Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

We mpumbavu umejitahidi kumtetea huyu mjinga mwenzako aliyeleta huu uzi kama Nyerere sio baba yake kwanini asiambiwe na huo uchochezi mbona mumeshindwa kuuonyesha katafute mahali alipo Nguruvi ili uendelee kulishwa urinium
halafu nakushauri tena kwa mara nyingine punguza hii kitu au ikiwezekana acha kabisa
ni bora uendelee kula maembe na kamanda mwenzako Nicholas:heh::heh::heh:
 
Yericko Nyerere hembu waombe mods wafunge hii kitu.hawa jamaa hawana tena jipya.wanatamani hii thread iwe ya kidini km ilivyokuwa nia yao ktk vitabu alivyoandika huyu jamaa.

CC:Invincible,nguvuvi3

Teh teh teh, wewe si ndiyo umeleta mambo ya dini humu ukadhani kuna wajinga kama wewe ambao hawawezi kukujibu.

Sasa mnaomba msaada kwa mods, unacheza na vichwa vya madrassa, ukileta hoja za kiungwana utajibiwa kiungwana ukileta upumbavu utajibiwa kipumbavu.

Tufanye mijadala ya kiiungwana watu wajifunze siyo kuleta kejeli, wewe ndiyo umechangia sana sisi kumchana Yericko baada ya kejeli zako.

CC: home boys from Madrassa, gombesugu, The Big SHO, kahtaan, zomba, Mshume Kiyate, Spike Lee, Boko haram, hargeisa, Bin Faza, HASANALIS, The GOAT Mohamed Said,
 
Last edited by a moderator:
We makalio, wewe binafsi unajuaje kuwa yule sheikh ni 'biological father' wako mpaka uinue bichwa lako lililojaa matope ukijisifu kuwa ndio baba yako? wewe na huyo mwendawazimu mwenzako hamna hoja ndio maana mnakimbilia kujadili vitu rahisi kama nasaba za watu badala ya hoja za watu! ninyi ni mazuzu wa kutupwa.
 

Usihofu sasa hivi ni fungulia mbwa......vichwa vya ramli mjimwage kwa raha zenu.
 
sweet@Ritz sasa nenda kwa CEO,Yericho akakupe ajira ya nguvu yenye marupurupu,at least uwe busy kidogo.Kukesha JF could seriously harm your fragile health
Lady Alaska,

The Almighty judges us not by our past, but by our present condition so let's make sure that we improve.
 
Usihofu sasa hivi ni fungulia mbwa......vichwa vya ramli mjimwage kwa raha zenu.

Wewe kiongozi wa Chadema kutoka Rombo una vituko sana hebu jisome hapa chini, ha haa haa.
CCM wanashindwa jua akifa Mbowe,Lema au Slaa..ni mashujaa wa taifa na kizazi cha vijana...ila akifa mwana CCM ni faida kwa kambi ingine ya urais...na Laana ya taifa kuanguka..So wawe makini pia wanapopanda hii mbegu.
 
Lady Alaska,

The Almighty judges us not by our past, but by our present condition so let's make sure that we improve.
kwa hiyo the almighty does not judge your past-hizi copy and paste zitatucost-wewe kweli kichwa cha RAMLI
 
kwa hiyo the almighty does not judge your past-hizi copy and paste zitatucost-wewe kweli kichwa cha RAMLI

Lady Alaska,

Napenda ulivyosuka nywele walaahi, ndiyo marwadi yangu kila nikiangalia avatar yako unavyocheka, naona kiingereza kwako ni hatari sana wakati nyumbani kwangu kuna kasuku wanne niliwanunua Congo na Mbwa wawili ndiyo wanaongea kiingereza, teh teh teh,

Karibu kwenye mjadala mpya mimi na wewe napenda Avatar yako.
 
Ritz,

wape darasa vijana wetu, wao wanadhani sisi tupo kama vile wanavoambia wakiwa peke yao......

ikiwa hawajui basi nikwamba wakija kwa dini ya kiisalmu au kikiristo wamefika hapa, tunaijuwa bibilia kuliko mapadri wengi tu huko tanganyika na wakija katik auislmau watajaza wenyewao
 
kichwa kingine cha ramli
 
fungua thread mpya,no holds barred,winner takes all,na hakuna kusomeana albadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…