Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jasusi,

Mimi sikuingia humu ndani kuja kufanya maskhara.
Mambo niandikayo ni mambo ninayoyafahamu na kufanya utafiti wa kina.

Watu ninaowashutumu kwa dhulma ni watu wakubwa wenye heshima zao.
kwa hiyo basi niandikapo kwanza natunguliza ''Bismilliah Rahman Rahim.''

Sitanii.
Chini ya kumtanguliza Allah siwezi kulinajisi jina lake kwa uongo.

Angalia hii na kwa kweli hiyo nukuu inatoka katika ''The Life and Times of Abdulwahid
Sykes...'' na si ngeni:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Betrayal of Ideals[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] On 5 th November, 1985, before he stepped down as president, Nyerere delivered an emotional speech to elders of Dar es Salaam.

Most of them were former members of TANU-the townsman who supported Nyerere during the struggle for independence
[1] Nyerere acknowledged the role of Muslims in those difficult days.

Nyerere told his audience that the imbalances between Muslims and Christians which his government had inherited from the British were rectified under his rule:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
''And they (Muslims) gave us chance through our education policies, to correct the imbalances which we have done.

I am now in the happy position of sometimes not knowing whether a new member of Parliament, a Minister, or a Principal Secretary in our government ministries, is a Muslim or a Christian or neither unless their first name happens to give it away. And even that is not a sure guide in Tanzania, for we have Christians with Muslim names, Muslims with Christian names. This religious tolerance and freedom is your creation; what I have done is to speak up for those values on your behalf.''
[2][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The speech was a farce.

The truth is that three decades after independence Muslim are not better off than they were under colonialism.

Sivalon has revealed that the Church has been able to create its own lobby which controls 75% of the seats in the parliament.

Among these seats 70% are held by Catholics and the rest are divided among Muslims and Christian denominations.
[3][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] See footnote no.19.

[2] Daily News, 6 th November, 1985

[3] Sivalon, op.cit. p. 49.

Kwa kukumbusha tu ni katika hotuba hii Nyerere alisema kuwa alipoingia TAA Dar es Salaam aliwakuta vijana wenzake Dossa na Abdul. Akasema hakumbuki Abdul alikuwa na cheo gani.

Hotuba hii inaogopwa.
Hairudiwi katika radio.

Sasa hapo uwongo uko wapi? Isn't it just a matter of opinion? Yeye aliona hali ya Waislamu ni bora sasa kuliko wakati wa ukoloni. That is debatable, lakini baada ya shule za misheni kutaifishwa na kuwezesha Waislamu zaidi kusoma wewe huoni kuwa hiyo ni improvement? Mbona sijakusikia unasifia hatua hiyo ya kupanua nafasi za masomo kwa Waislamu? Ukiangalia leo serikali vyeo vyote muhimu vimechukuliwa na waislamu, kuanzia rais, mkuu wa polisi, mkuu wa usalama, na hii ni kwa sababu ya nafasi za kusoma walizopata baada ya uhuru. Wewe huoni hiyo kuwa improvement? Pia kuna hotuba nyingi tu za Nyerere ambazo hazijarudiwa kwenye redio, what should we say about that?
 
Unamburuza mtu pale anapokuwa ameacha kufikiri na kuamua kila jambo nawe unafanya hivo kwa niaba yake. Hahoji, hadadisi wala hashtuki. Ntakupa mfano unaotokana na huu mjadala wetu hapa. Waislam wengi tu sasa hivi wanaamini yote anayoyasema na kuyaandika Mzee wetu Mohamed juu ya Mwalimu na utawala wake ni ya kweli.

Imefika mahala huyu mzee kalewa sifa hii. Anajiita "mimi ni authority" juu ya hili au lile. Cambridge, Havard,..., kote huko wamemkubali!

Askofu Kibwetele wa dhehebu la Movement for the Restoration of the ten Commandments, aliwakusanya waumini wake zaidi ya 500 na kuwafungia ndani ya kanisani kisha kulichoma moto.

Hapa unasema Askofu Joseph Kibwetele akuwaburuza waumini wake.

Lakini linapokuja suala Waislam kuwa kitu kimoja unasema wanaburuzwa.
 
