Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu naona mmeacha mada mnajadiri mtu, mimi naamini dunia isingekuwa na waislam ingekuwa na amani sana, zaidi ya 90% ya milipuko na mauaji dunini yanayofanywa na magaidi yanahusiana na uislam kwa jina la JIHADi, hivi ni kwanini mnatumia mda mwingi kujadiri fitna na chuki tu? Bokoharam, Alshabab, Alqaeda, Hezbolah..............Hamas ni matokeo ya mafundisho yenu misikitini, isingekuwa uislam damu nyingi watoto na watu wasio na hatia zisingekuwa zinaendelea kumwagika duniani

Akili hizi za kitoto hapa si mahala pake..
Was Adolph Hitler A Muslim??wale waliolipua hiroshima na nagasaki ni muslims??,Marekani anaowafadhili waasi wa sryia kwa mabomu na misaada ya kifedha ni muslims??kibwetere aliekawachoma wafuasi wake moto ni muslim??
Wale walioshupalia na kuyashabikia mauaji ya halaika ya rwanda na hata viongoz wa makanisa waliowapokea wakimbiz na kuwasaliti na kuwakabidhi kwa waasi na kuuwawa ni walikuwa muslims??wale waliokaenda kuanzisha vietnam war walikuwa muslims??wale waliobariki na kuyafanya mauaji ya mwembechai hapo nyuma walikuwa muslims??
wale waliovamia iraq kwa kusema kuna hatari ya uwepo wa silaha za kinyuklia na bila ushahid,bila idhini ya baraza la usalama wa umoja wa mataifa,bila kufanikiwa kukuta chochote mwishowe wameishia kumwaga damu za raia wasio na hatia ni muslims?wanaoua maelfu kwa maelfu ya wapalestina huko ukanda wa gaza ni muslims??
propaganda za kijinga kama hizo kawaambie wajinga wenzako...
 
Mohamed Said,mimi naona huyu mkimbilia nasaba ya nyerere hana la maana tena analozingumza na hana la msingi analolitaka kwako,kama uchochez ameshindwa kuuthibitisha,na hii ya kuanzisha uzi mwingine wakitabu chake cha ugaid ndan ya uzi huu ni ishara tosha ya kwamba ameshindwa na hana jipya,tunashauri apuuzwe tuh na either uendelee kutoa darsa or tufungue uzi utapopata wasaa tuzid kupata ilm na maarifa mengine mengi, Yericko tumeshatambua ya kwamba pishi lake la ujinga ni jingi sana,na maneno yake yako wazi sana ya kwamba ana chuki iliyomwota mizizi dhidi ya waislam na uislam...
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Huu si ufedhuli nakuambia kweli.

Mimi nimeandika vitabu na nimehariri vitabu vya waandishi tena
na mashirika ya uchapaji yenye majina.

Huu ndiyo uzoefu wangu.

Hebu tazama hicho ''kitabu'' chako hata ''spelling'' zinakushinda
kweli unaweza kuandika kitabu katika soko la Marekani?

Lakini ikiwa wewe mwenyewe unaona uko sawa hapana haja ya
sie kuvutana.

Endelea na uandishi wako.

Mohamed Said

Wewe juu ya anga za ugaidi kwakweli hujui kitu,

Kuwa muungwana jitulize na uombe kufundishwa, usijifanye kila kitu wakijua wewe, ona sasa unaumbuka bila sababu za msingi!

Hebu kata kiu hapa chini!

VITA DHIDI YA UGAIDI
Marekani iko katika Bara la America ya kaskazini, iko katika longtudo 120% Mashariki, na Latitudo 40% Kaskazini. Ilipata uhuru mwaka 1789 kutoka kwa Waingereza, Rais wake wa kwanza alitwa George Washington Upande wa kaskazini imepakana na Canada, Mashariki inapakana na Bahari ya Atlantic, Kusini inapakana na Mexico na Magharibi inapakana na bahari ya Pasifiki. Marekani ni moja kati ya nchi zilizo mstari wambele katika kupinga utengenezaji wa silaha za maangamizi. Ni moja kati ya mataifa tajiri duniani na ni moja kati ya mataifa makubwa duniani. Kiungo kikubwa cha serikari kimeegemea katika ubepari,na nimoja kati ya nchi zilizo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu kinadharia.

Kwa mtazamo wa karibu utaona kuwa Marekani imekuwa ikipata ubavu wa kiuchumi, kisiasa na kijeshi kwa kupitia mwavuli wa umoja wa Mataifa ambao makao makuu yake ni Marekani, Pia unaweza kupata maswali mengi yasiyo na majibu “mfano au kwa kuwa mkubwa duniani ni mmoja baada ya muungano wa kisovieti kuvunjika? Au Tamaa ya malighafi katika nchi husika?, au kutaka kujaribu silaha zao?

Kuwait itaikumbuka Marekani kwa msaada ilioutoa mwaka 1991 – 1992 wakati nchi hiyo ilipovamiwa na Iraq. Katika suala la kutetea haki za binadamu, Marekanai imekuwa kikwazo kwa mataifa ya mashariki ya kati (ya kiarabu) ambayayo yanatajwa kuwa yanaukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Historia inaonyesha kuwa Marekani imepigana vita kati ya Cuba, Cosovo, Vietnam, Pama, na Iraq. Na inaonyesha kuwa baadhi ya vita hivyo Marekani imekuwa ikiingilia kati tena bila idhini ya Umoja wa Mataifa. Suala linabaki palepale kuwa Marekani kama taifa tajiri na kubwa duniani, haina budi kuingilia kati panapotokea mgogoro katika nchi, uwe wa kisiasa au kiuchumi.

Tulishuhudia wale waliokuwa wanapinga vita vya Afganistan na Iraq wakiomba Marekani itume askari wake kutuliza vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Liberia chini ya utawala wa Charles Teyller, na hao hao tena wakishinikiza USA isimamie mpango wa amani (Road map) Mashariki ya kati. Kama kweli walikuwa wanapinga vita basi tungeshuhudia kambi za kijeshi katika baadhi ya nchi zilizopinga vita zikiondolewa pamoja na balozi za USA zikifungwa, lakini katika hali ya kushangaza watu walipinga vita kinadharia. Ifahamike kuwa mkubwa ni jalala, haohao waliopinga vita wangekuja kuishutumu USA kuwa kama taifa kubwa duniani kwa nini ilishindwa kuingilia kati migogoro ya nchi ndogo na maskini duniani?

