Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

hiyo nyumba ndogo ndio M Said anadai ilijengwa na wazee wake
250480_282978208479595_1793905747_n.jpg
Unaposema anadai unapinga au unauliza? Hebu tufahamishe ilijengwa na nani? Nakushauri tu tulizana utajifunza mengi kwa Mohamed Said usiwe na papara.
 
[FONT=Arial [USER=12431]Mohamed Said[/USER], Jasusi, Mzee Mwanakijiji, THE BIG SHOW,
..nimepata kipande cha hotuba ya Mwalimu wakati akiwaaga wazee wa D'Salaam.
..bahati mbaya sijapata hotuba nzima. sijui kama miongoni mwenu yuko aliye na hotuba nzima.
..ile mjadala uwe mzuri basi tuwe na utaratibu wa ku-quote the original source. [/FONT]

Asante sana JokaKuu, nilikuwa nimeweka kalamu chini, lakini hii hotuba ya Baba wa Taifa ambayo sisi wengine kwa bahati tuliisikiliza "live", ngano za huyu mpuuzi na mchochezi, Mohamed Said, zilituacha mdomo wazi! Nianze kwanza kwa kutamka wazi wazi, "sitaomba radhi kwa kumuita mpuuzi na mchochezi" na kama JF itanifungia na iwe hivyo. Sijaanza kumuita hivyo leo, nilianza toka nianze kusoma makala yake ambayo ameyatumia kujipatia pesa kwa kueneza uwongo na chuki na kama kawaida hakukosa washabiki, watu wenye fikra finyu ambao kwa bahati mbaya sana idadi yao si ndogo. Ni kweli kama alivyowahi kusema Abraham Lincoln wa Marekani, "You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time"

Kama ni kweli kuna mhadhiri/wahadhiri wa UDSM walikataa kitabu cha huyu mchochezi kutumiwa kama reference ya historia ya Tanganyika, waliona mbali kwani walimwona mchochezi kwa rangi yake kamili. Mohamed Said hana tofauti yoyote na Sheikh Ponda, hana tofauti yoyote na Sheikh Ilunga na kama iko tofauti ni kwamba yeye amejipatia ulaji kupitia makala yake ya uwongo na ya kichochezi. Kabla sijaendelea namwomba Mohamed Said aseme hapa JF kama anakiri au anapinga hii hotuba iliyoletwa na JokaKuu kama ni kweli ilitolewa na Baba wa Taifa. Nina hakika ndugu zangu Waislaam wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, hawaungi mkono hizi njama za chuki zinazopandikizwa na watu hatari kama huyu, Mohamed Said.

Naomba kabla ya mtu yeyote kutoa mchango wake hapa asome kwa makini hii hotuba ya Baba wa Taifa halafu alinganishe na madai ya Mohamed Said...tuendelee!
 
Last edited by a moderator:
Unaona hapa anavyosutwa Mohamed? Ametuambia katika hotuba hii Nyerere alisema hajui au hakujua Abdul alikuwa na cheo gani. And sometimes it makes me wonder, why didn't Mohamed attempt to get a word from Nyerere when he started writing his book? Was it bias, was it hatred? Angetuwekea quote kama hii kitabu chake kingekuwa more authentic and balanced. But no.What a shame!

Ndugu zangu hebu wekeni hiyo hotuba ukumbini sote tuisikie.
Mbona mmekalia kushangilia tu.

Nipeni na mimi nafasi ya kuisikiliza mtanihukumu wakati
hotuba mnayo nyie peke yenu?

Hiyo siyo haki.

Uadilifu uko wapi hapo?
 
Asante sana JokaKuu, nilikuwa nimeweka kalamu chini, lakini hii hotuba ya Baba wa Taifa ambayo sisi wengine kwa bahati tuliisikiliza "live", ngano za huyu mpuuzi na mchochezi, Mohamed Said, zilituacha mdomo wazi! Nianze kwanza kwa kutamka wazi wazi, "sitaomba radhi kwa kumuita mpuuzi na mchochezi" na kama JF itanifungia na iwe hivyo. Sijaanza kumuita hivyo leo, nilianza toka nianze kusoma makala yake ambayo ameyatumia kujipatia pesa kwa kueneza uwongo na chuki na kama kawaida hakukosa washabiki, watu wenye fikra finyu ambao kwa bahati mbaya sana idadi yao si ndogo. Ni kweli kama alivyowahi kusema Abraham Lincoln wa Marekani, "You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time"

