Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nimesomq hapo nikajikuta nacheka peke yangu na kumkumbuka nguruvi3 kwamba mchochezi wewe ukishindwa oja huwa unaiibua tena kwa mlango wa nyuma ili tu isionekane ulishindwa shame on u!

Cool Runnings,

Ikiwa utakuwa kwenye ''name calling'' hatutaweza kuwa na mjadala wa maana baina yetu.

Jambo la maana ni wewe kueleza mambo kama unavyoona na mimi nikatoa fikra zangu bila
ya mimi kukutusi.

Huu ndiyo ustaarabu wa majadiliano.

Mwisho.
Mimi niko hapa huu mwezi wa nne.

Siko hapa kwa ajili ya kushinda mjadala.
La hasha.

Mimi niko hapa kwa sabubu ningependa jamii ijue hoja mbadala
katika mengi yanayokabili nchi yetu.

Uamuzi ni wako tuendelee na mjadala kwa heshima au tuachane.
 
Mohamed Said,

Kuwa muwazi,

Upo hapa usiku na mchana kwaajili yakutetea kile kilicho kwenye kitabu chako,

Ingelikuwa kweli upo kwaajili ya maslahi ya taifa basi ungejibu hoja zote za wadau ambazo kimsingi unazikwepa
 
Huwezi kunielewa kwa sababu uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. Ndio maana nakushauri acha kupoteza wakati wako kuandika mambo ambayo huna uwezo nayo kwani utajidhalilisha sana wewe na familia yako na utaanika ujinga wako milele kupitia kitabu hicho unachotaka kukitoa.

Zali wa Mentali,

Huyu asikushughulishe.

Kitabu ili mchapaji (publisher) akichape kikubwa ni kwanza anaangalia soko.
Je, kitabu kitauzika?

Hili la kwanza linaendane na hili la pili.
Je, kitabu kinakuja na mapya?

Yeye anaandika kuhusu CIA...
Hivi yeye ujuzi huo atautoa wapi?

Kweli kuandika habari kuhusu idara za CIA mna jipya la usomi humo?

Ningependa asome hapa chini tena majumuisho yangu ya Ibadan jibu nilowapa
Waamerika kuhusu ugaidi.

Huenda akaelewa kuwa hilo si somo jepesi:

Conclusions
The war against terrorism is an American dilemma imposed on Tanzania.

The government of Tanzania cooperated not out of principle but out convenience because the anti terrorism legislation that was passed helped the government to sustain itself against its own internal problems with Muslims.

The government manipulated the bogey of ‘Muslim fundamentalists' in its local politics as a bait to attract the attention of the United States to provide assistance in the fight against terrorism of which the United States was too eager to combat anywhere in the world where Muslims could be found.

The struggle in Iraq, Afghanistan and Palestine is still continuing with a lot of bloodshed. There also seem to be no let up in acts of terrorism against the United States and its allies either.

There is evidence that in desperation the United States Army
used white phosphorus (a chemical weapon) as a weapon against combatants and civilians in Iraq. [1]

Muslims in Tanzania are aware about this and they ‘kunut' for the ‘mujahid' in Iraq, Afghanistan and Palestine; and sometimes in these ‘kunut' the imam includes the ‘mujahid' in Tanzania in reference to Muslims who have dared to stand up in defence of Islam resisting all kind of harassment and intimidation from the government despite the anti-terror legislation.

To these people the ‘terrorism' is not their priority or responsibility.

It is a phenomenon very far removed from their conscience or reality.

This is in the mind's frame of the mainstream Muslim majority comprising more than 60% of the population in Tanzania.

It is interesting to note that Huntington postulates Tanzania as comprising of ‘Christian animist mainland and Arab Muslim Zanzibar.'[2]

Is this wrong premise part of the reasons which in its war against terrorism United States government fails to appreciate the forces at play in Tanzania's polity?

In Tanzania, Islam has proved that it could stand on its own.

The harsh rule of Germany colonialism left it intact so did British colonialism.

African Christians in post independence Tanzania who have taken over state power from the colonial administration have failed to prevent its growth and strength.

It is unlikely that the United States support to the government on its war on terror would bring Islam in Tanzania to its knees.

It is not lost upon Muslim that in cooperating with the United States the country would be rewarded and the resources, which would be poured into the country, would help to maintain the status quo.

Much as the passing of the Prevention of Terrorism Act is a set back to Muslims' struggle against Christian domination in the political spectrum, the draconian law has made Muslims even more determined to organise themselves to face the challenges that prevail.

Further still, Muslims have equally realised that, it is only through active participation in the political arena as Muslims, that would they be able to share power and compete with Christians in governing the country and hence determine their future and that of their religion.

But most important is the fact that the FBI have been in the country for almost three years now but have failed to unearth even a single evidence to prove that Muslims in Tanzania have in any way engaged or supported acts of terrorism against the United States government.

Neither the United States nor the Tanzanian government have managed to amass enough courage to admit this in public and offer apology, at least for the time being.

Tanzania is now among 23 countries nominated by Millennium Challenge Corporation (MCC) for assistance from the United States in 2006 after fulfilling eligible condition for aid.[3]

[1]George Monbiot, ‘Behind the phosphorus clouds are war crimes within war crimes,' The Guardian 22 November 2005.

[2] Samuel P. Huntington, The Clash of Civilization and the Remarking of World Order, Touchstone Books, London, 1996 p. 137.
[3] See Mtanzania, Novemba 10, 2005, p.3.

Ningependa kijana ajiulize yeye mwenyewe hata kwa hao Waamerika anaojinasibishanao ati Ubalozi wa Marekani ndiyo ''wanasimamia kitabu chake'' hivi haya niloandika mie na hayo yake yakiwekwa mbele yao anadhani ni maneno ya nani yataonekana ya maana?
 
Zali wa Mentali,

Huyu asikushughulishe.

Kitabu ili mchapaji (publisher) akichape kikubwa ni kwanza anaangalia soko.
Je, kitabu kitauzika?

Hili la kwanza linaendane na hili la pili.
Je, kitabu kinakuja na mapya?

Yeye anaandika kuhusu CIA...
Hivi yeye ujuzi huo atautoa wapi?

Kweli kuandika habari kuhusu idara za CIA mna jipya la usomi humo?

Ningependa asome hapa chini tena majumuisho yangu ya Ibadan jibu nilowapa
Waamerika kuhusu ugaidi.

Huenda akaelewa kuwa hilo si somo la jepesi:

Conclusions
The war against terrorism is an American dilemma imposed on Tanzania.

The government of Tanzania cooperated not out of principle but out convenience because the anti terrorism legislation that was passed helped the government to sustain itself against its own internal problems with Muslims.

The government manipulated the bogey of ‘Muslim fundamentalists’ in its local politics as a bait to attract the attention of the United States to provide assistance in the fight against terrorism of which the United States was too eager to combat anywhere in the world where Muslims could be found.

The struggle in Iraq, Afghanistan and Palestine is still continuing with a lot of bloodshed. There also seem to be no let up in acts of terrorism against the United States and its allies either.

There is evidence that in desperation the United States Army
used white phosphorus (a chemical weapon) as a weapon against combatants and civilians in Iraq. [1]

Muslims in Tanzania are aware about this and they ‘kunut’ for the ‘mujahid’ in Iraq, Afghanistan and Palestine; and sometimes in these ‘kunut’ the imam includes the ‘mujahid’ in Tanzania in reference to Muslims who have dared to stand up in defence of Islam resisting all kind of harassment and intimidation from the government despite the anti-terror legislation.

To these people the ‘terrorism’ is not their priority or responsibility.

It is a phenomenon very far removed from their conscience or reality.

This is in the mind’s frame of the mainstream Muslim majority comprising more than 60% of the population in Tanzania.

It is interesting to note that Huntington postulates Tanzania as comprising of ‘Christian animist mainland and Arab Muslim Zanzibar.’[2]

Is this wrong premise part of the reasons which in its war against terrorism United States government fails to appreciate the forces at play in Tanzania’s polity?

In Tanzania, Islam has proved that it could stand on its own.

The harsh rule of Germany colonialism left it intact so did British colonialism.

African Christians in post independence Tanzania who have taken over state power from the colonial administration have failed to prevent its growth and strength.

It is unlikely that the United States support to the government on its war on terror would bring Islam in Tanzania to its knees.

It is not lost upon Muslim that in cooperating with the United States the country would be rewarded and the resources, which would be poured into the country, would help to maintain the status quo.

Much as the passing of the Prevention of Terrorism Act is a set back to Muslims’ struggle against Christian domination in the political spectrum, the draconian law has made Muslims even more determined to organise themselves to face the challenges that prevail.

Further still, Muslims have equally realised that, it is only through active participation in the political arena as Muslims, that would they be able to share power and compete with Christians in governing the country and hence determine their future and that of their religion.

But most important is the fact that the FBI have been in the country for almost three years now but have failed to unearth even a single evidence to prove that Muslims in Tanzania have in any way engaged or supported acts of terrorism against the United States government.

Neither the United States nor the Tanzanian government have managed to amass enough courage to admit this in public and offer apology, at least for the time being.

Tanzania is now among 23 countries nominated by Millennium Challenge Corporation (MCC) for assistance from the United States in 2006 after fulfilling eligible condition for aid.[3]

[1]George Monbiot, ‘Behind the phosphorus clouds are war crimes within war crimes,’ The Guardian 22 November 2005.

[2] Samuel P. Huntington, The Clash of Civilization and the Remarking of World Order, Touchstone Books, London, 1996 p. 137.
[3] See Mtanzania, Novemba 10, 2005, p.3.

Ndugu yangu weka adabu mbele kama vile tuendavyo,

Kwanini unajijibu kwa mlango wa nyuma?

Njoo unijibu hapa peupe kabisa kuliko kujibia shimoni!

Nini khasa kinachokukwaza katika maandishi yangu yahusuyo ugaidi?

Kibaya zaidi kwako ni pale unaposema pepa zako za Ibadani ndio sahihi, usahihi ni upi hapo?

Nimesimulia vita ya ugaidi inavyopiganwa duniani, ikiwa wewe una hoja mbadala lete hapa kuliko kung'ang'ania eti "huyo kijana hajui chochote"

Jenga hoja na ujibiwe kwa hoja sio jeuri na kibri!
 
Achahasira,
Huyu kijana hana uwezo wa kuandika kitu cha kisomi wala hana uwezo
wa uchambuzi wa kiasi cha wasomi kumsoma.

Zaidi sana anakopi mahali anabandika.

Hao Waamerika anaowasemea kuhusu ugaidi wao ndiyo wanaongoza kwa
ubaya duniani.

Naweka hapa chini machache katika ugaidi wa Waamerika miaka na miaka:

Out of its own free will Tanzania after the bombing of the United States Embassy in Dar es Salaam in 1998 and after 9/11 found itself being dragged into a war of attrition which it had no justified cause to get involved.

Despite of the Cold War politics of the post WW II era Tanzania had never considered the United States as an adversary much as it was supporting oppressive regimes and conducting illegal acts of aggression in Vietnam, Laos Cambodia, Nicaragua and in many other places.

Nowhere was this policy abhorrent than in South Africa under apartheid and in Palestine where Israel is forcefully with the full support of the United States was occupying Muslim land, killing and maiming innocent children with lethal weapons supplied by the United States.

Through its policies in the Middle East and elsewhere the United States was creating and is still creating more enemies, but it does not care because the primary objective of the United States is to guard its national interest, other matters are secondary.

And to back up its national interest the United States has in possession a formidable war machine which no country on earth can defeat in conventional warfare.

Hii inatoka katika mada niliyowasilisha Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006 likiwa jibu kwa Balozi wa Marekani Robert Royall kutokana na mada yake aliyowasilisha Bungeni Dodoma.
Ibadan is back!
 
Jason Bourne,
Hapana sijasema popote kuwa mimi ndiye nijuaye historia ya Tanganyika.

Mimi naijua historia ya TANU kwa kiasi changu kwa kuwa wazee wangu ndiyo
walikiasisi hicho chama na wakawanacho muda wote wa kupigania uhuru na
kwa hakika historia hiyo ni ndefu.

Historia hiyo nimeiandikia kitabu na mengine nimeyaeleza hapa JF.

Na mara kadhaa nimesema ikiwa kuna mtu au watu wanayo historia ya uhuru
basi watuwekee hapa tusome.

Kuhusu ugaidi na mimi kuweka paper niliyowasilisha sijui wewe ungetaka nifanyeje.

Nimeweka hiyo paper kudhihirisha kuwa hili somo nalifahamu na nimewasilisha mada
kuhusu ugaidi kwenye mawanda ya kimataifa.

Ikiwa kwangu mimi kufanya hivyo wewe kumekukera basi hii ni bahati mbaya.

Mwisho sijasema wengine hawawezi kuandika chochote.
Hili si kweli hata kidogo,
Mohamed, kuhusu Ugaidi nakusihi ukae kimya.

Nimesoma hizo paper za Ibadan naona maruwe ruwe.
Nakusihi achana na hoja hii wewe jikite na habari zetu za kipata na Mkunguni.

Umemjibu Yericko kwakusema Marekani haijaweza kupata ushahidi wa ugaidi Tanzania.
Hilo tu linatosha kujua unaongelea kitu usicho na ujuzi nacho. Kaa kimya nakusihi.
Wengine tunajisikia fadhaa kukimbia na suruali za wazee walizoacha ufukweni wakioga mtoni.
Mohamed kuhusu ugaidi aa a!

Rudi umsome Mwanakjiji kuna kitua ameeleza kuhusu ugaidi. Ukimaliza kumsoma, kaa kimya.

Kuna kijana alisema kumzuia mwislam asifanye dhulma ni sehemu ya kumsaidia. Naomba yule kijana akuzuie!

Gombesugu, unaona ninavyojitahidi kuwa muungwana! Sasa nakusanya ngogwe zako, mwambie mzee atulie!
 
Ndugu yangu weka adabu mbele kama vile tuendavyo,

Kwanini unajijibu kwa mlango wa nyuma?

Njoo unijibu hapa peupe kabisa kuliko kujibia shimoni!

Nini khasa kinachokukwaza katika maandishi yangu yahusuyo ugaidi?

Kibaya zaidi kwako ni pale unaposema pepa zako za Ibadani ndio sahihi, usahihi ni upi hapo?

Nimesimulia vita ya ugaidi inavyopiganwa duniani, ikiwa wewe una hoja mbadala lete hapa kuliko kung'ang'ania eti "huyo kijana hajui chochote"

Jenga hoja na ujibiwe kwa hoja sio jeuri na kibri!

Kwan ile list imeishia wap tena si nilimskia kasusa huyu mzee sa kulikoni anajia na mlango wa uani tena in wrong approach as usuall
 
Mohamed, kuhusu Ugaidi nakusihi ukae kimya.

Nimesoma hizo paper za Ibadan naona maruwe ruwe.
Nakusihi achana na hoja hii wewe jikite na habari zetu za kipata na Mkunguni.

Umemjibu Yericko kwakusema Marekani haijaweza kupata ushahidi wa ugaidi Tanzania.
Hilo tu linatosha kujua unaongelea kitu usicho na ujuzi nacho. Kaa kimya nakusihi.
Wengine tunajisikia fadhaa kukimbia na suruali za wazee walizoacha ufukweni wakioga mtoni.
Mohamed kuhusu ugaidi aa a!

Rudi umsome Mwanakjiji kuna kitua ameeleza kuhusu ugaidi. Ukimaliza kumsoma, kaa kimya.

