Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

wewe sweke 34 itabidi tukutafute upelekwe mirembe kwasababu you are so ignorant mzee Mohamed said amesha sema aliandika kitabu kinachoitwa AFRICA EVENTS na Nyerere alikuwepo kwani kulikuwa na ulazima gani mzee akamuhoji Nyerere? wakati hicho kitabu kikitoka Nyerere alikuwepo
Wa kupelekwa mirembe ni wale wote wanaosema wanatawaliwa na Mfumo Kristo. Kwenye hicho kitabu unachokisema, Mohamed Said aliweza kuzungumza na Nyerere kama alivyozungumza na wazee wake kabla ya kukichapisha?
 
Ami,
Ndugu yangu upo.

Chukuwa haya maneno kama zawadi kutoka kwa ~ Ali Vyacheslav Polosin.

"Uislam ni dini ya Mapinduzi"
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji, mimi nimemwambia Mohamed Said kuwa wakati tunapata uhuru Desemba 9, 1961 ndio nilikuwa namalizia Form One (darasa la kumi na mbili). Pamoja na kufuatilia sana siasa za wakati huo (hata mdahalo wa Kennedy na Nixon tuliufuatilia kama vijana wa sasa walivyofuatilia mpambano kati ya Obama na Romney) na kuwa mashabiki wa siasa si za Afrika tu bali hata Asia na Ulaya, lakini hakuna hata siku moja kwenye miaka hiyo kabla ya uhuru, niliyasikia majina ya wazee wa Gerezani anaowataja Mohamed Said. Je wakati huo ni nani huyo alizima habari zao zisienee Tanganyika?

Miongoni mwa wanasiasa tuliowasikia ni kama Zuberi Mtemvu, Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, Kasanga Tumbo, Paul Bomani na wengine wengi tu...lakini si Abdulwahid Sykes wa Gerezani, Sheikh Amir wa Unguja wala wazee wengine wa Gerezani anaowakomalia na kuwalilia. Nimekuja kuyasikia hayo majina miaka mingi tu baada ya uhuru, je ni nani huyo kabla ya uhuru alizuia habari zao na harakati zao zisiwafikie Watanganyika nje ya Dar es Salaam? Nyerere? Wakoloni? TANU? Huyu Mohamed Said ni mchochezi tu na muongo mkubwa sijapata kuona...ukweli utabaki pale pale kwamba wakati wa kupigania uhuru Watanganyika kwa umoja wao walishirikiana bila kujali kabila zao, dini zao wala sehemu wanakotoka.

Hao wazee wa Mohamed Said yawezekana walijulikana sana kwenye mitaa ya Dar es Salaam lakini Dar es Salaam ilikuwa na watu laki moja tu (110,000) wakati Tanganyika ilikuwa na watu milioni nane (8,000,000)
Mkuu wangu Mag3, naomba ulekebishe hapo kwenye rangi nyekundu.
 
Ahsante Zomba,
Wenzetu hawa hawajui utukufu wa ihsani.

Hebu tuwekee hapa "Jazaau ihsani..." huenda
wakawaidhika.

Muungwana haibi fadhila.

InshaAllah Maalim wangu ntawapa hilo darsa kwa uchache wake.
 
Mkuu wangu Mag3, naomba ulekebishe hapo kwenye rangi nyekundu.

Na wewe rekebisha, unaharibu lugha yetu tamu na adhim.

Huyo Mag3 baada ya kulambwa knockout ile ya jana ya Lwambano, kachanganyikiwa. Kwi kwi kwi teh teh teh! Amuulize, Yericko Nyerere, alikuwa anajificha humu baada ya kichapo kitakatifu, anakikumbuka na wala hakigusii tena!
 
Wa kupelekwa mirembe ni wale wote wanaosema wanatawaliwa na Mfumo Kristo. Kwenye hicho kitabu unachokisema, Mohamed Said aliweza kuzungumza na Nyerere kama alivyozungumza na wazee wake kabla ya kukichapisha?

Inahusu nini?
 
Mohamed Said,

Huyu Mzee Erika Fiah alikuwa ni nani katika siasa za Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Yap!!!! Professor wa Madrassa aliyebobea kwenye Juzuu na Pilau naona unamwaga nondo za uhakika. Vipi leo utakuwa na nafasi tuende kwenye hitma hapa jirani? au utakuwa busy kwenye Hitma nyingine prof ?

Hizi ndiyo nondo ambazo tunaambiwa zitamkimbiza Mohamed Said.
 
Naona Uislam unazungumzwa sana humu.
'
Sijui kwa nini, Ritz , zomba , Boko haram na wengine,hebu kutaneni na huyu jamaa, www.faithfreedom.org !
'
Naona mnataka kwenda kweny mjadala wa kutaka kupaka matope imani zingine zionekane zinatetea uhalifu.
'
Kwanini msizungumzie historia bila kupaka matope imani zingine?
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Huyu Mzee Erika Fiah alikuwa ni nani katika siasa za Tanganyika.

Ritz,

Ericka Fiah alikuwa Mwafrika wa kwanza kuwa na gazeti.

Alikuwa mpinzani mkubwa wa Kleist katika uongozi wa African
Association.

