Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

For an educated person who has studied Genetics and knows that parents contribute 50% each of the genes in the child, such an educated person will never believe this trash! And yet you always boast that your holly book is full of knowledge... Well, there is no genetics in that book, if at all it is the supreme source of your knowledge! Mohamed Said, have you ever heard of the term "inbreeding depression"?

I laughed at your comment, it seems you are so dull in general knowledge, did you know the word "genes" comes from Arabic also found in many places in the Qur'an? by the way, we hear it or read it frequently even in our beloved Kiswahili (many folds derived from Arabic), does a word "Jinsia" rings a bell? Think!

Enjoy the show:

[video=youtube_share;91U8ntQ5fNE]http://youtu.be/91U8ntQ5fNE[/video]
 
Sio kweli unashambuliwa personal uoga wako tu, wewe na mzee Mohamed Said, nani anashambuliwa personal.

Wewe unaweza kujiona unaweka hoja za maana kumbe ni majitaka watu wanashindwa Kufyonza Ilm.

Nani alikudanganya Palestine ni ya waislam peke yao?

Mwl Nyerere alikuwa anaitetea Palestine kutokana na Bethelem na Nazareth pamoja na Jerusalem, Yesu alizaliwa wapi?

Tarudi baadae kufyonza Ilm.
Ahaa kumbe basi Palestina si waislam watupu! hilo nilikuwa nalifahamu na nimeliandika sana hapa.

Niliweka kwa vile wapo wanaoamini kuwa Palestina wanaonewa kwasababu ya Uislam na si haki zao kama raia wa dunia. Unafahamu kisa cha Bait al Muqadas kwa ufupi tu.

Sasa hapo unaniunga mkono kuwa Nyerere hakusimama na wapalestina kama waislam, wala Polisario kama waislam kama ambavyo alisimama kidete kuhusu Kaburu na Mreno. Nadhani unaelewa.Kipi cha ajabu akisimama kidete kuhusu zanazibar kama basi alifanya hivyo? Kwanini ionekane ni udini?

Nilidhani pia ungekuja na majibu naona hakuna, nasubiri Big show huenda akaja na majibu.
Sitegemei kwasababu mtoa Ilm Mohamed hana majibu mwaka wa pili anaulizwa na anakimbia kimbia hovyo.

Kwanini nasema kuna ilm ya asali na ilim majitaka.
Nasema hivyo kwasababu lazima uwe na uwezo wa kuchambua mambo.

Nadhani nimekueleza kuhusu fikra na Theology. Kwasababu ya kufyonza ilm bila fikra kuna mtu kasema kumzuia mwislam kutenda jambo baya ni jambo zuri. Nilipomuuliza kwanini tukimzuia Mohamed asitende mambo mabaya tunaonekana wakorofi, akaingia mitini. Huyo kafyonza hakuwa na fikra

Kama utakubalina nami unatakiwa uwe na fikra vinginevyo utatangulizwa mbele ya maandamo wenzako wakiwa wamekaa na lap top wanaeleza kichapo chako na mateso yako. Sababu kubwa ni kukosa fikra

Mathalan, mtu akikutupia kitu na kusema Tanganyika ilifanya sensa mwaka 1957 bila kukuambia nani kafanya, halafu ikifanyika mwaka 1967 na kisha mwaka 1970, unaweza kufyonza kama Ilm lakini ujue hapo hakuna ilm ni maji ya uani yelipouliziwa manukato.

Hivi unakubali kuwa kuna ilm mtu akikuambia kuwa kiwanja kilichouzwa na waislam kikanunuliwa na waislam ni dhulma ya serikali. Kuna elimu mtu anapokuambia tafuta kichwa kimoja ua kwa siri! Kuna ilm mtu akikuambia kuwa kuua kunahitaji maulamaa hata kama anayeuliwa hana kosa au hatia.

Ilm inahitaji fikra si kufyonza tu spike lee.
Hata machungwa ya nyumbani Mtindiro unafyonza maganda unatupa, sasa wewe unameza kila kitu kwasababu ni chungwa!