Kuna kijana alisema kumzuia mwislam asifanye dhulma ni sehemu ya kumsaidia. Naomba yule kijana akuzuie!

Gombesugu, unaona ninavyojitahidi kuwa muungwana! Sasa nakusanya ngogwe zako, mwambie mzee atulie!

Hahaahaa

Mkuu umenichekesha sana,

Ndugu yangu Mohamed Said amenijia juu sana baada ya mimi kumuelezea muundo wa CIA,

Hilo limekwaza sana, lakini ajabu nikuwa anakwazika na mimi badala yakukwazika na CIA!

Kimsingi ndugu yangu ameandika hizo pepa za Ibadan kwa mtazamo wake sio kwa facts na ndio utata utapojitokeza kati yetu!

Mwanakijiji ameeleza vyema katika moja ya post zake, na hata ndugu yangu Sadeeq nae kaeleza vema katika mchango wake kwangu kutokana na post ya CIA!

Maajabu ni kuwa Mohamed Said na wengine wamekwazika sana juu yangu!

Ukweli usemwe hata kama ni mchungu,

Hoja zetu Mohamed Said amezikimbia kwamgongo wa kitu akiitacho

"kuingizwa kwenye list yake"

Huu ni aina ya ujanja wa mzee huyu kukwepa mjadala huu!

Imefikia kipindi wapambe wake wanasema wanajitoa hapa nakwenda kuanzisha uzi kwaajili yakupeana kile wakiitwacho elimu!

Elimu bila kujenga hoja na kuzijibu sio elimu bali ni ilmu ahera!
 
Kwan ile list imeishia wap tena si nilimskia kasusa huyu mzee sa kulikoni anajia na mlango wa uani tena in wrong approach as usuall

Mtu mdini hawezi kutulia juu ya ishu hii,

Amejifungia mwisho idini umemtoa sasa anaona aibu kunikabili uso kwa uso badala yake anajibu kupitia bafuni!

Aje live tu asijiumize hivi!
 
Mtu mdini hawezi kutulia juu ya ishu hii,

Amejifungia mwisho idini umemtoa sasa anaona aibu kunikabili uso kwa uso badala yake anajibu kupitia bafuni!

Aje live tu asijiumize hivi!

Yericko,

Mimi sina tatizo katika mjadala ikiwa utazungumza kistaarabu.
 
Hahaahaa

Mkuu umenichekesha sana,

Ndugu yangu Mohamed Said amenijia juu sana baada ya mimi kumuelezea muundo wa CIA,

Hilo limekwaza sana, lakini ajabu nikuwa anakwazika na mimi badala yakukwazika na CIA!

Kimsingi ndugu yangu ameandika hizo pepa za Ibadan kwa mtazamo wake sio kwa facts na ndio utata utapojitokeza kati yetu!

Mwanakijiji ameeleza vyema katika moja ya post zake, na hata ndugu yangu Sadeeq nae kaeleza vema katika mchango wake kwangu kutokana na post ya CIA!

Maajabu ni kuwa Mohamed Said na wengine wamekwazika sana juu yangu!

Ukweli usemwe hata kama ni mchungu,

Hoja zetu Mohamed Said amezikimbia kwamgongo wa kitu akiitacho

"kuingizwa kwenye list yake"

Huu ni aina ya ujanja wa mzee huyu kukwepa mjadala huu!

Imefikia kipindi wapambe wake wanasema wanajitoa hapa nakwenda kuanzisha uzi kwaajili yakupeana kile wakiitwacho elimu!

Elimu bila kujenga hoja na kuzijibu sio elimu bali ni ilmu ahera!

Yericko,
Ukweli ni kuwa kuandika kitabu kueleza ndani yake CIA hicho ni kichekesho
katika duru za usomi.

Wewe huna uwezo wala ujuzi wa kuandika kitu kama hicho.
Hebu niwekee ''literature survey.''
 
