THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Haha ....hapa kazee kanapewa ahsante kwa kukaaa pembeni ya Nyerere+ kupokea kula ya siku hiyo....hayo ndio marupurupu ya wazee wa kiswahili...Hizo ndizo ahadi za miungu yao...
UBINAFSHISHAJI huu na distortion iliyo result here as of,lazima NYERERE must be turning in his graveNdugu yetu Mohamed Said amewabinafsisha na kuwaita ni wazee wake/wazazi wake, wengine hatuna haki ya kuwaenzi!
Ndugu yetu Mohamed Said amewabinafsisha na kuwaita ni wazee wake/wazazi wake, wengine hatuna haki ya kuwaenzi!
Ha ha..hawa jamaa na genge lao wanchekesha...wanatuletea mpaka habari za "hukumu ya daudi kwa kondoo tena wa kike 99 wa camp moja na 1 wa camp ya pili".Wala wasikushughulishe mkuu,
Hawa tumewashinda ndani ya uwanja na nje ya uwanja!
Dunia iliyoanza kupotoshwa sasa imeujua ukweli halisi!
Sasa hivi wamepaki ma mc tu!
We kweli hujui hata km unakojoa au unakunya....wewe si ndio maarufu sana huku kwa kuwaambia mod "Threads zipelekwe jukwaa utakalo"?
Sasa kwanini thread kumi tofauti zikae pamoja.
hapana mkuu,
mzee mshume kiyate alikuwa swahiba wa mwalimu nyerere sana,
hivyo unapoandika historia ya mwalimu nyerere ni vizuri akatajwa,
lakini tofautisha historia ya nyerere na historia ya tanganyika/tanzania
kwahiyo historia ya tanzania hana kipaumbele cha kuwemo!
Bibi Titi tunamuenzi,tunajua siasa sio plain sailing,kuna ups and down,kuna fall outs,but all in all we will always cherish uliyoyafanyia taifa hili.
KWA heshima tunamuomba Mohamed Said afanyie marekebisho makubwa kitabu chake nakala ya nne.royalities alizopata tokana na ku stir feelings katika past publications zake naona is enough-sasa its time awafanyie watanzania hisani kwa kutumia academic honestness na kuandika the plain truthMohamed Said ndie nguzo ya wachochezi hapa,
Kwahiyo akisema anaondoka wanaweweseka sana kwakuwa hawatakuwa na mtu wa kumshangili, zaidi matusi yao hayabadiliki ni yaleyale ya awali!
Sisi tupendao haki na tusimamiao ukweli tunasema Mohamed Said na aende salama, tunamshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha hapa, tunamtaka radhi kwa tuliyomkwaza na akakereka kwelikweli,
Wafuasi wake hawana uwezo wakujenga hoja wala wakujibu hoja ila ni mabingwa wa matusi na kelele,
Tunawakaribisha kama bado watakuwa na hamu ya kuwepo hapa bila kiongozi wao!
Wenye moyo safi tunaendelea kukung'uta jamvi na masalia yake!
Hapana mkuu,
Mzee Mshume Kiyate alikuwa swahiba wa Mwalimu Nyerere sana,
Hivyo unapoandika historia ya Mwalimu Nyerere ni vizuri akatajwa,
Lakini tofautisha historia ya Nyerere na Historia ya Tanganyika/Tanzania
Kwahiyo historia ya Tanzania hana kipaumbele cha kuwemo!
KWA heshima tunamuomba Mohamed Said afanyie marekebisho makubwa kitabu chake nakala ya nne.royalities alizopata tokana na ku stir feelings katika past publications zake naona is enough-sasa its time awafanyie watanzania hisani kwa kutumia academic honestness na kuandika the plain truth
Mohamed Said ndie nguzo ya wachochezi hapa,
Kwahiyo akisema anaondoka wanaweweseka sana kwakuwa hawatakuwa na mtu wa kumshangili, zaidi matusi yao hayabadiliki ni yaleyale ya awali!
Sisi tupendao haki na tusimamiao ukweli tunasema Mohamed Said na aende salama, tunamshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha hapa, tunamtaka radhi kwa tuliyomkwaza na akakereka kwelikweli,
Wafuasi wake hawana uwezo wakujenga hoja wala wakujibu hoja ila ni mabingwa wa matusi na kelele,
Tunawakaribisha kama bado watakuwa na hamu ya kuwepo hapa bila kiongozi wao!
Wenye moyo safi tunaendelea kukung'uta jamvi na masalia yake!
Yericko.
Nafikiri unahitaji kujiongeza zaidi katika fikra zako.
Kwanza ilikupasa ujiulize al Marhum Mshume Kiate walifahamiana na Nyerere kivipi? kupitia siasa au kwenye mchezo wa bao au kwenye vibalaza vya Gakhawa?
Na Mshume Kihate alimkarimu Nyerere kama Nyerere au kama kiongozi wake katika Siasa?
sasa kama utayaangalia hayo kwa jicho la tatu utaona kuna umuhimu mkubwa sana kumwingiza katika Historia yenu. Kumbuka kuwa taifa la tz mpaka leo wanamkumbuka na kumuhenzi Mzee Moris Nyunyusa au Mwinamila kwa kupiga ngoma na kucheza ngoma Tu seuze Al marhum Mshume kihate.
Kumbuka Al Habbib Mohamed Said katufungua wengi kwanza kwa kulijua tu hilo Jina lake Mshume Kihate na ufadhili wake kwa Nyerere na mchango wake mkubwa kwa TANU. Bila kutajwa na MS basi tusingeweza mfahamu hata kidogo na mchango wake ungekuwa bure kwa taifa la Tz.
Hongera sana Al Habib Moh'd Said kwa darsa zako.
LAKINI TUJIULIZE,
KWANI MAJINA YAMEPOTEA HADI ALIKIMBILIE JINA LA NYERERE??
AMELETA USUMBUFU HATA NDANI YA CHAMA CHETU CHADEMA,
wengi hata viongozi kama @Dr Slaa Mnyika Zitto na wengineo maskin walikuwa wanajua ya kwamba huyu chakubimbi ni Mwana wa Mwalimu nyerere,
Kumbe ni limbukeni tuh na mbabaishaji wa mjini,yeye alidhani ya kwamba angeweza kulitumia jina hili kama mtaji wake kisiasa kwamba hata mtoto wa nyerere nae anaichukia CCM,sasa ukweli wameutambua na amedharaulika kwa kias kikubwa sana,
WANACHADEMA WENGI TUNAMDHARAU NA KUMWONA KINYAA NA TAKA TAKA KWA ULIMBUKENI WAKE NA UDANGANYIFU WAKE WA HALI YA JUU,
KAMA KAFIKIA HATUA YA KUONGOPEA HATA NASABA YAKE ATAWEZA VIPI KUAMINIKA NA KUPEWA IMAN YA CHAMA??
HII IWE FUNDISHO KWA VIJANA WENGINE WANAOPENDA STATUS ZA BURE BURE NA KUJIKWEZA KWEZA KUSIKO NA MBELE WALA NYUMA,
HUU NI WAKATI SASA WA KUMPUUZA NA KUMWONA KINYAA YERICKO MDANDIA NASABA ZA WATU...