Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,
Umenikweza sana mdogo wangu.

Harith Ph D Harvard aelekezwe mambo na mie
mbumbu mzungu wa reli!
Mzee Mohamed,

Abdu Std 10 alimwelekeza Mwalimu aliyekuwa na Masters ya Edinburgh mambo mangapi uliyoyasema na kuandika humu na kwingineko? Au umeanza kuwa "senile"? Au ulikuwa unamkweza Abdu?
 
Ah! Maelezo hayo ni uthibitisho tosha. Labda nikurahisishie kidogo. Kila Jamii( au kabila) ina DINI yake. Jamii hizi zote ni za Mungu. Kwa maana hiyo DINI zote za Jamii hizi zatoka kwa Mungu pia. Mungu atakuwa wa dini ipi?

WildCard,

Siyo kila dini ni ya Mungu usipende kutumia fikra zako kwenye mambo ambayo hujui.

Hivi ile dini ya Kibwetere ni ya Mungu? Ukienda Hong Kong kuna dini inaamini sehemu za siri za mwanamke hii dini nayo utasema ni ya Mungu.

Marekani kuna dini za Mashoga nayo utasema ni ya Mungu.

WildCard, usichanganye mambo ndugu yangu.
 
Umetaja mambo mengi na sijui nianzie wapi. Lakini kuhusu civil rights na role ya Kennedy ni fact kwamba ile simu Kennedy aliyompigia Martin Luther King, Sr. wakati mwanae akiwa jela ndiyo iliyobadilisha historia ya black America. Hawa tangu enzi za emancipation walikuwa ni wafuasi wa Republican. Lakini kuanzia uchaguzi wa 1960 they voted democratic and are still voting that way to this day. Civil rights legislation of 1965 chimbuko lake lilikuwa ni mawasiliano kati ya Kennedy na Martin Luther King, jr. mwaka 1963, kabla ya Kennedy kuuawa. Ni kweli rais Kennedy alijaribu kuzuia yale maandamano ya August 1963 pale Luther King alipotoa hotuba yake landmark ya "I have a dream." But the event went on and as we all know the rest is history. Hii ya Lumumba kuuawa 1961 ni kweli Wabelgiji walishirikiana na Wamarekani kwa sababu ya Lumumba kuonekana leaning left. Lakini kinachonishangaza ni wewe kumshirikisha Nyerere eti alikubaliana na Kennedy katika mauaji hayo. How and where? Ya Matabele land si kwamba sina facts. Ninazo chungu nzima, lakini you are being disingenious kumshirikisha Nyerere wakati unamwacha Joshua Nkomo blameless. Hayo ya kina Mrs Kennedy na Marilyn Monroe nakuanchia wewe. Hayanihusu na hayahusu mnakasha huu. Kuhusu Chadema, mimi si bendera fuata upepo. Sikubaliani nao kuhusu muungano na si kila tamshi atakalotoa kiongozi wetu nitapiga makofi kama shabiki bila kuchambua.

Jasusi,

Huwezi kujua pa kuanzia sababu yoote nilonena yanarejea,yanasisitizia na kulenga pale pale kwenye shina points tulizoanzia.

Kwa kifupi hayo yoote uelezayo nahisi wazidi kujikanganya. Mimi nayajua kiundani na nilishakueleza hapo awali.

Points/hoja zangu zilianzia pale ulipokataa yakuwa Nyerere ati asingethubutu kufanza mazungumzo ya internal affairs za nchi nyingine na kiongozi mwingine na khasa kama JFK.

Ghafla pia,ukaleta yale masuala ya kujaribu kuwa-glorify and glamourised Nyerere,JFK,MLK huku ukitaja ile nasaba ya Kikatoliki ya Martin Luther KingJr. Ukaelezea khabari za JFK na Civil Rights Movement tena kwa kumsifu,bila hata ya kuelezea background na walipoanzia. Au ulishajua yakuwa ungefanza vile wasomaji wangeona ukweli na wasingemwangalia tena huyo JFK kwa jicho lile!? Wewe kama ni Mwandishi,jaribu kuwa impartial na ufuatilie ethics na maadili ya kazi zako kwa makini,khasa unapokuwa public arena kama hapa.