Mwaka 1994 dunia ilishuhudia mauaji ya halaiki ya kimbali ya Rwanda, na Marekani ilikuwepo katika sayari hii, lakini katika hali ya kustaajabisha Marekani haikutia mguu katika ardhi ya akina Byerihimana kuzuia mauaji hayo. Wachambuzi wa siasa za ndani na nje za Marekani wanasema Marekani huendesha siasa zake za nje kwa faida zaidi, tofauti na wanavyojinadi kwa umma wa dunia.

Mwandishi mwenye mlengo wa kushoto na siasa za Marekani bwana Thomas Schelling katika kitabu chake cha (Siasa za nje za Marekani) anamnukuu Naibu Waziri wa Ulinzi Paul Wolfowitz ambaye mwaka 2007 alikumbwa na kashfa ya kumzawadia mpenzi wake vyeo na mshahara uliovunja rekodi yamishahara katika Benki ya Dunia akiwa Rais wa Benki hiyo, katika vikao vya faragha vya kumun’goa Saddam, “Nivema tukazingatia kila tulifanyalo liwe na faida kwa kizazi kijacho, historia isije kutusuta tukiwa kama Amerika.”

Inawezekana walichanganua nakuona hakuna faida kwa kizazi chao cha baadaye ndio maana walishindwa kwenda kuzuia mauaji Rwanda, wakati mwaka 1991-92 walikuwa Kuwait nchi inayomwaga mafuta kwa wingi duniani wakiipiga tafu kukabiliana na mkono wa chuma (Saddam Hussein) nchi hizo ni wazalishaji nguli wa mafuta ndio maana Marekani iliyaona matatizo hayo yaliyo kwenye mwanga vizuri kuliko Rwanda kwenye giza lililo zingirwa na umasikini wenye asili ya kiafrika. Baadhi ya viongozi waliopata kuwa madikteta ni kama Benito Mussolin (Italy) 1922-1943, Francico Franco (Hispania) 1939-1975, Chanceller Otto Von Bismak (Ugerumani) 1862 – 1890, akapindulia na mbabe kijana Williami wa pili, akaja Chanceller Adolf Hiltler. Huyu ndiye dikteta anayetajwa kuwa na sifa mbaya zaidi duniani aliyetaka kuutawala ulimwengu na kusababisha vita kuu ya pili ya dunia.

Hata hivyo alikuja kubanwa mbavu na majeshi ya Urusi na kuamua kujiua pamoja na mke wake Bi Eva Brown mwaka 1945 mjini Bellin.Jen B.Bokasa wa Jamuhuri ya Afrika ya kati, Mobutu Seseseko wa Zaire ya zamani, Anua al –Saadat wa Misri, Yasser Arrafat wa Palestina, Rais wa zamani wa Peru Alberto Fujimori, Saadam Hussein na Idd Amini wa Uganda aliyeonywa na Mwalimu Julias Nyerere kuto uleta utemi Tanzania kwakupewa uhamisho wa kwenda kuishi Umangani na kutuacha wenye hekima tuendele kupeta.

Kutoka katika hatua ya kupinga udikteta, Marekani imeingia katika suala la ugaidi. Kwa upande wa magaidi wamekuwepo wengi sana, na kinara wao mkuu awali alikuwa Irich Ramizez Sanchez ‘Carlos’ raia wa Venezuela aliyeutingisha ulimwengu kiasi cha waandishi kutoa vitabu vingi kuelezea kashikashi zake na kuonekana kana kwamba zilikuwa ni hadithi za kufikirika hadi alipokamatwa nchini Sudani 1994, Jonas Savimbi aliyeongoza mapigano ya muda mrefu nchini Angola baada ya uhuru hadi alipouawa mwaka 2002 na majeshi ya serikali kufuatia mapigano makali, Joseph Konny kiongozi wa waasi kaskazini mwa Uganda anayetaka kuitawala Uganda kwa amri kumi za mungu.

Akaja gaidi mwingine ambaye ni hatari zaidi kuliko waliomtangulia, Osama Bin Laden, ambeye siyo tu wababe walishindwa kumtia mbaroni bali kwa mara nyingine aliuthibitishia ulimwengu kwamba nguvu bila kutumia akili siyo ujanja akiwa mafichoni katikati ya nchi ya Afghanishan. Osama bin Laden gaidi mkuu, ndiye aliye ipeleka Marekani katika vita nchini Afghanistan pamoja na vita vya Iraq ambavyo Marekani ilisema ni vita vya ukombozi na wengi wakadai ni vita vya uvamizi. Hiyo yote inatokana na mashambulio ya kigaidi ya Sept,11/2001 Washington na New York nchini Marekani

Katika vita vya Ugaidi nchini Afghanstan, Marekani ilifanikiwa kuung’oa utawala wa Taleban bila kumpata mlengwa (Osama ben Laden) na kilichoifanya Iraq kuvamiwa na Marekani ni madai ya USA kuwa Iraq inamiliki silaha za maangamizi ambapo timu ya wakaguzi wa silaha za maangamizi ikiongozwa na Hans Blax mkaguzi mkuu wa silaha za nyukilia na Ell Barlldei mkaguzi mkuu wa silaha za kibaolojia walipelekwa nchini Iraq na kabla ripoti ya mwisho haijatolewa Marekani ikaanzisha vita vya kumng’oa madarakani kiongozi wa nchi ya Iraq Saddam Hussein. Kiongozi huyu ambaye aliitawala nchi ya Iraq kwa mkono wa chuma tangu mwaka 1979 mpaka Machi 2003 anazungumuziwa kama ni dikteta, gaidi na haini mkubwa ambaye Marekani ilidiriki kusema Hitller wapili.