Yericko,

Mimi sina tatizo katika mjadala ikiwa utazungumza kistaarabu.

Ndugu yangu,

Umeamua tuzungumze pamoja kwakujenga hoja na kuzijibu hoja?

Kama ndivyo twende taratibu,

Uungwana adabu vitawale ili tuwasaidie watanzania wenzetu wanaotaka elimu hii tuliyobahatika mimi na wewe kuipata!

Jf ni uwanja huru, haipendezi mmoja akakimbia ama kususa kwa kigezo kisicho na mantiki!
 
Yericko,
Ukweli ni kuwa kuandika kitabu kueleza ndani yake CIA hicho ni kichekesho
katika duru za usomi.

Wewe huna uwezo wala ujuzi wa kuandika kitu kama hicho.
Hebu niwekee ''literature survey.''

Ikiwa tayari ushanihukumu kuwa sina uwezo wowote juu ya mambo haya, je nitakuwekeeje literature survey?

Hebu punguza kibri ili tujadiliane kwa mafaa sio majivuno yasiyo na mafaa kwa watz!
 
Kwan ile list imeishia wap tena si nilimskia kasusa huyu mzee sa kulikoni anajia na mlango wa uani tena in wrong approach as usuall

Mossad007,

Kususa na kujitoa ni vitu viwili tofauti.
Mimi sikususa.

Nina kawaida endapo nitahisi mahali hamaki zinatawala fikra hujitoa
kama njia ya kuepusha shari.

Huku siyo kususa.

Mimi sijasema kuwa paper yangu ni sahihi ila nimeweka ili watazamaji
wasome na waone ugaidi kwa jicho jingine.

Huo ndiyo usomi watu kugonganisha hoja na faida hupatikana kwa watu
kuelimishana.

Ikiwa na wewe una fikra tofauti na zangu hapana neno unanijibu uwezavyo
tunaendelea na mjadala.

Ila nisemacho baada ya kuona ''kitabu'' cha Yericko ni kuwa hana uwezo
wa kuandika kitu kama hicho.

Jambo moja linanitatiza kwenu.

Hivi pana shida gani kufanya majadala bila kutukanana na hamaki na maneno
ya kifedhuli?

Iweje hii ndiyo iwe staili yenu ya kuzungumza?
 
Ndugu yangu,

Umeamua tuzungumze pamoja kwakujenga hoja na kuzijibu hoja?

Kama ndivyo twende taratibu,

Uungwana adabu vitawale ili tuwasaidie watanzania wenzetu wanaotaka elimu hii tuliyobahatika mimi na wewe kuipata!

Jf ni uwanja huru, haipendezi mmoja akakimbia ama kususa kwa kigezo kisicho na mantiki!

ningependa mada moja kwanza, ya ugaido na CIA tufunguwe uzi mwingine.

mzee mohamed na kaka yangu nyerere naona kwa mwendo huu tutaelimika kwa urahisi zaidi.
 
Ikiwa tayari ushanihukumu kuwa sina uwezo wowote juu ya mambo haya, je nitakuwekeeje literature survey?

Hebu punguza kibri ili tujadiliane kwa mafaa sio majivuno yasiyo na mafaa kwa watz!

Yericko,
Huu si ufedhuli nakuambia kweli.

Mimi nimeandika vitabu na nimehariri vitabu vya waandishi tena
na mashirika ya uchapaji yenye majina.

Huu ndiyo uzoefu wangu.

Hebu tazama hicho ''kitabu'' chako hata ''spelling'' zinakushinda
kweli unaweza kuandika kitabu katika soko la Marekani?

Lakini ikiwa wewe mwenyewe unaona uko sawa hapana haja ya
sie kuvutana.

Endelea na uandishi wako.
 
ningependa mada moja kwanza, ya ugaido na CIA tufunguwe uzi mwingine.

mzee mohamed na kaka yangu nyerere naona kwa mwendo huu tutaelimika kwa urahisi zaidi.

Hapana ndugu yangu,

Uchochezi waaina ya akina Mohamed Said ndio unaozaa ugaidi,

Ndiomaana haiwezekani kutenganisha mambo haya!

Watu wenye misimamo mikali kama huyu ndugu ndio wanaoifanya dunia igawike hivyo uwanja mwanana ni hapa hapa!
 
Yericko,
Huu si ufedhuli nakuambia kweli.

Mimi nimeandika vitabu na nimehariri vitabu vya waandishi tena
na mashirika ya uchapaji yenye majina.

Huu ndiyo uzoefu wangu.

Hebu tazama hicho ''kitabu'' chako hata ''spelling'' zinakushinda
kweli unaweza kuandika kitabu katika soko la Marekani?

Lakini ikiwa wewe mwenyewe unaona uko sawa hapana haja ya
sie kuvutana.

Endelea na uandishi wako.

Mkuu naona mmeacha mada mnajadiri mtu, mimi naamini dunia isingekuwa na waislam ingekuwa na amani sana, zaidi ya 90% ya milipuko na mauaji dunini yanayofanywa na magaidi yanahusiana na uislam kwa jina la JIHADi, hivi ni kwanini mnatumia mda mwingi kujadiri fitna na chuki tu? Bokoharam, Alshabab, Alqaeda, Hezbolah..............Hamas ni matokeo ya mafundisho yenu misikitini, isingekuwa uislam damu nyingi watoto na watu wasio na hatia zisingekuwa zinaendelea kumwagika duniani
 
Yericko,
Huu si ufedhuli nakuambia kweli.

Mimi nimeandika vitabu na nimehariri vitabu vya waandishi tena
na mashirika ya uchapaji yenye majina.

Huu ndiyo uzoefu wangu.

Hebu tazama hicho ''kitabu'' chako hata ''spelling'' zinakushinda
kweli unaweza kuandika kitabu katika soko la Marekani?

Lakini ikiwa wewe mwenyewe unaona uko sawa hapana haja ya
sie kuvutana.

Endelea na uandishi wako.

Eeeh,dunia ina mambo..!
Sasa mwandishi hata literature survey ina mshinda na bado anatamba kaandika kaandika nini sasa,
Kama anaendelea na uandishi wake basi na aendelee tuh,hakuna neno,Mbona mwenzake Mwanakijiji kaandika riwaya za mapenz na kuuuza anauza pale Mliman city,huyu jamaa ni kichekesho sana kwa kweli...
 
Yericko,
Huu si ufedhuli nakuambia kweli.

Mimi nimeandika vitabu na nimehariri vitabu vya waandishi tena
na mashirika ya uchapaji yenye majina.

Huu ndiyo uzoefu wangu.

Hebu tazama hicho ''kitabu'' chako hata ''spelling'' zinakushinda
kweli unaweza kuandika kitabu katika soko la Marekani?

Lakini ikiwa wewe mwenyewe unaona uko sawa hapana haja ya
sie kuvutana.

Endelea na uandishi wako.

Hahaa duuh!

Yani Mohamed Said wewe unajiamini kuwa ni alfa na Omega???

Ikiwa wewe unaudanganya umma wa dunia kuwa TANU iliasisiwa na Abdul Sykes,

Na ikiwa wewe huyohuyo unaudanganya umma wa dunia kuwa AA iliasisiwa na Klest Sykes wakati sio,

Leo unataka kulazimisha kuwa wewe ni mwanzo na mwisho juu ya mambo ya vitabu????

Haya ni maajabu,

Inanilazimu nirudi kibailojia kuyatambua makundi ya binadamu ili nikujue wewe ni kiumbe wa aina gani na je unafaa kuirithi dunia na yapi madhara ya uwepo wako duniani!

Inasikitisha sana, kuona mtanzania mwenzangu akiwa na taibia hiyo uliyonayo mzee wewe!

Nikuulize tu kuwa je, waujua wasifu wangu?

Hebu tujadiliane kwa hekima ndugu!
 
Back
Top Bottom