Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe ndio hujui ulichoingilia...na hata hujui unacho taka shawishi. ..unashawishi niingie ktk vita, chuki ipi sasa?wewe ndio unachukia kushindwa tetea chochote ...kutetea dini yako, kutetea uchochochezi wa MS unaojengwa ktk misingi ya dini.Yeye na wewe anaangaliwa ukombozi wa nchi uliofanywa na watanzania wazee wetu wakongozwa na mwl. Nyerere kwa minajili ya dini.Yaani wale wazee tusiwaite watanganyika(watanzania=wa-Tan -Zania)..ila Waislam na watanganyika.Ni dini pekee ndio inamfanya awaone waislam si watanzania.

Hayo mambo ya vita na chuki kaanzishe ktk thread ---- km Mods watakuruhusu.Kubwa zima unakuwa km kondoo wanapoelekeana tuu wanfikiri kupiga vichwa.
 
jamani huu mnakasha sasa umekuwa wa mipasho?!.wakuu punguzeni jazba muendelee kutupa ilm.
 
Mimi pia niliwahi kuambia siku nyingi sana kuwa "kama kwenu huwa mnawafanya watu vichaa kisha mnawapa vichaa maembe " basi mtakuwa mpo katika ulimwengu barabaric sana.Tunawajua sana na pwani yenu...mnavyokula marupurupu ya kusimamia watu wakiingia mikataba na kuzimu...huku mkipewa nguvu msiyostahili duniani.Hiyo nio "reward" ya kuzimu kwani baada ya kifo huwa roho zinakataa kutoka kwa vile shetani anawasubiri apitishe zaidi ya receiption mlipozoea kwenda.(Mmebaki kukiita kifo Malaika mtoa roho-Israeli),sio Israel anyekuwa hofu juu yenu ila Mungu wa Israeli.
 
gombesugu, mbona unabadirisha jina la JF member kwani nia mbaya? Yeye anaitwa Yericko Nyerere na ni verfied user, sasa hilo la Yericko Kambarage umelitoa wapi?

Gwalihenzi,

Ndugu yangu hivi kweli ulikua unaufuatilia huu mnakasha kabla ya kufikia khatma yake hii leo!?

Tatizo/utata sio huyo Yericko kujiita "Yericko Nyerere"...hasha abadan asilan!

Zogo lipo pale yeye kujinasibu yakuwa Julius Kambarage Nyerere aliewahi kuwa Rais wa TANU na pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ni "Baba yake Mzazi"!?

Sina haja ya kulirejea hili suala,nililikuta hapa jamvini nami binafsi nimeshalichangia na kulinung'unikia mno.

Nakhis kwa maoni yangu binafsi;ndugu yetu Jasusi pia akiwa mmojawapo ya Wanafamilia wa Marehemu Nyerere pia anapaswa kupewa lawama japo kiduchu.

Kwanini kipindi choote yeye kuwapo hapa jamvini alishindwa hata kiduchu kutoa ufafanuzi au hata kumkemea huyo Yericko japo kiduchu!?

Nawe ndugu yangu Gwalihenzi,pia umenisikitisha mno...hivi yale mahaba na hishma yoote kwa Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa" ulokua ukijinasibu hapa jamvini,yaani jana umemvua nguo na kumuadhiri kwa matusi ya ndani kabisa ndugu yetu Andrew Nyerere!?

Hivi hata huyo Nyerere unafikiri huko aliko ndo unamfurahisha hivyo kwa kumtukania mwanae kipenzi hadharani!?

Niwie radhi ndugu yangu kama itakua hukupendezwa na huo uchechefu wangu kiduchu.

Nafikiri pia huna haja ya kujibu hii bayana yangu,maana mnakasha nasikia ndo ushakwisha/ushafungwa.

Ahsanta sana.

Cc;Boko Haram
 
In fact sikujua km huyu jamaa alikuwa humu ndani....ningekuwa nimeshandika long time.

Nilikuwa najaribu fikiria namna ya kulisema hili ..uwepo wa matakataka ktk list ya vitabu vya historia ya tanzania.
 
By the way...kuna kitu nadhani hili Genge la akina MS hawajalisema....ingawa mitaani wanajisifia nalo sana...ZILE MISHMISHE ZA KWENDA KWA WAZEE "KUZIMU" AMBAZO HUWA WANAJISIFU KUWA WAZEE WAO WALIMSAIDIA NYERERE SANA KUKUTANA NA HAO WAZEE ILI WAMPE UTAWALA NA KINGA...zile mishemishe za mzee wa kuua hadi panya.