Saddam Hussein alizaliwa mwaka 1937. Katika historia ya maisha ya awali ya Saddam, kulingana na taarifa ya kitengo kimoja cha masuala ya akili cha Marekani inasema, kutungwa kwa mimba pamoja na kuzaliwa kwake kulitokea baada ya kufariki kwa kaka yake aliyeitwa Sanakher Hussein aliyekuwa na umri wa miaka 12 kutokana na maradhi ya saratani. Baba yake alifariki wakati mama yake akiwa na ujauzito na mama huyo alichanganyikiwa akawa anapewa ushauri nasaha hasa baada ya kutaka kuitoa mimba ya Saddam. Baada ya kujifungua alikataa kabisa hata kumtazama mtoto wake. Akakua na kulelewa na mjomba wake mjini Tikrit

Na Yericko Nyerere

Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"
 
Mohamed Said,mimi naona huyu mkimbilia nasaba ya nyerere hana la maana tena analozingumza na hana la msingi analolitaka kwako,kama uchochez ameshindwa kuuthibitisha,na hii ya kuanzisha uzi mwingine wakitabu chake cha ugaid ndan ya uzi huu ni ishara tosha ya kwamba ameshindwa na hana jipya,tunashauri apuuzwe tuh na either uendelee kutoa darsa or tufungue uzi utapopata wasaa tuzid kupata ilm na maarifa mengine mengi, Yericko tumeshatambua ya kwamba pishi lake la ujinga ni jingi sana,na maneno yake yako wazi sana ya kwamba ana chuki iliyomwota mizizi dhidi ya waislam na uislam...

Bahati mbaya zaidi umekuwa shabiki usiyejitambua!

Sio kosa lako bali mimi namlaumu Mohamed Said kwakuwapoteza!

Zingatia elimu hii tuwapayo kuhusu historia ya uhuru wetu ni tunu isiyomithirika!

Muepukeni huyo mzee wenu anawapeleka kuzimu bila kujijua!
 
Last edited by a moderator:
Bahati mbaya zaidi umekuwa shabiki usiyejitambua!

Sio kosa lako bali mimi namlaumu Mohamed Said kwakuwapoteza!

Zingatia elimu hii tuwapayo kuhusu historia ya uhuru wetu ni tunu isiyomithirika!

Muepukeni huyo mzee wenu anawapeleka kuzimu bila kujijua!

Yericko,
Historia ya uhuru wa Tanganyika ndiyo hii nimeandika mengi hapa.

Ni historia ambayo haikuwa inajulikana na wengi.

Nadhani umekisoma hapa jamvini kisa cha Rashid Ali Meli bwana fedha
wa Dar es Salaam Municipal Council 1954 wakati TANU inaanza.

Rashid Ali Meli alikuwa kati ya wale watu wasiozidi 20 waliohudhuria
mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo.

Mkutano ambao ulihudhuriwa na Masha Bilali, Idd Faiz Mafongo, Idd
Tosiri, Abdu na Ally Sykes, Rajab Diwani, Julius Nyerere nk. nk. nk, na
wengine wengi.

Sasa hawa wote kila mmoja ana mchango wake na ukipenda naweza
nikakuwekea hapa.

Huyu Rashid Ali Meli ndiyo alichukua fedha za serikali akampa Idd Faiz
atie katika mfuko wa safari ya Nyerere UNO.

Siku ya pili wakaguzi wakavamia ofisi kumkagua.
''Mole'' wa wakoloni ndani ya uongozi wa TANU alikuwa kamchomea nguru.

Kwa historia ya TANU mathalan ukisema uwapuuze watu hawa historia
hiyo itakuwa si historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Ikiwa wewe una hiyo ''tunu ''isiyomithirika'' (mithilika) tuwekee hapa JF
hiyo tunu.

Isiwe ni maneno matupu.
 
[SIZE=2 said:
Mag3;[/SIZE]6328802]Kwa hili nalazimika kumtetea Al Akhiy Mohamed Said...hapana Achahasira, mtu kasota akifanya utafiti wa zaidi ya miaka 15 na kaandika vitabu, kwa nini usioneshe hata shukhrani kidogo kwa kununua angalau kakitabu japo kamoja. Yaani mtu mwingine ahangaike wee juani, wewe Achahasira unasubiri tu kula kivulini!Pamoja na hayo, naomba niwatoe hofu wasomaji; kuhusu hoja ya Waislaam kuachana na Bakwata na kuunda chombo chao huru, mimi, ingawa si Muislaam, naunga mkono 100%. Hata hivyo hofu yangu ni kama watatokea Waislaam wasiokubaliana na hoja hii, tunaweza kujikuta tuko back to square one...kulaumu Mfumo Kristo.Nasema hivyo kwa sababu nina hakika wapo Waislaam tena wengi tu wasiokubaliana na madai ya Mohamed Said na wanamwona kama mchochezi tu. Mathalani ninaye rafiki yangu Muislaam ambaye hataki kabisa hata kuchangia hii mada akidai itamkwaza bure kwani hawezi kuvumilia upotoshwaji na uchochezi ndani ya mada hii.Anayeamini kuwa leo hii inawezekana kuundwa chombo kitakachokubalika kwa Waislaam wote nchini anajidanganya na hata kwa Wakristo hilo haliwezekani. Mohamed Said, Mashekhe Ilunga na Ponda wanao wafuasi si kidogo, sawa, lakini hivyo hivyo kuna maelfu kwa maelfu ya Waislaam wasiokubaliana nao hata chembe.

MAG3;
Si kweli unayosema wala huwezi kuthibitisha! Waislamu wote wa TZ bila kujali madhehebu waliunda BARAZA KUU la Jumuiya na Taasisi TZ(sio Bakwata) na Serikali baada ya kuzungusha zaidi ya mwaka 1 hatimae Baraza hili likaandikishwa rasmi mwaka 1992 lakini kwa kuwa Serikali iliunda Bakwata mwaka 1968, bado inaitambua Bakwata kama Jumuiya kuu ya Waislamu! mfano, Baraza kuu na Bakwata wote huandaa Mabaraza ya Idi lakini Serikali inatambua baraza la bakwata tu ndio maana Serikali hutuma mjumbe kuhudhuria na kuruhusu matangazo ya Bakwata kutangazwa na TBC live!

Mwaka 1991 Waislamu walivamia Makao makuu ya Bakwata na kufanya mapinduzi yaliyodumu siku 3 na kuwafanya viongozi wakuu akiwemo Mufti Hemed Jumaa na Katibu wake Rajabu Kundya kukimbilia Ikulu na kuomba msaada wa Rais Mwinyi! Rais alikutanisha pande 2 zinazozozana ktk meza ya duara hapo Ikulu na kukubaliana Waislamu waachie Ofisi za Bakwata kwa masharti ya kufanyika uchaguzi mkuu nchi nzima ulio huru ili kuleta mabadiliko ndani ya Bakwata! Watu wa Bakwata waliporudishiwa Ofisi zao pamoja na kuwepo makubaliano yaliyosimamiwa na Rais hakuna lililofanyika na ndipo Waislamu wakaamua kuanzisha Baraza Jipya!Viongozi wa Bakwata walipohakikisha Ofisi wamerudishiwa badala ya kufanyia kazi makubaliano waliamua kumshambulia Rais Mwinyi hadharani kwa kumtahadharisha aachane na Bakwata maana hajui sababu za Bakwata kuanzishwa!

Kama Bakwata wanawafuasi kwanini wanaogopa kufanya uchaguzi ulio huru na haki? na kwanini mpaka leo katiba inayotumiwa na Bakwata inashabihiana na katiba ya TANU? mfano; Tanu ilikuwa na Mwenyekiiti wa Taifa, Mkoa, Wilaya, na kata na Bakwata Shehe wa Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya na kata!
 
..mbona Seminari ya Kirinjiko, Mudio, Feza, etc zinafanya vizuri?

..kinachotakiwa kufanyika ni ku-replicate best practices za Kirinjiko.

..mnawa-distract vijana na haya mambo ya udini-udini.

..nimesoma watoto wanataka kuandamana kumuondoa Ndalichako!! sasa mwanafunzi mwenye mawazo hayo atakuwa na wa kujisomea??

..pia hili tatizo la elimu ni la kitaifa, mmeshafikiria kuunganisha nguvu na taasisi kama Haki Elimu na nyingine zinazopigania haki ya mtoto kupata elimu??

..sasa hivi viwango vya ufaulu vya Tanzania ni vya chini kulinganisha na majirani zetu, pamoja na nchi nyingine nyingi za Kiafrika.

cc: gombesugu

JokaKuu,

Salaams.

As articulated very clearly by Sheikh Mohammed Said,myself too harbour firmly belief that any suggestion that Muslims are arrogant,anti-education,violent and unnecessary angry towards Bakwata;is historically,intelectually and morally disreputable.

Historically,there is no serious or valid analogy between Islam/Muslims and illiterate.

Muslims under-achievement/under-represented in vital areas of socio-economic understandably provokes strong passions not only to Muslims but also among peace loving people of this Country.

Going through most of the posts here, and my own humble opinion/experience; I think Bakwata issue is quite extensive. Bakwata has many flaws,and currently its legitimacy is quite questionable. I believe this also a predominat mood within majority of Muslims.

What is under-achievement:
One of the biggest problems facing Muslims in Tanzania today is that of being historically alienated,marginalized and victimized.
At times,Muslim Students and Parents feel confusion,frustration and disappointment for many valid reasons as described by Sheikh Mohammed Said.

I also realise,there is probably no will and little consensus on how best to deal and define Muslims predicament particulary among Politicians.

Another problem rests in definition of Mfumo Kristo/Christian Lobby as also described by Sheikh Mohammed Said.

Subjective factors can also be used to identify Muslims under-achievement:

  • Is under-achievement exclusively chronic to Muslims,situational,temporary,or still caused by Mfumo Kristo/Christian Lobby?

  • What factors are contributing to Muslims under-achievement(e.g. poor intrinsic motivation,poor academic self-esteem,negative Parents pressure,lack of family involvement,pressure from the Mfumo Kristo/Christian Lobby through Government?

I think a number of factors must be examined carefully to understand how and why many Muslims under -achieve in many vital areas of socio-economic and strategic roles,before we jump into conclusion and "throw stones" at them.

To prevent and effectively reverse Muslims under-achievement,the Government will need to get involved and provide supportive startegies,intrinsic strategies and remedial strategies.

Nashukuru kwa kunisikiza kwa huo uchechefu wangu.

Ahsanta.

Cc;Sheikh Mohammed Said
 
Yericko,
Historia ya uhuru wa Tanganyika ndiyo hii nimeandika mengi hapa.

Ni historia ambayo haikuwa inajulikana na wengi.

Nadhani umekisoma hapa jamvini kisa cha Rashid Ali Meli bwana fedha
wa Dar es Salaam Municipal Council 1954 wakati TANU inaanza.

Rashid Ali Meli alikuwa kati ya wale watu wasiozidi 20 waliohudhuria
mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo.

Mkutano ambao ulihudhuriwa na Masha Bilali, Idd Faiz Mafongo, Idd
Tosiri, Abdu na Ally Sykes, Rajab Diwani, Julius Nyerere nk. nk. nk, na
wengine wengi.

Sasa hawa wote kila mmoja ana mchango wake na ukipenda naweza
nikakuwekea hapa.

Huyu Rashid Ali Meli ndiyo alichukua fedha za serikali akampa Idd Faiz
atie katika mfuko wa safari ya Nyerere UNO.

Siku ya pili wakaguzi wakavamia ofisi kumkagua.
''Mole'' wa wakoloni ndani ya uongozi wa TANU alikuwa kamchomea nguru.

Kwa historia ya TANU mathalan ukisema uwapuuze watu hawa historia
hiyo itakuwa si historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Ikiwa wewe una hiyo ''tunu ''isiyomithirika'' (mithilika) tuwekee hapa JF
hiyo tunu.

Isiwe ni maneno matupu.

Historia ya TANU ipo na sio hii ya Kivukoni tu bali ipo mahala pengi labda mtu uwe mvivu nakusubiri hisani ya wana jf!

Hakuna kipya chamafaa ndani ya TANU ambacho wewe unaweza kusema ni wewe tu ndie wakijua awali!

Historia inayohusu chama au harakati zozote zile huwa haielezi kuanzia mfagiaji,mfua nguo,mpishi nk

Bali husimulia yale makuu tu kwamaana ya kiongozi wa uasisi na baadhi ya washarika wakaribu tu,

Mathalani husimamia kwa watu 10 muhimu tu hasa kama ni suala linalohusu taifa!
 
Yericko,
Historia ya uhuru wa Tanganyika ndiyo hii nimeandika mengi hapa.

Ni historia ambayo haikuwa inajulikana na wengi.

Nadhani umekisoma hapa jamvini kisa cha Rashid Ali Meli bwana fedha
wa Dar es Salaam Municipal Council 1954 wakati TANU inaanza.

Rashid Ali Meli alikuwa kati ya wale watu wasiozidi 20 waliohudhuria
mkutano wa kwanza wa TANU pale Arnautoglo.

Mkutano ambao ulihudhuriwa na Masha Bilali, Idd Faiz Mafongo, Idd
Tosiri, Abdu na Ally Sykes, Rajab Diwani, Julius Nyerere nk. nk. nk, na
wengine wengi.

Sasa hawa wote kila mmoja ana mchango wake na ukipenda naweza
nikakuwekea hapa.

Huyu Rashid Ali Meli ndiyo alichukua fedha za serikali akampa Idd Faiz
atie katika mfuko wa safari ya Nyerere UNO.

Siku ya pili wakaguzi wakavamia ofisi kumkagua.
''Mole'' wa wakoloni ndani ya uongozi wa TANU alikuwa kamchomea nguru.

Kwa historia ya TANU mathalan ukisema uwapuuze watu hawa historia
hiyo itakuwa si historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Ikiwa wewe una hiyo ''tunu ''isiyomithirika'' (mithilika) tuwekee hapa JF
hiyo tunu.

Isiwe ni maneno matupu.

Mohamed Said

Hapa unazidi kuudanganya umma,

Siokweli kuwa pesa iyo ilitumia kumpeleka mwalimu UNO,

Labda useme ilitumika vingine,

Safari ile ya KWANZA ya Mwalimu Nyerere ya kwenda UNO 05/03/1955 , Kanisa Katoliki lilitoa msaada kwa chama cha TANU wa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi, lilifanya hivyo kupitia shirika lake la Maryknoll Sisters la New York Marekani,
 
Mohamed, kuhusu Ugaidi nakusihi ukae kimya.

Nimesoma hizo paper za Ibadan naona maruwe ruwe.
Nakusihi achana na hoja hii wewe jikite na habari zetu za kipata na Mkunguni.

Kuna kijana alisema kumzuia mwislam asifanye dhulma ni sehemu ya kumsaidia. Naomba yule kijana akuzuie!

Gombesugu, unaona ninavyojitahidi kuwa muungwana! Sasa nakusanya ngogwe zako, mwambie mzee atulie!

Muheshimiwa Nguruvi3,

Salaam sana.

Najua wewe ni bingwa wa PR,nami nakuogopa saana kwa hilo kwani mie malumbano huwa siyawezi.

Hayo maruweruwe yakupatiani!?ahaha!! Nguruvi3, nahisi wewe zamani lazim ulikua kwenye taaluma ya comedy...maana unazungumza vitu vya maana kiasi, halafu ghafla unaanza kuvunja watu mbavu!ahaha!!

Wallahi,jana nilicheka kutwa nzima pale katika ule mjadala wenu na Al Akhiy Barubaru. Khasa pale ulipotaka kutuwashia taa ya koroboi/kandili ati yakuwa hatuuoni "ukweli" ilhali ni mchana kweupe!?ahaha!!
Haya,endelea kutuadhiri lakini kumbuka nasi pia ni nduguzo japo ni watu wa Madrassa!

Wanajamvi wanalalama hapa,yakuwa siku hizi unazikimbia hoja nzito na kuwa kisingizio chako ati uko busy kumalizia "pakacha la Gombesugu"!?ahaha!!

Tuendelee na mnakasha.

Shukran.
 
Mkuu naona mmeacha mada mnajadiri mtu, mimi naamini dunia isingekuwa na waislam ingekuwa na amani sana, zaidi ya 90% ya milipuko na mauaji dunini yanayofanywa na magaidi yanahusiana na uislam kwa jina la JIHADi, hivi ni kwanini mnatumia mda mwingi kujadiri fitna na chuki tu? Bokoharam, Alshabab, Alqaeda, Hezbolah..............Hamas ni matokeo ya mafundisho yenu misikitini, isingekuwa uislam damu nyingi watoto na watu wasio na hatia zisingekuwa zinaendelea kumwagika duniani
Mkuu, hii sio kweli, waingereza kwa miaka mingi walichinjana kule Irend kwa jina la kiristo!
 
Mohamed Said

Hapa unazidi kuudanganya umma,

Siokweli kuwa pesa iyo ilitumia kumpeleka mwalimu UNO,

Labda useme ilitumika vingine,

Safari ile ya KWANZA ya Mwalimu Nyerere ya kwenda UNO 05/03/1955 , Kanisa Katoliki lilitoa msaada kwa chama cha TANU wa tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi, lilifanya hivyo kupitia shirika lake la Maryknoll Sisters la New York Marekani,

Yericko,
Mimi sitabishana na wewe huenda hiyo ndiyo taarifa uliyonayo hakuna
atakaekulaumu kwa hilo.

Lakini mimi nilijuavyo ni kuwa Maryknoll walitoa tiketi safari ya pili.

Hakuna ubaya historia zote hizi mbili tuziache zisomwe na watu huu
ndiyo usomi.

Wasomaji ndiyo waamuzi wetu.
 
Mohamed Said

Wewe juu ya anga za ugaidi kwakweli hujui kitu,

Kuwa muungwana jitulize na uombe kufundishwa, usijifanye kila kitu wakijua wewe, ona sasa unaumbuka bila sababu za msingi!

Hebu kata kiu hapa chini!

VITA DHIDI YA UGAIDI
Marekani iko katika Bara la America ya kaskazini, iko katika longtudo 120% Mashariki, na Latitudo 40% Kaskazini. Ilipata uhuru mwaka 1789 kutoka kwa Waingereza, Rais wake wa kwanza alitwa George Washington Upande wa kaskazini imepakana na Canada, Mashariki inapakana na Bahari ya Atlantic, Kusini inapakana na Mexico na Magharibi inapakana na bahari ya Pasifiki. Marekani ni moja kati ya nchi zilizo mstari wambele katika kupinga utengenezaji wa silaha za maangamizi. Ni moja kati ya mataifa tajiri duniani na ni moja kati ya mataifa makubwa duniani. Kiungo kikubwa cha serikari kimeegemea katika ubepari,na nimoja kati ya nchi zilizo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu kinadharia.

Kwa mtazamo wa karibu utaona kuwa Marekani imekuwa ikipata ubavu wa kiuchumi, kisiasa na kijeshi kwa kupitia mwavuli wa umoja wa Mataifa ambao makao makuu yake ni Marekani, Pia unaweza kupata maswali mengi yasiyo na majibu “mfano au kwa kuwa mkubwa duniani ni mmoja baada ya muungano wa kisovieti kuvunjika? Au Tamaa ya malighafi katika nchi husika?, au kutaka kujaribu silaha zao?

Kuwait itaikumbuka Marekani kwa msaada ilioutoa mwaka 1991 – 1992 wakati nchi hiyo ilipovamiwa na Iraq. Katika suala la kutetea haki za binadamu, Marekanai imekuwa kikwazo kwa mataifa ya mashariki ya kati (ya kiarabu) ambayayo yanatajwa kuwa yanaukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Historia inaonyesha kuwa Marekani imepigana vita kati ya Cuba, Cosovo, Vietnam, Pama, na Iraq. Na inaonyesha kuwa baadhi ya vita hivyo Marekani imekuwa ikiingilia kati tena bila idhini ya Umoja wa Mataifa. Suala linabaki palepale kuwa Marekani kama taifa tajiri na kubwa duniani, haina budi kuingilia kati panapotokea mgogoro katika nchi, uwe wa kisiasa au kiuchumi.

Tulishuhudia wale waliokuwa wanapinga vita vya Afganistan na Iraq wakiomba Marekani itume askari wake kutuliza vita vya wenyewe kwa wenyewe kule Liberia chini ya utawala wa Charles Teyller, na hao hao tena wakishinikiza USA isimamie mpango wa amani (Road map) Mashariki ya kati. Kama kweli walikuwa wanapinga vita basi tungeshuhudia kambi za kijeshi katika baadhi ya nchi zilizopinga vita zikiondolewa pamoja na balozi za USA zikifungwa, lakini katika hali ya kushangaza watu walipinga vita kinadharia. Ifahamike kuwa mkubwa ni jalala, haohao waliopinga vita wangekuja kuishutumu USA kuwa kama taifa kubwa duniani kwa nini ilishindwa kuingilia kati migogoro ya nchi ndogo na maskini duniani?

Mwaka 1994 dunia ilishuhudia mauaji ya halaiki ya kimbali ya Rwanda, na Marekani ilikuwepo katika sayari hii, lakini katika hali ya kustaajabisha Marekani haikutia mguu katika ardhi ya akina Byerihimana kuzuia mauaji hayo. Wachambuzi wa siasa za ndani na nje za Marekani wanasema Marekani huendesha siasa zake za nje kwa faida zaidi, tofauti na wanavyojinadi kwa umma wa dunia.

Mwandishi mwenye mlengo wa kushoto na siasa za Marekani bwana Thomas Schelling katika kitabu chake cha (Siasa za nje za Marekani) anamnukuu Naibu Waziri wa Ulinzi Paul Wolfowitz ambaye mwaka 2007 alikumbwa na kashfa ya kumzawadia mpenzi wake vyeo na mshahara uliovunja rekodi yamishahara katika Benki ya Dunia akiwa Rais wa Benki hiyo, katika vikao vya faragha vya kumun’goa Saddam, “Nivema tukazingatia kila tulifanyalo liwe na faida kwa kizazi kijacho, historia isije kutusuta tukiwa kama Amerika.”

Inawezekana walichanganua nakuona hakuna faida kwa kizazi chao cha baadaye ndio maana walishindwa kwenda kuzuia mauaji Rwanda, wakati mwaka 1991-92 walikuwa Kuwait nchi inayomwaga mafuta kwa wingi duniani wakiipiga tafu kukabiliana na mkono wa chuma (Saddam Hussein) nchi hizo ni wazalishaji nguli wa mafuta ndio maana Marekani iliyaona matatizo hayo yaliyo kwenye mwanga vizuri kuliko Rwanda kwenye giza lililo zingirwa na umasikini wenye asili ya kiafrika. Baadhi ya viongozi waliopata kuwa madikteta ni kama Benito Mussolin (Italy) 1922-1943, Francico Franco (Hispania) 1939-1975, Chanceller Otto Von Bismak (Ugerumani) 1862 – 1890, akapindulia na mbabe kijana Williami wa pili, akaja Chanceller Adolf Hiltler. Huyu ndiye dikteta anayetajwa kuwa na sifa mbaya zaidi duniani aliyetaka kuutawala ulimwengu na kusababisha vita kuu ya pili ya dunia.

Hata hivyo alikuja kubanwa mbavu na majeshi ya Urusi na kuamua kujiua pamoja na mke wake Bi Eva Brown mwaka 1945 mjini Bellin.Jen B.Bokasa wa Jamuhuri ya Afrika ya kati, Mobutu Seseseko wa Zaire ya zamani, Anua al –Saadat wa Misri, Yasser Arrafat wa Palestina, Rais wa zamani wa Peru Alberto Fujimori, Saadam Hussein na Idd Amini wa Uganda aliyeonywa na Mwalimu Julias Nyerere kuto uleta utemi Tanzania kwakupewa uhamisho wa kwenda kuishi Umangani na kutuacha wenye hekima tuendele kupeta.

Kutoka katika hatua ya kupinga udikteta, Marekani imeingia katika suala la ugaidi. Kwa upande wa magaidi wamekuwepo wengi sana, na kinara wao mkuu awali alikuwa Irich Ramizez Sanchez ‘Carlos’ raia wa Venezuela aliyeutingisha ulimwengu kiasi cha waandishi kutoa vitabu vingi kuelezea kashikashi zake na kuonekana kana kwamba zilikuwa ni hadithi za kufikirika hadi alipokamatwa nchini Sudani 1994, Jonas Savimbi aliyeongoza mapigano ya muda mrefu nchini Angola baada ya uhuru hadi alipouawa mwaka 2002 na majeshi ya serikali kufuatia mapigano makali, Joseph Konny kiongozi wa waasi kaskazini mwa Uganda anayetaka kuitawala Uganda kwa amri kumi za mungu.

Akaja gaidi mwingine ambaye ni hatari zaidi kuliko waliomtangulia, Osama Bin Laden, ambeye siyo tu wababe walishindwa kumtia mbaroni bali kwa mara nyingine aliuthibitishia ulimwengu kwamba nguvu bila kutumia akili siyo ujanja akiwa mafichoni katikati ya nchi ya Afghanishan. Osama bin Laden gaidi mkuu, ndiye aliye ipeleka Marekani katika vita nchini Afghanistan pamoja na vita vya Iraq ambavyo Marekani ilisema ni vita vya ukombozi na wengi wakadai ni vita vya uvamizi. Hiyo yote inatokana na mashambulio ya kigaidi ya Sept,11/2001 Washington na New York nchini Marekani

Katika vita vya Ugaidi nchini Afghanstan, Marekani ilifanikiwa kuung’oa utawala wa Taleban bila kumpata mlengwa (Osama ben Laden) na kilichoifanya Iraq kuvamiwa na Marekani ni madai ya USA kuwa Iraq inamiliki silaha za maangamizi ambapo timu ya wakaguzi wa silaha za maangamizi ikiongozwa na Hans Blax mkaguzi mkuu wa silaha za nyukilia na Ell Barlldei mkaguzi mkuu wa silaha za kibaolojia walipelekwa nchini Iraq na kabla ripoti ya mwisho haijatolewa Marekani ikaanzisha vita vya kumng’oa madarakani kiongozi wa nchi ya Iraq Saddam Hussein. Kiongozi huyu ambaye aliitawala nchi ya Iraq kwa mkono wa chuma tangu mwaka 1979 mpaka Machi 2003 anazungumuziwa kama ni dikteta, gaidi na haini mkubwa ambaye Marekani ilidiriki kusema Hitller wapili.

Saddam Hussein alizaliwa mwaka 1937. Katika historia ya maisha ya awali ya Saddam, kulingana na taarifa ya kitengo kimoja cha masuala ya akili cha Marekani inasema, kutungwa kwa mimba pamoja na kuzaliwa kwake kulitokea baada ya kufariki kwa kaka yake aliyeitwa Sanakher Hussein aliyekuwa na umri wa miaka 12 kutokana na maradhi ya saratani. Baba yake alifariki wakati mama yake akiwa na ujauzito na mama huyo alichanganyikiwa akawa anapewa ushauri nasaha hasa baada ya kutaka kuitoa mimba ya Saddam. Baada ya kujifungua alikataa kabisa hata kumtazama mtoto wake. Akakua na kulelewa na mjomba wake mjini Tikrit

Na Yericko Nyerere

Kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"

Yericko,
Ikiwa wewe ueniona mimi sijui kitu katika ugaidi lakini ukweli utabakia
kuwa mimi nilialokwa Chuo Kikuu Cha Ibadan na nikatoa mada kuhusu
ugaidi.

Hayo unayoandika wewe ni manyumbulisho kutoka vyanzo vingi.
Kitabu hakiandikwi hivyo.

labda nikuulize umapata kuandika chcochote kikachapwa katika majarida
au magazeti?
 
Yericko,
Mimi sitabishana na wewe huenda hiyo ndiyo taarifa uliyonayo hakuna
atakaekulaumu kwa hilo.

Lakini mimi nilijuavyo ni kuwa Maryknoll walitoa tiketi safari ya pili.

Hakuna ubaya historia zote hizi mbili tuziache zisomwe na watu huu
ndiyo usomi.

Wasomaji ndiyo waamuzi wetu.

Mzee wangu,

Hoja yangu nikuwa kanisa lilisaidia safari ya kwanza ya tarehe 5/3/1955

Na hoja yako ni kuwa kanisa lilisaidia ile safari ya pili,

Japokuwa umesema hakuna haja yakubishana lakini naomba tujenge hoja kidogo hapa,

Kwamjibu wa maelezo yako nikuwa TANU ilikuwa na uwezo wakujikimu hadi kufikia kutohitaji msaada katika safari ya kwanza kwenda UNO, ndio ilikuwa na uwezo kwakuwatumia mawakala wake waliokuwa serikalini!

Utata unajitokeza pale unapounga hoja yangu kuwa ni kweli Katoliki walisaidia kumsafirisha Mwalimu Nyerere, lakini unaegemea kuwa ni safari ya pili sio ya kwanza!

Swala ambalo wadau wanaweza kujiuliza nikuwa ilikuwaje chama kikashindwa kumsafirisha Mwalimu Nyerere katika safari ya pili ilihali ile ya kwanza kiliweza?

Je chama kilikuwa kimedorola kiuchgumi?

Kama ndivyo, je uongozi wa Mwalimu Nyerere katika TANU ulikuwa wa mashaka kiasi kila mwaka ulivyosonga kikaporomoka kiuchumi?

Hebu tuwekane sawa kwa hili ndugu yangu!
 
Mkuu, hii sio kweli, waingereza kwa miaka mingi walichinjana kule Irend kwa jina la kiristo!

Gwalihenzi,

Mara zote huwa najaribu kukuepuka kutokana na yale matusi yako,lakini leo umefanza ustaarabu japo kiduchu. Kwani umenena ukweli pale ilipostahili.

Umeitaja Uingereza labda pia tumkumbushe ndugu yetu Mvaa Tai,achungulie japo kiduchu historia ya huyu "Mkristo mtiifu;" "The Lord Protector" Oliver Cromwell 1599-1658.

Shukran.
 
Yericko,
Ikiwa wewe ueniona mimi sijui kitu katika ugaidi lakini ukweli utabakia
kuwa mimi nilialokwa Chuo Kikuu Cha Ibadan na nikatoa mada kuhusu
ugaidi.

Hayo unayoandika wewe ni manyumbulisho kutoka vyanzo vingi.
Kitabu hakiandikwi hivyo.

labda nikuulize umapata kuandika chcochote kikachapwa katika majarida
au magazeti?

Swali zuri sana mzee MS hakuna mhariri anayeweza kumpa huyu mtu ukurasa labda TANZANIA DAIMA!
 
Hahaa duuh!

Yani Mohamed Said wewe unajiamini kuwa ni alfa na Omega???