Sasa hapo uwongo uko wapi? Isn't it just a matter of opinion? Yeye aliona hali ya Waislamu ni bora sasa kuliko wakati wa ukoloni. That is debatable, lakini baada ya shule za misheni kutaifishwa na kuwezesha Waislamu zaidi kusoma wewe huoni kuwa hiyo ni improvement? Mbona sijakusikia unasifia hatua hiyo ya kupanua nafasi za masomo kwa Waislamu? Ukiangalia leo serikali vyeo vyote muhimu vimechukuliwa na waislamu, kuanzia rais, mkuu wa polisi, mkuu wa usalama, na hii ni kwa sababu ya nafasi za kusoma walizopata baada ya uhuru. Wewe huoni hiyo kuwa improvement? Pia kuna hotuba nyingi tu za Nyerere ambazo hazijarudiwa kwenye redio, what should we say about that?
Wakati mwingine kaka yangu Jasusi kuhangaika na wafiaDINI ni kazi ngumu sana. Ogopa sana watu wanaoegesha hoja zao kwenye IMANI za watu. Tayari anakuwa amejihakikishia waungaji mkono. Wote wanaoitumikia serikali na CCM sio WAISLAM anaowalenga Mzee Mohamed. Hawa ni waasi/ wasaliti wa UISLAM na Waislam.

Mzee Mohamed alinishtua kidogo aliposema kumbe mwaka 2010 kampeni za kumrudisha JK madarakani zilikwenda hadi misikitini na mhalifu kama Ponda alitumika kikamilifu!
 
Askofu Kibwetele wa dhehebu la Movement for the Restoration of the ten Commandments, aliwakusanya waumini wake zaidi ya 500 na kuwafungia ndani ya kanisani kisha kulichoma moto.

Hapa unasema Askofu Joseph Kibwetele akuwaburuza waumini wake.

Lakini linapokuja suala Waislam kuwa kitu kimoja unasema wanaburuzwa.
Ritz unaelewa madhara ya "brain-washing" kwa hawa waumini wa madhehebu mapya ya kikristo. Waislam hawawezi na hawajawahi kuwa kitu kimoja. Hata sikukuu ya leo haiadhimishwi na madhehebu yote ya Kiislam.
 
1. Kwangu mimi kibwetele aliwaburuza waumini wa kanisa lake, nakubaliana na wewe100%, lakini waliburuzwa kwa sababu ya sintofaham yao (ignorance) Je wanaomfuata mohamed said nao nikama wale wa mpuuzi kibwetele?

Umoja wa waislamu nijukum la waislam wenyewe kwa mujibu wa kitabu chao kitukufu, si dhani kama hilo tunapinga wala halina tatizo kabisa.

Tatizo linakuja pale mohamedi Said anataka muwe kitu kimoja kumnanga nyerere, Mou, Necta na vigango vya kanisa, Kodi zawatanzania kuliwa na wakristu pekee nk. mambo ambayo hayana msingi wala tija zaidi ya kujenga chuki na ubaguzi.

1. Umoja wenu upo kwenye kitabu kitukufu cha koraani au kanisani?

2. Nani kazuia umoja wa waislam? kanisa? mbona Rais na makamo wa Rais waislam nao wanauzuia umoja huo?

3. Kama serikali ndiyo inayowazuia kuwa na umoja, kanisani mnafata nini wala msiilalamikie serikali? kikwete yupo pale vipi mohamed na kauli tata na malalamiko kila siku juu ya kanisa huko ndipo ulipo umoja wa waislam?

  1. kwa mtazamo wangu waislam wengi sana wanahekima na tunaishi vema na kwa amani mitaani, isipokuwa wachache ambao kwao neno amani, umoja na mshikamano wa watanzania ni kero na wapoteyari kuchafua hali ya hewa kwa visababu visivyo na maana wala tija. Hili ni kundi la akina Mohamed said, Ilunga na wafuasi wao hasa vijana wanakubali kuburuzwa bila kutafakali nini hatima ya ubaguzi na uchochezi wa hawa wahaini kama ilivokuwa kwa kibwetele

Waislam wote ni kitu kimoja Uislam una nguzo zake ambao ndiyo msingi wa dini.