Ndipo iliponilazim kwanza niwavunje hao jamaa zako hizo credibility zao khasa JFK kiundani kwa facts kadhaa,ili kuzidi kujenga ile hoja yangu/zangu.

Ilinilazim pia nikuonyeshe kiundani ule u-criminal wa huyo JFK kiundani na nikakuoredheshea vitabu mahiri kadhaa,ambavyo ulidai ati ulishavisoma vyoote!? Nina hakika kama ni kweli ulishapitia khabari za JFK kiundani,asilan usingekuja na ile statement dhaifu. Uliyarahisisha mno yale masuala yoote ya Civil Rights movement!?

Kwa kifupi soote tunajua JFK hakuwa na sympathy or empathy na Civil Rights Movement and Blacks.

Kuna vitabu/sources unadai huvitaki,sasa utawezaje kuthibitisha au kukanusha nikwambiayo!?

Jana nimekueleza tena japo kiduchu jinsi regime ya Nyerere ilivyokua secretive. Credible sources pia huziamini!? Hata Kambona!?...

Nimekuonyesha facts kadhaa za kina JFK na Bobby Kennedy. Pia ukiangalia atrocities alizoshiriki huyo Nyerere ni nyingi mno. Sasa kinachokushangaza hapa ni nini!? Yakuwa ma-Criminals wawili hawawezi kukaa meza moja kupanga na kuendeleza uhalifu pahala pengine!?

Na nilkupa mifano kadhaa ya huyo Nyerere kuingilia mambo ya nchi nyingi saana internal affairs/conflicts na kusababisha madhara na machafuko yaso mpaka.

Usipende kupindisha hoja kwa njia za kitoto. Unakumbuka Sheikh Mohammed alikukumbusha kuwa I meant Lumumbists!? Nami binafsi nikakurekebisha tarehe na ukakubali makosa ulofanza!? Sasa nionyeshe wapi nilisema Nyerere alizungumza na JFK kumuuwa Lumumba!? Point yangu ambayo bado inasimama kwa dhati,ni mazungumzo na ushirikiano aloombwa na kufanikisha Nyerere ili kutokomeza wale Lumumbists...ndo maana ilinilazim kukupa yale maelekezo mpaka kuhitimisha na ile Katanga secession almost end of 1960's.

Au ulivyojiaminisha wewe ni kuwa hapa jamvini/JF ni lazim ushinde mdahala ndo uridhike moyo wako!? Na pia sikujua kama mwenzangu yakuwa umo mashindanoni,mimi nalihisi tupo hapa kwa maelekezano kiduchu ya kistaarabu!?

Halafu kwanini unaamrisha ati habari za Jackie Kennedy nisilete na wala hazihusu hapa Jamvini!? Huoni nilitumia tu kile kigezo kukazia hoja yangu kwako!?

Kwanini masharti kama haya usiwaekee wale waletao kashfa na matusi hapa jamvini!?

Cc;Ritz,Big Show,Sheikh Mohammed Said,Nyambala,JokaKuu
 
I laughed at your comment, it seems you are so dull in general knowledge, did you know the word "genes" comes from Arabic also found in many places in the Qur'an? by the way, we hear it or read it frequently even in our beloved Kiswahili (many folds derived from Arabic), does a word "Jinsia" rings a bell? Think!

Enjoy the show:

[video=youtube_share;91U8ntQ5fNE]http://youtu.be/91U8ntQ5fNE[/video]

MASHALLAH DR Zakir Naik
 
Wewe jamaa unawababaikia sana wazungu halafu sijui kwa nini unawachukia Wazenji.

Ritz,

Salaam.

