Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Bwana Nyerere huko tusende hakufai kabisa.

Vitisho hii leo?

Kujuta ndiko huku tayari tunajuta.
Wenye fahamu wanajiuliza hivi tumefikaje hapa?

Anaewashiwa taa nyekunda mchunguze.
Siyo Mohamed Said.

Yeye kakaa kitako hawezi kuogopa kuanguka.

Tuliza ubongo wako utaona taa nyekundu inamuwakia nani.
Kwa hakika si Mohamed Said.

Wala wa kujuta hatutakuwa siye.
Tujute kwa kipi tutakachopoteza?

Acha vitisho.
Marehemu Sokoine angekuwa hai ningekwambia nenda kamuulize unamjua Mohamed Said?

Tuliandikiana barua.
Nilimwambia hana uwezo wala haki ya kuwakataza Waislam kusomesha Qur'an katika vibaraza.

Tulimalizana kwa heshima.
Alinielewa.

Mimi si mtu wa kutishika ndiyo maana unaona naandika na jina langu halisi naweka.
Hakuna asiyenijua.

Kuwa na adabu kidogo.

Naitahadharisha jamii ya waswahili kuepuka uchochezi wako tu,

Hutishiwi bali maonyo mtambuka!
 
Ukweli ni kuwa Nyerere asingeliweza kupata uongozi wa TANU kama si kuungwa mkono na Abdulwahid Sykes.
Waulize wazee waliokuwapo wakati ule watakueleza.

Unafikiri kama John Rupia na Dr. Kyaruzi wangempinga Nyerere angepata nafasi bado?
 
Ndugu yangu Mohamed Said, katika uhai wote wa Mwalimu, aliwahi kutoa tangazo liwe la maandishishi au la sauti kuwa Ally Sykes, Abdulwahid Sykes na Dossa Aziz wameondolewa katika historia yenye kuambatana nae au ni hisia tu ndizo zinatawala?.
 
Mohamed

1. Tunahitaji historia inayopepesa utanzania wetu sio ubaguzi wa wazee wako peke yake, huo ni ukabila na udini ndani yake.

2. Tunahitaji historia itakayojenga umoja wetu na siyo historia inayojenga fikra za kisasi na chuki miongoni mwetu kama watanzania

3. Huwezi kujenga historia bora kwa watanzania

-umeendekeza zaid udini nakuifanya historia yako kukosa uwiano wa kitaarifa (unbalanced history)

-Umejenga hoja nyingi za kumchafua nyerere kwa maana ya ukatoriki wake na kusahau kabisa uhalisia wa historia unayoiongelea

-umekuwa mwanahistoria wa pwani ya tanzanganyika wala historia ya jirani zako hutaki kuifahamu. (Coclusion must be poor, a point based conclusion cannot tell the reality and truth of a particular location)

Hunasifa ya kuendeleza historia zako za kichochezi na zinazolenga kutuweka watanzania matatani.

a) Huku unaongelea wazee wako

b) kule unaongelea mfumo kristo

c) Kwingine unamuheshimu Nyerere halafu kwingine unamwita muwongo na anaghiliba

d) Tena unaongelea mou ..........

e) mara unaongelea kodi za watanzania kutumiwa na wakristu peke yao

Na mengine mengi, unataka kutuaminisha nini Mohamedi?

Adolay,

Mengi unayonituhumu nishayajibu huu ukumbini.
Ukipitia post zangu utakutananayo.

Mimi hapa nia yangu kwa hakika ni kueleza ile historia ile ambayo wengi hamkuwa mkiijua.
Bahati mbaya sana kuwa imekuchomeni.

Hebu soma hapa chini maneno niliyoandika kuhusu Abdu baada ya TANU kuasisiwa 1954:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] [TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Abdulwahid now thirty years old, had accomplished the ambition of his lifetime, an ambition which had originated from his late father, who 25 years before had predicted a continuous struggle between the Africans of Tanganyika and the colonial state.

Kleist Sykes had foretold the role of the next generation.

In a letter he wrote in 1933 to Mzee bin Sudi, then president of the African Association, Kleist at the tender age of twenty-nine years had this to write:

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] ''Let us struggle with all our hearts towards the path of civilization just like other tribes are doing. It does not matter if we do not accomplish everything. Those who will come after us will finish the rest.''[1][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
Kleist talked about ‘civilization,' which today would mean ‘self-determination', and about tribes which TANU transformed into a nation.

In 1954, a quarter of a century later in the same building, 25 New Street, which he had helped to build through self-help, the new generation in Tanganyika was transforming the African Association which he had founded in 1929 into an open political party, the aim which was to prepare the people for independence.

And among those leading the emerging mass movement (TANU) were his three sons, Abdulwahid, Ally and Abbas.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] See Buruku, op. cit. p. 105.

(Huyu Buruku ni mjukuu binti yake Abdulwahid Sykes)

[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa ikiwa historia ya wazee wangu ndiyo hii.
Akija mtu na kunambia kuwa Nyerere ndiye aliyeasisi TANU tena Pugu vipi mimi nisisahihishe kosa hilo?
 
Ni fikra pia.
Hapana tatizo.

Je ungependa kufahamu habari za Baraza la Wazee wa TANU
chini ya uenyekiti wa Sheikh Suleiman Takadir lilivyotayarisha
safari ya UNO?

Au habari za mweka hazina wa safari ya UNO Idd Faiz Mafongo?

Umeridhika na ukweli kuwa watu hawa hawatambuliki katika historia
yake mwenyewe Nyerere na katika historia yspa TANU?

Au wewe umebaki na Nyerere na UNO hutaki kuwajua waliofanikisha
safari ile?
Hivi mtu akifanikisha harusi yangu, mke tunagawana?
 
Adolay,

Mengi unayonituhumu nishayajibu huu ukumbini.
Ukipitia post zangu utakutananayo.

Mimi hapa nia yangu kwa hakika ni kueleza ile historia ile ambayo wengi hamkuwa mkiijua.
Bahati mbaya sana kuwa imekuchomeni.

Hebu soma hapa chini maneno niliyoandika kuhusu Abdu baada ya TANU kuasisiwa 1954:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Abdulwahid now thirty years old, had accomplished the ambition of his lifetime, an ambition which had originated from his late father, who 25 years before had predicted a continuous struggle between the Africans of Tanganyika and the colonial state.

Kleist Sykes had foretold the role of the next generation.

In a letter he wrote in 1933 to Mzee bin Sudi, then president of the African Association, Kleist at the tender age of twenty-nine years had this to write:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]''Let us struggle with all our hearts towards the path of civilization just like other tribes are doing. It does not matter if we do not accomplish everything. Those who will come after us will finish the rest.''[1]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
Kleist talked about ‘civilization,' which today would mean ‘self-determination', and about tribes which TANU transformed into a nation.

In 1954, a quarter of a century later in the same building, 25 New Street, which he had helped to build through self-help, the new generation in Tanganyika was transforming the African Association which he had founded in 1929 into an open political party, the aim which was to prepare the people for independence.

And among those leading the emerging mass movement (TANU) were his three sons, Abdulwahid, Ally and Abbas.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] See Buruku, op. cit. p. 105.

(Huyu Buruku ni mjukuu binti yake Abdulwahid Sykes)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa ikiwa historia ya wazee wangu ndiyo hii.
Akija mtu na kunambia kuwa Nyerere ndiye aliyeasisi TANU tena Pugu vipi mimi nisisahihishe kosa hilo?
TANU, TAA na AA hauwezi kuvifananisha mojakwamoja. Kila kimoja kilianza kwa wakati wake, kwa malengo na madhumuni yake, kwa UONGOZI na UASISI wake. Hata CCM sio TANU. Ukiyaleta mambo ya TANU kwenye katiba ya CCM leo, hatabaki mtu kule!
 
Ndugu yangu Mohamed Said, katika uhai wote wa Mwalimu, aliwahi kutoa tangazo liwe la maandishishi au la sauti kuwa Ally Sykes, Abdulwahid Sykes na Dossa Aziz wameondolewa katika historia yenye kuambatana nae au ni hisia tu ndizo zinatawala?.
Siku zote Mzee wetu huyu amekuwa akifikiri na kuamua kwa niaba ya Mwalimu. Mwalimu hakuwahi kuandika HISTORIA ya TANU wala ya TANGANYIKA na baadae TANZANIA. Asingeweza kufanya hivo bila kuonekana kwamba anajikweza na kujitukuza yeye mwenyewe. HISTORIA kwa kawaida haiandikwi na walioitengeneza. Namshangaa Mzee Mohamed alipotaka Mwalimu ajibu kitabu chake! Angemjibu nini?

Hata misahafu haikuandikwa na Yesu wala Mtume Mohamed(S.A.W)
 
Hili ndilo linammeza ndugu Mohamed Said,

Anawalisha sumu vijana wakileo wenye upeo mdogo na ambao ndio nguvu kazi ya taifa letu!

Anawahukumu wazee wetu kwa hisia bila kuthibitisha,

Amewageuza wazee wake walioasi ndani ya TANU kuwa wamepokwa sifa na ushujaa wao bila kuthibitisha kuwa kweli walipokwa ama laa!
 
Sina ugomvi na fikra yako hiyo.
Hayo ni mawazo yako na umeyaleta jamvini kiungwana.

Wanaukumbi watayasoma na kila mmoja wetu atakuwa
na muono wake.

