Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi,
Utahangaika sana katika historia hii.Ridhika na unavyoona imekukalia sawa.Unajua kwa nini mimi niko bukheri wa hamsa ishirini?Naamini kile ninachokijua.Nakushauri na wewe amini unachoamini.Amini kuwa TANU iliasisiwa Pugu na hutopata shida ya kuniuliza hili wala lile.Hustaajabu kwa nini mimi siulizi mtu swali lolote?Siulizi kwa kuwa najua na ukijua unauliza nini?
Hapana staajabu kabisa kwasababu unajua kuwa kuna upotoshaji sasa utauliza nini nawe upo katika ''mission''. Mohamed wewe kufahamu jambo si tatizo, tatizo ni pale lile unalolifahamu unataka kulifanya la kweli hata kama halina ukweli na unataka kupotosha hata kama unajua unapotosha.

Mfano, huwezi kuandika kuwa political career ya Nyerere imeanza baada ya kukutana na Abdul Sykes!
Ni wewe wewe uliyeandika kuwa Nyerere alikutana na Dosa katika national conference mwaka 1947.

Hapa si national conference ya chama cha mpira au wapiga soga ni ya chama cha siasa ambacho leo ndio matunda ya kazi yake yanaonekana.

Tunajua kuwa Nyerere alikuwa na harakati akiwa Makerere. Na zaidi ukasema alipokuwa ulaya alikuwa exposed katika international politics. Hilo lilitokea kabla ya kukutana na Sykes.

Sasa unaposema career yake imeanza wakati anakutana na Sykes yaweza kuwa kweli kwa mujibu wako, lakini si kweli kwa mujibu wa historia na mujibu wa maandiko yako.

Hapa ni jitihada za kumdhalilisha Nyerere na kujenga ngazi kwa Sykes. Nasema kila siku historia iandikwe kwa kila mtu na ushiriki wake si kwa kukumiza maneno ilimradi tu yale maana ya kile ulichokusudia.

The bottom line ni kuwa habari zako hazina mtirirko, ni rahisi sana watu kuchanganya watu.
Unafanya hivyo makusudi ili baadaye utakapochemeka agenda yako hakuna wa kuhoji maana una majibu either way.

Mohamed wewe huulizi kwasababu unajua kuwa swali lako litazaa maswali.
Unakumbuka tulianzia Annur na ilipofika World Muslim League umegota.

Unajua nini kimeendelea hadi WML wakafunga virago lakini husemi.
Unachosema ni kile cha makanisa kuruhusiwa kuwa na mahusiano ya kimataifa.
Sasa utauliza nini wakati unajua kuna unayoficha?
 
Lao nami nitauliza swali.

Tafadhali lieleze jamvi harakati za Nyerere Makerere ni zipi
kiasi zinaweza kuandikwa katika historia kuwa zilikuwa na
taathira kwa ukoloni.

Ama kuhusu kugota sijaelewa umekusudia kitu gani.

Ikiwa umekusudia kuwa sikukupa jibu unalopenda hii ni
bahati mbaya kwani mie huwa sisemi kile nisichokijua.

Naogopa kuwa kichekesho.
Lugha za ''kufunga virago'' ni dalili ya hamaki.
 
Sijui wenye MJI wao watasemaje. Navyojua miji karibu yote ilipangwa kwa rangi (Uzunguni, uhindini, na Uswahilini) huku uswahilini waliishi pia Arabs kwa vile wakoloni waliwaona wana ukaribu na waswahili, la wakristo kuelekezwa na wenyeji wa kariokoo waende eneo lao hapo Dar litahitaji verification ya anayelijua. I hope somebody will respond.

Nini maana ya Uswahilini?
 
Ok, that said, THEN?

Wickama,
''THEN'' ndiyo hii hapa chini (excerpts from a paper I delivered in Zentrum Moderner Orient, (ZMO) Berlin in 1911):

Muslims without mincing words are now pointing an accusing finger to theChurch particularly the Catholic Church which in connivance with President Nyererefor being anti Islam and for frustrating the hopes and aspirations of Muslims in free Tanganyika, a country they liberated from colonialism in 1961.[1]
History in Revision
Muslims are now organising nationwide mass rallieswhich openly and in live broadcasts denounce the church, criticise the governmentand church agents within the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the Parliamentfor oppressing Muslims.

Seemingly derogatory words like "pandikizi" (singular)and "mapandikizi" (plural) meaning "turncoats;" or the new coined word "Mfumo Kristo" roughly meaning "Christian dominance" are now part of the Muslim and Swahili vocabulary.

These analogies are used freely in the Muslim media and amongMuslims in every day conversation.

But what usually thrills Muslims and utterly significant showing that times have changed is when in the rallies and in normal discussion Muslims refer to Nyerere hither to known respectfully as "Babawa Taifa" as "Baba wa Kanisa," meaning "Church Elder."
[2]

The move by the Catholic Church to make him a saint has not helped matters.

More so it proves all the allegations levelled against Nyerere that he never was anationalist but a Catholic zealot.
Respect and love which Muslims once had for Nyererehas been completely wiped out.

The new generation of Muslims no longer believein the official history of TANU and the propaganda that it was Nyerere who single handed defeated the British.

Mulims instead are honouring the forgotten heroes of independence movement and in so doing invoking emotions particularly in the new generation to stand up against oppression as their forefathers had doneagainst Germans and the British.

[1]Catholics form 76% of all members of Parliament the remaining 24% seatsare divided between Christians of other dominations and Muslims. Muslimscontrol a mere 6% of the seats. Most areas which are underdeveloped in Tanzania mainland are areas with Muslim majority like Kigoma,Tabora, Kilwa, Mtwara, Lindi etc. These areas are now re-examining themselves and are gradually turning into local factions of radical Muslim politics reminiscence of the era of nationalist politics of the 1950s. This could be asource of civil unrest in the very near future. Signs of this have begun to show in the recurrent violent conflicts between Muslims and the government.Tanzania has experienced the Buzuruga Muslim-Sungusungu Conflict (1983), Pork Riots (1993) and Mwembechai Upheaval (1998). For more information See Hamza Mustafa Njozi, Mwembechai Killings and Political Future ofTanzania, Globalink Communications Ottawa, 2000. (The book is banned by thegovernment). In all these conflicts, Muslim blood has been shed. In between these conflicts Muslims have sent several petitions to the governmentrequesting it to look into these problems but all of them have been ignored. Asa result of this Muslims from all regions of Tanzania met in Dar es Salaam at Masjid Tungi in 1990 and issued the Tungi Declaration which among other things stated that Muslim should prepare to defend their rights by all means.
[2]The late Prof. Haroub Othman after reading Sheikh Ali Muhsin's book Conflict and Harmony in Zanzibar and thewriter's book The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialismin Tanganyika, Minerva Press, London 1998 and having come across hitherto unknown information on Nyerere was devastated because hewas a great admirer of Nyerere as a patriot and a nationalist. The two bookshad painted him differently. Prof. Haroub confronted Nyerere and told him that the allegations in those two works have tarnished his image and he advised himto respond to them. Nyerere never did. Christian lecturers at Dar es SalaamUniversity are discouraging students from making references to those two books.Dr. Harith Ghassany's book KwaheriUkoloni Kwaheri Uhuru, has also come up with more information on Nyererehitherto unknown in the Zanzibar Revolution and the blood bath which followed.
 
Wickama,
''THEN'' ndiyo hii hapa chini (excerpts from a paper I delivered in Zentrum Moderner Orient, (ZMO) Berlin in 1911).....

[1]Catholics form 76% of all members of Parliament the remaining 24% seatsare divided between Christians of other dominations and Muslims. Muslimscontrol a mere 6% of the seats. Most areas which are underdeveloped in Tanzania mainland are areas with Muslim majority like Kigoma,Tabora, Kilwa, Mtwara, Lindi etc. These areas are now re-examining themselves and are gradually turning into local factions of radical Muslim politics reminiscence of the era of nationalist politics of the 1950s. This could be asource of civil unrest in the very near future. Signs of this have begun to show in the recurrent violent conflicts between Muslims and the government.Tanzania has experienced the Buzuruga Muslim-Sungusungu Conflict (1983), Pork Riots (1993) and Mwembechai Upheaval (1998). For more information See Hamza Mustafa Njozi, Mwembechai Killings and Political Future ofTanzania, Globalink Communications Ottawa, 2000. (The book is banned by thegovernment). In all these conflicts, Muslim blood has been shed. In between these conflicts Muslims have sent several petitions to the governmentrequesting it to look into these problems but all of them have been ignored. Asa result of this Muslims from all regions of Tanzania met in Dar es Salaam at Masjid Tungi in 1990 and issued the Tungi Declaration which among other things stated that Muslim should prepare to defend their rights by all means.
[2]The late Prof. Haroub Othman after reading Sheikh Ali Muhsin’s book Conflict and Harmony in Zanzibar and thewriter’s book The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialismin Tanganyika, Minerva Press, London 1998 and having come across hitherto unknown information on Nyerere was devastated because hewas a great admirer of Nyerere as a patriot and a nationalist. The two bookshad painted him differently. Prof. Haroub confronted Nyerere and told him that the allegations in those two works have tarnished his image and he advised him to respond to them. Nyerere never did. Christian lecturers at Dar es SalaamUniversity are discouraging students from making references to those two books.Dr. Harith Ghassany’s book KwaheriUkoloni Kwaheri Uhuru, has also come up with more information on Nyererehitherto unknown in the Zanzibar Revolution and the blood bath which followed.