Akiwashughulisha sana Mzee bin Sudi na Kleist kiasi 1933 Kleist
alijiuzulu ukatibu kumpisha Fiah.

Asili yake ni Mganda aliingia Tanganyika na majeshi ya Waingereza
katika Vita Kuu ya Kwanza.

Mwaka 1948 Fiah na Abdu Sykes majina yao yalikuwa juu katika orodha ya Waingereza
kumtafuta Secretary General wa Dockworkers Union.

Waingereza wakamteua Abdu Sykes...

Insha Allah nitabandika habari za Fiah wanajamvi wazione siasa za Dar es Salaam
za 1930 - 1940s.
 
Na wewe rekebisha, unaharibu lugha yetu tamu na adhim.

Huyo Mag3 baada ya kulambwa knockout ile ya jana ya Lwambano, kachanganyikiwa. Kwi kwi kwi teh teh teh! Amuulize, Yericko Nyerere, alikuwa anajificha humu baada ya kichapo kitakatifu, anakikumbuka na wala hakigusii tena!
Zomba, huna hoja hapa, unapiga makelele kama mtoto tu, ona aibu, mtu mzima wa umri wako hata kama elimu ilikupita kando bado unanafasi ya kutumia uzoefu kujadiri hoja na sio ushabiki huu wa kipumbavu.
 
Matokeo ya kidato cha nne nadhan yanatoka leo,sintoshangaa ukipata Div four ya point 33,kwa sababu upeo wako tuh unaasharia ni mtu wa daraja hiloo.
 
G,

Ndugu yangu umehamaki sana.
Basi bora tuusimamishe mnakasha.

Hapana haja ya kutukanana.
Kama kuelimishana hilo tushalifanya.

Bora tuagane tukiwa na heshima zetu.

Huyu ni wa kumpuuza tuh,wapo watu wenye heshima zao na busara zao humu ndani wameinamisha vichwa kupata Darsa hili ndugu MOHAMED SAID..
Huyu ni kama chura tuh,na asiwazuie wengine kunywa maji ya Ilmu ndugu yangu,
Tumpuuze tuh kwa Maslahi ya wengi,
Nashangaa MODS hawalioni hili..
NASHANGAA SANA..
 
Naona Uislam unazungumzwa sana humu.
'
Sijui kwa nini, Ritz , zomba , Boko haram na wengine,hebu kutaneni na huyu jamaa, We are Against Hate, Not Faith | Faithfreedom.org !
'
Naona mnataka kwenda kweny mjadala wa kutaka kupaka matope imani zingine zionekane zinatetea uhalifu.
'
Kwanini msizungumzie historia bila kupaka matope imani zingine?

JF siyo sehemu ya porojo ndungu yangu uzuri kila members humu kuna kumbukumbu zake za maandishi hebu onyesha ni wapi tumetukana dini ya mtu au kupaka matope kama unavyosema.

Ukisoma michango mingi humu ni kejeli dhihaka dhidi ya Uislam bahati nzuri huwezi kuona hayo sababu ya ukwereketwa wako wa Ukirstu.
 
Last edited by a moderator:
Jumamosi tarehe 12 Oktoba, mwaka 1968 Mama Maria Nyerere alizimia aliposikia habari za msiba wa Abdulwahid Sykes kwa kukumbuka fadhira zake alizowafanyia walipokuwa wanakaa kwake yeye na mume wake Nyerere.

Halafu kuna jamaa humu anasema alikuwa anafuatilia sana siasa mpaka za Marekani mwaka 1961 lakini hawa wazee tumewasikia leo.

Sasa sijuhi huyo jamaa na Mama Maria tumuamini nani.
 
Wewe kweli ndio ignorant yaani waislamu kudai haki yao juu ya OIC ndio umewaona omba omba mbona nyie muna misaada mingi kutoka makanisa ya ujerumani bado mumetiliana kati ya kanisa na serikali [MOU] kwahiyo unaniaminisha niamini kwamba wakiristo nao ni ombaomba mpumbavu ni wewe njoo huku Arusha ulipe deni mnalodaiwa na benki, au nikuulize swali unajua kilicho msibu Askofu Laizer chunguza kwanza hiyo issue kabla kuvamia uislamu "UBONDIA UNAUTAKA LAKINI UNAOGOPA MANUNDU"
Wapumbavu mko wengi! yaani kwa upumbavu wako unadhani kila ambaye hakubaliani na mzee wako Mohamedi basi ni mkristo! Mwenyewe Mohamed Saidi anafahamu fika kwamba mie sio mkristo - kwa taarifa yako mie ni "adent ATHEIST". Ulivyo lijinga unajisikia sifa kujiita Boko haram bila kujua hata maana yake.
 
wewe sweke 34 itabidi tukutafute upelekwe mirembe kwasababu you are so ignorant mzee Mohamed said amesha sema aliandika kitabu kinachoitwa AFRICA EVENTS na Nyerere alikuwepo kwani kulikuwa na ulazima gani mzee akamuhoji Nyerere? wakati hicho kitabu kikitoka Nyerere alikuwepo
ALAA!!!!! kumbe Mohamed Said una kitabu kinaitwa AFRICA EVENTS,sasa tutakipata vipi tupate nondo,tunakushukuru Boko haram kwa kutujuza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom