Haiwezekani!Usiwasemehe Waislam hakuna Muislam anayefurahi kupimzika Jumapili siku ya kwenda Kanisani.
Waislam watafurahi kama siku ya mapumziko yatakuwa Ijumaa.
Wabudha nao watataka siku yao, wapagani hali kadhalika......
Hata hivyo kati ya waislamu wenyewe hakuna maelewano. Hiyo idi tu kila mtu na yake kadian na yao, bakwata yao, suna na yao. Mkipewa hiki mtadai kile.