Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
nchi hii maisha itakuw maskini. kama wanaharakati wetu wamevaa makoti ya udini ili tu kanisa liwe juu badala ya nchi. tuko mbali kufikia maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akiguswa nyerere wakiristo hao. kwanini tena. si Alikuwa rais wa tz na sio askofu? kwani katajwa papa au kadinal hapa? SI mwalimu alietupeleka Uganda katika vita vya kipropaganda?
Nashauri wewe,The Big Show,na Boko Haram muwe wasomaji tu ili mjifunze...huu mjadala uko juu ya level yenu kwa hivyo mnatuharibia mtiririko mzima kwa sisi tunaofatilia.No offence
Ndugu zangu wote mnaofuatilia mjadala huu kwa siku ya 12 leo,
Naomba nimfungue macho na akili rasmi Mzee wetu huyu mpigania Dini kwa mgongo wa Uhuru wa nchi hii.
Nitaeleza kwa kifupi tu yale anayoyalilia Mohamed Said juu ya WAZEE wake.
Ukweli nikuwa kuanzia mwaka 1955 kulianza kuibuka milengo tofauti kwa baadhi ya washarika wa ukombozi ndani ya TANU,
Hasa hasa milengo hiyo ilikuwa ni kuweka DINI mbele yaani iwe ndio tiketi halisi yakupigania uhuru na sio Utanganyika wao, na baada tu ya kupata uhuru, baadhi ya wazee waliokuwa beba kwa bega na Mwalimu WALIASI rasmi nakuanza kuendesha vita ya chini kwa chini yakumpindua Mwalimu chini DINI.
Mwalimu Nyerere kwakutumia falsafa ya malengo yake ya tangu akiwa Tabora Boys Sec Schoo, Makerere University, na pale Scotland akiwa sambamba na wanaukombozi wasomi wenzie waliweza kuanzisha mfumo stahiki wa kufuta UDINI, UKABILA, Urangi, Ukanda nk.
Waliamua kuwafanya Watanganyika kuwa kitu KIMOJA.
Sasa mgogoro ulikuja kwa WAASI, kwakuwa hawakukubaliana na sera za Serikali mpya ya Mwalimu, wakaziidisha vurugu kwakushawishi makundi kadhaa ya kiroho yaenzi uasi huo, hilo lilipelekea serikali kuchukua hatua madhubuti dhidi yao!
Ndiomaana mashehe wengi walitiwa kizuizini na wengine kufukuzwa nchini.
Hilo halikuwakumba waislamu tu kwani uasi huo ulikuwa hata kwa makasisi waliotaka itikadi zao ipewe kipaumbele zaidi na serikali ya Mwalimu Nyerere.
Mohamed Said kuwa mkweli, waambie ukweli watanzania (waislamu) kuwa wazee wako waliasi serikali mpya ya mwalimu na ndipo madhila hayo wakayapata.
hutaki sisi tusichangie kwa kuwa,nashauri wewe,the big show,na boko haram muwe wasomaji tu ili mjifunze...huu mjadala uko juu ya level yenu kwa hivyo mnatuharibia mtiririko mzima kwa sisi tunaofatilia.no offence
achana nao. hawana hoja, wamepigwa msumari wa moto na sheikh mohammed said wanahaha. kama nyerere alikaa kimya. madaraka nyerere kaukimbia Mjadala. ataweza yeye?hutaki sisi tusichangie kwa kuwa,
1.tunamuunga mkono mtoa hoja na kuwapinga wale wanaokosoa?
2.sisi tuna onekana kias fulani ni waislam?
3.tumeegemea kutaka facts ziwekwe kuliko kumshutum moh' said moja kwa moja na kuziacha hoja zale pasi na utetez wenu wowote?
Yericko na moh' said wamatambau umuhim wetu kwenye huu mjadala,ungejaribu kuufatilia kwa umakini kuanzia first page kabla hujaanza kumnyooshea mtu kidole.
Unapojaribu kusema mtu flani anapotosha basi toa uthibitisho kulingana na hoja husika za huyo unaemnyooshea kidole kwanza.
ndugu zangu wote mnaofuatilia mjadala huu kwa siku ya 12 leo,
naomba nimfungue macho na akili rasmi mzee wetu huyu mpigania dini kwa mgongo wa uhuru wa nchi hii.
Nitaeleza kwa kifupi tu yale anayoyalilia mohamed said juu ya wazee wake.
Ukweli nikuwa kuanzia mwaka 1955 kulianza kuibuka milengo tofauti kwa baadhi ya washarika wa ukombozi ndani ya tanu,
hasa hasa milengo hiyo ilikuwa ni kuweka dini mbele yaani iwe ndio tiketi halisi yakupigania uhuru na sio utanganyika wao, na baada tu ya kupata uhuru, baadhi ya wazee waliokuwa beba kwa bega na mwalimu waliasi rasmi nakuanza kuendesha vita ya chini kwa chini yakumpindua mwalimu chini dini.
Mwalimu nyerere kwakutumia falsafa ya malengo yake ya tangu akiwa tabora boys sec schoo, makerere university, na pale scotland akiwa sambamba na wanaukombozi wasomi wenzie waliweza kuanzisha mfumo stahiki wa kufuta udini, ukabila, urangi, ukanda nk.
Waliamua kuwafanya watanganyika kuwa kitu kimoja.
Sasa mgogoro ulikuja kwa waasi, kwakuwa hawakukubaliana na sera za serikali mpya ya mwalimu, wakaziidisha vurugu kwakushawishi makundi kadhaa ya kiroho yaenzi uasi huo, hilo lilipelekea serikali kuchukua hatua madhubuti dhidi yao!
Ndiomaana mashehe wengi walitiwa kizuizini na wengine kufukuzwa nchini.
Hilo halikuwakumba waislamu tu kwani uasi huo ulikuwa hata kwa makasisi waliotaka itikadi zao ipewe kipaumbele zaidi na serikali ya mwalimu nyerere.
Mohamed said kuwa mkweli, waambie ukweli watanzania (waislamu) kuwa wazee wako waliasi serikali mpya ya mwalimu na ndipo madhila hayo wakayapata.
atakutajia kambona(sijui kambona ni kasisi)ndugu yericko,naona sasa unakuja kuelezea hisia zako kias flani katika hilo,,
1.tupe ushahidi wa hayo unayoyasema,umesoma mahala flani?tupe dokezo lake,
2. Umesimuliwa na wazee wako?tuambie ni lini kwa maana kiumri wewe huwez landana na ndugu moh' said,
3.achan na hao waislam walioasi,hebu tutajie hao makasisi waliokumbana na panga la mwalimu kipind hiko wanajenga uasi ikiwa wewe ni miongoni mwa wanaosema ukweli.
Ndugu zangu wote mnaofuatilia mjadala huu kwa siku ya 12 leo,
Naomba nimfungue macho na akili rasmi Mzee wetu huyu mpigania Dini kwa mgongo wa Uhuru wa nchi hii.
Nitaeleza kwa kifupi tu yale anayoyalilia Mohamed Said juu ya WAZEE wake.
Ukweli nikuwa kuanzia mwaka 1955 kulianza kuibuka milengo tofauti kwa baadhi ya washarika wa ukombozi ndani ya TANU,
Hasa hasa milengo hiyo ilikuwa ni kuweka DINI mbele yaani iwe ndio tiketi halisi yakupigania uhuru na sio Utanganyika wao, na baada tu ya kupata uhuru, baadhi ya wazee waliokuwa beba kwa bega na Mwalimu WALIASI rasmi nakuanza kuendesha vita ya chini kwa chini yakumpindua Mwalimu chini DINI.
Mwalimu Nyerere kwakutumia falsafa ya malengo yake ya tangu akiwa Tabora Boys Sec Schoo, Makerere University, na pale Scotland akiwa sambamba na wanaukombozi wasomi wenzie waliweza kuanzisha mfumo stahiki wa kufuta UDINI, UKABILA, Urangi, Ukanda nk.
Waliamua kuwafanya Watanganyika kuwa kitu KIMOJA.
Sasa mgogoro ulikuja kwa WAASI, kwakuwa hawakukubaliana na sera za Serikali mpya ya Mwalimu, wakaziidisha vurugu kwakushawishi makundi kadhaa ya kiroho yaenzi uasi huo, hilo lilipelekea serikali kuchukua hatua madhubuti dhidi yao!
Ndiomaana mashehe wengi walitiwa kizuizini na wengine kufukuzwa nchini.
Hilo halikuwakumba waislamu tu kwani uasi huo ulikuwa hata kwa makasisi waliotaka itikadi zao ipewe kipaumbele zaidi na serikali ya Mwalimu Nyerere.
Mohamed Said kuwa mkweli, waambie ukweli watanzania (waislamu) kuwa wazee wako waliasi serikali mpya ya mwalimu na ndipo madhila hayo wakayapata.
kambona?Naona neno uchochezi umeshindwa kulitumia tena baada kushindwa kuthibitisha.
Ni vizuri kujifunza hebu tupe hicho kisa kidogo cha wazee waliofanya uasi na kutaka kumpindua Nyerere. Kwa faida ya JF na wasomaji tupe
na majina yao.
akiguswa nyerere wakiristo hao. kwanini tena. si Alikuwa rais wa tz na sio askofu?
be specific,unamtetea nyerere au unalitetea kanisa??,.
mbona tumeshatoka huko saa nyingi vitu mada nyingine kama unaona huna cha kuchangia its better to stay silence sio kuturudisha nyuma with the unlogical comments. Nawaomba the big show na mwezako mv butiama mtulize munkari wenu wa kidiniand try to be objective.
