Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
kwa hiyo kutokana na hotuba hii kitabu kilichotetewa mpaka Cambridge kinakuwa batili miongoni mwa academics-kina hold grounds kwa vipofu kama weweIngekuwa vizuri kama kuna mtu anayo video clip ya hotuba hiyo ya Nyerere... Inasemekana imechakachuliwa.
Ingekuwa vizuri kama kuna mtu anayo video clip ya hotuba hiyo ya Nyerere... Inasemekana imechakachuliwa.
hujajua hoja yake,vivo hivyo huwez kumjibia.jifunze kusoma between the lines-keyboard isikudanganye-kwani kakwambia anaitaji kutambulishwa kwenye hiyo foundation-mimi naona wewe ndio mtu wa kutambulishwa-wewe piga keyboard siku iende waachie watu kazi zao-i hope i dont have to cut you down to size again
Nimeshaiweka pale juu kabisa ya thread husika mkuu hebu isome
Mag3,Ritz wewe ni moja wa Cheerleaders wanaoshangilia Baba wa Taifa anapodhalilishwa humu ndani na hata siku moja sikuwahi kukusikia ukikemea hilo. Je ni kwa sababu yeye Mwalimu Nyerere hawezi kujitetea? Je unataka nidadavue humu nikuletee Mohamed Said anavyothubutu kumdhalilisha Mwalimu?...Kumbuka JF inatunza kumbu kumbu! Je kwa mawazo yako unaamini mtu aliyefanya utafiti kama anavodai Mohamed Said asingeweza kuipata hotuba hiyo ya Mwalimu alipowaaga Wazee wake wa Dar es Salaam na hotuba ikatangazwa moja kwa moja na redio Tanzania? Huo ndio nauita upuuzi!
anafahamika,,mimi na wewe pia sote twamfaham,au hilo pia hulijui au unaleta kejeli??daah pole sana kumbe mnalia msiba uliokwisha matanga? Sasa kumbe nabaini hukuelewa na hukusoma kabisa thread hii tangu ilipowekwa tarehe 12/01/2013,
naomba nikuulize swali la hapo kwenye rangi ya bluu. aliyeziondoa shule hizo kwenye mfumo huo ni nani?
Mag3, katika minakasha yote tumeelezea sana kuhusu hotuba hiyo kuanzia mwaka 2011.Ritz wewe ni moja wa Cheerleaders wanaoshangilia Baba wa Taifa anapodhalilishwa humu ndani na hata siku moja sikuwahi kukusikia ukikemea hilo. Je ni kwa sababu yeye Mwalimu Nyerere hawezi kujitetea? Je unataka nidadavue humu nikuletee Mohamed Said anavyothubutu kumdhalilisha Mwalimu?...Kumbuka JF inatunza kumbu kumbu! Je kwa mawazo yako unaamini mtu aliyefanya utafiti kama anavodai Mohamed Said asingeweza kuipata hotuba hiyo ya Mwalimu alipowaaga Wazee wake wa Dar es Salaam na hotuba ikatangazwa moja kwa moja na redio Tanzania? Huo ndio nauita upuuzi!
kwa hiyo kutokana na hotuba hii kitabu kilichotetewa mpaka Cambridge kinakuwa batili miongoni mwa academics-kina hold grounds kwa vipofu kama wewe
kwa hiyo nilikuwa naijua tanganyika african association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za taa. Sasa niliporudi, baada ya kukaa pugu siku chache, nikaja mjini dar es salaam. Nikauliza nani wanaongoza taa? nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa abdul sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.
ndugu zangu nimekata kipande cha hiyo hotuba alipotajwa abdulwahid sykes.
Sasa shuhudieni mambo.
Mimi nilisema nyerere kasahau cheo cha abdu.
Mwanae kaleta ushahidi kuwa baba yake alikuwa hadhir.
Hakusahau cheo cha abdu.
Sasa ni kweli abdu alikuwa ''katibu wakati huo?''
soma hii hapo chini:
nyerere mwenyewe kamwe hajazungumzia kuhusu uchaguzi huu au namna alivyokuja kuongoza taa dar es salaam. Kiasi cha karibu sana alichofika kumhusisha abdulwahid na historia yake kilikuwa katika ile hotuba ya kuwaaga wazee dar es salaam, na kwa bahati mbaya nyerere alipojaribu kumueleza abdulwahid, alishindwa kwa kuwa kwa kauli yake alisema hakumbuki cheo alichokuwa akishika abdulwahid katika taa wakati yeye nyerere alipojiunga na chama mwaka 1952. Hata hivyo gazeti la serikali, daily news [1] lilijaribu kurekebisha historia kwa kutaja cheo cha abdulwahid, ingawa kwa makosa, kwa kusema kuwa nyerere alipojiunga na taa makao makuu abdulwahid alikuwa katibu. ukweli ni kuwa nyerere alimkuta abdulwahid akiwa rais wa taa.
(kutoka ''maisha na nyakati za abdulwahid sykes...'')
sasa bwana nyerere hatuna sababu ya kuandikia mate na wino upo. Sasa tupatie hotuba katika sauti tumalize huu ubishi.
Ritz wewe ni moja wa Cheerleaders wanaoshangilia Baba wa Taifa anapodhalilishwa humu ndani na hata siku moja sikuwahi kukusikia ukikemea hilo. Je ni kwa sababu yeye Mwalimu Nyerere hawezi kujitetea? Je unataka nidadavue humu nikuletee Mohamed Said anavyothubutu kumdhalilisha Mwalimu?...Kumbuka JF inatunza kumbu kumbu! Je kwa mawazo yako unaamini mtu aliyefanya utafiti kama anavodai Mohamed Said asingeweza kuipata hotuba hiyo ya Mwalimu alipowaaga Wazee wake wa Dar es Salaam na hotuba ikatangazwa moja kwa moja na redio Tanzania? Huo ndio nauita upuuzi!
