Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ahsante Zomba,
Wenzetu hawa hawajui utukufu wa ihsani.

Hebu tuwekee hapa "Jazaau ihsani..." huenda
wakawaidhika.

Muungwana haibi fadhila.
Yap!!!! Professor wa Madrassa aliyebobea kwenye Juzuu na Pilau naona unamwaga nondo za uhakika. Vipi leo utakuwa na nafasi tuende kwenye hitma hapa jirani? au utakuwa busy kwenye Hitma nyingine prof ?
 
Kumbe na misikiti mmegawana! Ndio nafuu yetu hiyo tusiohangaika na DINI. Anavyoandika Mzee Mohamed humu ni kama vile anamiliki WAISLAM wote wa NCHI hii! Anasikilizwa na Waislam wote wa nchi hii!

WC,

Akili inakataa kuamini.
Najua tatizo la "denial" mara ya kwanza tatizo linapotokea.

Unadhani Mohamed Said si lolote.
Hana sauti kwa Waislam.

Amini unavyopenda hiyo ni haki yako.
Lakini ukweli ni kuwa Waislam wananithamini.

Ninawasemea humu ndani na nje ya nchi.

Hili huenda likawa gumu kwako kuamini.
Serikali inafaidika sana na maandishi yangu.

Mengi isingejua ila kupitia kalamu yangu.
 
WC,

Najua unapata tabu kuamini nisemayo kuhusu BAKWATA.

Ungependa iwe vinginevyo.

Mimi wajibu wangu ni kueleza ukweli na jinsi umma unavyojisikia
kuhusu BAKWATA na msimamo wa Waislam.

Ikiwa wewe unapenda kuamini kuwaBAKWATA ni kipenzi cha Waislam
mimi nina uwezo gani wa kukuzuia?

Atakae kuujua ukweli, ukweli uko wazi.
Hivi Muslim University of Morogoro kipo chini ya taasisi gani ya Waislam?
 
Yap!!!! Professor wa Madrassa aliyebobea kwenye Juzuu na Pilau naona unamwaga nondo za uhakika. Vipi leo utakuwa na nafasi tuende kwenye hitma hapa jirani? au utakuwa busy kwenye Hitma nyingine prof ?

PP,

Kama unanikebehi ukitegemea tutatukanana mie si wa hivyo.
 
quote_icon.png
By Ritz
Yericko Nyerere,

1} Mzee wako alipokuwa hai alikuelezea chochote kuhusu wazee wa kariakoo katika harakati za kutafuta uhuru.

2} Tupe ushahidi kuwa Chifu Maliale ndiyo aliyetoa pesa za kumpeleka Mwalimu Nyerere UN.

3} Kabla Mwalimu Nyerere ajafariki ameishawahi kuuwambia ni nani aliyekuwa rafiki yake kipenzi wakati yupo TANU. /QUOTE]

MAJIBU

1) Swali hilo linajibiwa na nukuu ya mwalimu Nyerere niliyoiweka kwe uzi maalumu pale juu.

2) Kama ulifuatilia vema mjadala wangu na Mohamed Said juu ya kisa hicho nilisema mwezi kesho nitakwenda Butiama nitajitahidi walau kupata picha ya msaada huo wa Chifu Marealle

3) Sikumuuliza na hakuwahi kuniambia, lakini mimi ninajua kuwa alikuwa Mzee Mshume

Hebu tujikumbushe kidogo hizi ngano.
 
Ungeandika ya wazee wako tu bila kumbambikia Mwalimu tuhuma za UDINI, uasisi wa MfumoKristo, yeye kutokuwa muasisi wa TANU wakati yeye ndie RAIS wa KWANZA wa chama hiki, kuwachukia Waislamu wote,..., wengi tusingehangaika nawe. Ungeweka ushahidi wa wazi juu ya tuhuma hizi, wenye akili timamu tusingehangaika nawe.

WC,

Tuhuma za udini na kuwa Nyerere hakuiasisi TANU ilimuathiri
sana Prof. Haroub Othman.

Akamwendea Nyerere na kutaka kujua yeye anasemaje.

Prof. Othman alimwambia Nyerere ni lazima aandike maisha
yake ili ukweli uwe wazi, vinginevyo historia yake itachafuka.

Mimi nimeyasema haya wazi Nyerere akiwa hai.

Nimeyaandika haya toka 1988 wakati naandika na Africa Events.

Badala ya kunijibu magazeti yakawa yanakusanywa na kutiwa moto.

1998 ndipo nikatoa kitabu.
Sasa niko na nyie humu kwa jambo lile lile.

