Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe mjinga kutoka Mtwara, nakwambia hivi, Mohamed Saidi hakuwahi kutukanwa hata siku moja bali aliambiwa ukweli unaouma sana kwake na kwenu nyie wafuasi wake mliokuwa mnafyonza sumu yake bila hata kutumia akili bali dini yenu. Ni kweli kabisa Mohamed Saidi hata bila kutumia akili aliamua kuoga na nyinyi watoto wajinga na watukutu mliyekuwa mnamtibulia maji akidhani angetakata, matokeo yake aliishia kuoga tope na kutoka akiwa mchafu zaidi! Mohamed Saidi aliulizwa maswali likuki ili atetee hoja zake lakini aliishia kuimba ule wimbo wake wa kipumbavu wa ati na nyie muandike kitabu cha kipumbavu kama chake! alipobanwa mbavu zaidi aliishia kujigamba na kujisifu kwamba anafahamika duniani kote hasa ulaya, Marekani na Ibadani! Kwalipi? kwa uongo na uzandiki wake! Nyie wajinga wake akaamua kuwafunga kamba ya ujinga kupitia imani za dini - poleni sana! Leo wewe mjinga mkuu na kiongozi wawajinga unakuja hapa kwa jitihada za kijinga ati unataka kujua baba yake Yericko ni nani! ajabu!kwanini usijiulize wewe baba yako ni nani? Mpumbavu usiye na maana wewe! jadili hoja, nasaba ya Yericko inamtoaje Mohamed Saidi katika shutuma alizotwishwa?
We mpumbavu umejitahidi kumtetea huyu mjinga mwenzako aliyeleta huu uzi kama Nyerere sio baba yake kwanini asiambiwe na huo uchochezi mbona mumeshindwa kuuonyesha katafute mahali alipo Nguruvi ili uendelee kulishwa urinium
halafu nakushauri tena kwa mara nyingine punguza hii kitu au ikiwezekana acha kabisa
A%20S-smoking.gif
ni bora uendelee kula maembe na kamanda mwenzako Nicholas:heh::heh::heh:
 
Yericko Nyerere hembu waombe mods wafunge hii kitu.hawa jamaa hawana tena jipya.wanatamani hii thread iwe ya kidini km ilivyokuwa nia yao ktk vitabu alivyoandika huyu jamaa.

CC:Invincible,nguvuvi3

Teh teh teh, wewe si ndiyo umeleta mambo ya dini humu ukadhani kuna wajinga kama wewe ambao hawawezi kukujibu.

Sasa mnaomba msaada kwa mods, unacheza na vichwa vya madrassa, ukileta hoja za kiungwana utajibiwa kiungwana ukileta upumbavu utajibiwa kipumbavu.

Tufanye mijadala ya kiiungwana watu wajifunze siyo kuleta kejeli, wewe ndiyo umechangia sana sisi kumchana Yericko baada ya kejeli zako.

CC: home boys from Madrassa, gombesugu, The Big SHO, kahtaan, zomba, Mshume Kiyate, Spike Lee, Boko haram, hargeisa, Bin Faza, HASANALIS, The GOAT Mohamed Said,
 
Last edited by a moderator:
We mpumbavu umejitahidi kumtetea huyu mjinga mwenzako aliyeleta huu uzi kama Nyerere sio baba yake kwanini asiambiwe na huo uchochezi mbona mumeshindwa kuuonyesha katafute mahali alipo Nguruvi ili uendelee kulishwa urinium
halafu nakushauri tena kwa mara nyingine punguza hii kitu au ikiwezekana acha kabisa
A%20S-smoking.gif
ni bora uendelee kula maembe na kamanda mwenzako Nicholas:heh::heh::heh:
We makalio, wewe binafsi unajuaje kuwa yule sheikh ni 'biological father' wako mpaka uinue bichwa lako lililojaa matope ukijisifu kuwa ndio baba yako? wewe na huyo mwendawazimu mwenzako hamna hoja ndio maana mnakimbilia kujadili vitu rahisi kama nasaba za watu badala ya hoja za watu! ninyi ni mazuzu wa kutupwa.
 
Teh teh teh, wewe si ndiyo umeleta mambo ya dini humu ukadhani kuna wajinga kama wewe ambao hawawezi kukujibu.

Sasa mnaomba msaada kwa mods, unacheza na vichwa vya madrassa, ukileta hoja za kiungwana utajibiwa kiungwana ukileta upumbavu utajibiwa kipumbavu.

Tufanye mijadala ya kiiungwana watu wajifunze siyo kuleta kejeli, wewe ndiyo umechangia sana sisi kumchana Yericko baada ya kejeli zako.

CC: home boys from Madrassa, gombesugu, The Big SHO, kahtaan, zomba, Mshume Kiyate, Spike Lee, Boko haram, hargeisa, Bin Faza, HASANALIS, The GOAT Mohamed Said,

Usihofu sasa hivi ni fungulia mbwa......vichwa vya ramli mjimwage kwa raha zenu.
 
sweet@Ritz sasa nenda kwa CEO,Yericho akakupe ajira ya nguvu yenye marupurupu,at least uwe busy kidogo.Kukesha JF could seriously harm your fragile health
Lady Alaska,

The Almighty judges us not by our past, but by our present condition so let's make sure that we improve.
 
Usihofu sasa hivi ni fungulia mbwa......vichwa vya ramli mjimwage kwa raha zenu.

Wewe kiongozi wa Chadema kutoka Rombo una vituko sana hebu jisome hapa chini, ha haa haa.
CCM wanashindwa jua akifa Mbowe,Lema au Slaa..ni mashujaa wa taifa na kizazi cha vijana...ila akifa mwana CCM ni faida kwa kambi ingine ya urais...na Laana ya taifa kuanguka..So wawe makini pia wanapopanda hii mbegu.
 
Lady Alaska,

The Almighty judges us not by our past, but by our present condition so let's make sure that we improve.
kwa hiyo the almighty does not judge your past-hizi copy and paste zitatucost-wewe kweli kichwa cha RAMLI
 
kwa hiyo the almighty does not judge your past-hizi copy and paste zitatucost-wewe kweli kichwa cha RAMLI

Lady Alaska,

Napenda ulivyosuka nywele walaahi, ndiyo marwadi yangu kila nikiangalia avatar yako unavyocheka, naona kiingereza kwako ni hatari sana wakati nyumbani kwangu kuna kasuku wanne niliwanunua Congo na Mbwa wawili ndiyo wanaongea kiingereza, teh teh teh,

Karibu kwenye mjadala mpya mimi na wewe napenda Avatar yako.
 
Ritz,

wape darasa vijana wetu, wao wanadhani sisi tupo kama vile wanavoambia wakiwa peke yao......

ikiwa hawajui basi nikwamba wakija kwa dini ya kiisalmu au kikiristo wamefika hapa, tunaijuwa bibilia kuliko mapadri wengi tu huko tanganyika na wakija katik auislmau watajaza wenyewao
 
kichwa kingine cha ramli
 
Lady Alaska,

Napenda ulivyosuka nywele walaahi, ndiyo marwadi yangu kila nikiangalia avatar yako unavyocheka, naona kiingereza kwako ni hatari sana wakati nyumbani kwangu kuna kasuku wanne niliwanunua Congo na Mbwa wawili ndiyo wanaongea kiingereza, teh teh teh,

Karibu kwenye mjadala mpya mimi na wewe napenda Avatar yako.
fungua thread mpya,no holds barred,winner takes all,na hakuna kusomeana albadili
 
Back
Top Bottom