Nafikiri Sheikh Mohammed inamlazim apumzike japo kiduchu,la si hivyo hawa jamaa ni pasua kichwa tu!

Hawa ndo wanajiita ati wasomi na kudharau watu wa Madrassa!?

Yawaje leo mtu mwenye akili zake timamu atumie vigezo na reports za CIA,FBI au kuwaamini Wa-Amerika...historically hao watu ndo mabingwa wa urongo,uzandiki,fitna na unyama ulokithiri.

Hawana historia wala maadili asili ya kusema ukweli,muhimu kwao wao ni the so called "National interest",huku wakisahau yakuwa kila Taifa duniani lina National interests zake na lina kila haki ya kuzilinda.

Mtu anaambiwa na CIA ati Okello kapindua nchi kwa masumbwi!?ahahah!!...kuna vitu vingi mno hao CIA wameficha tena kwa makusudi kwenye hiyo "report" yao!!

Haya majambo ni very complex kuliko hata baadhi ya jamaa wajuavyo au wanavyofikiria. Ndo maana jana nalimpa tahadhari Yericko kiduchu,ambae lazim nimshukuru amejitahidi kuwa msikivu na mstaarabu kiduchu khasa kwenye topic hii. Lakini wanaomtia wazimu ni hao kina Nguruvi3 na mwenzie Mag3.

Hawa jamaa woote walishangilia na kusifia mno ile paper ya Dr. Ghassany ilipoletwa hapa jamvini na Wickama dhidi ya Mufti Sheikh Hassan Bin Ameir...sasa hivi ati woote wamegeuka hawakubali asilan kitabu kilichotungwa kwa umahiri na ustadi ulotukuka na huyohuyo Dr. Ghassany. Hii ndo tunaita unafiki wa kitaaluma!

Shukran.

Cc;Ritz,Kadogoo,Boko Haram,Kadogoo,The Big Show,Barubaru,Zali la Mentali,Sheikh Mohammed Said
 
WildCard,

Siyo kila dini ni ya Mungu usipende kutumia fikra zako kwenye mambo ambayo hujui.

Hivi ile dini ya Kibwetere ni ya Mungu? Ukienda Hong Kong kuna dini inaamini sehemu za siri za mwanamke hii dini nayo utasema ni ya Mungu.

Marekani kuna dini za Mashoga nayo utasema ni ya Mungu.

WildCard, usichanganye mambo ndugu yangu.
Ritz,
Soma tena post zangu zote mbili uone kama "dini" zako hizi ndizo ninazoziongelea mimi. Mungu hana DINI WaTanzania wenzangu. Hizi tulizoletewa na kujinasibu nazo zitaishia kutumaliza tu kama TAIFA.
 
Ritz,

Salaam. Nafikiri Sheikh Mohammed inamlazim apumzike japo kiduchu,la si hi hivyo hawa jamaa ni pasua kichwa tu!

Hawa ndo wanajiita ati wasomi na kudharau watu wa Madrassa!?

Yawaje leo mtu mwenye akili zake timamu atumie vigezo na reports za CIA,FBI au kuwaamini Wa-Amerika...historically hao watu ndo mabingwa wa urongo na unyama ulokithiri.

Mtu anaambiwa na CIA ati Okello kapindua nchi kwa masumbwi!?ahahah!!

Mheshimiwa,

Kabla zungumza chochote naomba kufahamu,

Umeiangalia hiyo video ya Okello inayomuonyesha akiendesha mapinduzi?
 
