Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
GG,
Mwanakijiji kapwelewa.
Nyambala kanishushia Hansard na akafuatisha na maneno makali
ya kebehi kwa wazee wetu kuwa Tanganyika ilikuwa chini ya udhamini
kwa hiyo hakuna cha Abdu Sykes wala bastola yake nk.nk.
Mimi nikamwekea TAA HQ 1950 Political Subcommittee ya akina Sheikh
Hassan bin Amir na kutiwa Earle Seaton katika TAA kama mwanasheria
asaidie katika masuala ya udhamini wa Tanganyika.
Jamaa kanihamakia.
Soma post yake.
Dullah kawaambia hamtuwezi.
Kinachowauma ni kuwa wazee wetu haya wameyafanya 1950 ndani ya TAA
na Nyerere hayupo.
Unajua wanashindwa kukubali ukweli kuwa ni baada ya Nyerere kutoka UNO
ndipo akaanza kuwika Tanganyika nzima.
Kusema hivi si kumvunjia staha yake bali ni ukweli wa historia ya uhuru na
ukweli wa maisha yake.
MS, nimemsoma pia amesema hakuna cha Kiatu wala nani.