Hebu waulize wenzako eti fikra maana yake nini? Ya znz naona mazito, naona nikupe shule ya Theology unasemaje?
 
Wanaukumbi,

Kama ni kuchegemea ukuta wa CIA Reports hebu msikize hapa chini nini Hamza Aziz
kamwambia Dk. Harith Ghassany:

''The late Mzee Hamza Aziz who was Inspector General of Police in Tanganyika during the revolution assured me that the CIA report has plausable explanation on Tanganyika’s involvement in the Zanzibar revolution. At that time even if I had that report it would not have helped me much without local research and that would not have assisted me without being lead by signs and symbols from national archives in Britain and United States. https://www.jamiiforums.com/#_edn1 Helen-Louise Hunter, researcher and and expert in economics was an employee of the CIA for more than twenty years and is the author of the CIA report which I was told about by the late Mzee Hamza Aziz. ''

Wanaukumbi,
Huyo hapo juu anaezungumza ni Dr. Ghassany akisema kuwa hizo ripoti za CIA si lolote bila ya utafiti wa ndani. Ndipo mie ninaposema ''Historia za Wazungu'' haziaminiki.

https://www.jamiiforums.com/#_ednref1 Hamza Aziz na ripoti ya CIA

Mohamed Said,

Kitabu cha kwaheri ukoloni, Kwaheri Uhuru cha Dk. Harith Ghassany kina mkono wako kwa asilimia nyingi,

Unahisi kitakuwa tofauti na mlengo wako?

Wewe na Dk. Harith Ghassany ni kitu kimoja,

Wala hamuwezi kumtambua Okello kama ndie kiongozi wa Mapinduzi ya Zanzibar!
 
Ninazo picha hapa za Okello akiwa na jeshi lake, na nyingine akiwasili Dar,

Pia ninazo picha za Abdulaman Babu akiwasili Zanzibar akitokea Dar, hii ni baada ya mapinduzi!

Hivi wewe kilakitu unacho si utuwekee tuone mbona unapenda kujisifu umetuambia utatuletea hotuba ya Nyerere mpaka leo hujaleta watu wamejitolea watakupa hela uende pale TBC wacha kujikweza mkuu.
 
Naona mzimu wa Ritz, unakutafuna sana sijui mie nimeingiaje.

Al akhiy Ritz kwani wewe huwezi kutoa ilm? Au mpaka mzimu wako? Mimi nimesema hii ilm inaweza kupatikana hata kwako, maana na wewe pia unaweza ukatoa ilm ya namna hii, sio lazima kwenda skuli

ilm ya namna hii tunaweza kuipata humu humu kupitia wewe au nimekosea ahali yangu

nipo hapa nasubiria pilau la biriani, Kadogoo nitamwagiza mishikaki ya yule mzee pale Moshi nitaenda kuipokea ubungo, karibu jamvini ahali yangu

Ahsanta
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi tuwe wakweli na ukweli huu tuuweke huru!

BABA wa taifa la Zanzibar ni John Okello ama Mungu wa Afrika kama yeye alivyopenda kujiita!

Karume kakabidhiwa tu kwa msaada wa ushauri wa Mwalimu Nyerere,

Kuandika historia ya Zanzibar na kumtoa Okello katika historia hiyo ni kujipunja wenyewe!

Okello ndie aliyeikomboa Zanzibar na kuwakabidhi nchi Wazanzibar

Bila Okello nani angethubutu mbele ya Sultan?
 
WC,
Unaushahidi gani kuwa Mungu hana Dini? thibitisha!
Ah! Hilo mbona rahisi Kadogoo. Kila Jamii hapa duniani ilikuwa/ina DINI yake. Sisi MIAFRIKA ndio tumedanganywa na kuacha dini zetu za asili.

Utakubaliana nami Kadogoo kwamba Wachina, ambao ndio wengi zaidi duniani, sio WAKRISTO wala WAISLAM kwa zaidi ya asilimia 99. Mbinguni kama kupo nao watakwenda. Vivyo hivyo WaJapan, Wakorea,...