Naona wameoshia kusema sijui nani alimtambilisha kwa mzee gani ,wa shemu gani..ila hawatoboi mengine ambyo ndio fahari na nguvu ya hao wanaoitwa waliufanyia sana kazi huu uhuru.

Sisemi Nyerere aliamini haya au lah..ila "wazee wa dar+bagamoyo wanadhani ni kitu kubwa sana na walifanya mengi".

Titz, na wengine hembu sema...utaalamu wa baba hujalipwa?Ndio maana CCM imelaaniwa kuwekeza ktk mikataba na shetani.
 


Salum Mitema,

Salaam Al Akhiy.

Tumekufahamu na shukran kwa yoote ulotuelekeza.

Pia,tunakuombeni kwa ihsan zenu Al Akhiy The Big Show na Shariff Ritz,fungueni Thread/jamvi jingine humu ndani ili ndugu yetu Sheikh Mohammed apate fursa ya kuja kutupatia yalo mengi kwenye Historia ya nchi yetu.

Tunakusihini mfanze hivyo katika siku chache zijazo...nasi tutakuwa tukiangazaangaza kujua lini na wapi hiyo Thread mpya itakuwapo.

Natoa shauri hiyo Thread kama itafanikiwa kuanzishwa iitwe Baraza la Historia ya Tanganyika na Zanzibar.

Tunatoa mualiko rasmi pindi mambo yakenda vyema,kwa ndugu zetu woote mje kujumuika nasi ili tujifunze kwa pamoja.

Muhimu kuzingatia ni hishma ya majadiliano na staha ya mazungumzo.

Sheikh Mohammed,kama dasturi yake atakua yutayari kupokea maoni na kuulizwa maswali yoyote kwa kina na kiundani,naye atatoa unyambulisho wa kitaaluma kama alivyojaaliwa na kututhibitshia hapa jamvini.

Tunafurahika pia kutanganza rasmi yakuwa maluuni na khabith Yericko,ameshindwa asilan kutuonyesha huo "Uchochezi,Ugaidi na Uhaini" wa Sheikh Mohammed.

Kama kuna wale woote au Mwanajamvi yeyote,anaekhis yakuwa maandiko/vitabu vya Sheikh Mohammed vina labda khitilaf ya kitaaluma...tafadhalini nyinyi kama kweli ni Wasomi waadilifu kama vile mnavyojinasib kila kukicha hapa jamvini,basi uwanja ni mweupu mno na jibuni kitaaluma na njia zipo nyingi mno.

Ahsantani sana.

Cc;Sheikh Mohammed Said,The Big Show,Ritz,JokaKuu
 

Virutubisho vya ubongo wako vimekufa vimekufa kabisa ubongo wako unatumia 80% ya oksijeni ya mwili wako, ubongo kawaida una uzito wa 1400g lakini ubongo wako kama wa tembo 0.15.
 

Nasikia jana ulikimbia mabomu ya machozi mpaka magwanda yakachanikia kule Arusha kwenye mkutano wa Chadema Soweto. Lini mtajitenga?
 
gombesugu ndugu yangu, kuna vitu ambavyo binadamu/mtu hana sababu yoyote ya kuona fahari au aibu juu yake. Mimi kuzaliwa popote pale na wazazi hao nilionao sikufanya juhudi yoyote ile! wala sikuomba au kuchagua! sasa iweje mtu anisifu au kunilaumu kwa hilo? Tujadili hoja na wala sio mtu na kuzaliwa kwake! Mie sikumtusi Andrew Nyerere, nilimkumbusha hilo nililo liongea hapo juu. Sijui bwana gombesugu unaposema matusi huwa unamaanisha kitu gani? Siamini kama ni tabia ya kiungwana na usomi kuzuka na tuhuma zisizo na msingi kama uanavyofanya hapa jamvini. Hebu thibitisha kama nimewahi kujinasibu kwa mapenzi kwa Nyerere hapa jamvini! Ondoa chuki zako binafsi na ujadili hoja "objectively".
 
Yericko

Tafadhali tunakukumbusha kwa ustaarabu yakuwa Intellectual Property Rights za Sheikh Mohammed Said zimo ndani/chini ya himaya yake binafsi...

