Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Usiwasemehe Waislam hakuna Muislam anayefurahi kupimzika Jumapili siku ya kwenda Kanisani.

Waislam watafurahi kama siku ya mapumziko yatakuwa Ijumaa.
Haiwezekani!
Wabudha nao watataka siku yao, wapagani hali kadhalika......

Hata hivyo kati ya waislamu wenyewe hakuna maelewano. Hiyo idi tu kila mtu na yake kadian na yao, bakwata yao, suna na yao. Mkipewa hiki mtadai kile.
 
.

Naona unajichanganya mwenyewe.

Nimebainisha kuwa wakristo siku zoa za ibada ya ijumaa mosi na ijumaa pili. Na waislam siku yao ya mapumziko ni ijumaa.

sasa Serikali yenu kama inavyodai haina dini ilitakiwa isime wazi kuwa siku yake ya mapumziko ni ijumaa nne au ijumaa tano ili isiwaonee huruma watu wa dini moja. Kuweka ijumaa pili siku ambayo uya mapumziko kwa wakristo ni kuwapandelea na wasilam wanavumilia hilo.

sasa wao kuwapa tu hiyo haki ya kuchinja kama wanavyofanya ndugu na jirani zenu wa kenya na Uganda na sehemu nyingi duniani mnaona nong'wa.

Kweli kazi ipo siye yetu macho na kuomba heri itawale kwani vita vya kidini havina mshindi. kama mmekubaliana kuvumiliana na huu ndio wakti wake

Pole sana
Wakati wa Mwalimu hadi anastaafu wachinjaji walikuwa akina nani? Uliwahi kusikia chokochoko hizi wakati ulipokuwa MTANZANIA? Kwa nini zitokee sasa?
 
Hata huku uswahilini kwetu akipita kicheche huwa watu wanapiga kelele: kicheche huyooo. Lengo huwa ni kuwataadharisha wafugaji wawe makini na kuku wao. Kwako wewe ungefikiri tunamshangilia kicheche.

Mkeshaji,

Mfano huo hauingii hapa.
Utafutie mahali pengine.

Hili jambo tunalozungumza ni
zito sana.

Si la maskhara wala mifano
ya namna yako.

Angalia majina yanayotajwa:

  1. Mufti Sheikh Hassan bin Amir
  2. EAMWS
  3. Kanisa Katoliki
  4. Abdulwahid Sykes
  5. Julius Nyerere
  6. Baraza la Wazee wa TANU
  7. Padre John Sivalon
  8. Waislamu
  9. Wakristo
  10. Dhulma
  11. Nk. nk.

Hili ni jambo la tafakuri.
 
Mzee Mohamed,
Tafadhali zungumza kidogo kuhusu ile Board ilyozinduliwa jana ya kuwaenzi WAASISI wa TAIFA hili, yaani, Julius Kambarage Nyerere na Abeid Amani Karume. Angalia muundo wake unavyopendeza. Utatoa ushirikiano wako wakikuhitaji watu hawa?
 
Ndugu Barubaru,
Kwanza unatakiwa kufahamu kuwa katika Tanzania, Jumamosi (na si ijumaa mosi) ni siku ya kazi na wala si mapumziko.
Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini , 2004; kiwango cha juu cha masaa ya kazi kwa juma ni 45 na hayo na ni kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi.
Waajiri wengi wameamua kuyabana masaa hayo katika siku ya Jumatatu-Ijumaa na kuifanya Jumamosi na Jumapili kuwa siku za mapumziko.

Kuhusu suala la Jumapili (na si ijumaa pili) kuwa mapumziko hili halina uhusiano wowote na ukristu. Huu ni utaratibu unaotumika sehemu nyingi duniani (sizungumzii nchi za kiarabu). Na Tanzania ni sehemu ya dunia. Hata hivyo waislamu nao wakiwa sehemu ya wananchi wa Tanzania, nao wanafaidika na mapumziko haya.

Kwani Serikali yenu ikiamua siku ya mapumziko kiserikali iwe ijumaa nne na ijumaa tano kuna nini.
 
Mkeshaji,

Mfano huo hauingii hapa.
Utafutie mahali pengine.

Hili jambo tunalozungumza ni
zito sana.

Si la maskhara wala mifano
ya namna yako.

Angalia majina yanayotajwa:

  1. Mufti Sheikh Hassan bin Amir
  2. EAMWS
  3. Kanisa Katoliki
  4. Abdulwahid Sykes
  5. Julius Nyerere
  6. Baraza la Wazee wa TANU
  7. Padre John Sivalon
  8. Waislamu
  9. Wakristo
  10. Dhulma
  11. Nk. nk.

Hili ni jambo la tafakuri.
Mkuu nilichomaanisha ni kuwa si kila aanyesoma bandiko hili basi anakubaliana na ulichoandika.
 
Ndugu Barubaru,
Kwanza unatakiwa kufahamu kuwa katika Tanzania, Jumamosi (na si ijumaa mosi) ni siku ya kazi na wala si mapumziko.
Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini , 2004; kiwango cha juu cha masaa ya kazi kwa juma ni 45 na hayo na ni kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi.
Waajiri wengi wameamua kuyabana masaa hayo katika siku ya Jumatatu-Ijumaa na kuifanya Jumamosi na Jumapili kuwa siku za mapumziko.

Kuhusu suala la Jumapili (na si ijumaa pili) kuwa mapumziko hili halina uhusiano wowote na ukristu. Huu ni utaratibu unaotumika sehemu nyingi duniani (sizungumzii nchi za kiarabu). Na Tanzania ni sehemu ya dunia. Hata hivyo waislamu nao wakiwa sehemu ya wananchi wa Tanzania, nao wanafaidika na mapumziko haya.

Kwani Serikali yenu ikiamua siku ya mapumziko kiserikali iwe ijumaa nne na ijumaa tano kuna nini?.
 
Kuna jamaa yangu yupo kitengo cha kupiga, amesema leo atakayetia mguu basi kipigo mara tatu ya kile cha mwanzo.

Huyu anawachochea wenzie tu, yeye anakula bata. Halafu nashangaa anaupinga Ukristo wakati kila kukicha anabembeleza kuomba kutoa mihadhara kwenye vyuo vya Ujerumani na Uingereza.

Mkeshaji,

Unaingia vibaya katika mjadala.
Kwa namna yako hiyo itakuwa tabu mimi kujadiliana na wewe.

Hilo hilo ulosema ungeweza ukalisema kwa adabu.

Sijapata kuomba hayo unayosema.
Wao ndiyo wanaonialika.
 
Haiwezekani!
Wabudha nao watataka siku yao, wapagani hali kadhalika......

Hata hivyo kati ya waislamu wenyewe hakuna maelewano. Hiyo idi tu kila mtu na yake kadian na yao, bakwata yao, suna na yao. Mkipewa hiki mtadai kile.

Tatizo liko wapi serikali aina dini lazima iwasikilize raia wake wewe kinakuuma nini sasa. Au serikali iamue mapumziko ni Jumatano au Jumanne hizi siku azifungamani na dini yeyote Jumapili iwe siku ya kazi kama Ijumaa.
 
Kwani Serikali yenu ikiamua siku ya mapumziko kiserikali iwe ijumaa nne na ijumaa tano kuna nini?.
Jumanne (na si ijumaa nne) na Jumatano (na si ijumaa tano) si mwisho wa juma.

Hata hivyo hakuna sababu za kufanya mabadiliko ya siku za mapumziko katika nchi yetu. Mfumo unaotumika sasa ndio sahihi.
 
Mzee Mohamed,
Tafadhali zungumza kidogo kuhusu ile Board ilyozinduliwa jana ya kuwaenzi WAASISI wa TAIFA hili, yaani, Julius Kambarage Nyerere na Abeid Amani Karume. Angalia muundo wake unavyopendeza. Utatoa ushirikiano wako wakikuhitaji watu hawa?

WC,

Taarifa hiyo imenipita.
Hebu nipe taarifa zaidi.
 
Jumanne (na si ijumaa nne) na Jumatano (na si ijumaa tano) si mwisho wa juma.

Hata hivyo hakuna sababu za kufanya mabadiliko ya siku za mapumziko katika nchi yetu. Mfumo unaotumika sasa ndio sahihi.

Mkeshaji,

Unamfahamu Dr Michael Lugazia.
 
Nchi zote za kiislam siku za mapumziko kiserikali ni IJUMAA. Ijumaa mosi na ijumaapili ni siku za kazi kama kawaida.
Serikali zenu zina DINI. Tena sio DINI, DHEHEBU. Tanzania haina DINI. Tunapumzika Jumapili kwa mazoea tu. Mzee Ali Hassan Mwinyi, Muislam safi kabisa, aliwahi kuwa anatufidia sikukuu zikiangukia Jumamosi au Jumapili! Kupumzika Jumapili ni utamaduni tu. Kama ilivyo siku ya kupiga kura nchi hii ni Jumapili.

Kama tulivyokubaliana: 2*2=4 na 2+2=4.
 
kwa nini yasiwe na maana wakati ndo hoja iliyoletwa jamvini? by the way, nipo Mwanza, kitabu kinapatikana wapi, au mnauzia msikitini? halafu bei yake sh. ngapi?

N,

Huwa sijibu kila kitu.

Kitabu hakika kinapatikana misikitini nje vinauzwa na katika
maduka ya vitabu hapa Dar es Salaam kama Ibn Hazim Media
na Tanzania Publishing House.

Bei ni kati ya 12,000 - 13, 000.
 
WC,

Taarifa hiyo imenipita.
Hebu nipe taarifa zaidi.
Ipo thread ya Pasco humu. Hebu itafute kidogo. Haipendezi mwanaHistoria mahiri kupitwa na matukio kama haya. Board hii ikifanya kazi vizuri itakuja na majibu mazuri tu juu ya tuhuma na shutuma zako kwa Mwalimu.
 
Last edited by a moderator:
Ipo thread ya Pasco humu. Hebu itafute kidogo. Haipendezi mwanaHistoria mahiri kupitwa na matukio kama haya. Board hii ikifanya kazi vizuri itakuja na majibu mazuri tu juu ya tuhuma na shutuma zako kwa Mwalimu.

WC,

Pasco chini ya thread yenye jina lipi?
 
Serikali zenu zina DINI. Tena sio DINI, DHEHEBU. Tanzania haina DINI. Tunapumzika Jumapili kwa mazoea tu. Mzee Ali Hassan Mwinyi, Muislam safi kabisa, aliwahi kuwa anatufidia sikukuu zikiangukia Jumamosi au Jumapili! Kupumzika Jumapili ni utamaduni tu. Kama ilivyo siku ya kupiga kura nchi hii ni Jumapili.

Kama tulivyokubaliana: 2*2=4 na 2+2=4.

Jumapili ni siku ya kwenda kanisani ndiyo maana ikawa mapumziko.

Itabidi serikali ifanye mabadiliko kuna wakirsto walikuwa wanalalamika siku yao ya kwenda kanisani kwa nini iwe siku ya kupiga kura.
 
Back
Top Bottom