Sisi Waafrika kama kawaida yetu ni washobokeaji wazuri wa mambo ya wenzetu na wakati mwingine kuyahusudu zaidi ya wao wenyewe! Sasa hapa Tanzania tunaanza kwenda mbali zaidi. Tunataka kugawana kila kitu kwa misingi ya DINI hizi za kuletewa. Tumeanza kuuana kwa sababu ya dini hizi. Huu ni UJINGA.
 
Al akhiy Ritz kwani wewe huwezi kutoa ilm? Au mpaka mzimu wako? Mimi nimesema hii ilm inaweza kupatikana hata kwako, maana na wewe pia unaweza ukatoa ilm ya namna hii, sio lazima kwenda skuli

ilm ya namna hii tunaweza kuipata humu humu kupitia wewe au nimekosea ahali yangu

nipo hapa nasubiria pilau la biriani, Kadogoo nitamwagiza mishikaki ya yule mzee pale Moshi nitaenda kuipokea ubungo, karibu jamvini ahali yangu

Ahsanta

Pilau la biriani? Ndiyo likoje hebu tupe darsa.
 
Last edited by a moderator:
Ah! Hilo mbona rahisi Kadogoo. Kila Jamii hapa duniani ilikuwa/ina DINI yake. Sisi MIAFRIKA ndio tumedanganywa na kuacha dini zetu za asili.

Utakubaliana nami Kadogoo kwamba Wachina, ambao ndio wengi zaidi duniani, sio WAKRISTO wala WAISLAM kwa zaidi ya asilimia 99. Mbinguni kama kupo nao watakwenda. Vivyo hivyo WaJapan, Wakorea,...

Sisi Waafrika kama kawaida yetu ni washobokeaji wazuri wa mambo ya wenzetu na wakati mwingine kuyahusudu zaidi ya wao wenyewe! Sasa hapa Tanzania tunaanza kwenda mbali zaidi. Tunataka kugawana kila kitu kwa misingi ya DINI hizi za kuletewa. Tumeanza kuuana kwa sababu ya dini hizi. Huu ni UJINGA.

Thibitisha basi mbona unazunguka tu.
 
Pilau la biriani? Ndiyo likoje hebu tupe darsa.

Ahlan wa Sahlan, al akhiy THE BIG SHOW anaweza kutoa darsa hapo kidogo maana mi nitakula halafu bili atapelekewa yeye

Kwa sasa nipo nakula popcorn nikishushia na juisi ya miwa, huku nikisubiri mishikaki ya Kadogoo kutoka Moshi, leo sipo Kibada

ila nipo sehemu fulani nikiwa na kifaa changu cha kuingilia jf nikijiburudisha na stori za akina Shariff Atlas

Ahsanta
 
Last edited by a moderator:
Wickama,
Hebu achana na hao Wazungu.

Karume usiku ule wa Mapinduzi alilala nyumbani kwa mmoja wa wazee wangu.

Huyu mzee wangu yu hai hadi leo na habari hii yeye ukimuuliza anaingia hapa
anatokea kule.

Lakini unajua mama zetu walikuwapo na wakifahamiana vizuri sana na hawa watu.

Wapi hao CIA wametaja Sakura na Kipumbwi.

Kama s Dk Gahassany nani angelijua habari za Mohamed Mkwawa na Victor Mkello?

Angalau intelligence report za Waingereza wamemtaja Victor Mkello kwa sifa yake
ya kuteleza kama samaki.

Okello Pemba akijulikana kwa matofali yake si kuwa alikuwa kiongozi wa ASP.

Ukitaka kupata habari hizo za kuvamia ngome achana na maneno ya ''Field Marshal''
wa Matofali msome Mzee Aboud Mmasai katika kitabu cha Dk. Ghassany.

Historia ya mapinduzi ina mengi watu hawayajui kama ulivyoona historia ya TANU kabla
sijafungua kinywa changu.

