Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed hili jambo ni muhimu sana kwasababu wewe umeshasema ustadh Ilunga anaongea kwa niaba ya waislam. Tumekuuliza waislam wapi?

Tumekuuliza kama unakubali ile video kwavile imetolewa na mtu ''aliyetumwa'' na waislam umesema hilo huna ujuzi. Kuhusu suala la KISASI umesema waulizwe Maalumaa.

Ninapopata taabu ni kuwa wewe kiongozi wa waislam na mtu mwenye weledi wa kiwango kikubwa uliklinganisha na wafuasi wako kama huwezi kujua kuwa kauli ile ilikuwa nzuri au mbaya hadi maalumaa, sasa vipi yule mwenzangu mimi ambaye kwanza hajasoma na pili ni shabiki tu wa dini ataichukuliaje?

Je, Ilunga aliona madhara ya kaluli ile ambayo wewe unaiita utata hadi ipatiwe utaalam, je, ni muafaka kuitoa kwa mtu yoyote bila kujali athari zake? Mohamed hapo huoni kuna irresponsibility na ignorant ya kiwango cha juu sana.
Tena hiyo umeipaka rangi na kuiita ilm! Real!
Kwa kushindwa kwako KUJIBU HII mimi nachukulia kwanza umekubali kuwa kweli nakala iliyokuwa na story ya Mohammed Said ya jarida la Africa Events ilichomwa moto mwaka 1988.Itakuwa vile vile umekubali kuwa takwimu zilizo kwenye kitabu cha Mohammed Said zilizotokana na utafiti wa WARSHA na kutaja muslims v/s christians na muslims v/s non muslims si kasoro zinazopelekea kupuuza ukweli mwingi uliokuwa umejificha kabla uliomo kwenye historia yake.
Ajabu itakuja pale huko mbele mtakapozusha tena masuala haya ambayo sasa yamewashinda kuyatetea.InshaAllah tutakuwa macho kuwakumbusha.
Sasa tuje kwenye suala ambalo hapo juu umesema ni muhimu sana.
Mohammed ni mwandishi hodari wa historia na sote tunamthamini kwa hilo lakini mwenyewe anajijuwa kuwa hawezi kuchukua jukumu la maulamaa.Wewe kwa ujinga wako unataka kumuonesha kwa hadhira ya JF kuwa yeye ndiye kila kitu kwa upande wetu waislamu,hivyo kukwepa kuchukua jukumu la kujibu mambo makubwa ya ki-ilm basi ndio kila ukweli alioandika ndio umeporomoka.
Tatizo ukubwa wa elimu ya kiislamu mnaupima kwa kutumia vitabu vyenu na bado hamjaingia makraba za kiislamu mkajionea wenyewe na pia hamtaki kuamini ukweli wa historia hata iliyoandikwa na wenzenu.
Kwa mtazamo wako akina mimi ambaye ni mwalimu wa madrsa eti sijasoma.Jee umesahau ya kuwa Ulaya imesomeshwa na waislamu kama mimi kwa karne kadhaa kabla kutugeuka na kutufanyia uadui?.
Angalia Mwenzako Mwanakijiji alivyopumbaa na huu mjadala mpaka kumbukumbu hana kabisa na hajui kabisa anachokisema
Yaani wakati mwingine nachoka kabisa; yaani katika umri wako huo hujui uovu mbele ya macho yako? Kwamba Ilunga kapotosha Qurani tena vibaya sana unasema unahitaji maulamaa wakuambie? Huu ni uvivu gani wa fikra? Ndio vijana wetu unawaambia hivi kuwa Shehe akisema kitu asihoji kiakili kama hakina mantiq?
Mwanakijiji pamoja na kwamba Qur'an hata chembe haijui lakini bado anajifanya ulamaa na msemaji wao kwamba Ilunga kapotosha Qur'an.Kwa vipi?.
Kama ulivyo Nguruvi,Mwanakijiji hatorudi kujibu namna Ilunga alivyopotosha Qur'an.
Kwa hapa nimeona tena jinsi Mohammed alivyowashinda kwa hekima katika huu mjadala.
 
Nguruvi3,

Linapokuja suala la Waislam uwa unakuja na fikra tofauti sana Waislam wanapoeleza dhulma walizofanyiwa wewe unakuja na habari za wanafunzi wa Kilwa watoto 200 hataki shule ukiwanasibisha na Waislam unaenda mbali zaidi unasema hata Mombasa Waislam hawataki shule matatizo yao kama ya Kilwa hapa ndiyo nilipokushangaa sana.

Upo radhi kutafuta sehemu ambazo kuna Waislam wengi kuyaelezea matatizo ya sehemu husika kama yanatokana na Uislam.

Mila za watu pamoja na tamaduni zao wewe unazipa picha ya Uislam.

Uislam asili yake ni Ilm Uislam umetawala ulaya miaka 800 na umeacha athari nyingi sana za kielemu kiuchumi, pamoja na ustaarabu.

Jiulize kwa nini watoto wa Kilwa tu hawataki shule isiwe watoto wa Indonesia, Dubai, Kuwait, Uturuki, Iran, Singapore, Malaysia, Misri, Saudia Arabia, Qatar, Brunei, ambao Waislam wapo zaidi ya 90%.

Lakini unabadilika tena kwenye siasa hukiwa na Chadema unaishambulia CCM kuwa imeshindwa kutawala watakiwa waondolewe kwenye madaraka hapa matatizo ya Waislam ya Kilwa ayasemwi tena.
 
Pasco,Sitakulazimisha.
Asante, Wafuatiliaji wa uzi huu, samahanini kidogo, naomba kwenda off topic kidogo na sio siasa. Maalim MS naomba unisaidie rarehe halisi aliyofariki Jabali la Muziki, Marijan Rajab from the close sources. Nimesoma kwenye net, inatangazwa ni tarehe 23/03/1995. Nimekuuliza wewe kwa sababu hiyo ndiyo mitaa yako na siku ya maziko, ndipo nilipofanya mahojiano na Sheikh Commorian, na pia ndio kumuona Sheikh Nurdin kwa mara ya kwanza. Bado sijapata nafasi kutembelea RTD ila nitabisha hodi pale hivi karibuni na nitakuulizia zile recordings za Chipukizi Club na nyimbo za Sal Davis.Pasco.Pasco.
 
Mkuu Mohamed Said najua umemtaja kwingi lakini si katika namna ya kumkweza au kuonyesha mchango mkubwa kama ulivyofanya kwa wazee wako wa Gerezani.Najua pia umemtaja Rupia,Nyerere na Wagalatia wengi sana katika kitabu chako bahati mbaya ujumbe uliotaka kuufikisha kwa wasomaji wako usingeweza kuonyesha mchango wa maana zaidi ya kuwaponda.

Ngongo,
Kassanga Tumbo nimemtaja kwingi sana ni kuwa hujamsoma tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mohamed Said najua umemtaja kwingi lakini si katika namna ya kumkweza au kuonyesha mchango mkubwa kama ulivyofanya kwa wazee wako wa Gerezani.Najua pia umemtaja Rupia,Nyerere na Wagalatia wengi sana katika kitabu chako bahati mbaya ujumbe uliotaka kuufikisha kwa wasomaji wako usingeweza kuonyesha mchango wa maana zaidi ya kuwaponda.

Ngongo,
Bahati mbaya umeona hivyo.
 
Asante, Wafuatiliaji wa uzi huu, samahanini kidogo, naomba kwenda off topic kidogo na sio siasa. Maalim MS naomba unisaidie rarehe halisi aliyofariki Jabali la Muziki, Marijan Rajab from the close sources. Nimesoma kwenye net, inatangazwa ni tarehe 23/03/1995. Nimekuuliza wewe kwa sababu hiyo ndiyo mitaa yako na siku ya maziko, ndipo nilipofanya mahojiano na Sheikh Commorian, na pia ndio kumuona Sheikh Nurdin kwa mara ya kwanza. Bado sijapata nafasi kutembelea RTD ila nitabisha hodi pale hivi karibuni na nitakuulizia zile recordings za Chipukizi Club na nyimbo za Sal Davis.Pasco.Pasco.

Pasco,

Gerezani yangu ni ile ya 1950/60s nikikua.

Leo Gerezani ni magorofa na wanyeji walobaki ni wachache.
Sijui tarehe hiyo nitaipataje.

Pole sana.
 
Nguruvi,

Hayo mengine uloandika sitayazungumza.
Nitazungumza kuhusu kauli ya Sheikh Ilunga kuhusu ''kisasi.''

Sheikh Ilunga kazungumza kuhusu kisasi.
Katika Uislam kisasi ni haki.

Haya ni maneno yake Allah mwenyewe.
Hata hivyo Allah kaeleza mengine katika hicho kisasi.

Kuna kusamehe pia.

Filosofi ya kisasi ni kuwa kinafanya watu waogope kuwafanyia ubaya
wenzao kwa kujua kuwa na wao yatawakuta.

Huu ni uwanja wa maulamaa.
Uislam umekataza mtu kuzungumza kitu usichokuwa na ujuzi nacho.
Mzee Mohamed,

Mimi naamini kitabu chako kile ni KISASI dhidi ya Mwalimu kwa sababu ya "dhulma na chuki" zake kwa UISLAM na WAISLAM na hasa wazee wako waliopigania sana uhuru wa nchi hii na kuasisi TANU. Ikiwa hivyo ndivyo ni haki yako.
 
Mkuu Pasco Ustadhi Mohamed Said keshakuacha hapo ha ha ha ha ha ha ha ha.

Pasco,
Lugha inakwenda na utamaduni.

Ukisikia Mswahili anasema, ''Hebu acha wazimu wako'' haina maana anaeambiwa ni mwendawazimu.
Unaona Kiswahili kinakushida unachanganya lugha.

Pale Bi. Zena bint Farijallah alikuwa anakusudia ushujaa sio wazimu.
 
Last edited by a moderator:
WC,

Unataka tubishane kwa kitu ambacho waliasisi wazee wangu
na mie kuijua historia yake?

Hivi wewe utaijua AA kuliko mimi mjukuu wa waasisi hawa?
Hivi wewe utaujua undani wa TANU kunishinda?

Huo ni muhali.
Kwa maana hiyo kwa siasa za nchi hii hakuna kama Makongoro Nyerere, Dr Hussein Ali Mwinyi, Nico Ben Mkapa, Ridhiwani Jakaya,...!

TANU naifahamu kiasi chake na hasa yale matukio yake muhimu ya kihistoria. Nilikuwa sijui yale ya akina Mshume Kiyate.
 
Wild Card,
Hao uliowataja kwa historia ipi?
 
Nguruvi3,

Wewe ni Mkisto na mtetezi mkubwa wa mfumo Kirsto huna mamlaka ya kuwasemea Waislam wala kuwapangia.

Siku zote unapenda sana kutolea mifano ya matatizo ya Waislam wa mataifa mengine kama ndiyo Uislam, hata siku mmoja hujawahi kutolea mifano matatizo kutoka kwenye mataifa yenye Wakisrto wengi ambao wanafanya mauaji ya kutisha kama Rwanda, Congo, Burundi, Angola, Uganda, Kenya, na nk.

Hizi hoja zako unazojenga dhidi ya Uislam na Waislam umeishajiuliza kwa nini wanaoziunga mkono ni Wakirsto wenzako, Remote, Mag3, Bashadido, Mwanakijiji, Jasusi, Yericko Nyerere, na Wakirsto wengine kwa nini ujihulizi mbona hakuna Muislam hata mmoja anayekupongeza kwa michango yako kwenye huu uzi fikra zako za chuki na husda pamoja na ghirba dhidi ya Uislam na Uislam zipo wazi kabisa wala hauitaji miwani ya 3D kukusoma.

Waislam wataendelea kueleza madhila yaliowapata pamoja dhulma wala hawajali mpaka nyie mkubali huo ndio msimamo wa Waislam wewe mwenyewe ndiyo utatafuta kundi la kutuweka.

naomba kukuuliza na wewe unasapoti asemayo sheikh Ilunga juu ya mauaji ya viongozi wa dini ya kikristo?
na waislamu ndio mmemtuma?
 
Nguruvi3,unatisha kumkichwa kama ukoma! Kwakweli unajua kujenga hoja zilizosheheni nondo za nguvu.

Nakuhakikishia watanzania wote wanaofatilia mtanange huu wanakusoma wewe, Mwanakijiji,Mag3,Jasus na Yericko nyerere kwa hoja zenu mzuri na zenye kujenga na kuelimisha.

Pia wanamsoma Mohamed said,Ritz,Boko haramu,Ami,kadogoo,The Big Show na wafia dini wengine kwa hoja zao dhaifu zenye kuleta majibu mepesi kwenye maswali magumu...kwa hakika kundi hili lipo hapa jamvini kwa aibu ya kutokukubali kuwa wameshindwa na wanachokifanya sasa ni kujibu kwa mipasho ili mradi waonekane wapo na hawajashindwa.

Nguruvi3, endelea na usichoke....watanzania wanakusoma.

Nikiwa napita pita jukwaa la Siasa pale kwenye hii mada nikiona jina la Nguruvi3,Mwanakijiji,Jasusi,Mag3,Nyambala na Yericko huwa nashawishika kufungua hii thread najua kuna Elimu kubwa nitaipata.

"Wengine" nikiwaona majina yao najua nitakutana na marudio yaleyale huwa sisumbuki.

Wakiondoka hao sina haja ya kurudi kwenye huu uzi,utakuwa hauna maana tena zaidi ya Porojo.

Mkuu Nguruvi3 endeleeni kutuonyesha hila za huyu ndugu yetu
 
Mohamed Said,

Jana nimeuliza humu kwa yeyote anayefahamu habari za hiki chama United Tanganyika Party (UTP) bahati mbaya hakuna aliyenijibu kama unafahamu chochote basi tupe darsa.

Maswali muulize nyie tu,

Tukiuliza sisi mnasema hatuko darasani

Somesha na wewe kama mzee wako
 
Mkuu Rapheri utakuwa hauwatendei haki Mohamed Said Ritz Ami Boko haram THE BIG SHOW Kadogoo hawa ndugu zangu michango yao si haba najua wameshindwa kujenga na kutetea hoja lakini kama wasingeshiki usingeona umahiri wa hali ya juu na uliotukuka wa Nguruvi3 Jasusi Mzee Mwanakijiji Mag3 Pasco Yericko Nyerere WildCard Mwita Maranya sweke 34 na Ngongo nisije nikajisahau ha ha ha ha.

Nikiwa napita pita jukwaa la Siasa pale kwenye hii mada nikiona jina la Nguruvi3,Mwanakijiji,Jasusi,Mag3,Nyambala na Yericko huwa nashawishika kufungua hii thread najua kuna Elimu kubwa nitaipata.

"Wengine" nikiwaona majina yao najua nitakutana na marudio yaleyale huwa sisumbuki.

Wakiondoka hao sina haja ya kurudi kwenye huu uzi,utakuwa hauna maana tena zaidi ya Porojo.

Mkuu Nguruvi3 endeleeni kutuonyesha hila za huyu ndugu yetu
 
Last edited by a moderator:
Maswali muulize nyie tu,

Tukiuliza sisi mnasema hatuko darasani

Somesha na wewe kama mzee wako

Ndugu yangu huu ni uwanja mpana wa fikra kila mwenye chochote kuhusu historia ya Tanganyika anakimwaga jamvini watu tunajifunza.

Kama na wewe una vitu vya historia ya Tanganyika ruksa utupe darsa hakuna mashindano humu watu tunajifunza.
 
Mkuu Rapheri utakuwa hauwatendei haki Mohamed Said Ritz Ami Boko haram THE BIG SHOW Kadogoo hawa ndugu zangu michango yao si haba najua wameshindwa kujenga na kutetea hoja lakini kama wasingeshiki usingeona umahiri wa hali ya juu na uliotukuka wa Nguruvi3 Jasusi Mzee Mwanakijiji Mag3 Pasco Yericko Nyerere WildCard Mwita Maranya sweke 34 na Ngongo nisije nikajisahau ha ha ha ha.

Mkuu Ngongo hao uliowataja hapo juu ukitoa Mzee Mohamed hawajawahi kuwa na mchango wa kuishughulisha hyo list hapo chini

Huwa wanajibiwa tu ili kupewa elimu lakini hakuna anayeweza kufanya mnakasha na hiyo orodha ya chini

Mwalimu wao hataki kabisa kuona post za Mzee Mwanakijiji anaona anamuharibia mission yake

Endeleeni kutupa elimu Watanzania 100,000+ wanakusikilizeni nyie hapa

Mkiwa hampo hapa zinabaki porojo tu.
 
Umemsahau na ndugu yetu zomba ingawa siku hizi anaonekana kwa nadra sana. Naamini mzee wetu Mohamed hawezi kuwa amebaki vile alivyokuwa mwaka 1998.

Historia ya TANU au NCHI yetu haiwezi kuandikwa na mtu mmoja kwa kutumia vikabrasha vya familia moja, akatangaza Mwalimu kuwasahau watu kwa DINI zao wakati Mwalimu hakuwahi kuandika historia ya nchi hii wala yake mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu huu ni uwanja mpana wa fikra kila mwenye chochote kuhusu historia ya Tanganyika anakimwaga jamvini watu tunajifunza.

Kama na wewe una vitu vya historia ya Tanganyika ruksa utupe darsa hakuna mashindano humu watu tunajifunza.

Mimi nipo hapa najifunza sina cha ku-share hapa zaidi ya kusoma tu na kuwapongeza wanaonipa elimu

Nguruvi3 na wenzake hakika wananikosha sana

Mungu awazidishie maisha marefu
 
Mkuu Ngongo hao uliowataja hapo juu ukitoa Mzee Mohamed hawajawahi kuwa na mchango wa kuishughulisha hyo list hapo chini

Huwa wanajibiwa tu ili kupewa elimu lakini hakuna anayeweza kufanya mnakasha na hiyo orodha ya chini

Mwalimu wao hataki kabisa kuona post za Mzee Mwanakijiji anaona anamuharibia mission yake

Endeleeni kutupa elimu Watanzania 100,000+ wanakusikilizeni nyie hapa

Mkiwa hampo hapa zinabaki porojo tu.

Hakuna tatizo sisi wengine tupo hapa kujifunza siyo kushindana mwenzetu umeishachagua upande wa kujifunza una uhuru wa kusema chochote ukipendacho hizo ni fikra zako.

Mimi najifunza kwa yeyote ambaye taona kanipa kitu kipya sichagui.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom