Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Siwezi kuweka chuki.
Hatujapata kuwa na chuki.
Wazee wangu walipofukuzwa TANU Office 1963.
Walirejea majumbani kwao wakakaa hadi umauti
ulipowafika.
Wakamwacha Nyerere kama alivyokuwa akitaka awe.
Wamekufa na wakawa wakizikana wenyewe kwa wenyewe.
Nyerere hana habari wala shughuli na wao.
Kama kueleza haya wewe unaona chuki hiyo ni bahati mbaya.
Wameeshiwa hao. mwenyezimungu ametwambia. muislam 1 sawa na wakiristo 10. nimeona mwenyewe katika mjadala huu