Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #1,861
Waliwezaje kuamua kwamba Kikwete ndiye mwislamu mwenzao na Prof. Lipumba sio?
Second, au the point here is waislamu ni wengi,ni zaidi ya 60% ya dini nyingine zote, na kwamba, waktristo walimpigia Dr. slaa na kura hazikutosha kwasababu hao wakrusto ni wachache sana.
Huyo ndo Mr. Researcher.
Hahaa huyo ndiye Mohamed Said, wanamtumia sana BBSwahiliTv, na Cambridge University wakimtaja kama mtaalamu wa historia ya siasa za afrika mashariki