Kama ni kweli kuna mhadhiri/wahadhiri wa UDSM walikataa kitabu cha huyu mchochezi kutumiwa kama reference ya historia ya Tanganyika, waliona mbali kwani walimwona mchochezi kwa rangi yake kamili. Mohamed Said hana tofauti yoyote na Sheikh Ponda, hana tofauti yoyote na Sheikh Ilunga na kama iko tofauti ni kwamba yeye amejipatia ulaji kupitia makala yake ya uwongo na ya kichochezi. Kabla sijaendelea namwomba Mohamed Said aseme hapa JF kama anakiri au anapinga hii hotuba iliyoletwa na JokaKuu kama ni kweli ilitolewa na Baba wa Taifa. Nina hakika ndugu zangu Waislaam wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, hawaungi mkono hizi njama za chuki zinazopandikizwa na watu hatari kama huyu, Mohamed Said.

Naomba kabla ya mtu yeyote kutoa mchango wake hapa asome kwa makini hii hotuba ya Baba wa Taifa halafu alinganishe na madai ya Mohamed Said...tuendelee!

Kwakweli huyu Mchochezi amenisononesha sana, imenilazimu kuiweka hiyo hotuba juu kapisa ya uzi huu kwalengo la walimwengu waone wote
 
hiyo nyumba ndogo ndio M Said anadai ilijengwa na wazee wake
250480_282978208479595_1793905747_n.jpg

In early 1930's Kleist oversaw under a self-help scheme the building of the Association's headquarters at New Street (now Lumumba Street).

This is the building which TANU came to be born on 7 th July, 1954.

The building still stands today though not in its original form.

It now forms part of the headquarters of the ruling party, the Chama
cha Mapinduzi (CCM). The old building was built from lime, mud and stones as was usual in those times. Lime was used in place of cement.

As a young boy, Abdulwahid grew up seeing his father with other members building the African Association headquarters at New Street (currently known as Lumumba Street) with their own hands on Sundays under a self-help scheme.

Asante sana JokaKuu, nilikuwa nimeweka kalamu chini, lakini hii hotuba ya Baba wa Taifa ambayo sisi wengine kwa bahati tuliisikiliza "live", ngano za huyu mpuuzi na mchochezi, Mohamed Said, zilituacha mdomo wazi! Nianze kwanza kwa kutamka wazi wazi, "sitaomba radhi kwa kumuita mpuuzi na mchochezi" na kama JF itanifungia na iwe hivyo. Sijaanza kumuita hivyo leo, nilianza toka nianze kusoma makala yake ambayo ameyatumia kujipatia pesa kwa kueneza uwongo na chuki na kama kawaida hakukosa washabiki, watu wenye fikra finyu ambao kwa bahati mbaya sana idadi yao si ndogo. Ni kweli kama alivyowahi kusema Abraham Lincoln wa Marekani, "You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time"

Kama ni kweli kuna mhadhiri/wahadhiri wa UDSM walikataa kitabu cha huyu mchochezi kutumiwa kama reference ya historia ya Tanganyika, waliona mbali kwani walimwona mchochezi kwa rangi yake kamili. Mohamed Said hana tofauti yoyote na Sheikh Ponda, hana tofauti yoyote na Sheikh Ilunga na kama iko tofauti ni kwamba yeye amejipatia ulaji kupitia makala yake ya uwongo na ya kichochezi. Kabla sijaendelea namwomba Mohamed Said aseme hapa JF kama anakiri au anapinga hii hotuba iliyoletwa na JokaKuu kama ni kweli ilitolewa na Baba wa Taifa. Nina hakika ndugu zangu Waislaam wenye mapenzi ya kweli na taifa hili, hawaungi mkono hizi nja:smile:ma za chuki zinazopandikizwa na watu hatari kama huyu, [MENTION=12431]Mohamed Said[/MENTIO

Naomba kabla ya mtu yeyote kutoa mchango wake hapa asome kwa makini hii hotuba ya Baba wa Taifa halafu alinganishe na madai ya Mohamed Said...tuendelee!
Mag3,

Kwa umri wako kuanza kuporomosha matusi ni aibu sana hata kama utaleta hoja ya msingi itakuwa vigumu kukubalika mbele ya jukwaa.nacho kushauri ficha upumbavu wako onyesha hekima zako ukubwa ni jalala.
 
Last edited by a moderator:
ndugu zanguni hebu tutulie kwanza.

Tusisikize hotuba sote tusikie kile kipande alichosema
hakumbuki cheo cha abdu kipo?