Hutoshutumiwa na yoyote yule wala hutopewa neno ovu.
Hivi ndivyo mjadala unavyotakiwa uwe.
 
Jaribu kuiuliza akili yako ilo swali jibu ukilipata lifanyie kazi.
Ngoja nipate msaada kwa mzee wetu Mohamed. Kuna watu walimchangia nauli Mwalimu ili aende UNO. Anataka wagawane naye historia ya nchi hii!
 
Sina ugomvi na fikra yako hiyo.
Hayo ni mawazo yako na umeyaleta jamvini kiungwana.

Wanaukumbi watayasoma na kila mmoja wetu atakuwa
na muono wake.

Hutoshutumiwa na yoyote yule wala hutopewa neno ovu.
Hivi ndivyo mjadala unavyotakiwa uwe.
Mzee Mohamed,
Ukipata nafasi ya kukirejea kitabu chako kile unadhani yapo maandishi utayasahihisha au kuyaondoa mle? Yapo pia unayoona yatafaa kuongezwa ili historia hii ikamilike? Ni yapi hayo?
 
Kwa jinsi mambo yalivyokuwa yanakwenda isingewezekana kwa
Rupia au Dr Kyaruzi kumpinga Nyerere.

Hata hivyo wakati Nyerere anakuja kwa Abdu Sykes Dr Kyaruzi
alikuwa Nzega.

Kitu kingine nikufahamishe Abdu akisikizwa sana na wenzie.

Ilikuwa TANU iundwe toka 1950 lakini Abdu aliwaambia wenzake
wafanye subira.

Wengi hamfahamu lakini chaguo la Abdu kuwa kiongozi wa TANU
alikuwa Chief Kidaha Makwaia.

Chief Kidaha akakataa.
 
Jasusi,

Mimi sikuingia humu ndani kuja kufanya maskhara.
Mambo niandikayo ni mambo ninayoyafahamu na kufanya utafiti wa kina.

Watu ninaowashutumu kwa dhulma ni watu wakubwa wenye heshima zao.
kwa hiyo basi niandikapo kwanza natunguliza ''Bismilliah Rahman Rahim.''

Sitanii.
Chini ya kumtanguliza Allah siwezi kulinajisi jina lake kwa uongo.

Angalia hii na kwa kweli hiyo nukuu inatoka katika ''The Life and Times of Abdulwahid
Sykes...'' na si ngeni:

hapo kwenye RED sio kigezo kabisa cha wewe kuaminika maana hayo maneno hata wachomaji makanisa wa mbagala na z'bar huyatumia kabla ya kufanya udhalimu wao.

Pia mara nyingi nikiwasikiliza wachochezei kama sheikh Ponda, Sheikh Ilunga kapungu, sheikh farid na wengineo hutumia maneno hayo kabla ya kuendesha chochezi na chokochoko zao.
Mfano; kuuwa mapadri na maaskofu by sheikh ilunga

Hivyo basi ndio kusema utangulizi wa maneno hayo sio kigezo cha ku'prove ukweli na uhalali wa historia uliyoiandika na maneno unayohadhiri mahala mbalimbali.
 
Hapana sijasema kugawana historia.

Ninachosema ni kuwa historia rasmi
imeacha mambo mengi.
 
Kwa jinsi mambo yalivyokuwa yanakwenda isingewezekana kwa
Rupia au Dr Kyaruzi kumpinga Nyerere.

Hata hivyo wakati Nyerere anakuja kwa Abdu Sykes Dr Kyaruzi
alikuwa Nzega.

Kitu kingine nikufahamishe Abdu akisikizwa sana na wenzie.

Ilikuwa TANU iundwe toka 1950 lakini Abdu aliwaambia wenzake
wafanye subira.

Wengi hamfahamu lakini chaguo la Abdu kuwa kiongozi wa TANU
alikuwa Chief Kidaha Makwaia.

Chief Kidaha akakataa.
TANU iliundwa tarehe 7.7.1954. Rais wa KWANZA wa TANU akawa Mwalimu kwa kuchaguliwa na waasisi wenzake. Hayo ya 1950 hayawezi kuthibitika wala kuwa historia. Hata wazo la kuunganisha TANU na ASP lilitolewa na Mwalimu mwaka 1975. CCM ikazaliwa 1977. Moja kati ya vitu vya kuchunga sana kwenye HISTORIA ni tarehe. Haibadiliki.

Abdu asingeamua peke yake kumweka Chifu Kidaha kwenye nafasi ile. Hilo kama lilikuwepo ni chaguo lake kama Mwalimu alivyokuwa amependa Salim Ahmed Salim awe Rais wa nchi hii mwaka 1985 na 1995.
 
Back
Top Bottom