Naongea kama Ritz, hayo ni mawazo yangu Mohamed Said naye ana mawazo yake, wewe nikunasibishe na nani ukoo wa Nyerere?Ndiyo maana Mohamed Said anaulizwa...je, anakubali au anapinga hii hotuba kutolewa na Mwalimu Nyerere mbele ya wazee wake wa Dar es Salaam? Akishajibu tutaendelea...mpaka sasa bado anaomba muda, anadai hajaiona! Je kama ilitolewa, imekuwaje afanye utafiti wote huo miaka yote hiyo asiwe nayo? Ritz unataka video clip, sawa, je ngano zote anazomwaga Mohamed Said kama peremende, kwa nini unaziamini? Alitoa video?
Mkuu Maalim Mohamed Said, hotuba imewekwa kwa maandishi, neno kwa neno!.
"Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.
Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.
Wakati huo mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo Anautouglou. Kwenye mkutano huu wakanichagua kuwa Rais wao – wa TAA.
Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.
Sasa kama yalioandikwa yote ni kweli ndiyo yaliyotamkwa, then wewe kuitwa mchochezi sio kutukanwa bali huo ndio ukweli halisi wa "the motive behind" kitabu chako!.
Ila pia kwa sisi Waafrika tunaoamini imani za mizimu, kumsingizia marehemu kunaleta laana ya aina fulani, nakushauri utubu ungali hai ili kuiepushia "bad karma" familia yako utakayoiacha nyuma baada ya wewe kutangulia mbele ya haki, isije kuadhibiwa kwa makosa yako!. Huu ni ushauri tuu na only if you belive the universal law of "cause and effects", "karma" haina mswalie Mtume wala haina huruma kwa wasio na hatia!.
Pasco.
samahani moderators,kama itakuwa ni kosa,nimempa mtu password yangu hili aingize audio ya ile hotuba ya nyerere-tuvumiliane but within 24 hours itakuwemo humu cause we need to get to the bottom of this-kanidokezea kwamba the omens are not good for ms
Mkuu Maalim Mohamed Said, hotuba imewekwa kwa maandishi, neno kwa neno!.
"Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.
Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.
Wakati huo mambo yalikuwa yanasinzia kidogo. Kwa muda mfupi mwaka ule, tukafufua-fufua, hasa kutoka Januari. Kufika Aprili, TAA ikafufuka. Tukafanya mkutano hapo Anautouglou. Kwenye mkutano huu wakanichagua kuwa Rais wao – wa TAA.
Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.
Sasa kama yalioandikwa yote ni kweli ndiyo yaliyotamkwa, then wewe kuitwa mchochezi sio kutukanwa bali huo ndio ukweli halisi wa "the motive behind" kitabu chako!.
Ila pia kwa sisi Waafrika tunaoamini imani za mizimu, kumsingizia marehemu kunaleta laana ya aina fulani, nakushauri utubu ungali hai ili kuiepushia "bad karma" familia yako utakayoiacha nyuma baada ya wewe kutangulia mbele ya haki, isije kuadhibiwa kwa makosa yako!. Huu ni ushauri tuu na only if you belive the universal law of "cause and effects", "karma" haina mswalie Mtume wala haina huruma kwa wasio na hatia!.
Pasco.
samahani MODERATORS,kama itakuwa ni kosa,nimempa mtu password yangu hili aingize audio ya ile hotuba ya nyerere-tuvumiliane but within 24 hours itakuwemo humu cause we need to get to the bottom of this-kanidokezea kwamba the omens are not good for MS
unaposema gazeti la serikali, daily news lilirekebisha cheo cha abdul, na katika hotuba ya mwalimu ya kuaga mbele ya wazee wa dar mwalimu alisema wazi kuwa abdul alikuwa katibu wa tanu, je unataka tukuamini wewe kwa uthibitisho upi?
Sasa unaanza kuchanganya mambo...kwanza unaanza kwa kunukuu kitabu ulichokiandika wewe mwenyewe, duh! Pili ni kikao gani kilichomchagua Abdulwahid Sykes kuwa Raisi wa TAA na kama alikuwa Raisi, katibu alikuwa nani? Kumbuka baada ya Raisiwa TAA wa kuchaguliwa, Dr. Kyaruzi, kupewa uhamisho wa nguvu mwaka 1951 na wakoloni, hakuwahi kuchaguliwa Raisi mpya...tuanzie hapo.Sasa ni kweli abdu alikuwa ''katibu wakati huo?''
ukweli ni kuwa Nyerere alimkuta Abdulwahid akiwa rais wa TAA.
(kutoka ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'')
Unaposema gazeti la serikali, Daily News lilirekebisha cheo cha Abdul, na katika hotuba ya Mwalimu ya kuaga mbele ya Wazee wa Dar Mwalimu alisema wazi kuwa Abdul alikuwa Katibu wa TANU, Je unataka tukuamini wewe kwa uthibitisho upi?
sasa kumbe hata wewe mwenyewe umeicopy na kui-paste bila ya kuwa na uhakika wa uhalisia wa hotuba ya sauti??tutashukuru sana mkuu, nitawaomba mods waiweke pale chini ya hotuba ya maandishi ili walimwengu wote washuhudie
ushaanza kuogopa hata audio haijaingia-the truth will always prevaildah,this is so childish.
Sasa kama umempa mtu pasword yako ili aweke link ya hiyo hotuba ya saut,sasa unawaomba moderators unawaomba samahani kivipi??
Pole sana,kaa chini kwa adabu upewe darsa huru hili.
Sasa unaanza kuchanganya mambo...kwanza unaanza kwa kunukuu kitabu ulichokiandika wewe mwenyewe, duh! Pili ni kikao gani kilichomchagua Abdulwahid Sykes kuwa Raisi wa TAA na kama alikuwa Raisi, katibu alikuwa nani? Kumbuka baada ya Raisiwa TAA wa kuchaguliwa, Dr. Kyaruzi, kupewa uhamisho wa nguvu mwaka 1951 na wakoloni, hakuwahi kuchaguliwa Raisi mpya...tuanzie hapo.
vipi nitakuwa na hamu ya mnakasha wakati ndugu yangu umehamaki
unanitukana.
Mchochezi, mchochezi, mchochezi.
Sasa heshima yangu iko wapi?
Niwekeeni hotuba.
bado sijaiona.
ushaanza kuogopa hata audio haijaingia-the truth will always prevail
Mkuu Yericko, lengo ni kujaribu kumuepushia Mzee wetu Maalim Mohamed Said na laana ya kumsingizia marehemu!, kuna watu wana hatari sio kuchomwa na moto tuu wa jehanum, bali kugeuzwa kuni!. Uchochezi tuu peke yake ni dhabi tosha, achilia mbali kumsingizia marehemu!. Tunasubiri audio mzee aanze kutubu dhambi zake!.Hahaaa Pasco nimekuwa muumini sana wa michango yako hasa ile ya hoja tata, daah hapa sina mbavu kwakicheko.
Asante sana Son of Alaska lakini kama uonavyo, wapo watakaodai hata video...hawajui hata mwaka kituo cha kwanza cha Television kilipofunguliwa nchini! Ritz tayari anadai aliwahi kuisikia lakini...hatuamini hata sisi tuliokuwapo na kuipata "live".
sisi tunashangaa sana,matusi ya nini na kejeli hali ya kuwa hapa watu wanajibishana kwa hoja?
Inaleta picha tofauti sana kwa kweli.
Yapo wapi matusi? unajua sheria za JF? Kama kuna mtu katukana Mods wangeshamtendea haki yake.
Kejeli ni sehehemu ya burudani ya mnakasha.