Ikiwa wewe unaudanganya umma wa dunia kuwa TANU iliasisiwa na Abdul Sykes,

Na ikiwa wewe huyohuyo unaudanganya umma wa dunia kuwa AA iliasisiwa na Klest Sykes wakati sio,

Leo unataka kulazimisha kuwa wewe ni mwanzo na mwisho juu ya mambo ya vitabu????

Haya ni maajabu,

Inanilazimu nirudi kibailojia kuyatambua makundi ya binadamu ili nikujue wewe ni kiumbe wa aina gani na je unafaa kuirithi dunia na yapi madhara ya uwepo wako duniani!

Inasikitisha sana, kuona mtanzania mwenzangu akiwa na taibia hiyo uliyonayo mzee wewe!

Nikuulize tu kuwa je, waujua wasifu wangu?

Hebu tujadiliane kwa hekima ndugu!

Yericko,
Katika usomi huwezi kulazimisha jambo.

Kinachosomwa ni hoja.

Kuhusu Abdu Sykes na TANU nimefanya utafiti na kitabu nimeandika.
Kwa kuandika kitabu kile mengi yaliyokuwa hayajulikani sasa yako hadhir.

Huko si kulazimisha.

Kitabu kinasomwa kwingi na ndiyo leo tuko hapa mwezi wa nne bado naeleza
niyajuayo na mengi ni kutoka kitabu kile.

Kunipinga katika yale niliyosema hakuna ubaya kwa upande wangu nimejibu
kadri nilivyoweza.

Nitakueleza kuhusu vitabu na hiyo ''mahkhusi.''
Toka utoto wangu nilikuwa ''book worm.''

Nadhani kama uko makini umeona jinsi ninavyoweza kujadili chochote kile
na staili yangu ya kuandika.

Kwa hakika nimesoma vitabu vingi sana.
Na baada ya hii internet ndiyo imekuwa balaa kubwa.

Ninasoma Yericko, ninasoma.
Huu ni uwanja wangu maisha yangu yanazunguka katika vitabu.
 
Yericko,
Ikiwa wewe ueniona mimi sijui kitu katika ugaidi lakini ukweli utabakia
kuwa mimi nilialokwa Chuo Kikuu Cha Ibadan na nikatoa mada kuhusu
ugaidi.

Hayo unayoandika wewe ni manyumbulisho kutoka vyanzo vingi.
Kitabu hakiandikwi hivyo.

labda nikuulize umapata kuandika chcochote kikachapwa katika majarida
au magazeti?

Sijajihusha na magazeti ya kitaifa,

Nimehadhiri katika luninga za kitaifa na kimataifa,

Nimealikwa maadhimisho ya kumbukumbu za mashambulio ya september 11, 2001 pale Pentagon!

Nimezungumza na mabingwa wa vita vya ghuba na wabobevu wa ujasusi wa kimataifa!

Anga nilizokanyaga yaweza kuwa ni mswahili pekee kuzifikia japo sina uhakika kama yupo na mwingine aliyewahi kupita nyayo hizo!

Kimsingi Mohamed Said, ugaidi huu unaopiganwa chini ya mkono wa USA wewe huuwezi na huufahamu!

Kualikwa Ibadan wala haina impact hasa kama wanaokualika ni wale wakufanana na wewe kimlengo!

Radical Muslims wote duniani wanafanana!
 
Mzee wangu,

Hoja yangu nikuwa kanisa lilisaidia safari ya kwanza ya tarehe 5/3/1955

Na hoja yako ni kuwa kanisa lilisaidia ile safari ya pili,

Japokuwa umesema hakuna haja yakubishana lakini naomba tujenge hoja kidogo hapa,

Kwamjibu wa maelezo yako nikuwa TANU ilikuwa na uwezo wakujikimu hadi kufikia kutohitaji msaada katika safari ya kwanza kwenda UNO, ndio ilikuwa na uwezo kwakuwatumia mawakala wake waliokuwa serikalini!

Utata unajitokeza pale unapounga hoja yangu kuwa ni kweli Katoliki walisaidia kumsafirisha Mwalimu Nyerere, lakini unaegemea kuwa ni safari ya pili sio ya kwanza!

Swala ambalo wadau wanaweza kujiuliza nikuwa ilikuwaje chama kikashindwa kumsafirisha Mwalimu Nyerere katika safari ya pili ilihali ile ya kwanza kiliweza?

Je chama kilikuwa kimedorola kiuchgumi?

Kama ndivyo, je uongozi wa Mwalimu Nyerere katika TANU ulikuwa wa mashaka kiasi kila mwaka ulivyosonga kikaporomoka kiuchumi?

Hebu tuwekane sawa kwa hili ndugu yangu!

Yericko,
Kweli tuwekana sawa.

Wewe hivyo ndivyo ujuavyo na mimi nimeeleza niyajuayo.
Sote tuna haki ya kueleza historia hii na kusikilizwa.

Hakuna wa kumnyanyasa mwenzake wala kumbughudhi.
Kuna wasikilizaji sasa 175, 000 + wanatusoma.

Hawa ndiyo waamuzi wetu.
Tuwaachie wasome historia hizi mbili za uhuru wa Tanganyika.
 
Sijajihusha na magazeti ya kitaifa,

Nimehadhiri katika luninga za kitaifa na kimataifa,

Nimealikwa maadhimisho ya kumbukumbu za mashambulio ya september 11, 2001 pale Pentagon!

Nimezungumza na mabingwa wa vita vya ghuba na wabobevu wa ujasusi wa kimataifa!

Anga nilizokanyaga yaweza kuwa ni mswahili pekee kuzifikia japo sina uhakika kama yupo na mwingine aliyewahi kupita nyayo hizo!

Kimsingi Mohamed Said, ugaidi huu unaopiganwa chini ya mkono wa USA wewe huuwezi na huufahamu!

Kualikwa Ibadan wala haina impact hasa kama wanaokualika ni wale wakufanana na wewe kimlengo!

Radical Muslims wote duniani wanafanana!

Yericko,
Umealikwa kwa sifa zipi?

Mialiko hiyo huwa ya serikali na ''resorce persons.''
Na umeingia kati US kwa visa ipi?

Unajua hizo anga mimi nimepita na ninajua vipi mchujo ulivyo
wa kualika wataalamu kuja US.

Hebu funguka zaidi maana napata hisia kama vile husemi kweli.
 
Back
Top Bottom