Hii mzee Saidi nimekopi na kupaste kama nivyowahi kukujibu huko nyuma, siku hizi naona imehamia kwenye nukuu hahaha!!!!!! Na hujaunganisha kuwa kitabu chako kinajibiwa.

"Mohamed Said sijui mpaka lini utaendelea kupotosha ukweli kuhusu hili jambo, Nilishakueleza hili mjadala ule wa 2010/2011) na ukakiri huku ukiendelea kusisitiza eti msukumo mwingine ulitokana na hadithi zako. Haya narudia tena kukuelezea historia ya wazo la uandishi wa biografia ya Nyerere lilikujaje: This is an extract kutoka gazeti lile lile lilochapisha makala zako kwa wiki tatu mfululizo - The East African, October 26, 1999.

"Tanzania's founder president and father of the nation , the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, died before his autobiography could begin.
Prof. Ahmed Mohiddin, a former academician, told the East African that three people himself, Prof Haroub Othman, now live in Liberia, and former ambassador Ferdinand Ruhinda one of mwalimu's confidants had earlier approached the late Mwalimu to seek his consent.

He had initially agreed, on that and Prof Othman was to meet him in August 12, 1999 so that we could work on strategy on how we were going to do it. I think he knew his disease was fatal.

Prof Mohiddin who describes Mwalimu as the last revolutionary, said it is sad that he departed without it.

Ambassador Ruhinda said in Dar, "We were going to sit with him whenever he had time, and write his own words and then he would go through the manuscript and correct it because we wanted it to be his own work. It is just bad that he departed before the project could take off"

He added "Actually we were just going to assist him to write, but not for us to write for him; there are so many books that have been written about him that we wanted one from himself.

The three writers who had worked on a framework for the Nyerere Autograph
now have daunting task ahead. "We will have to reorganize ourselves and the work. But it will never be the same again."

Bahati mbaya na Prof Othman akafariki pia. Sasa tunapewa simulizi eti uandishi wa bayografia hii ilikuwa ni kujibu kitabu cha Mzee Saidi. Na mnatakiwa mmeze tu si imesemwa na mwalimu wetu hapa.
 
Nguruvi,Lao nami nitauliza swali.Tafadhali lieleze jamvi harakati za Nyerere Makerere ni zipi kiasi zinaweza kuandikwa katika historia kuwa zilikuwa nataathira kwa ukoloni.
Ama kuhusu kugota sijaelewa umekusudia kitu gani.Ikiwa umekusudia kuwa sikukupa jibu unalopenda hii ni
bahati mbaya kwani mie huwa sisemi kile nisichokijua.Naogopa kuwa kichekesho.Lugha za ''kufunga virago'' ni dalili ya hamaki.
Mohamed, si umeandika na imeandikwa kwingineko kuwa Nyerere alikuwa katibu wa Tawi Tabora.
Kwani tawi lile lilkuwa la chama cha walimu, wacheza mpira au wafugaji! Jibu ni kuwa kilikuwa chama kile kile alichokiongoza Dr Kyaruzi na Abdul Sykes.

Na huko Makerere alipotaka kuanzisha chama cha TAWA aliambiwa tayari kupo kingine.
Hapa si kuwa alikuwa ameshaanza harakati za kuundoa ukoloni. Unless migomo ya Dockworkers ndiyo harakati pekee ukweli utabaki kuwa Nyerere hakuanza siasa na Abdul Sykes na wala Sykes hakumfundisha siasa.Nitty gritty

Ukitaka kujua harakati zake ni pale alipokuwa na uwezo wa kusoma katiba na kuilinganisha na za washirika wake wengine hadi kubadili chama kuwa movement ya kisiasa kabisa. Hilo liliwezekana kwasababu alikuwa Makerere anasoma na ndicho kilichomtfoautisha na wazee wake na wako aliowakuta Dar.

Hata wewe umeandika kuwa wazee wakow alimtaka kwasababu ya usomi wake.
Usomi huo haukupa Butiama bali Makerere na Scotland na ndio alioutumia ku-tranform siasa za wakati huo kuwa modern politics.

Kuanzia mwaka 1929 hadi 1950 alipokuatana na Sykes, na kuanzia 1952 hadi 1960 tulipopata madaraka ya ndani ni wazi muda aliotumia kuongoza alileta mabadiliko haraka zaidi kuliko muda wa nyuma.

Hili halimfanyi Nyerere awe superior au inferior kwa wengine ni mchanganyiko wa harakati.
Inategemea harakati unazitafsiri vipi lakini kwa mwenye kusoma, kutafakuri na kuelewa harakati ni ujumla wa mambo iwe umaarufu au usomi n.k.

Kuhusu WML ninaposema kugota nina maana hiyo uliyosema kwamba hujui.
Inashangaza unaweza kujua inside information za maeneo kama Laibon wakuu wa nchi walipokuwa wanaongea, habari za wizara ya elimu na funguo za Ikulu zilizoibwa wakati wa Mwinyi lakini la World Muslim League hulijui.
Si wewe Mohamed labda mwingine.

Ni hapo unapoongeza curiosity ya watu wengine kuwa uliwezaje kujua mashirika ya kanisa yaliayoandikishwa nchini wakati hujui WML inayokuhusu.

Unawezaje kujua habari za kanisa kuilazimisha serikali kufanya abcd wakati hujui harakati za Sheikh Rukara ambaye mlikuwa bega kwa bega katika kupigana na ''dhulma''.
Haiwezekani umfahamu Sheikh Malik Mpakistani ushindwe kujua habari za Sheikh Rukara.

Endapo hujui hilo la WML na Rukara,basi la Sheikh Amir na EAMWS utalifahamu vipi?
Hapa hakuna double standard ni hoja kwa hoja.
 
Nguruvi:
Hivi nawewe Elimu yako ni ya Madrasa? nani kakufundisha kuwa Serikali ni Mkuu wa Polisi, Mkuu wa Usalama, Waziri wa Elimu, Rais, na Makamu wake? hao ndio Serikali kwa mujibu wa definition yako? Mahakama na Bunge uliambiwa sio Sehemu ya Utawala? The government is a system that decided the state of affairs for our country, state, and community. This is where new rules and laws are made. What does government mean?

KadogoO hivi unataka kuniambia Nguruvi haoni swali lako au hafla kawa kipofu na ume bold mimi naamini hawezi kukujibu na hata akikujibu atakujibu kishabiki si kwa hoja.
 
Nilikuwa namsoma Ali Ponda kwenye Iliffe hapa amesema wazi kabisa kuwa harakati za kupigania uhuru hazikuwa zikiongozwa na hisia ya dini. Hakukuwa na hisia kuwa Waislamu walikuwa wanachangia zaidi harakati hizo kuliko ndugu zao Wakristu na hivyo walistahili zaidi. .
Hivyo ndivyo ilivyokuwa,wanaachogomba waislamu mbona baadae michango yao imedharauliwa na keki ya uhuru inaliwa na wenzao?

Watu wanaweza kukhitalafiana kwenye maoni lakini si kwenye ukweli. Kusema kuwa Nyerere hakuwa muasisi wa TANU wala Mwanzilishi wake ni maoni tu hayana ukweli. Ukweli unaendelea kusimama kuwa Nyerere alikuwa ni muasisi wa TANU na Rais wake wa kwanza akizungukwa na waaasisi wengine ambao walitoa michango yao mbalimbali miongoni mwao ni Abdulwahid Sykes.
Sykes mwenyewe hajawahi hata mara moja kudai kuwa yeye ndiye aliyekuwa muasisi wa TANU; Nyerere hajawahi kudai hilo vile vile (mara zote alijiona ni miongoni mwa waasisi wa taifa letu). Hayo siyo maoni ni ukweli.
Wewe umezoea kumsemea Nyerere tena uongo.Msikilize Nyerere mwenyewe alivyosema

Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana cha matatizo.
Nimekuja, natoka Ulaya, tena masomoni. Muda mfupi tu jamaa hawa wakaniamini haraka sana katika muda wa miezi mitatu. Wakanichagua Rais wa TAA. Hapo ndipo nilianza shughuli mpya ya kuandika katiba ya TAA na kuipa madhumuni hasa ya shabaha ya kuleta uhuru.
Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Miezi minne baada ya kuanza kazi Pugu nikawa ninakuja Dar es Salaam, kwa mguu; kila Jumamosi. Baadaye wazee wakanipa baiskeli nikawa ninakuja mjini kukutana na wenzangu; kufanya mikutano.
Hivyo ndivyo tulivyofanya. Wazee wakaniamini upesi sana. Tukawa na uhusiano mkubwa sana. Wadogo wenzangu wengine walikuwa Abdul Sykes, Abass Sykes (mdogo wake), Dosa Aziz waliokuwa wengi ni wazee.
"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi. By Nyerere
Mwanakijiji unasemaje!.Nyerere anakiri hata baiskeli alikuwa amepewa na wazee wewe unasema alikuwa na gari.
Kati ya mzee na kijana nani anakuwa amemtangulia mwenzake?.
Hii si mara ya mwanzo kumsemea Nyerere uongo.Angalia hapa
Kuna kitu kimoja ambacho wanaolia "dhulma" wanadhani Watanzania hawakijui sana. Wakati wa Nyerere kama kuna kitu kilikuwa kinapigwa vita sana ni kile alichokiita "undugunization" yaani kwa neno la kimombo "nepotism". Tafsiri moja ya nepotism inasema ni "patronage bestowed or favoritism shown on the basis of family relationship, as in business and politics".
Sasa undugunization ulianza kwa kasi baada ya kuanza kuwa na kada ya watumishi wa umma wasomi ambao wameanza kushika nafasi. Kwa kiasi wale waliopata nafasi kidogo walianza kuwaingiza wana familia wao kwenye hizo ajira. Kama Baba alikuwa meneja wa Benki basi mtoto wake akigraduate naye anatafutiwa kazi benki; hii ilikuwa kweli kwenye polisi, na ilikuwa kweli kwenye ajira nyingi sana. Na kwa kadiri watu walivyozidi kupata nafasi za juu ndivyo nao walivyozidi kuwaingiza ndugu zao kwenye ajira na hawakufungwa na ofisi zao kwani waliweza kuwaunganisha na marafiki zao kwenye kada nyingine. Hivyo, mtu anaweza kuwa yuko Ikulu lakini mtoto au jamaa yake akaunganishwa kupata kazi Benki Kuu, au taasisi nyingine.
Lakini kumbe Nyerere alikuwa hachagui watu kwa udugunization bali kwa imani zao kama yake.Waislamu wakidhulumiwa.Angalia hapa
Kwenye kitabu cha Developement and religion in Tanzaia cha Bergen uk365 alimnukuu mwalimu Nyerere akisema
" I am a layman but I try to do what I can and will not go against my own church.I want to give the church a better chance here.Tell the bishops that I have established in TANU a department of political education and have put a Lutheran minister in charge;he was not a greater politician. I selected him because of his strong faith".

Mwanakijiji lini utakoma kumsemea uongo Nyerere ili kulinda mfumo wenu?
 
Mohamed, si umeandika na imeandikwa kwingineko kuwa Nyerere alikuwa katibu wa Tawi Tabora.
Kwani tawi lile lilkuwa la chama cha walimu, wacheza mpira au wafugaji! Jibu ni kuwa kilikuwa chama kile kile alichokiongoza Dr Kyaruzi na Abdul Sykes.

Na huko Makerere alipotaka kuanzisha chama cha TAWA aliambiwa tayari kupo kingine.
Hapa si kuwa alikuwa ameshaanza harakati za kuundoa ukoloni. Unless migomo ya Dockworkers ndiyo harakati pekee ukweli utabaki kuwa Nyerere hakuanza siasa na Abdul Sykes na wala Sykes hakumfundisha siasa.Nitty gritty

Ukitaka kujua harakati zake ni pale alipokuwa na uwezo wa kusoma katiba na kuilinganisha na za washirika wake wengine hadi kubadili chama kuwa movement ya kisiasa kabisa. Hilo liliwezekana kwasababu alikuwa Makerere anasoma na ndicho kilichomtfoautisha na wazee wake na wako aliowakuta Dar.