Attn: Gombesugu. Nadhani tumemaliza ubishi kuhusu Kennedy na civil rights. [TABLE="class: infobox, width: 22"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Enacted by the
[/TH]
[TD="align: left"]88th United States Congress
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Effective
[/TH]
[TD="align: left"]July 2, 1964
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Citations
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Public Law
[/TH]
[TD="align: left"]88-352
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Stat.
[/TH]
[TD="align: left"]78 Stat. 241
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Title(s) amended
[/TH]
[TD="align: left"]42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Legislative history
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]

  • Introduced in the House as H.R. 7152 by Emanuel Celler (D–NY) on June 20, 1963
  • Committee consideration by: Judiciary
  • Passed the House on February 10, 1964 (290–130)
  • Passed the Senate on June 19, 1964 (71–29) with amendment
  • House agreed to Senate amendment on June 30, 1964 (289–126)
  • Signed into law by President Lyndon B. Johnson on July 2, 1964
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Major amendments
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Codification
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]United States Supreme Court cases
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Heart of Atlanta Motel v. United States
Katzenbach v. McClung
Alexander v. Holmes County Board of Education
Griggs v. Duke Power Co.

Ricci v. DeStefano
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The Civil Rights Act of 1964 (Pub.L. 88–352, 78 Stat. 241, enacted July 2, 1964) is a landmark piece of civil rights legislation in the United States[SUP][1][/SUP] that outlawed major forms of discrimination against racial, ethnic, national and religious minorities, and women.[SUP][2][/SUP] It ended unequal application of voter registration requirements and racial segregation in schools, at the workplace and by facilities that served the general public (known as "public accommodations").
Powers given to enforce the act were initially weak, but were supplemented during later years. Congress asserted its authority to legislate under several different parts of the United States Constitution, principally its power to regulate interstate commerce under Article One (section 8), its duty to guarantee all citizens equal protection of the laws under the Fourteenth Amendment and its duty to protect voting rights under the Fifteenth Amendment. The Act was signed into law by President Lyndon B. Johnson, who would later sign the landmark Voting Rights Act into law.

The bill was called for by President John F. Kennedy in his civil rights speech of June 11, 1963,[SUP][3][/SUP] in which he asked for legislation "giving all Americans the right to be served in facilities which are open to the public-hotels, restaurants, theaters, retail stores, and similar establishments," as well as "greater protection for the right to vote." Kennedy delivered this speech following a series of protests from the African-American community, the most concurrent being the Birmingham campaign which concluded in May 1963.
Emulating the Civil Rights Act of 1875, Kennedy's civil rights bill included provisions to ban discrimination in public accommodations, and to enable the U.S. Attorney General to join in lawsuits against state governments which operated segregated school systems, among other provisions. However, it did not include a number of provisions deemed essential by civil rights leaders including protection against police brutality, ending discrimination in private employment, or granting the Justice Department power to initiate desegregation or job discrimination lawsuits.[SUP][4][/SUP]

Jasusi,

Mbona unaleta vitu ambavyo sijakuuliza wala sijawahi kuvikanusha!?

"Utata wetu" ulikua pale tu ulipoleta khabari za JFK na Civil Rights Movement bila ya kuonyesha background. Kwa sababu yeyote akiona ile statement yako angepata taswira nyepesi mno kwenye majambo yale ambayo ni very complex subject na ambazo athari zake zaendelea mpaka kesho. Hatari yake pia yakuwa, na labda angemmwagia JFK sifa nyingi mno pasi na kustahili.

Do me a favour plse,just take off your google search mentality and step into the minds and reality of blacks,whites and other Amerikans in the early 1960's.

Jasusi,we all know that during JFK presidency,Civil Rights Movement with its Advocates/Activists struggled to effect change in the racially segregated South. Where whites controlled state governments and denied Afrikan Amerikan basic rights.

Although JFK eventually opposed segregation and had show "some support" for Civil Rights Movement,but he didn't make Civil Rights a major priority of his presidency until his last months as Command in Chief.

JFK who had few personal interactions with blacks in his life,was reluctant to adress Civil Rights concerns fo fear of exposing Amerikan racism to the International community,alienating southern voters in his quest for re-election and straining relations with southern Democrats in Congress.

The turning point in JFK's attitude towards Civil Rights came in the summer of 1963....

Shukran.