MS; Naongelea 25 guys waliovamia kituo cha polisi na kuzipiga kavukavu. Location ya Karume na Vitanda alivyolala has no place here. Hapa NI SIMPLE LETS GIVE THE DEVIL HIS DUE FOR HIS COURAGE. ITAKUGHARIMU NINI? ALIKUWA MPIGA MATOFALI SAWA SO WHAT? NANI ANASEMA WAPIGA MATOFALI NI WAOGA?
 
Thibitisha basi mbona unazunguka tu.
Ah! Maelezo hayo ni uthibitisho tosha. Labda nikurahisishie kidogo. Kila Jamii( au kabila) ina DINI yake. Jamii hizi zote ni za Mungu. Kwa maana hiyo DINI zote za Jamii hizi zatoka kwa Mungu pia. Mungu atakuwa wa dini ipi?
 
wanajamvi tuwe wakweli na ukweli huu tuuweke huru!

Baba wa taifa la zanzibar ni john okello ama mungu wa afrika kama yeye alivyopenda kujiita!

Karume kakabidhiwa tu kwa msaada wa ushauri wa mwalimu nyerere,

kuandika historia ya zanzibar na kumtoa okello katika historia hiyo ni kujipunja wenyewe!

Okello ndie aliyeikomboa zanzibar na kuwakabidhi nchi wazanzibar

bila okello nani angethubutu mbele ya sultan?

hiyo cia report mbona pia inataja silaha za algeria kama dr ghassany. Na inataja pia kuwa asp walipewa some weapons, imetaja hadi boat iliwaleta wakina babu toka dar na jina la mwenye boti japo limefutwa hapo.

Okello kwenye kitabu chake kaweka wazi kuwa kilichomfanya afukuzwe zenj ni kule yeye kutokuwa mwislam kama wenzie wakina karume na babu. Of course ni pamoja na uoga wa viongozi wa zenj kuwa asinge tawalika.

Wanaobeza mchango wake ni kwa sababu huyu hakuwa mzenj na wengine ni udini tuu unawazuga. Watuambie nani alivamia vituo vilivyotajwa tena bila silaha na kupambana mkono kwa mkono mpaka wakapata silaha za mwanzo. Nataka mtu aseme zile old rifles kwenye video ndio za algeria na sio za polisi zenj (zingine hata namba zinaonekana!!!!)
 
Mohamed Said,

Kitabu cha kwaheri ukoloni, Kwaheri Uhuru cha Dk. Harith Ghassany kina mkono wako kwa asilimia nyingi,

Unahisi kitakuwa tofauti na mlengo wako?

Wewe na Dk. Harith Ghassany ni kitu kimoja,

Wala hamuwezi kumtambua Okello kama ndie kiongozi wa Mapinduzi ya Zanzibar!

Yericko,
Umenikweza sana mdogo wangu.

Harith Ph D Harvard aelekezwe mambo na mie
mbumbu mzungu wa reli!
 
hiyo cia report mbona pia inataja silaha za algeria kama dr ghassany. Na inataja pia kuwa asp walipewa some weapons, imetaja hadi boat iliwaleta wakina babu toka dar na jina la mwenye boti japo limefutwa hapo.

Okello kwenye kitabu chake kaweka wazi kuwa kilichomfanya afukuzwe zenj ni kule yeye kutokuwa mwislam kama wenzie wakina karume na babu. Of course ni pamoja na uoga wa viongozi wa zenj kuwa asinge tawalika.

Wanaobeza mchango wake ni kwa sababu huyu hakuwa mzenj na wengine ni udini tuu unawazuga. Watuambie nani alivamia vituo vilivyotajwa tena bila silaha na kupambana mkono kwa mkono mpaka wakapata silaha za mwanzo. Nataka mtu aseme zile old rifles kwenye video ndio za algeria na sio za polisi zenj (zingine hata namba zinaonekana!!!!)

Ni kweli mkuu,

Yeyote anapinga kuwa Okello si chochote juu ya Mapinduzi yale basi na atuambie hizi silaha za Ben Bella zilitumikaje?

Na hizi zinazoonekana katika video hii alizoshika Okello ndizo za Ben Bella kweli?
 