Hata wewe umeandika kuwa wazee wakow alimtaka kwasababu ya usomi wake.
Usomi huo haukupa Butiama bali Makerere na Scotland na ndio alioutumia ku-tranform siasa za wakati huo kuwa modern politics.

Kuanzia mwaka 1929 hadi 1950 alipokuatana na Sykes, na kuanzia 1952 hadi 1960 tulipopata madaraka ya ndani ni wazi muda aliotumia kuongoza alileta mabadiliko haraka zaidi kuliko muda wa nyuma.

Hili halimfanyi Nyerere awe superior au inferior kwa wengine ni mchanganyiko wa harakati.
Inategemea harakati unazitafsiri vipi lakini kwa mwenye kusoma, kutafakuri na kuelewa harakati ni ujumla wa mambo iwe umaarufu au usomi n.k.

Kuhusu WML ninaposema kugota nina maana hiyo uliyosema kwamba hujui.
Inashangaza unaweza kujua inside information za maeneo kama Laibon wakuu wa nchi walipokuwa wanaongea, habari za wizara ya elimu na funguo za Ikulu zilizoibwa wakati wa Mwinyi lakini la World Muslim League hulijui.
Si wewe Mohamed labda mwingine.

Ni hapo unapoongeza curiosity ya watu wengine kuwa uliwezaje kujua mashirika ya kanisa yaliayoandikishwa nchini wakati hujui WML inayokuhusu.

Unawezaje kujua habari za kanisa kuilazimisha serikali kufanya abcd wakati hujui harakati za Sheikh Rukara ambaye mlikuwa bega kwa bega katika kupigana na ''dhulma''.
Haiwezekani umfahamu Sheikh Malik Mpakistani ushindwe kujua habari za Sheikh Rukara.

Endapo hujui hilo la WML na Rukara,basi la Sheikh Amir na EAMWS utalifahamu vipi?
Hapa hakuna double standard ni hoja kwa hoja.

Nguruvi,
Kila mtu ana jicho lake la kuonea.

Ikiwa unaona harakati za kumng'oa Mwingereza zilianza Makerere sawa tu.
Hapana ugomvi.

Tatizo usimkataze mwingine kuja na historia mbadala akasema harakati
zilianza na AA 1929.

Hakika najua mengi lakini sijui kiiila kitu.
Hilo la Rukara sina taarifa.
 
Hii mzee Saidi nimekopi na kupaste kama nivyowahi kukujibu huko nyuma, siku hizi naona imehamia kwenye nukuu hahaha!!!!!! Na hujaunganisha kuwa kitabu chako kinajibiwa.

"Mohamed Said sijui mpaka lini utaendelea kupotosha ukweli kuhusu hili jambo, Nilishakueleza hili mjadala ule wa 2010/2011) na ukakiri huku ukiendelea kusisitiza eti msukumo mwingine ulitokana na hadithi zako. Haya narudia tena kukuelezea historia ya wazo la uandishi wa biografia ya Nyerere lilikujaje: This is an extract kutoka gazeti lile lile lilochapisha makala zako kwa wiki tatu mfululizo - The East African, October 26, 1999.

"Tanzania's founder president and father of the nation , the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, died before his autobiography could begin.
Prof. Ahmed Mohiddin, a former academician, told the East African that three people himself, Prof Haroub Othman, now live in Liberia, and former ambassador Ferdinand Ruhinda one of mwalimu's confidants had earlier approached the late Mwalimu to seek his consent.

He had initially agreed, on that and Prof Othman was to meet him in August 12, 1999 so that we could work on strategy on how we were going to do it. I think he knew his disease was fatal.

Prof Mohiddin who describes Mwalimu as the last revolutionary, said it is sad that he departed without it.

Ambassador Ruhinda said in Dar, "We were going to sit with him whenever he had time, and write his own words and then he would go through the manuscript and correct it because we wanted it to be his own work. It is just bad that he departed before the project could take off"

He added "Actually we were just going to assist him to write, but not for us to write for him; there are so many books that have been written about him that we wanted one from himself.