Cc;Ritz,Nyambala,JokaKuu,Sheikh Mohammed Said,The Big Show
 
Field Marshall John Okello anaweza kudunishwa tu kwenye HISTORIA ya Mapinduzi haya. Hakuna namna ya kumwondoa.

Mbona Barubaru hachangii hili?
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa,

Kabla zungumza chochote naomba kufahamu,

Umeiangalia hiyo video ya Okello inayomuonyesha akiendesha mapinduzi?

Yericko Nyerere,

Salaam ndugu yangu.

Mimi upande wa Mama yangu ni Unguja. Ndugu na jamaa wengi upande wa Mama yangu pia walikumbwa na matata mengi mno kwa hayo maafa ya 1964...matokeo yake mpaka kesho family yetu imeparaganyika kila pembe ya dunia pasi kutaka.

Pia niliwahi kueleza hapa jamvini yakuwa mmojawapo wa Uncle zangu pia alilkua ni mmojwapo wa washiriki adilifu katika yale Mapinduzi yaloshindikana ya 1972...ambapo yule Bwana wa Kinyasa aliuwawa. Huyo Uncle wangu alikua ni Commando mahiri mno,alisomea Cuba na pia alifika Vietnam. Aliwahi pia kufanza kazi na JWTZ na alikuwa na cheo kizuri mno kwa wakti huo. Na mpaka leo yupo hapo D'salaam,akiendelea na shughuli zake binafsi na Ibada.

Nimejitahidi kiduchu kukupa hiyo background si kwa kujikweza hasha ndugu yangu. Najaribu kukuonyesha yakuwa hayo majambo nayajua kwa utuvu na undani wa kiasi changu.

Washiriki mbalimbali walotajwa kwa kile kitabu cha Dr. Ghassany,aidha ni jamaa zetu,ndugu wa karibu au close family friends kuanzia Unguja mpaka hiyo Tanganyika.

Kama pia unafuatilia huu mnakasha kwa utuvu,kuna wakti pia nilikhadith jinsi nilipoalikwa Iftaar Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pale Portsmouth,nilipata nafasi ya kuamkuana japo kiduchu na Al Khalifa Jamshid Ibn Abdallah.

Nilialikwa tena,mara hii aliniita kujibu "masuala fulani" ya kina nilomuuliza.

Pia nilkutana na jamaa wengine mbalimbali,walokimbia hayo maafa ya 1964. Baina yao walikuwapo hao mnaowaita "Waarabu" na pia niliwakuta hao mnaowaita "Wabantu"....kati ya masuala nilowauliza kiundani pia ilikhusu hiyo race issue. Mwisho wa mazungumzo yetu woote kwa pamoja walipenda mno nijue yakuwa wao woote ni Waswahili.

Ndo maana napata taabu yakuwa baadhi ya jamaa hapa ati hawamuelewi Sheikh Mohammed anazungumza nini!?
Nafikiri la muhimu ni sisi kumuuliza maswali ya kitaaluma na kwa njia ya ustaarabu.

Kama vile ufanyavyo wewe Yericko tangia jana. Hapo ndipo soote tutapata manufaa au kumpinga kwa sisi kuonyesha ushahidi tulonao. Lakini sio report za CIA asilan!ahahah!!

Lakini mimi binafsi;sina cha kumpinga Sheikh Mohammed Said. Ndo maana nalisema tangia awali yakuwa nipo hapa jamvini chini ya himaya na uangalizi wake wa kitaaluma, ili nipate mafunzo toka kwake japo kiduchu.

Maana najua ana mengi mno,nami nachelea nisijekuwa miongoni mwa wale wapendao kujipunja.

Nashukuru kwa suali lako,na niwie radhi kwa mnyambuo wangu chechefu.

Ahsanta.
 
Jasusi,

Huwezi kujua pa kuanzia sababu yoote nilonena yanarejea,yanasisitizia na kulenga pale pale kwenye shina points tulizoanzia.