Yericko,
Umenikweza sana mdogo wangu.

Harith Ph D Harvard aelekezwe mambo na mie
mbumbu mzungu wa reli!

Hahaahaa mkuu,

Wewe ni mtaalamu wa historia tena watu wanakuita ni bingwa,

Sasa katika historia unashindwa kutambua kuwa PHd anaweza kumtegemea darasa la saba ya tz ya leo kutimiza uandishi wake wa historia?

Kama hivyo sivyo ilikuwaje mkamtegemea yule mkata mkonge wa Kipumbwi mzee Omar Mkwawa katika andishi la Ghassany?

Vivyo hivyo katika uandishi wako wa kitabu cha Abdul Sykes umetumia fikra na maarifa mengi kutoka kwa wazee wa gerezani ambao kimsingi hawakuwa wasomi bali wazalendo tu kwa taifa lao?

Ninachotambua mimi ni kuwa katika historia mtu yeyote anaweza kuwa na mafaa ilimradi aujue ukweli tu katika jambo hilo!

Wewe kushiriki kwako katika andishi la Dr Ghassany haitafsiriwi kuwa uliwekwa katika anga la juu, bali macho ya Ghassany yalituama kwako na ukawa na mafaa kwake!

Tena umekitawala kitabu kile kwa kiwango kikubwa hata kumpoteza mwandishi husika, hilo linajidhihirisha kwa mtu aliyebahatika kuvisoma vitabu vyote viwili yani cha kwako na cha Ghassany!
 
Wickama,
Hebu achana na hao Wazungu.

Karume usiku ule wa Mapinduzi alilala nyumbani kwa mmoja wa wazee wangu.

Huyu mzee wangu yu hai hadi leo na habari hii yeye ukimuuliza anaingia hapa
anatokea kule.

Lakini unajua mama zetu walikuwapo na wakifahamiana vizuri sana na hawa watu.

Wapi hao CIA wametaja Sakura na Kipumbwi.

Kama s Dk Gahassany nani angelijua habari za Mohamed Mkwawa na Victor Mkello?

Angalau intelligence report za Waingereza wamemtaja Victor Mkello kwa sifa yake
ya kuteleza kama samaki.

Okello Pemba akijulikana kwa matofali yake si kuwa alikuwa kiongozi wa ASP.

Ukitaka kupata habari hizo za kuvamia ngome achana na maneno ya ''Field Marshal''
wa Matofali msome Mzee Aboud Mmasai katika kitabu cha Dk. Ghassany.

Historia ya mapinduzi ina mengi watu hawayajui kama ulivyoona historia ya TANU kabla
sijafungua kinywa changu.

Mzee MS;
1.There is no way on earth YOU and Dr. Ghassany would have HAD the TIME and RESOURCES to research on ALL versions of the Zanzibar revolution with the scholarly objectivity that suits each reader. I respectfully treat your work (you and him and those assisted you) as another contribution in the collection of this story but it will NEVER mean the NEGATION of all that was posted before his work or after NOR WILL I ALLOW MY PERSONNAL EMOTIONS INTO THIS MATTER.

2. Dunia imesheheni watu maarufu duniani waliotoka kwenye very humble backgrounds (soma za kina Bill Clinton, Powell, then linganisha na kupiga matofali so what?)hata mitume wengi mbona wamefanya kazi za uchungaji wa wanyama? What is your point?

3. Kama humpendi huyu bwana kwanini huwezi angalau kukubali kwamba ALIHATARISHA MAISHA YAKE ILI WAZENJ WAONDOKANE NA MADHILA YA WAKATI HUO? Huhitaji ushahidi wa kitabu hapa wala CIA reports, zipo video, kusita kwako kunatokana na kitu gani.

4. Basi at least IGNORE MAZUNGUMZO WAKATI OKELLO anapewa stahiki ya heshima ya USHUPAVU WAKE WA SIKU HUSIKA HILI NALO TATIZO?

Good Day
 
Wewe jamaa unawababaikia sana wazungu halafu sijui kwa nini unawachukia Wazenji.
 
Back
Top Bottom