Kutofautiana kwa madhehebu hizo ni Itirafu dogo dogo zimetajwa na Allah kwenye kitabu chake kuwa mtakapoitirafiana basi mrudi kwenye kitabu na sunna.

Uislam unakuwa kitu kimoja kwenye matendo na mafundisho. Wala uislam haungalii wingi unaangalia wale wanaomcha Allah hata kama wapo wachache.
 
1. Kwangu mimi kibwetele aliwaburuza waumini wa kanisa lake, nakubaliana na wewe100%, lakini waliburuzwa kwa sababu ya sintofaham yao (ignorance) Je wanaomfuata mohamed said nao nikama wale wa mpuuzi kibwetele?

Umoja wa waislamu nijukum la waislam wenyewe kwa mujibu wa kitabu chao kitukufu, si dhani kama hilo tunapinga wala halina tatizo kabisa.

Tatizo linakuja pale mohamedi Said anataka muwe kitu kimoja kumnanga nyerere, Mou, Necta na vigango vya kanisa, Kodi zawatanzania kuliwa na wakristu pekee nk. mambo ambayo hayana msingi wala tija zaidi ya kujenga chuki na ubaguzi.

1. Umoja wenu upo kwenye kitabu kitukufu cha koraani au kanisani?

2. Nani kazuia umoja wa waislam? kanisa? mbona Rais na makamo wa Rais waislam nao wanauzuia umoja huo?

3. Kama serikali ndiyo inayowazuia kuwa na umoja, kanisani mnafata nini wala msiilalamikie serikali? kikwete yupo pale vipi mohamed na kauli tata na malalamiko kila siku juu ya kanisa huko ndipo ulipo umoja wa waislam?

  1. kwa mtazamo wangu waislam wengi sana wanahekima na tunaishi vema na kwa amani mitaani, isipokuwa wachache ambao kwao neno amani, umoja na mshikamano wa watanzania ni kero na wapoteyari kuchafua hali ya hewa kwa visababu visivyo na maana wala tija. Hili ni kundi la akina Mohamed said, Ilunga na wafuasi wao hasa vijana wanakubali kuburuzwa bila kutafakali nini hatima ya ubaguzi na uchochezi wa hawa wahaini kama ilivokuwa kwa kibwetele

Nadhani umejibu bila kufuatilia mtiririko wa majibizano yangu na WilCard.

Waislam wana mwongozo wao ambao ni Quran na Sunna.

Kitabu cha Mohamed Said kinaelezea historia ya wazee wake waliotupwa katika historia ya kupigania uhuru. Bahati mbaya hao wazee wake wengi ni Waislam na harakati zao walizifanya kupitia jumuiya zao za Kiislam inakuwa ngumu kuuweka Uislam pembeni.

Mkuu jipangeni na nyie mje na kitabu kukifunika kitabu cha Mohamed Said.
 
Mkuu mimi nimekuelewa vema hebu soma post yako halafu pitia ya kwangu, uniambie wapi nimetoka nje ya uliyoyaandika (Rejea

maudhui ya hoja stahiki, mchango wako, ya kabwetele na umoja wa waislam na matumizi ya neno kuburuzwa unaweza kujadili

maswala yangu baada ya kuelewa. Tunahitaji historia ya watanzania sio wazee wa mohamed Said, aliyekwambia Tanzania

iliongozwa kwa ukabila wa ukoo wa mohamed ni nani?

quote_icon.png
By Ritz

Askofu Kibwetele wa dhehebu la Movement for the Restoration of the ten Commandments, aliwakusanya waumini wake zaidi ya 500 na kuwafungia ndani ya kanisani kisha kulichoma moto.

Hapa unasema Askofu Joseph Kibwetele akuwaburuza waumini wake.

Lakini linapokuja suala Waislam kuwa kitu kimoja unasema wanaburuzwa.

quote_icon.png
By adolay

1. Kwangu mimi kibwetele aliwaburuza waumini wa kanisa lake, nakubaliana na wewe100%, lakini waliburuzwa kwa sababu ya sintofaham yao (ignorance) Je wanaomfuata mohamed said nao nikama wale wa mpuuzi kibwetele?