Nyinyi hamuwezi tena narudia hamuwezi.
Yote niliyosema ni kweli.
 
mkuu zomba hapa ndo umepotoka kweli kweli..

yaani kwa vile tu yameandikwa na Mohamed Said ndo uyaamini na mpaka umeamua kuyapigania kwa nguvu zote yaonekane ni ya kweli? sasa hapa ukiambiwa una akili za kushikiwa utasema umetukanwa?

Yaleyale:

Hakuna mpaka sasa, hata mmoja aliyekuja akasema Mshume ni wa kutunga, Said Tewa hakuwepo, EAMWS haikuwepo, Abdul Skes hakumkaribisha Nyerere. Mashado Plantan si kweli. Mama Maria hakuuza mafuta ya taa Mchikichi, Iddi Tosiri ni wa kubuni hakuwepo mtu namna hiyo. TAA haikuanzishwa na wazee wa Dar. AA haikuanzishwa na Kleist Sykes. Mweka hazina wa kwanza wa TANU hakuwa mweka hazina wa Jammiatul Islamiya fi Tanganyika nayo haikuanzishwa na Sykes

Jamani, hivi mnachobisha haswaa ni nini? tarehe fulani? siku fulani? kavaa nguo gani? hakulitumikia kanisa?
 
sasa kama nyinyi kundi dogo mufilisi mnaudhalilisha Uislam na Dini ya Mnyezi Mungu, msiambiwe ukweli?

"Muda wowote utaochukulia dini ya Uislam mzaha, basi wewe ndiyo utakayechekwa." Michael Wolfe
 
uhalisia gani?
mnambembeleza nani? ili afanye nini?
mnabembeleza serikali ije kuwakamata kwa nguvu vijana wenu waende shule waachane na nyavu na makokoro baharini au?

Hakuna mpaka sasa, hata mmoja aliyekuja akasema Mshume ni wa kutunga, Said Tewa hakuwepo, EAMWS haikuwepo, Abdul Skes hakumkaribisha Nyerere. Mashado Plantan si kweli. Mama Maria hakuuza mafuta ya taa Mchikichi, Iddi Tosiri ni wa kubuni hakuwepo mtu namna hiyo. TAA haikuanzishwa na wazee wa Dar. AA haikuanzishwa na Kleist Sykes. Mweka hazina wa kwanza wa TANU hakuwa mweka hazina wa Jammiatul Islamiya fi Tanganyika nayo haikuanzishwa na Sykes

Jamani, hivi mnachobisha haswaa ni nini? tarehe fulani? siku fulani? kavaa nguo gani? hakulitumikia kanisa?
 
Yaleyale:

Hakuna mpaka sasa, hata mmoja aliyekuja akasema Mshume ni wa kutunga, Said Tewa hakuwepo, EAMWS haikuwepo, Abdul Skes hakumkaribisha Nyerere. Mashado Plantan si kweli. Mama Maria hakuuza mafuta ya taa Mchikichi, Iddi Tosiri ni wa kubuni hakuwepo mtu namna hiyo. TAA haikuanzishwa na wazee wa Dar. AA haikuanzishwa na Kleist Sykes. Mweka hazina wa kwanza wa TANU hakuwa mweka hazina wa Jammiatul Islamiya fi Tanganyika nayo haikuanzishwa na Sykes

Jamani, hivi mnachobisha haswaa ni nini? tarehe fulani? siku fulani? kavaa nguo gani? hakulitumikia kanisa?

Mag3,

Anasema mwaka 1961 alikuwa anafuatilia mpaka siasa za Marekani lakini hawa wazee wa Kariakoo hakuwahi kuwasikia.
 
Last edited by a moderator:
Maswali na majibu hapo chini yanajaribu kutaka kudunisha majibu ya Mohammed Said huenda yanayoka kwa Yerico mwenyewe.Soma na majibu yangu.

Katika pita pita zangu nimekutana na post yako hii ya tare 4 January 2013
#914

Umeongelea kunyanyaswa kwa waislamu katika elimu ni njama ya JK Nyerere - Elimu ya somalia ipo taabani sana na Nyerere hayupo huko
Jibu langu:
Unakumbuka Somalia kila ikijaribu kujitawala inadidimizwa na uingiliwaji wa mataifa ya nje.Iwapo unaamini hivyo kwa Somalia basi ni kama umekubali kuwa mfumokristo si tatizo la Tanzania tu bali la dunia nzima kwa nchi za kiislamu.