Kama kataja cheo chake hayo yatakuwa maajabu makubwa.
Kama kipande kimenyofolewa....

Kuwa na subra tusikize hatoba kwanza.

Ogopa kusema sana kwenye jambo usokuwa na ithibati nalo.
Mie humu sifanyi maskhara.

Nimetafiti na kuandika kitabu tena sasa kina miaka 15.
Ni kitabu rejea katika african studies duniani.

Hasomi mtu political history ya tanzania sharti atakipitia kitabu changu.
Iwe niseme nyerere kasahau cheo cha abdu kisha iwekwe tape anasikika
nyerere anasema, ''abdu alikuwa rais wa taa.''

kila nilichosema katika kitabu kitabomoka.
Usomi hauna stamala na mtu muongo.

katika hotuba yake ya kuaga nyerere aliwasifu wazee wa kiislamu waliomuunga mkono wakati wa kudai uhuru bila ya kumbagua kwa dini yake, katika hotuba hii alisema kuwa taa ilikuwa haina nguvu yeye alipochukua uongozi. Nyerere hakutoa hadhi iliyostahili kwa taa wala kwa abdulwahid. Alipojaribu kumueleza abdulwahid alisema kuwa yeye hakumbuki abdulwahid alikuwa na cheo gani katika taa wakati yeye anajiunga. Gazeti la serikali daily news siku ya pili yake, ilisahihisha hotuba ya nyerere na kusema kuwa nyerere alipojiunga na na taa abdulwahid sykes alikuwa katibu. Ukweli hasa ni kuwa abdulwahid alikuwa rais wa taa. Mkanda wa kunasa sauti wa hotuba hii unapatikana maktaba ya radio tanzania, dar es salaam.

tuko pamoja sana,huyo kama anahitaji kuwafikia wakubwa wa mwlm nyerere foundation kwa kuutafuta undani zaid mimi najitolea kwa ajili yake,anipm nitampeleka hadi kwa msemaji na katibu wa foundation hiyo mjomba yangu gallus abeid,aliewahi kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro enzi hizo hadi nyumbani kwake tegeta dar es salaam,au kwa joseph butiku hadi mlangoni kwake na kumtambulisha kwa kwao ili asipate taabu,au hata akihitaji namba zao na anuani zao za uhakika nampatia kwa uhakika,
atambue tuh ya kwamba huu mjadala ni m-pana sana na yapo mengi yaliyofichikana,mjomba wangu mimi kasomeshwa na shule za misheni,lakini ilimbid abadili dini hadi jina kwa muda ili aipate elimu hiyo kwa manufaa ya maisha yake,najua kwa wafuatiliaji wengi na wanaoifaham mwlm nyerere foundation kwa ukaribu wanaweza mtambua ndugu gallus abeid,lile ni jina lake la ubatizo kutoka kwenye uislm ili aweze fanikisha kuipata elimu ya kisecular zama hizo,vijana wa nangwanda sijaona hao,
ndugu moh' said endelea kumwaga darsa ndugu.
 
Mkuu hizo ni sehemu ya NGANO tena za kufikirika chini ya kiwango kabisa,

Kikwete kasoma shule za misheni, ehee tuambie jina lake la ubatizo?

Kwenda Mwalimu Nyerere Foundation haihitaji msaada wa kupelekwa, ile ni taasisi sio sehemu yakujificha ama iliyomafichoni.

Someni hotuba ile juu
 
tuko pamoja sana,huyo kama anahitaji kuwafikia wakubwa wa mwlm nyerere foundation kwa kuutafuta undani zaid mimi najitolea kwa ajili yake,anipm nitampeleka hadi kwa msemaji na katibu wa foundation hiyo mjomba yangu gallus abeid,aliewahi kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro enzi hizo hadi nyumbani kwake tegeta dar es salaam,au kwa joseph butiku hadi mlangoni kwake na kumtambulisha kwa kwao ili asipate taabu,au hata akihitaji namba zao na anuani zao za uhakika nampatia kwa uhakika,
atambue tuh ya kwamba huu mjadala ni m-pana sana na yapo mengi yaliyofichikana,mjomba wangu mimi kasomeshwa na shule za misheni,lakini ilimbid abadili dini hadi jina kwa muda ili aipate elimu hiyo kwa manufaa ya maisha yake,najua kwa wafuatiliaji wengi na wanaoifaham mwlm nyerere foundation kwa ukaribu wanaweza mtambua ndugu gallus abeid,lile ni jina lake la ubatizo kutoka kwenye uislm ili aweze fanikisha kuipata elimu ya kisecular zama hizo,vijana wa nangwanda sijaona hao,
ndugu moh' said endelea kumwaga darsa ndugu.
JIFUNZE kusoma between the lines-keyboard isikudanganye-kwani kakwambia anaitaji kutambulishwa kwenye hiyo foundation-mimi naona wewe ndio mtu wa kutambulishwa-wewe piga keyboard siku iende waachie watu kazi zao-i hope i dont have to cut you down to size again
 
