Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
We mpumbavu umejitahidi kumtetea huyu mjinga mwenzako aliyeleta huu uzi kama Nyerere sio baba yake kwanini asiambiwe na huo uchochezi mbona mumeshindwa kuuonyesha katafute mahali alipo Nguruvi ili uendelee kulishwa uriniumWewe mjinga kutoka Mtwara, nakwambia hivi, Mohamed Saidi hakuwahi kutukanwa hata siku moja bali aliambiwa ukweli unaouma sana kwake na kwenu nyie wafuasi wake mliokuwa mnafyonza sumu yake bila hata kutumia akili bali dini yenu. Ni kweli kabisa Mohamed Saidi hata bila kutumia akili aliamua kuoga na nyinyi watoto wajinga na watukutu mliyekuwa mnamtibulia maji akidhani angetakata, matokeo yake aliishia kuoga tope na kutoka akiwa mchafu zaidi! Mohamed Saidi aliulizwa maswali likuki ili atetee hoja zake lakini aliishia kuimba ule wimbo wake wa kipumbavu wa ati na nyie muandike kitabu cha kipumbavu kama chake! alipobanwa mbavu zaidi aliishia kujigamba na kujisifu kwamba anafahamika duniani kote hasa ulaya, Marekani na Ibadani! Kwalipi? kwa uongo na uzandiki wake! Nyie wajinga wake akaamua kuwafunga kamba ya ujinga kupitia imani za dini - poleni sana! Leo wewe mjinga mkuu na kiongozi wawajinga unakuja hapa kwa jitihada za kijinga ati unataka kujua baba yake Yericko ni nani! ajabu!kwanini usijiulize wewe baba yako ni nani? Mpumbavu usiye na maana wewe! jadili hoja, nasaba ya Yericko inamtoaje Mohamed Saidi katika shutuma alizotwishwa?
halafu nakushauri tena kwa mara nyingine punguza hii kitu au ikiwezekana acha kabisa