Nakwamba Nyerere alitumia uongo na ghilba kuvunja EAMWS - lakini ghilba wala uongo wa nyerere haupo Somali na inateketea vibaya.
Jibu langu:
Ikiwa umekubali kuwa Nyerere alitumia ghilba kuvunja EAMWS yatosha.Habari za Somalia ni ziada tu ya mazungumzo.Sisi tunaongelea matatizo yetu kwanza.Wao kama nilivyosema hapo juu wana ya kwao yanayowapata kwa uislamu wao

Necta imegeuka vigango vya kanisa - Somalia haina vigango vya makanisa katika taasisi zake hususani elimu lakini ipo taabani
Jibu langu:
Unarudiarudia maswali kama mtoto.Utaabani wa Somalia ni kutokana na mfumo kristo wa dunia usiopenda waislamu wajiendeshee mambo yao wenyewe.Unakumbuka Somalia hapo zamani ilikuwa iko mbele kielimu kiasi kwamba walisafirisha bidhaa zao za mifugo na kutumika hadi Tanzania.Wakati mfumokristo haujaanza kuwasumbua utawezaje kutokusema kuwa maendeleo yao yalitokana na uislamu wao.

Serikali imejaza wakristo kwa upendeleo
na kuwaacha waislam - Somalia serikali takribani yote ni waislam hakuna maendeleo.
Jibu langu:
Somalia pamoja na kusumbuliwa na mfumo kristo wa dunia lakini bado hawako nyuma kimaendeleo kama Tanzania pamoja na vita vya kulazimishwa kila siku.

Wakristo
wanawasimanga kwa hospitali zilizo jengwa kwa kodi ya watanzania
- wasomali pia wanatoa na kukusanya kodi hakuna afya bora, elem wala siasa safi!
Jibu langu:
Hebu angalia Saudia na nchi za arabuni ambako mfumokristo ndio unaanza.Hakuna ukimwi kama Tanzania na utapiamlo.Kwanini hutaki Tanzania ikaiga mifano hiyo?.
Huoni Iran ambayo hawatoi nafasi ya mfumokristo kuwaongoza kwamba wana maendeleo makubwa ya kielimu.Kwanini unaturejesha Somalia tu kwenye dhulma za mfumokristo?.
Waislamu wanabanwa na mfumo kristo - Somalia kuna mfumogani unaowabana wasiendelee

Jibu langu:Somalia ina mfumo wa dhulma unaofanana na wa Tanzania.Mataifa yote ya Afrika Mashariki na kaskazini yameingizwa kuwapiga wasijitawale kwa mfumo wanaoupenda wenyewe. Ungependa Somalia iwe ni mfano mbaya kwetu wa kuunga mkono hoja zako.Lakini Somalia yaweza kuwa mfano mzuri wa kuigwa na waislamu wa Tanzania kwa jinsi wanavyoweza kupambana na mfumo unaowatesa unaosimamiwa na mataifa makubwa kama Marekani bila kutetereka wala kuwaachia. Watanzania waislamu wakiwaiga wasomali katika vita vyao vya kupambana na mfumo basi ushindi hauko mbali badala ya utaratibu wa sasa wa kusononeka huku watu wa mfumo wakizidisha kasi.
 
Hivi Muslim University of Morogoro kipo chini ya taasisi gani ya Waislam?
Huu mjadala ukifungwa utawaokoa nyinyi watetezi wa Nyerere.Kama alivyosema Mohammed Said hapo juu.Ikiwa Nyerere mwenyewe hakuweza kujitetea ni wazi nyinyi hiyo kazi hamtaiweza.
Angalia swali lako hapo juu.Umeshindwa na cha kusema mpaka unauliza swali ambalo halina maana wala sababu.
 
Naona umedandia train kwa mbele. Kila kitu kinachoulizwa kina maana au sababu.
Kuna sehemu Mohamed Said amesema alimhoji Nyerere akashindwa kujitetea?
 
Maswali na majibu hapo chini yanajaribu kutaka kudunisha majibu ya Mohammed Said huenda yanayoka kwa Yerico mwenyewe.Soma na majibu yangu.

Katika pita pita zangu nimekutana na post yako hii ya tare 4 January 2013
#914

Umeongelea kunyanyaswa kwa waislamu katika elimu ni njama ya JK Nyerere - Elimu ya somalia ipo taabani sana na Nyerere hayupo huko
Jibu langu:
Unakumbuka Somalia kila ikijaribu kujitawala inadidimizwa na uingiliwaji wa mataifa ya nje.Iwapo unaamini hivyo kwa Somalia basi ni kama umekubali kuwa mfumokristo si tatizo la Tanzania tu bali la dunia nzima kwa nchi za kiislamu.

Nakwamba Nyerere alitumia uongo na ghilba kuvunja EAMWS - lakini ghilba wala uongo wa nyerere haupo Somali na inateketea vibaya.
Jibu langu:
Ikiwa umekubali kuwa Nyerere alitumia ghilba kuvunja EAMWS yatosha.Habari za Somalia ni ziada tu ya mazungumzo.Sisi tunaongelea matatizo yetu kwanza.Wao kama nilivyosema hapo juu wana ya kwao yanayowapata kwa uislamu wao

Necta imegeuka vigango vya kanisa - Somalia haina vigango vya makanisa katika taasisi zake hususani elimu lakini ipo taabani
Jibu langu:
Unarudiarudia maswali kama mtoto.Utaabani wa Somalia ni kutokana na mfumo kristo wa dunia usiopenda waislamu wajiendeshee mambo yao wenyewe.Unakumbuka Somalia hapo zamani ilikuwa iko mbele kielimu kiasi kwamba walisafirisha bidhaa zao za mifugo na kutumika hadi Tanzania.Wakati mfumokristo haujaanza kuwasumbua utawezaje kutokusema kuwa maendeleo yao yalitokana na uislamu wao.

Serikali imejaza wakristo kwa upendeleo
na kuwaacha waislam - Somalia serikali takribani yote ni waislam hakuna maendeleo.
Jibu langu:
Somalia pamoja na kusumbuliwa na mfumo kristo wa dunia lakini bado hawako nyuma kimaendeleo kama Tanzania pamoja na vita vya kulazimishwa kila siku.

Wakristo
wanawasimanga kwa hospitali zilizo jengwa kwa kodi ya watanzania
- wasomali pia wanatoa na kukusanya kodi hakuna afya bora, elem wala siasa safi!
Jibu langu:
Hebu angalia Saudia na nchi za arabuni ambako mfumokristo ndio unaanza.Hakuna ukimwi kama Tanzania na utapiamlo.Kwanini hutaki Tanzania ikaiga mifano hiyo?.
Huoni Iran ambayo hawatoi nafasi ya mfumokristo kuwaongoza kwamba wana maendeleo makubwa ya kielimu.Kwanini unaturejesha Somalia tu kwenye dhulma za mfumokristo?.
Waislamu wanabanwa na mfumo kristo - Somalia kuna mfumogani unaowabana wasiendelee

Jibu langu:Somalia ina mfumo wa dhulma unaofanana na wa Tanzania.Mataifa yote ya Afrika Mashariki na kaskazini yameingizwa kuwapiga wasijitawale kwa mfumo wanaoupenda wenyewe. Ungependa Somalia iwe ni mfano mbaya kwetu wa kuunga mkono hoja zako.Lakini Somalia yaweza kuwa mfano mzuri wa kuigwa na waislamu wa Tanzania kwa jinsi wanavyoweza kupambana na mfumo unaowatesa unaosimamiwa na mataifa makubwa kama Marekani bila kutetereka wala kuwaachia. Watanzania waislamu wakiwaiga wasomali katika vita vyao vya kupambana na mfumo basi ushindi hauko mbali badala ya utaratibu wa sasa wa kusononeka huku watu wa mfumo wakizidisha kasi.
Ami nimekukubali BIG UP, YERICKO X jibu na hili.
 
Mag3,

Anasema mwaka 1961 alikuwa anafuatilia mpaka siasa za Marekani lakini hawa wazee wa Kariakoo hakuwahi kuwasikia.

Leo kawasoma kwa Mohamed Said na anawajuwa na hakuweza kuja na kusema hawakuwepo na hawakufanya aliyoyaandika Mohamed Said. Sasa anachopinga na kubishana ni nini zaidi ya ubaguzi wa ujinga?
 
Last edited by a moderator:
Naona umedandia train kwa mbele. Kila kitu kinachoulizwa kina maana au sababu.
Kuna sehemu Mohamed Said amesema alimhoji Nyerere akashindwa kujitetea?

wewe sweke 34 itabidi tukutafute upelekwe mirembe kwasababu you are so ignorant mzee Mohamed said amesha sema aliandika kitabu kinachoitwa AFRICA EVENTS na Nyerere alikuwepo kwani kulikuwa na ulazima gani mzee akamuhoji Nyerere? wakati hicho kitabu kikitoka Nyerere alikuwepo
 
Back
Top Bottom