba yako rasmi??
Jamvi lote hivi sasa linakutambua kwa ulimbuken wako,watu wenye weledi wao kama jasusi na wengine washakupuuza,umebaki unawapa heko wendawazim walioamua kuligeuza hili jukwaa la dini na kusema kwamba umeshinda,umeshinda kwani ulikuwa una shindana na nani??
Kwan ilikuwa vita baina ya uislam na ukristo??
leo tarehe 19/6/2013 tumeshuhudia uhalisia,naomba uwasalimie mputu huko kwa maana kuna taarifa zinasema butiama hufahamiki,,
pole sana