The three writers who had worked on a framework for the Nyerere Autograph
now have daunting task ahead. "We will have to reorganize ourselves and the work. But it will never be the same again."

Bahati mbaya na Prof Othman akafariki pia. Sasa tunapewa simulizi eti uandishi wa bayografia hii ilikuwa ni kujibu kitabu cha Mzee Saidi. Na mnatakiwa mmeze tu si imesemwa na mwalimu wetu hapa.

Nyambala,
Najua akili yako haiwezi kukubali hayo nilokuambia.

Hata nilipokuwa Chuo Kikuu kuna wakati waalimu wangu
wakidhani kuna mahali nanakili kazi zangu lakini baada
ya muda waliamini ni mimi mwenyewe ndiye ninayeandika.

Prof. Haroub ndiye aliyenieleza yote hayo na hakuishia
hapo alikwenda hadi kwa Ahmed Rashad Ali kutaka ithibati.

Nimeweka hapa habari za Mzee Rashad ikiwa hunazo nitaarifu
nitaziweka upya.

Lakini kwa nini mnajitesa hivyo?
Ikiwa mnaona mie muongo si basi aminini mnachotaka kuamini.

Halikadhalika haikuwa kujibu kitabu changu bali na kitabu cha
Sheikh Ali Muhsin Barwani "Conflict and Harmony in Zanzibar."

Nina mengi sana ndugu yangu na ikiwa utakuwa na subra utajifunza
mengi sana kutoka kwangu.
 
Hakuna shida mzee Saidi ila kwa hili hapana mazingira ya maelezo yako na nini kilitokea havilingani. Kama alivyokwambia mwanakijiji b4 u re entitled to ur own opinions but not ur own facts. Na hatuwezi kuacha haya yaende tu kwani kuna vijana wanaamini kila unachokiweka of which hata wew mwenyewe umeona kuwa baadhi ya mambo aidha ume-exaggerate au ume-ommit to suit your narratives. Lkini kuna kitu nakiona kwenye maandishi yako hivi sasa u r becoming more careful and safely playing. Good on you.
 
Kwa maneno mengine zile zama za kuwaweka watu mkekani na kuwapigisha story na chumvi nyingii zinakaribia kwisha. True..."He is entitled to his own opinions but not his own facts"
 
Son of Alaska,

Jitahidi saana kujiepusha na mimi. Na kuanzia sasa nami pia tatumia ule "ustaarabu na hekima za Mwalimu",sitakujibu asilani hata ukijaribu kufurukuta kunena jambo la maana. Nahisi una hamu ya umashuhuri hapa jamvini/JF kwa kujihusisha na tashtit.

Hizo "stimu" mbona unazo kitambo ama wenzio hawajakwambia!?Kwa fikra zako hafifu na chechefu,unafikiri kila mtu hapa jamvini anaongea vitu vya maana!?(na nina hakika wewe ni miongoni mwao!).

Mimi hapa namsoma kwa utuo Sheikh Mohammed Said labda na "wataalam wengine" naye bila ya shaka anajua hilo. Yeye pekee ndiye mwenye amri ya kunifunga mdomo.

I know that you don't deserve my attention neither response just a favour! I wrote to you before,I was wrong though cause I thought you got the message!?
Listen baby girl,you need to know your place and don't get too big headed. I really wonder why you cult woshiper follow something that you don't believe or want to understand!? Is it for something to get upset about,or your initial intention to learn something!?
Well,knowledge and understanding is like food,only babies need to be fed.

Milego dnia.

Ps; I wish you take that "baby girl thing" as a compliment!

CC: Rapherl

Kweli hii JF watu wanakusoma wanakuchokonoa... Then you reveal yourself.
 
Ritz, nadhani hapa hakuna "conflict". Nyerere amekiri KILA alikoenda wazee walimpa support kubwa kuliko VIJANA. Sababu pia kazitaja (refer Mbeya). Baiskeli na vyakula vinaashiria mahaba na uzalendo wa hao wazee. Lakini haviashirii kama wao ni Shia au Sunni au Freemason.

Mbona hawa umewasahau? Katoliki, Sabato, Anglikana, Lutheri, Jehova, Walokole, Pentekoste,nk; kwani wao hawakushiriki harakati za uhuru? naona umewataja Shia, Sunni na Freemason tu! na hawa Feemason kipindi hicho cha harakati za uhuru ni Mzee yupi alikuwa ktk dini hiyo?
 