Kwa kifupi hayo yoote uelezayo nahisi wazidi kujikanganya. Mimi nayajua kiundani na nilishakueleza hapo awali.

Points/hoja zangu zilianzia pale ulipokataa yakuwa Nyerere ati asingethubutu kufanza mazungumzo ya internal affairs za nchi nyingine na kiongozi mwingine na khasa kama JFK.

Ghafla pia,ukaleta yale masuala ya kujaribu kuwa-glorify and glamourised Nyerere,JFK,MLK huku ukitaja ile nasaba ya Kikatoliki ya Martin Luther KingJr. Ukaelezea khabari za JFK na Civil Rights Movement tena kwa kumsifu,bila hata ya kuelezea background na walipoanzia. Au ulishajua yakuwa ungefanza vile wasomaji wangeona ukweli na wasingemwangalia tena huyo JFK kwa jicho lile!? Wewe kama ni Mwandishi,jaribu kuwa impartial na ufuatilie ethics na maadili ya kazi zako kwa makini,khasa unapokuwa public arena kama hapa.

Ndipo iliponilazim kwanza niwavunje hao jamaa zako hizo credibility zao khasa JFK kiundani kwa facts kadhaa,ili kuzidi kujenga ile hoja yangu/zangu.

Ilinilazim pia nikuonyeshe kiundani ule u-criminal wa huyo JFK kiundani na nikakuoredheshea vitabu mahiri kadhaa,ambavyo ulidai ati ulishavisoma vyoote!? Nina hakika kama ni kweli ulishapitia khabari za JFK kiundani,asilan usingekuja na ile statement dhaifu. Uliyarahisisha mno yale masuala yoote ya Civil Rights movement!?

Kwa kifupi soote tunajua JFK hakuwa na sympathy or empathy na Civil Rights Movement and Blacks.

Kuna vitabu/sources unadai huvitaki,sasa utawezaje kuthibitisha au kukanusha nikwambiayo!?

Jana nimekueleza tena japo kiduchu jinsi regime ya Nyerere ilivyokua secretive. Credible sources pia huziamini!? Hata Kambona!?...

Nimekuonyesha facts kadhaa za kina JFK na Bobby Kennedy. Pia ukiangalia atrocities alizoshiriki huyo Nyerere ni nyingi mno. Sasa kinachokushangaza hapa ni nini!? Yakuwa ma-Criminals wawili hawawezi kukaa meza moja kupanga na kuendeleza uhalifu pahala pengine!?

Na nilkupa mifano kadhaa ya huyo Nyerere kuingilia mambo ya nchi nyingi saana internal affairs/conflicts na kusababisha madhara na machafuko yaso mpaka.

Usipende kupindisha hoja kwa njia za kitoto. Unakumbuka Sheikh Mohammed alikukumbusha kuwa I meant Lumumbists!? Nami binafsi nikakurekebisha tarehe na ukakubali makosa ulofanza!? Sasa nionyeshe wapi nilisema Nyerere alizungumza na JFK kumuuwa Lumumba!? Point yangu ambayo bado inasimama kwa dhati,ni mazungumzo na ushirikiano aloombwa na kufanikisha Nyerere ili kutokomeza wale Lumumbists...ndo maana ilinilazim kukupa yale maelekezo mpaka kuhitimisha na ile Katanga secession almost end of 1960's.

Au ulivyojiaminisha wewe ni kuwa hapa jamvini/JF ni lazim ushinde mdahala ndo uridhike moyo wako!? Na pia sikujua kama mwenzangu yakuwa umo mashindanoni,mimi nalihisi tupo hapa kwa maelekezano kiduchu ya kistaarabu!?

Halafu kwanini unaamrisha ati habari za Jackie Kennedy nisilete na wala hazihusu hapa Jamvini!? Huoni nilitumia tu kile kigezo kukazia hoja yangu kwako!?

Kwanini masharti kama haya usiwaekee wale waletao kashfa na matusi hapa jamvini!?