Umoja wa waislamu nijukum la waislam wenyewe kwa mujibu wa kitabu chao kitukufu, si dhani kama hilo tunapinga wala halina tatizo kabisa.

Tatizo linakuja pale mohamedi Said anataka muwe kitu kimoja kumnanga nyerere, Mou, Necta na vigango vya kanisa, Kodi zawatanzania kuliwa na wakristu pekee nk. mambo ambayo hayana msingi wala tija zaidi ya kujenga chuki na ubaguzi.

1. Umoja wenu upo kwenye kitabu kitukufu cha koraani au kanisani?

2. Nani kazuia umoja wa waislam? kanisa? mbona Rais na makamo wa Rais waislam nao wanauzuia umoja huo?

3. Kama serikali ndiyo inayowazuia kuwa na umoja, kanisani mnafata nini wala msiilalamikie serikali? kikwete yupo pale vipi mohamed na kauli tata na malalamiko kila siku juu ya kanisa huko ndipo ulipo umoja wa waislam?

  1. kwa mtazamo wangu waislam wengi sana wanahekima na tunaishi vema na kwa amani mitaani, isipokuwa wachache ambao kwao neno amani, umoja na mshikamano wa watanzania ni kero na wapoteyari kuchafua hali ya hewa kwa visababu visivyo na maana wala tija. Hili ni kundi la akinaMohamed said, Ilunga na wafuasi wao hasa vijana wanakubali kuburuzwa bila kutafakali nini hatima ya ubaguzi na uchochezi wa hawa wahaini kama ilivokuwa kwa kibwetele
 
kaka duuu. Umeamua kuyaandika yale yaliokosa nafasi katika historia ya uhuru wa tanganyika ,ukiwa na imani kuna nyaraka muhimu zimetoweka sasa ni zipi?naona wewe ni waislam na wazee wa kariakoo tu
 
mkuu mimi nimekuelewa vema hebu soma post yako halafu pitia ya kwangu, uniambie wapi nimetoka nje ya uliyoyaandika (rejea

maudhui ya hoja stahiki, mchango wako, ya kabwetele na umoja wa waislam na matumizi ya neno kuburuzwa unaweza kujadili

maswala yangu baada ya kuelewa. Tunahitaji historia ya watanzania sio wazee wa mohamed said, aliyekwambia tanzania

iliongozwa kwa ukabila wa ukoo wa mohamed ni nani?

quote_icon.png
by ritz

askofu kibwetele wa dhehebu la movement for the restoration of the ten commandments, aliwakusanya waumini wake zaidi ya 500 na kuwafungia ndani ya kanisani kisha kulichoma moto.

Hapa unasema askofu joseph kibwetele akuwaburuza waumini wake.

Lakini linapokuja suala waislam kuwa kitu kimoja unasema wanaburuzwa.

quote_icon.png
by adolay

1. Kwangu mimi kibwetele aliwaburuza waumini wa kanisa lake, nakubaliana na wewe100%, lakini waliburuzwa kwa sababu ya sintofaham yao (ignorance) je wanaomfuata mohamed said nao nikama wale wa mpuuzi kibwetele?

umoja wa waislamu nijukum la waislam wenyewe kwa mujibu wa kitabu chao kitukufu, si dhani kama hilo tunapinga wala halina tatizo kabisa.

Tatizo linakuja pale mohamedi said anataka muwe kitu kimoja kumnanga nyerere, mou, necta na vigango vya kanisa, kodi zawatanzania kuliwa na wakristu pekee nk. mambo ambayo hayana msingi wala tija zaidi ya kujenga chuki na ubaguzi.

1. Umoja wenu upo kwenye kitabu kitukufu cha koraani au kanisani?

2. nani kazuia umoja wa waislam? Kanisa? Mbona rais na makamo wa rais waislam nao wanauzuia umoja huo?

3. Kama serikali ndiyo inayowazuia kuwa na umoja, kanisani mnafata nini wala msiilalamikie serikali? Kikwete yupo pale vipi mohamed na kauli tata na malalamiko kila siku juu ya kanisa huko ndipo ulipo umoja wa waislam?

  1. kwa mtazamo wangu waislam wengi sana wanahekima na tunaishi vema na kwa amani mitaani, isipokuwa wachache ambao kwao neno amani, umoja na mshikamano wa watanzania ni kero na wapoteyari kuchafua hali ya hewa kwa visababu visivyo na maana wala tija. Hili ni kundi la akinamohamed said, ilunga na wafuasi wao hasa vijana wanakubali kuburuzwa bila kutafakali nini hatima ya ubaguzi na uchochezi wa hawa wahaini kama ilivokuwa kwa kibwetele

sasa wapi katika mnakasha huu palipotamkwa ya kwamba tanzania inaongozwa kwa historia ya wazee wa moh' said??
Huko ni kuishiwa maneno kwa wazi wazi kabisa,historia fichwa inapofichuliwa kipi kinachowapa ukakasi kuitathimin na kuipokea?ama la kama mmeshindwa kuikubali hakuna aliewalazimisha kuiamini,ila kwa wenye kuiamin wanaona manufaa yake,na si hapa tanzania tuh,hii sasa ni dunia kwa ujumla wanausoma ukweli huu,kama unaweza panda pipa uende havard na oxford au cambridge ukatoe hoja zako na kuukanusha kwa hoja zenye mashiko watu waachane nao,lakini kuzid kutoa povu wakati ukweli huo una miaka 15 sasa watu wanazid kumiminika kuukubali na kuuthamini itakuwa wewe wa hapa tuh jamii forum?
No way out,victory won..!
 
kaka duuu. Umeamua kuyaandika yale yaliokosa nafasi katika historia ya uhuru wa tanganyika ,ukiwa na imani kuna nyaraka muhimu zimetoweka sasa ni zipi?naona wewe ni waislam na wazee wa kariakoo tu

Mkuu chasuzy

Mohamed said ni aina nyingine ya kibwetele, historia ya kulenga kabila lako halafu unaipalilia kuitwa ya taifa ni ukosefu wa

nidham ni kuwakosea adabu watanzania. kama ni ukabila aupeleke kwao wala sisi hatutamsakama. tunamsakama kwa

kutupotosha.

Mohamed ni kibwetele kwa sababu hoja zake zinajenga chuki na ubaguzi kwa watanzania, analenga kutuvuluga tuchapane na

mwisho tuangamie
kama wale wa yule mpuuzi kibwetele original wa uganda.

Watanzania wameoleana kwa imani tofauti, wapo walolelewa na wailslam ilhali wao wakristu tena kwa amani na upendo kabisa.

Leo anaibuka kibwetele kama mohamedi said anaanza waislam wanazulmiwa, ohoo Mou, mara Necta vigango vya kanisa, mara

mfumo kristo, mara Nyerere muwongo na anaghilina halafu anakanusha kutukana wala kufanya kejeli. na pia amewahi kukanusha

kuongelea MOU! ukimfutilia kwa makini unakuta yote anayoyakanusha anayatenada kwa usiri tena kwa kudhamilia na kuburuza

baadhi ya vijana kama alivofanya kibwetele.

Mohamedi kama Ilunga ni wahain wanaolenga kuliteketeza taifa kwa maslahi yao yaliyofichika, hatuyaelewi lakin lazima

watakuwa na ajenda yasiri.
 
sasa wapi katika mnakasha huu palipotamkwa ya kwamba tanzania inaongozwa kwa historia ya wazee wa moh' said??
Huko ni kuishiwa maneno kwa wazi wazi kabisa,historia fichwa inapofichuliwa kipi kinachowapa ukakasi kuitathimin na kuipokea?ama la kama mmeshindwa kuikubali hakuna aliewalazimisha kuiamini,ila kwa wenye kuiamin wanaona manufaa yake,na si hapa tanzania tuh,hii sasa ni dunia kwa ujumla wanausoma ukweli huu,kama unaweza panda pipa uende havard na oxford au cambridge ukatoe hoja zako na kuukanusha kwa hoja zenye mashiko watu waachane nao,lakini kuzid kutoa povu wakati ukweli huo una miaka 15 sasa watu wanazid kumiminika kuukubali na kuuthamini itakuwa wewe wa hapa tuh jamii forum?
No way out,victory won..!

Inawezekana mkuu unamuelewa zaidi mohamed, mimi nakuomba uipitie hii posti yake mstari kwa mstari halafu tutaijadili mimi

nawewe na hasa shutuma matusi na kejeli kwa nyerere, mfumo kristo, MOU vigango vya kanisa katika balaza la mitihani na hapo

kwa wazee wake tutajadili vilivyo nk

Mohamed ni kibwetele na kama kawaida ya kibwetele yeyoyte hakosi wafuasi ambao atawaburuza kwa vyovyote anavyotaka

quote_icon.png

By Mohamed Said

Umeingiza mambo mengi sana.
Kuna Zanzibar, elimu ya Waislam, matokeo mabaya ya shule za Kiislam, kuchinja.

Itakuwa tabu kufanya mjadala uliokuwa hauna mwelekeo ulionyooka.

Lakini kwa mukhtasari ukitaka historia ya Zanzibar na maendeleo yake itabidi tuanza kwa kuvamiwa
kwa Zanzibar na jeshi mamluki la Wamakonde kutoka Kipumbwi wakifadhiliwa na utawala wa Nyerere.

Kuanzia hapa tutaingia katika tatizo la Muungano na kwa nini leo Wazanzibari wanadai nchi yao.

Kuhusu elimu ya Waislam itatubidi tuje katika njama za Nyerere kuhujumu chuo kikuu cha Kiislam
kilichokuwa kijengwe Dar es Salaam mwaka 1968 na jinsi alivyotumia uongo na ghilba kuvunja EAMWS
na kuunda taasisi kibaraka BAKWATA.

Vipi shule za Waislam hazifanyi vyema inabidi tuje katika hujma ya NECTA kwa wanafunzi wa Kiislam na
tuupitie waraka wa marehemu Prof. Malima kuhusu yale aliyoyakuta Wizara ya Elimu mwaka 1987.

Wizara ya Elimu na NECTA vimegeuzwa vigango vya kanisa.

Kubwa zaidi ni kuwa Waislam kwa muda mrefu hatukuruhusiwa kujioganaizi nje ya BAKWATA kibaraka
wa serikali.

Makanisa mnaendelea kwa kupendelewa na serikali iliyojaza watendaji Wakristo sisi tungepewa hayo
mabilioni ya MoU kati ya Makanisa na Serikali tusingekuwa kama hivi.

Yapo mengi sasa chagua tuanze na lipi katika hayo hapu juu niliyokugusia.

Wajerumani waliwaweka Wayahudi katika ghetto kisha wakawa wanawalaumu kwa uchafu.
Kwenye ghetto hakuna maji wala misala sasa watu wafanyeje?

Mnatusimanga kwa hospitali mnazoendesha kwa hela ya kodi ya serikali kodi inayolipwa na raia
wote.

Tunabanwa na mfumokristo kisha mnatulaumu hatuna maendeleo
.
 
inawezekana mkuu unamuelewa zaidi mohamed, mimi nakuomba uipitie hii posti yake mstari kwa mstari halafu tutaijadili mimi

nawewe na hasa shutuma matusi na kejeli kwa nyerere, mfumo kristo, mou vigango vya kanisa katika balaza la mitihani na hapo

kwa wazee wake tutajadili vilivyo nk

mohamed ni kibwetele na kama kawaida ya kibwetele yeyoyte hakosi wafuasi ambao atawaburuza kwa vyovyote anavyotaka

quote_icon.png

by mohamed said

umeingiza mambo mengi sana.
Kuna zanzibar, elimu ya waislam, matokeo mabaya ya shule za kiislam, kuchinja.

Itakuwa tabu kufanya mjadala uliokuwa hauna mwelekeo ulionyooka.

Lakini kwa mukhtasari ukitaka historia ya zanzibar na maendeleo yake itabidi tuanza kwa kuvamiwa
kwa zanzibar na jeshi mamluki la wamakonde kutoka kipumbwi wakifadhiliwa na utawala wa nyerere.

Kuanzia hapa tutaingia katika tatizo la muungano na kwa nini leo wazanzibari wanadai nchi yao.

Kuhusu elimu ya waislam itatubidi tuje katika njama za nyerere kuhujumu chuo kikuu cha kiislam
kilichokuwa kijengwe dar es salaam mwaka 1968 na jinsi alivyotumia uongo na ghilba kuvunja eamws
na kuunda taasisi kibaraka bakwata.

vipi shule za waislam hazifanyi vyema inabidi tuje katika hujma ya necta kwa wanafunzi wa kiislam na
tuupitie waraka wa marehemu prof. Malima kuhusu yale aliyoyakuta wizara ya elimu mwaka 1987.

Wizara ya elimu na necta vimegeuzwa vigango vya kanisa.

Kubwa zaidi ni kuwa waislam kwa muda mrefu hatukuruhusiwa kujioganaizi nje ya bakwata kibaraka
wa serikali.

makanisa mnaendelea kwa kupendelewa na serikali iliyojaza watendaji wakristo sisi tungepewa hayo
mabilioni ya mou kati ya makanisa na serikali tusingekuwa kama hivi.

Yapo mengi sasa chagua tuanze na lipi katika hayo hapu juu niliyokugusia.

Wajerumani waliwaweka wayahudi katika ghetto kisha wakawa wanawalaumu kwa uchafu.
Kwenye ghetto hakuna maji wala misala sasa watu wafanyeje?

mnatusimanga kwa hospitali mnazoendesha kwa hela ya kodi ya serikali kodi inayolipwa na raia
wote.

tunabanwa na mfumokristo kisha mnatulaumu hatuna maendeleo
.

kwa kuwa umenipa uhuru wa kuchagua point ya kuanzia mazungumzo mimi na wewe,naanza kama ifuatavyo,nakunukuu
"mohamed ni kibwetele,na kama alivyo kibwetele hakosi wafuasi anaowaburuza",,na hapo kwenye wafuasi i think una maana ya wote wale wanaoziafiki hoja zake,,

1.kanusha kauli yako na uwaombe radhi wafuatiliaji na wachangiaji wa mjadala huu kwa kutia kwako maneno ya chuki na yenye ugomvi ndani yake ili kuharibu mandhari kuu ya mjadala huu,una kanusha ua haukanushi??
Na kama haukanushi,thibitshia wana mnakasha huu moh' said na kibwetele wanalandana kwa namna gani??
Kisha turudi kwenye majadiliano ya hoja mimi na wewe.
 
Ndugu zako waislamu wenyenye ni kama hawa akina Ritz, The big show, kichwangumu na wengine?

Kama ni hawa wala siumizi kichwa kuwauliza!

Tuendelee kuchambua ngano zako mkuu japo hupendezwi tukiita "NGANO" wakati ndio uhalisia stahiki.
Ushauri wa bure kwako Yericko!

Tafuta msaada kukabiliana na tatizo la IDENTITY CRISIS liliokukumba.

Wengi wetu tulikuachia ukumbi tukitarajia kuwa tutapata "vya jikoni" kutoka kwako (si kwa sababu wewe ni mwanahistoria au msomi), lakini imedhihirika wazi sasa kuwa hata huko "nyumbani kwenu" kwenyewe huaminiwi! hakuna tulichopata zaidi ya "Sheikh Issa bin Amer" na "kusamehewa" kwa kina Metusela Selemani komandoo!

Tafuta msaada wa tatizo ulilonalo kwanza.
 
ushauri wa bure kwako yericko!

Tafuta msaada kukabiliana na tatizo la identity crisis liliokukumba.

Wengi wetu tulikuachia ukumbi tukitarajia kuwa tutapata "vya jikoni" kutoka kwako (si kwa sababu wewe ni mwanahistoria au msomi), lakini imedhihirika wazi sasa kuwa hata huko "nyumbani kwenu" kwenyewe huaminiwi! Hakuna tulichopata zaidi ya "sheikh issa bin amer" na "kusamehewa" kwa kina metusela selemani komandoo!

Tafuta msaada wa tatizo ulilonalo kwanza.

yericko hapo ameionesha rangi yake ya uhalisia moja kwa moja.,
nafeel huruma sana juu yake,kwa sababu yeye ndie haswaa kaanzisha uzi huu,cha kushangaza ni yeye mwenyewe anaanza kunyooshea watu vidole.
 
kwa kuwa umenipa uhuru wa kuchagua point ya kuanzia mazungumzo mimi na wewe,naanza kama ifuatavyo,nakunukuu
"mohamed ni kibwetele,na kama alivyo kibwetele hakosi wafuasi anaowaburuza",,na hapo kwenye wafuasi i think una maana ya wote wale wanaoziafiki hoja zake,,

1.kanusha kauli yako na uwaombe radhi wafuatiliaji na wachangiaji wa mjadala huu kwa kutia kwako maneno ya chuki na yenye ugomvi ndani yake ili kuharibu mandhari kuu ya mjadala huu,una kanusha ua haukanushi??
Na kama haukanushi,thibitshia wana mnakasha huu moh' said na kibwetele wanalandana kwa namna gani??
Kisha turudi kwenye majadiliano ya hoja mimi na wewe.

Hili nalo ni swali mkuu!

Kibaraka wa kwanza niwewe, nitathibitisha.

Umekubaliana na maelezo ya mohamedi said kila siku, sihitaji ushahidi mwingi wa huko nyuma nikupoteza muda

angalia hii michango yako halafu kanusha kwamba wewe sio kibaraka wa mohamedi said

ndugu moh' said,mungu akubariki sana kwa darsa hili huru.

Unatakaka mungu ambaliki mohamedi kwa dalsa la posti yake hapo juu?

a) kwa kumwita nyerere Muwongo na mwenye Ghiliba unaweza thibitisha uwongo wa nyerere na ghiliba bila kuwacha mashaka?

b) kwakusema Necta ni vigango vya makanisa? unaweza kututhibitishia Necta wanaongoza na kufanya maombi ya wakatoliki kila siku na ndiyo majukum yao ya kiutendaji kila siku?

c) kwa kusema Mou inawafaidisha wakristu? Je waislam mmezuiwa na nani kuweka mou yenu kama anavyolalama Mohamedi

d) kwamba pale Necta mnafelishwa, Kunakumbukumbu za matokeo miaka mingi tu, je mshafatilia kuona jinsigani mnafelishwa ukiachana na lilekosa la islamic ambalo kulikuwa na makosa ya ukokotoaji (improper formula)?

kama oxford,cambridge na havard wanafikia hatua ya kuyapa heshima maandiko hayo,utakua wewe?
Hakuna wa kuweza kukukataza kuyaita histohisia ama ngano,ama historia fake and whatsoever,,
umeshindwa kuupokea ukweli kwa kuwa umekuwa una ukakasi na mgumu kumezeka kwako,pole sana na ujaribu tuh kuvumilia kama unachomwa na ukweli huo,haki hii itaendelea kusemwa tuh,hadi akili ziwakae sawa,na bila shaka zishaanza kuwakaa sawa sasa.

katika maelezo yako hapo juu yanaakisi msimamo wako na wala sio tatizo ni mfuasi wa mohamedi

Je wewe siyo mfuasi wa kibwetele (Mohamed)? unaweza kunijibu hapo juu maswali yangu tuhamie hoja nyingine utakayo ichaguwa katika maelezo yangu?
 
Unakasirika bure ndugu yangu.

Si kama hivyo umewaeleza wazalendo kutoka bara na juhudi zao?
Nao hao si walisahauliwa?

Lakini mstari mmoja hautoshi.
Ufanyike utafiti makini habari zao zitolewe kitabu.

Itakuwa tumewaenzi wazee wetu hawa.
 
Huenda kweli hukuwa na taarifa.
Waislam takriban wote walisahau vyama vyao wakampigia Kikwete.

Iko siku utafanyika utafiti na hiyo "pattern of voting itadhihirika."
Hapa ndipo tulipoifikisha nchi.

Nimeshangaa kuwa wewe umekuja kujua sasa.
 
Back
Top Bottom