Vipi nitakuwa na hamu ya mnakasha wakati ndugu yangu umehamaki
unanitukana.

Mchochezi, mchochezi, mchochezi.

Sasa heshima yangu iko wapi?

Niwekeeni hotuba.

Bado sijaiona.

Mkuu kiswahili unakijua kweli? Mchochezi ni tusi au sifa ya mtu?

Hotuba ipo juu ya thread hii, nimeinakishi na rangi ya bluu hivi.
 
mkuu hizo ni sehemu ya ngano tena za kufikirika chini ya kiwango kabisa,

kikwete kasoma shule za misheni, ehee tuambie jina lake la ubatizo?

Kwenda mwalimu nyerere foundation haihitaji msaada wa kupelekwa, ile ni taasisi sio sehemu yakujificha ama iliyomafichoni.

Someni hotuba ile juu

katibu wa jumuiya hiyo ndugu gallus abeid mmakonde mwenzangu,ni mjomba wangu wa damu kabisa,mzaliwa wa tandahimba,kaoa kijiji cha litehu.,

umri wa kikwete ni tofauti na umri wa mzee gallus na mzee butiku,,
enzi kina kikwete wanasoma shule zilikuwa zishaondolewa kwenye mfumo huo,,
kikwete kasoma kibaha,kisha akaenda tanga school kabla hajajiunga na chuo kikuu.
 
umeiweka au umeibandika??haujanyofoa na kuyabandua baadhi ya maneno??
Weka sauti yake julius tumskie,na hilo halituondoi kwenye hoja kuu ya mnakasha huu,
weka hotuba yake na sauti yake tumskie.

Niinyofoe kwakumhofia nani?

Ukipewa sauti hutaamini, kisha utaomba video na mwisho utataka kumuona live Hayati Mwalimu Nyerere
 
Mag3,Kwa umri wako kuanza kuporomosha matusi ni aibu sana hata kama utaleta hoja ya msingi itakuwa vigumu kukubalika mbele ya jukwaa.nacho kushauri ficha upumbavu wako onyesha hekima zako ukubwa ni jalala.
Ritz wewe ni moja wa Cheerleaders wanaoshangilia Baba wa Taifa anapodhalilishwa humu ndani na hata siku moja sikuwahi kukusikia ukikemea hilo. Je ni kwa sababu yeye Mwalimu Nyerere hawezi kujitetea? Je unataka nidadavue humu nikuletee Mohamed Said anavyothubutu kumdhalilisha Mwalimu?...Kumbuka JF inatunza kumbu kumbu! Je kwa mawazo yako unaamini mtu aliyefanya utafiti kama anavodai Mohamed Said asingeweza kuipata hotuba hiyo ya Mwalimu alipowaaga Wazee wake wa Dar es Salaam na hotuba ikatangazwa moja kwa moja na redio Tanzania? Huo ndio nauita upuuzi!
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa vizuri kama kuna mtu anayo video clip ya hotuba hiyo ya Nyerere... Inasemekana imechakachuliwa.
 
katibu wa jumuiya hiyo ndugu gallus abeid mmakonde mwenzangu,ni mjomba wangu wa damu kabisa,mzaliwa wa tandahimba,kaoa kijiji cha litehu.,

umri wa kikwete ni tofauti na umri wa mzee gallus na mzee butiku,,
enzi kina kikwete wanasoma shule zilikuwa zishaondolewa kwenye mfumo huo,,
kikwete kasoma kibaha,kisha akaenda tanga school kabla hajajiunga na chuo kikuu.

Daah pole sana kumbe mnalia msiba uliokwisha matanga? Sasa kumbe nabaini hukuelewa na hukusoma kabisa thread hii tangu ilipowekwa tarehe 12/01/2013,

Naomba nikuulize swali la hapo kwenye rangi ya bluu. Aliyeziondoa Shule hizo kwenye mfumo huo ni nani?
 
Back
Top Bottom