Halafu kibaya zaidi anataka kutuaminisha ya kuwa mateso wanayoyapata Masheikh leo yana mfanano na wakati ule wa Nyerere alivyowafanyia Waislam na hasa Masheikh. Hoja hafifu kabisa.ndugu yericko,naona sasa unakuja kuelezea hisia zako kias flani katika hilo,,
1.tupe ushahidi wa hayo unayoyasema,umesoma mahala flani?tupe dokezo lake,
2. Umesimuliwa na wazee wako?tuambie ni lini kwa maana kiumri wewe huwez landana na ndugu moh' said,
3.achan na hao waislam walioasi,hebu tutajie hao makasisi waliokumbana na panga la mwalimu kipind hiko wanajenga uasi ikiwa wewe ni miongoni mwa wanaosema ukweli.
mbona maaskofu hawajota TAMKO la kupinga historia ya Mohd said?
Ndugu zangu wote mnaofuatilia mjadala huu kwa siku ya 12 leo,
Naomba nimfungue macho na akili rasmi Mzee wetu huyu mpigania Dini kwa mgongo wa Uhuru wa nchi hii.
Nitaeleza kwa kifupi tu yale anayoyalilia Mohamed Said juu ya WAZEE wake.
Ukweli nikuwa kuanzia mwaka 1955 kulianza kuibuka milengo tofauti kwa baadhi ya washarika wa ukombozi ndani ya TANU,
Hasa hasa milengo hiyo ilikuwa ni kuweka DINI mbele yaani iwe ndio tiketi halisi yakupigania uhuru na sio Utanganyika wao, na baada tu ya kupata uhuru, baadhi ya wazee waliokuwa beba kwa bega na Mwalimu WALIASI rasmi nakuanza kuendesha vita ya chini kwa chini yakumpindua Mwalimu chini DINI.
Mwalimu Nyerere kwakutumia falsafa ya malengo yake ya tangu akiwa Tabora Boys Sec Schoo, Makerere University, na pale Scotland akiwa sambamba na wanaukombozi wasomi wenzie waliweza kuanzisha mfumo stahiki wa kufuta UDINI, UKABILA, Urangi, Ukanda nk.
Waliamua kuwafanya Watanganyika kuwa kitu KIMOJA.
Sasa mgogoro ulikuja kwa WAASI, kwakuwa hawakukubaliana na sera za Serikali mpya ya Mwalimu, wakaziidisha vurugu kwakushawishi makundi kadhaa ya kiroho yaenzi uasi huo, hilo lilipelekea serikali kuchukua hatua madhubuti dhidi yao!
Ndiomaana mashehe wengi walitiwa kizuizini na wengine kufukuzwa nchini.
Hilo halikuwakumba waislamu tu kwani uasi huo ulikuwa hata kwa makasisi waliotaka itikadi zao ipewe kipaumbele zaidi na serikali ya Mwalimu Nyerere.
Mohamed Said kuwa mkweli, waambie ukweli watanzania (waislamu) kuwa wazee wako waliasi serikali mpya ya mwalimu na ndipo madhila hayo wakayapata.
Bwana Nyerere,
Ahsante sana kwa michango yako lakini naona kama
mnakasha unaanza kupoteza ladha yake kama chai
iliyopoa au mchuzi usio ndimu.
Sijui kama hii ni dalili ya uchovu au kitu gani.
Mimi kwa sababu ambazo nadhani ziko wazi huwa sina
kawaida ya kumuuliza mtu swali lolote labda kama
nataka ufafanuzi.
Nimeweka vitu vingi ambavyo nilidhani ukumbi watavichangamkia.
Kuna mtu alisema EAMWS ilikuwa inamchimba Nyerere.
Mimi nikasema hiyo ilikuwa propaganda ya serikali na nikamueleza
na hata kuweka jina la bingwa wa propaganda wa zama zile.
Rashid Kayugwa.
Nilitegemea hapa pangenogesha barza.
Wapi mmetishika.
Mmetishika kwa kuwa mmepata mshtuko kuwa Mohamed hakika
haya mambo anayajua.
Nilitegemea mtaunganisha na jina la mgawaji hongo kwa wanafiki
waunge mkono BAKWATA.
Mgawaji hongo yaani rushwa aliyekuwa akizunguka na mikoba iliyojaa
fedha alikuwa...
Geoffrey Sawaya.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Jinai.
Hii ndiyo serikali yenyewe na vyombo vyake vya ukandamizaji vikiwa
kazini.
Waislam walikuwa yatima.
Walichokipigania kimeporwa na kanisa.
Nilitegemea angalau mniite muongo mpiga soga nk. nk.
Lakini hadi sasa kama vile nimekumwagieni maji ya baridi ya kuzizima.
Turudishe mnakasha katika reli tuache hii kutupiana madongo kama vijana
mnavyopenda kusema.
Huu ni mjadala mzuri sana.
Si muda mrefu viongozi wa dini zetu kuu hizi watakaa mezani kuzungumza.
Itakuwa vyema sisi wafuasi tujue chanzo cha chokochoko na fitna hii inayogawa
taifa letu.
Kubwa zaidi tuwajue walosababisha hii fitna.
Mzee Mohamed Said, katika mchango wangu muhimu hapo juu, kipi kimetuondoa katika mnakasha huu?