Kadogoo punguza ukali bwana, ukiwa na jirani anayeku-bore sana lakini siku moja akakusaidia kumkamata mwizi basi japo mwambie ahsante kwa siku hiyo. Si ndiyo desturi yakheee!!!! weee vipi bwana. Nadhani hapa mwisho utasema Subhanallah, Mtazame huyuuuu!!!!

Wickama:
Sio ukali Mkuu! na mfano wako ni sawa na jirani aliechoma nyumba yangu ikateketea yote! halafu adui huyo akaja nipa pole kwa kunisaidia na blanketi na mashuka ya kujifunika!
Mkapa alishiriki kuisambaratisha jumuiya ya EAMWS mwaka 1968 alipokuwa Mhariri wa gazeti la Serikali na kuuwa juhudi za jumuiya hiyo kujenga chuo kikuu cha kwanza cha Kiislamu EA! akiwa Rais aliuwa Waislamu na kuwasweka ndani Mashehe! wakati anakaribia kustaafu kuna watu walimfuata na kumwambia unaondoka lakini Waislamu wanahasira na kihoro na wewe hivyo ili angalau wasahau mabaya uliyowafanyia hakikisha unawanyia jambo muhimu na ndipo alipowapa majengo yale ya UOM!
 
THERE ARE FIVE COMMON ESCAPE ROUTES,
I WILL START WITH TWO OF THEM;

The first escpe route is to veil the existence of the problem,
When nyerere was stepping down as the president in 1985 he addressed the Muslim question.He acknowledged the promise made to muslims before Tanganyika's Independence;and after saluting their patience,he bravely declared that the imbalances had been removed.I am not aware of anyone else,apart from nyerere who had made that claim.The disadvantage of that position is that it fails to solve the problem,it merely veils its existence by pretending that the problem has been solved.Even if his claim was clearly in error,Nyerere could,at least,be credited for taking the bull by the horns

The second escape route is,both,to acknowledge and to justify,the current imbalances by invoking historical explanations.It is argued that today muslims are grossly underrepresented in education and employment beacuse they wewe grossly underrepresented at the time of tanganyika's independence.In his escape route,above Nyerere avoided this type of begging the question.There has never been any dispute about the religious imbalances at the time of independence.The question was about Tanganyika's solemn commitment to rectify those imbalances.Have the imbalances been removed??..
 
THE BIG SHOW, Ni shule tu inayoweza ku rectify this problem-Nyerere aliweka pass mark ya chini ili wakati wengine wana mark time you people mcatch up-for some reasons hizo shule zenu by year 7 darasa linakuwa tupu-wewe unaweza kuwa katika watu waliofaidika na low pass mark

"The second escape route is,both,to acknowledge and to justify,the current imbalances by invoking historical explanations.It is argued that today muslims are grossly underrepresented in education and employment beacuse they wewe grossly underrepresented at the time of tanganyika's independence.In his escape route,above Nyerere avoided this type of begging the question.There has never been any dispute about the religious imbalances at the time of independence.The question was about Tanganyika's solemn commitment to rectify those imbalances.Have the imbalances been removed??.."
 
Last edited by a moderator:

THIRD ESCAPE ROUTE
Was to make much of the 1969 nationalisation of schools.The muslims question was supposedly to have been resolved because in 1969 Nyerere nationalised mission schools,Since then there has supposedly been no discrimantion in education.This is to confuse methods with results.At best,those are details about methods which were used to address the question.The issue is not which procedures were used,but whether the imbalances have been rectified.In february 1962,and in 1963 for example,muslims had formally complained that the overseas scholarship awards were being denied to qualifying muslims in favour of christians.At the over 95% of those scholarships were given to christians..
Today,after more than 30 years since schools were nationalised,what is the percentage of muslims in overseas scholarship awards?what is the percentage of muslims students in goverment schools and colleges?what was their percentage before the nationalisation of schools?what is the percentage of muslims in key GOVERMENT POSITIONS??
 
Kwa maneno mengine zile zama za kuwaweka watu mkekani na kuwapigisha story na chumvi nyingii zinakaribia kwisha. True..."He is entitled to his own opinions but not his own facts"

Platozoom,
Kwani tatizo liko wapi ndugu zanguni?

Nyie si mmekuwa na historia yenu ya Kivukoni nasi tunayo hii yetu.
Kwa nini tugombane?
 
Back
Top Bottom