Kama una lolote unataka kutumia au kumwibia,tafadhali jihadhari kabla ya shari!

Kwaheri Ukoloni! Kwaheri Uhuru!....Kwaheri Yericko!

Ahsanta sana.

Cc;Ritz,Sheikh Mohammed Said
 
Bibi Titi tunamuenzi,tunajua siasa sio plain sailing,kuna ups and down,kuna fall outs,but all in all we will always cherish uliyoyafanyia taifa hili.

Umesema kweli...mama alianguka mara nyingi ila mara zote alisimama na mwishowe akawa mama yetu kitaifa.
 
Tunafunga pazia kwa kusema" Nyerere a man born ahead of his time,kizazi chake hakikumuelewa,only now many years after-the reality has dawned.tunalia machozi-nchi imepoteza direction-kilichobaki tuombe tu divine intervention ichukue mkondo wake-for the only other answer, Nyerere is not coming back
 


Gwalihenzi,

Niwie radhi ndugu yangu na nakutaka msamaha.

Leo kwa wengine/sisi ndo siku yetu ya mwisho hapa jamvini, kwahiyo nisingependa tuachane katika hali ya hasama na kinyongo.

Haina haja ya kurejea malumbano mengi na kupoteza muda ndugu yangu.

Tafadhali niwie radhi kama unakhis mie ndo nilokosa.

Nimependa mno "tumefahamiana" hapa jamvini.

Ahsanta.
 
Nasikia jana ulikimbia mabomu ya machozi mpaka magwanda yakachanikia kule Arusha kwenye mkutano wa Chadema Soweto. Lini mtajitenga?

Lunatics and possessed people huwa wanasikia vitu vingi san vichwani mwao...uzao wapiga ramli mtakuwa hivyo hadi mwisho.CIAO
 

Mkuu umefunga in style.........watu wenye integrity...siku zote wanafanya kitu sahihi bila mawaa wala malipo.....hongera sana.
 


Yericko.

Ndio maana nakwmbia kila wakti unatakiwa ujiongeze zaidi kifikra na sio kujikita tu ndani ya box.

Kumbuka suala la kumjua Mshume Kihate bila watu kama akina Mohamed Said kutuambia kuwa kulikuwa na mtu huyu na mchango wake kwa Nyerere na Tanu kijumla nisingeweza kumfahamu japo nimesomea Tanzania tena Bara kuanzia skuli ya msingi, Sekondari, High School na Chuo Kikuu sijapata sikia jina hilo. Kwani hakuna pahala ambapo ameelezwa huyu Mtu na mchango wake.

Sasa wewe abda utujuze maana najua wengi sana tumemsikia kwa MS. Je ni wapi tungepata akhabar zake na mchango wake kwa JKN na Tanu kijumla?

Je unajuwa kwa nini kitabu cha MS cha Historia ya Tanganyika iliyosahaulika ni maarufu sana na kinatumiwa na University nyingi sana kama REJEO kuliko kile cha Kivukoni ambacho kinatumiwa kinyemela na UDSM pekee Duniyani?

Ahsantum Al Habib Moh'd Said kwa darsa zako kwani umetujuza mengi sana na tumenufaika sana. Allah akubariki saana.

Pole sana Yericko.
 

Bwanyenye tumeshaondoka huko na MS ameshakula kona..Unaongea kwa niamba ya mtu ambaye keshasepa?utafungwa bure mahakamani..
Camp zote zina mapungufu ya kivukoni na MS ila wote wapo pamoja ktk kitu Kimoja Nyerere wa iconic...huo uzushi mwingine na povu jingi.Ni ujinga na udini tuu ndio MS kala kona na hajabu hata swali moja.Nukuu zote zina mfavour Nyerere.Mengi ya tuliyojibu na kumuliza yalitoka zaidi ktk nukuu alizochagua na kuleta mwenyewe.Ndio maana akakosa pa kujishikilia.

Sijui kajisulubisha au kajihalalisha.....ila ni vyema akafuta mawazo aliyopea hapo juu kuhusu kitabu chake.

Tupo busy tunaangalia picture bora kabisa za mafundi wa zamani enzi hakuna digitali ambayo inakusaidia hadi kutafuta sura.
 
and the thread is officially closed.period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…