zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Nimekuuliza wapi ambapo hujaelewa mpaka ukahitajikielelezo?
Jibu maswali wacha parapanda, kama huwezi, unasema huwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuuliza wapi ambapo hujaelewa mpaka ukahitajikielelezo?
Sijapata ona wapuuzi wakubwa hapa duniani kama hawa wafia dini wa Gerezani kariakoo.
Kwanza hawajui kujenga hoja bali wanaleta viroja na ubishi usio na mashiko
Pili wanaleta majibu mepesi kwenye maswali magumu kutoka kwa Nguruvi,Mwanakijiji,Mag3,WildCard na Y.nyerere.
Hakika nyinyi ni watega nyoka na ni wapuuzi wakubwa sana hapa duniani...na siku si nyingi huyu Mzee M.S atamfuata Osama bin Ladeni baharini.
Childish mind..
Dont you think that its a right time now for you to pay a visit to your bed?
...uliulizwa hivi, ni nani alikutuma uje kuwasemea waislam?
kumbe ndo maana ukiulizwa maswali majibu yako ni kama haya, waulizeni wao..., soma kitabu changu,.... etc
historia ya wazee wako? na kila mtu akiweka historia ya wazee wake jinsi walivyopigania uhuru wa nchi hii zitakuwa historia ngapi nje ya hiyo tuliyofundishwa miaka 50?
kwenye utetezi wako mwingi sana hili neno naona unalitumia mno, kila kitu unasema tushaakijua, hii ni jibu la hoja mufilisi kabisa.
umeulizwa toa mfano wa mfumo kristo hujibu, hivi kweli kungekuwa na mfumo kristo ungekuwa hai kweli wewe na huu upotoshaji wako unaojenga ufa wa kidini kwenye jamii ya mfumo kristo?
nimeshajua lengo lako, kumbe lengo lako ni maelfu ya watu wasome na kusikia ngano zako ndo raha yako?
Baba katika jina la Yesu lipitalo majina yote naamuru pepo la vita, pepo la uchonganishi litoke kwa mtu huyu amani yako ipate kutawala tena kwa watu wako, aaamen.
Tujikumbushe kidogo ngano za Yericko.Nitajitahidi kutafuta kwenye hifadhi za kumbukumbu,
Mshume Kiyate inafahamika wazi kuwa alikuwa rafiki wa karibu na mzee, nitajitahidi kupata picha zao pia.
Childish mind..
Dont you think that its a right time now for you to pay a visit to your bed?
Yaah of coz! Now am going to my bed cons siwezi kupoteza usingiziwangu kwa kujibishana na wapuuzi kama nyinyi.
Pia napenda kurudia tena na tena mfumo kristo utawatawaleni ninyi na vizazi vyenu vyote hadi mnaingia kaburini.[/QUO
Hebu kione mwenyewe ulichokiandika,
Ni vema sana ukauficha ujinga wako ili watu wasikudharau,
Haya shika bakora jitandike mwenyewe kisha kalale huku ukisubiria matokeo yako ya NECTA hapo kesho..!
Ukiona watu wazima wanazungumza jifunze kukaa kimya ili ujifunze,sawa wa kusoma?
Tujikumbushe kidogo ngano za Yericko.
Sijapata ona wapuuzi wakubwa hapa duniani kama hawa wafia dini wa Gerezani kariakoo.
Kwanza hawajui kujenga hoja bali wanaleta viroja na ubishi usio na mashiko
Pili wanaleta majibu mepesi kwenye maswali magumu kutoka kwa Nguruvi,Mwanakijiji,Mag3,WildCard na Y.nyerere.
Hakika nyinyi ni watega nyoka na ni wapuuzi wakubwa sana hapa duniani...na siku si nyingi huyu Mzee M.S atamfuata Osama bin Ladeni baharini.
mods najua mpo na mtatenda haki
Labda kuthibitisha chuki za muungwana bin Samtungo, ameulizwa swali na Mwankijiji kama walivyouliza wengine na hajaweza kulijibu. Swali ni kuwa wapi na kwa ushahidi gani wa Nyerere kuwatukana, kashifu Waislam hadharani au kwa siri.
Hakuna mahali popote ambapo Nyerere amekaririwa akiushaumbilia uislam na waislam ( labda kwa ''inasemekana'')
Hii maana yake ni kuwa dhana nzima ni ya kupanda na kuchomeka na haina mahali inaposimama yenyewe.
Katika baadhi ya ngano za kale zinasema, kulikuwa na majaribio kadhaa ya kumfanya mwalimu aslimu, moja likiwa ni kupewa mwanamke waliyemuona wao ni binti swafi rohoni mpaka mwilini,
Lakini yote hayo Mtakatifu Julius Nyerere aliyashinda, na akazidi kuwaunganisha tu kuwa kitu kimoja chenye lengo moja!
Mwanakijiji, mimi nimemwambia Mohamed Said kuwa wakati tunapata uhuru Desemba 9, 1961 ndio nilikuwa namalizia Form One (darasa la tisa). Pamoja na kufuatilia sana siasa za wakati huo (hata mdahalo wa Kennedy na Nixon tuliufuatilia kama vijana wa sasa walivyofuatilia mpambano kati ya Obama na Romney) na kuwa mashabiki wa siasa si za Afrika tu bali hata Asia na Ulaya, lakini hakuna hata siku moja kwenye miaka hiyo kabla ya uhuru, niliyasikia majina ya wazee wa Gerezani anaowataja Mohamed Said. Je wakati huo ni nani huyo alizima habari zao zisienee Tanganyika?Tukio jingine ambalo huwa linatajwa sana ni kesi ya Uhaini ya 1969 ambapo mmojaa wa waliohusishwa ni Bi. Titi Mohammed. Kwa wengine hili lilikuwa ni dhidiya Waislamu. Ingekuwa kweli kama hawakukamatwa wengine. Lakini tuwakumbushe majina ya wale watu saba waliofikishwa mahakamani Juni 8, 1970 mbele ya Jaji Mkuu T. Georges
- Bi. Titi Mohammed (Muislamu) (Muasisi wa TANU na mpigania Uhuru)
- Michael Kamaliza (Waziri wa zamani wa Kazi - Mkristu)
- William Chacha (Mwambata wa Kijeshi, Peking - Mkristu)
- Grey Mattaka (mhariri gazeti la The Nationalist - Mkristu)
- Oscar Kambona (mpigania Uhuru na Waziri wa zamani wa Ulinzi na Mambo ya Nje - Mkristu)*
- John Chipaka (kiongozi wa chama cha ANC- Mkristu)
- Eliya Chipaka (Kapteni wa JWTZ - Mkristu)
- Alfred Mulinga (Luteni wa JWTZ - Mkristu)
Kambona hakuhesabiwa kama miongoni mwa wale saba waliofikichwa mahakamani mwanzoni. Kambona alikuwa ameshatoroka kwenda Uingereza kabla ya kesi kuanza.
Sasa, kati ya wote hao saba ni mmoja tu Muislamu - Bi. Titi Mohammed. Lakini Bw. Said anaandika kana kwamba Nyerere alikuwa na baya dhidi ya Waislamu japo mtu angeweza kusema ilikuwa dhidi ya watu wa Kambona (wanne ya watuhumiwa walikuwa wanausiana na Kambona).
Sasa, vijana wanaosoma hapa natumaini wanapata mwanga kidogo wa kuelewa kwanini wengine tunachukulia hoja nyingi za Bw. Saiid ni za kutengeneza na zimeandikwa mahsusi kuvutia watu wasiotaka kutafuta ukweli.
Hao wazee wa Mohamed Said yawezekana walijulikana sana kwenye mitaa ya Dar es Salaam lakini Dar es Salaam ilikuwa na watu laki moja tu (110,000) wakati Tanganyika ilikuwa na watu milioni nane (8,000,000)
Wakuu nadhani kuna jambo ambalo halijazungumziwa hapa.Kilichofanya Nyerere aende Dar ni kwasababu ndipo yalipokuwa makao makuu ya mkoloni na hata ikulu na ofisi zote na uongozi ulikuwepo Dar.
Kwahiyo wale wanaodai sijui wazee wa gerezani mimi naona ni kwamba kilichotokea ni wao kuwa wenyeji wa makao makuu ya mkoloni.
Na wanaodai kwanini asingewaondoa wakoloni akiwa Butiama wana dalili za kutoelewa vyema,na wanapotosha either kwa makusudi ama kwa bahati mbaya.