Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
There are currently 54 users browsing this thread. (16 members and 38 guests)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote uloandika ni ya kweli kabisa lakini sii Mwinyi alowaleta kina Mohammed said na Zomba isipokuwa Mwinyi ndiye alotuletea CCM tunayoikataa leo ya kina Lowassa, Rostam na wahuni wengine wengi wasiojali kabisa UHURU na UTU wetu bali KUTAWALA...Mwinyi ndiye alorudisha KUTAWALIWA na kina Mohammed Said wanayasikia machungu yake lakini hawataki kuona ukweli uliopo isipokuwa kurudi nyuma na kumtafuta mchawi..
Wewe hushangai Miafrika inalia na hali ngumu ya maisha na jinsi serikali ilivyowasahau lakini hawa hawa ndio wanaipigia kura CCM na kuvaa nmagwanda ya kijani na njano?..Mohammed Said, Zomba na hata Ritz ni member wa CCM wakereketwa, chama cha Nyerere ambacho kwa madai yao wenyewe ndicho kinawapa hali ngumu waislaam nchini toka Uhuru!!!..Hii kweli inaingia akilini?
Sisi wengine hatukuondoka CCM kwa sababu tunakichukia chama kwa sababu ya Kikwete muislaam, bali tunajua chama kimepoteza mwelekeo hatutafuti mchawi wakati unayetula yuu nguoni mwetu..

Haiingii akilini.Yote uloandika ni ya kweli kabisa lakini sii Mwinyi alowaleta kina Mohammed said na Zomba isipokuwa Mwinyi ndiye alotuletea CCM tunayoikataa leo ya kina Lowassa, Rostam na wahuni wengine wengi wasiojali kabisa UHURU na UTU wetu bali KUTAWALA...Mwinyi ndiye alorudisha KUTAWALIWA na kina Mohammed Said wanayasikia machungu yake lakini hawataki kuona ukweli uliopo isipokuwa kurudi nyuma na kumtafuta mchawi..
Wewe hushangai Miafrika inalia na hali ngumu ya maisha na jinsi serikali ilivyowasahau lakini hawa hawa ndio wanaipigia kura CCM na kuvaa nmagwanda ya kijani na njano?..Mohammed Said, Zomba na hata Ritz ni member wa CCM wakereketwa, chama cha Nyerere ambacho kwa madai yao wenyewe ndicho kinawapa hali ngumu waislaam nchini toka Uhuru!!!..Hii kweli inaingia akilini?
Sisi wengine hatukuondoka CCM kwa sababu tunakichukia chama kwa sababu ya Kikwete muislaam, bali tunajua chama kimepoteza mwelekeo hatutafuti mchawi wakati unayetula yuu nguoni mwetu..
Tatizo tunalopingana humu ni pale"WAKUJA" kuingia mjini,na kumuacha "mswahili" palepale gerezani aki mark time-wakati mwenzio ana march on-hili ndio tatizo mnalotaka ku wipe off na single blow,wakati mshaambiwa solution ni skuli
...Na nani alomfuata mwenziwe kama sii hao wazee walomfuata Nyerere....
.Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes
Soma hiyo quotation ya mkandara, kuna mahali kauliza nami nimekubaliana naye kabisa. Hivi kumbe hata kusoma na kuelewa ni tatizo kwako! samahani huwa sijibu post zako though!Hujakosea, hata mimi nilimwambia Mkandara huko juu kuwa haeleweki, wewe ndio umefunga kazi kabisa.
Soma hiyo quotation ya mkandara, kuna mahali kauliza nami nimekubaliana naye kabisa. Hivi kumbe hata kusoma na kuelewa ni tatizo kwako! samahani huwa sijibu post zako though!
Umeshamshika mkono Sheikh Ilunga aliyetoa fatwa kwa Maaskofu? Hapa ndipo unaweza kuona ujinga uolivyotamalaki. Huyu sheikh yeye hajaua lakini amesimama katika jukwaa akihubiri na kuwaaambia weznzake waue kwa siri. Tena sababu za kuua eti ni askofu tu.Nguruvi3,
Ikiwa atatokea Muislam dhalim.
Tutamshika mkono kumweleza kuwa
hivyo sivyo.
Sawa labda nikubali aloyaleta yote haya ni Nyerere...inakuwaje wewe ni mwanaCCM chama ambacho Nyerere ndiye alikuwa kiongozi?..Nyerere yule alobadilisha kila kitu mlokitaka leo bado nyie wanachama hai tena kwa makusudi kabisa mnaendelea kukipamba..Mkandara,
Siku zote huwezi kukubali Nyerere azungumzwe vibaya bahati mbaya unakubali mfumo kristo umeletwa na Mwinyi lakini sisi Waislam tunaona mfumo kristo umeletwa na Nyerere ushahidi upo wazi.
Bahati yako nikwamba hakuna kumbukumbu za DHB.umesema vizuri; nilimpigia debe si kwa sababu nilikuwa namjua. Nilichokukatilia ni hicho ulichoongeza...
Alaa mkuu wangu, haya ya kumpokea Mwinyi yametoka wapi?... mbona hata miye namkumbuka vizuri sana akija Mahiwa kuvizia mwali pale mtaani?..Swala ni vipi wewe bado mwana CCM chama ambcho ni cha Nyerere alowaanzisha mfumo kristu?Amma kweli, akutukanae hakuchagulii tusi, Mwinyi tumempokea wenyewe Dar., ngoja nikupe darsa dogo; Jee, unafahamu kuwa Mwinyi alikuwa anaishi nyumba ambayo sasa hivi ni bar bubu ya Pajero hapo mtaa wa Livingston? nyumbani kwa kina "Best". Na hapo katukuta (barzani kwetu hapo) tukamkaribisha kwa heshima na taadhima kama alivyokaribishwa Nyerere na Abdulwahid Sykes.
Alaa mkuu wangu, haya ya kumpokea Mwinyi yametoka wapi?... mbona hata miye namkumbuka vizuri sana akija Mahiwa kuvizia mwali pale mtaani?..Swala ni vipi wewe bado mwana CCM chama ambcho ni cha Nyerere alowaanzisha mfumo kristu?
Bahati yako nikwamba hakuna kumbukumbu za DHB.
Ungeona maneno yako uliyokua unayatumia mwenyewe.
Chakustaajabisha nikwamba yale tuliyokua tunayaona siku zile ndio unaanza kuyaona miaka hii nakujiunga Chadema.
Kama nilivyokuambia mwanzo, wewe ni kasuku tu!
Kujua kusema kunatoka kwa sauti za wengine nakuziiga lakini hawezi kusema unayofikiria mwenyewe.
Alaa si kisha kufa sasa wewe vipi bado unaendelea kuwa mwanachama wa chama chake ambacho kinatukuza mfumo kristu kwa vitendo maanake sielewi hata mnachokilalamikia wakati nyie wenyewe ndio mnaongoza nchi, huyo Nyerere hayupo tena.Nyerere yuko wapi?
Alaa si kisha kufa sasa wewe vipi bado unaendelea kuwa mwanachama wa chama chake ambacho kinatukuza mfumo kristu kwa vitendo maanake sielewi hata mnachokilalamikia wakati nyie wenyewe ndio mnaongoza nchi, huyo Nyerere hayupo tena.
Kujua kusema kunatoka kwa sauti za wengine nakuziiga lakini hawezi kusema unayofikiria mwenyewe.