THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Abraham Lincoln:
Huyu ni Rais wa 16 wa USA, ana uhusiano upi na hoja ya Uhuru? labda tungekuwa tunaongelea vita ya wenyewe kwa wenyewe ningekuelewa, ndio ilikuwa wakati wake.
Fidel Castro:
Hivi unaweza kuongea kuhusu Fidel Castro wa zana za kupigania Uhuru bila kumtaja Che Guevara?
![]()
Nimekuwekea hao wawili tu ili nisitoke kwenye mjadala, kama utahitaji Historia za Uhuru za hao wengine wote funguwa nyuzi. Naona tatizo lako kubwa ni kuwa hujui kutofautisha historia ya Uhuru wa nchi na "Biography" za watu binafsi.
Hakuna Historia dunia hii inayoongelea mambo ya Uhuru akatajwa mtu mmoja tu. Hata India akitajwa Gandhi katika harakati za Uhuru basi huwezi kumuwacha Nehru.
Hii hoja yako ni dhaifu sana tena sana.
ZOMBA a.k.a Mzee wa Hints..!
Please kill them slowly..
We still need them in our mnakasha al akhiy..