Nani kasema imechakachuliwa? lete iliyosalama mkuu
Ndiyo maana Mohamed Said anaulizwa...je, anakubali au anapinga hii hotuba kutolewa na Mwalimu Nyerere mbele ya wazee wake wa Dar es Salaam? Akishajibu tutaendelea...mpaka sasa bado anaomba muda, anadai hajaiona! Je kama ilitolewa, imekuwaje afanye utafiti wote huo miaka yote hiyo asiwe nayo? Ritz unataka video clip, sawa, je ngano zote anazomwaga Mohamed Said kama peremende, kwa nini unaziamini? Alitoa video?Ingekuwa vizuri kama kuna mtu anayo video clip ya hotuba hiyo ya Nyerere... Inasemekana imechakachuliwa.
wacha tuuh mimi niitwe mfuasi wako,wacha tuh wanikejeli na kunitusi,lakini ukweli huu unaoutoa kwa kweli una mantiki kubwa sana kwa jamii ya watu waliokuwa gizani,
thanks a lot.
Mwanakijiji kaishaandika mengi sana ambayo hayajafanikiwa.Mag3, katika minakasha yote tumeelezea sana kuhusu hotuba hiyo kuanzia mwaka 2011.
Mohamed anashikilia kuwa Nyerere hakuwataja wazee wake, na alizuia historia isiandikwe au iandikwe kama alivyotaka yeye( ushahidi upo). Sasa leo imewekwa maneno na ikiwezekana tutaweka video uone jinsi mwalimu alivyosema.
Hakuuma maneno alisema wakati yanafanyika alikuwa mkristo peke yake. Maana ya haya ni kubwa sana.
Mtu wa kaliba ya Nyerere haongei hovyo kuvuruga taifa anaongea kwa diplomasia. Leo ingekuwaje kama angesema ''wakristo hawakuwepo wakati naombewa dua''.
Ramia, Sykes na Tambaza kawataja, sasa sijui kipi kimebaki hadi anaambiwa hakuwaenzi.
Mwanakijiji aliwahi kuandika mahali kuwa historia ya Mohamed inaweza kusimama na kuanguka hapo hapo.
Kila siku linakuja jambo na kuchujua uzito wa hoja za hisia na kitabu,
Mkuu Maalim Mohamed Said, hotuba imewekwa kwa maandishi, neno kwa neno!.Niwekeeni hotuba.
Bado sijaiona.
Asante sana Son of Alaska lakini kama uonavyo, wapo watakaodai hata video...hawajui hata mwaka kituo cha kwanza cha Television kilipofunguliwa nchini! Ritz tayari anadai aliwahi kuisikia lakini...hatuamini hata sisi tuliokuwapo na kuipata "live".samahani MODERATORS,kama itakuwa ni kosa,nimempa mtu password yangu hili aingize audio ya ile hotuba ya nyerere-tuvumiliane but within 24 hours itakuwemo humu cause we need to get to the bottom of this-kanidokezea kwamba the omens are not good for MS
Ndiyo maana Mohamed Said anaulizwa...je, anakubali au anapinga hii hotuba kutolewa na Mwalimu Nyerere mbele ya wazee wake wa Dar es Salaam? Akishajibu tutaendelea...mpaka sasa bado anaomba muda, anadai hajaiona! Je kama ilitolewa, imekuwaje afanye utafiti wote huo miaka yote hiyo asiwe nayo? Ritz unataka video clip, sawa, je ngano zote anazomwaga Mohamed Said kama peremende, kwa nini unaziamini? Alitoa video?
Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.
Ndugu zangu nimekata kipande cha hiyo hotuba alipotajwa Abdulwahid Sykes.
Sasa shuhudieni mambo.
Mimi nilisema Nyerere kasahau cheo cha Abdu.
Mwanae kaleta ushahidi kuwa baba yake alikuwa hadhir.
Hakusahau cheo cha Abdu.
Sasa ni kweli Abdu alikuwa ''katibu wakati huo?''
Soma hii hapo chini:
Nyerere mwenyewe kamwe hajazungumzia kuhusu uchaguzi huu au namna alivyokuja kuongoza TAA Dar es Salaam. Kiasi cha karibu sana alichofika kumhusisha Abdulwahid na historia yake kilikuwa katika ile hotuba ya kuwaaga wazee Dar es Salaam, na kwa bahati mbaya Nyerere alipojaribu kumueleza Abdulwahid, alishindwa kwa kuwa kwa kauli yake alisema hakumbuki cheo alichokuwa akishika Abdulwahid katika TAA wakati yeye Nyerere alipojiunga na chama mwaka 1952. Hata hivyo gazeti la serikali, Daily News [1] lilijaribu kurekebisha historia kwa kutaja cheo cha Abdulwahid, ingawa kwa makosa, kwa kusema kuwa Nyerere alipojiunga na TAA makao makuu Abdulwahid alikuwa katibu. Ukweli ni kuwa Nyerere alimkuta Abdulwahid akiwa rais wa TAA.
(Kutoka ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'')
Sasa Bwana Nyerere hatuna sababu ya kuandikia mate na wino upo. Sasa tupatie hotuba katika sauti tumalize huu ubishi.