Cc;Ritz,Big Show,Sheikh Mohammed Said,Nyambala,JokaKuu

Alhy Habib gombesugu, walaahai bayana zako ni Mubashar zimejaa ushui na zipo Hadhwarani.

Nimecheka sana Yericko anakuuliza wewe kama umeishawahi kuziona video ya mapinduzi ya Zanzibar walaahi JF kuna vituko.

Karibu sana mie napata maziwa ya ngamia na mkate wa ufuta.
 
Last edited by a moderator:
Wewe jamaa unawababaikia sana wazungu halafu sijui kwa nini unawachukia Wazenji.
Ah! Ritz,

Au unamsema Mzee Mohamed kiaina. Umesahau anavyojisifia na Journals za Cambridge, Marekani zinavyotukuza kitabu chake? Thread hii imekuwa ndefu sana. tumeanza kusahau tulikotoka. Nawaomba tujaribu kupitisha MAAZIMIO tumekubaliana lipi, tumeshindwana lipi, nini kifanyike ili tuwe na historia kamili isioegemea DINI, mtu mmoja, jamii moja?

Naamini hakuna atakayejitangaza kashinda au kashindwa. Baadhi yetu tunataka mshindi awe ni TANZANIA moja, TAIFA moja, DINI nyingi za kila mtu na yake.
 
Ndugu yangu sidhani kama kuna mtu kaja kushindana humu jamvini.

Mimi binafsi ni mwanafunzi humu jamvini najifunza sina ninachokijua.

Tuendelee kusemezana siku moja tutakutana Mkendo Kati mie na wewe tupate ugali wa mtama kwa sato...ha haa ha.
 
Alhy Habib gombesugu, walaahai bayana zako ni Mubashar zimejaa ushui na zipo Hadhwarani.

Nimecheka sana Yericko anakuuliza wewe kama umeishawahi kuziona video ya mapinduzi ya Zanzibar walaahi JF kuna vituko.

Karibu sana mie napata maziwa ya ngamia na mkate wa ufuta.

Ritz,

Wallahi!,Akhiy hivyo vyakula vyako vinono mie ndo "maradhi yangu".

Kuna wakti nalipanda Aeroflot tokea Sanaa tukienda Moscow,basi Wallahi katikati ya mbingu ghafla ikaanza kupakuliwa biriani ya Ngamia kwa Meditteranian Salad!ahaha!!....
Nikaona ni neema zaMola; Ngamia kiumbe wa jangwani,leo kajileta kwenye Arsh ya Muumba wake ili awe kitoweo!ahaha!! Allahmdulillahi.

Nakufuatilieni bayana zenu hapa kwa utuvu.

Ahsanta.
 
Yericko Nyerere,

Salaam ndugu yangu.

Mimi upande wa Mama yangu ni Unguja. Ndugu na jamaa wengi upande wa Mama yangu pia walikumbwa na matata mengi mno kwa hayo maafa ya 1964...matokeo yake mpaka kesho family yetu imeparaganyika kila pembe ya dunia pasi kutaka.

Pia niliwahi kueleza hapa jamvini yakuwa mmojawapo wa Uncle zangu pia alilkua ni mmojwapo wa washiriki adilifu katika yale Mapinduzi yaloshindikana ya 1972...ambapo yule Bwana wa Kinyasa aliuwawa. Huyo Uncle wangu alikua ni Commando mahiri mno,alisomea Cuba na pia alifika Vietnam. Aliwahi pia kufanza kazi na JWTZ na alikuwa na cheo kizuri mno kwa wakti huo. Na mpaka leo yupo hapo D'salaam,akiendelea na shughuli zake binafsi na Ibada.

Nimejitahidi kiduchu kukupa hiyo background si kwa kujikweza hasha ndugu yangu. Najaribu kukuonyesha yakuwa hayo majambo nayajua kwa utuvu na undani wa kiasi changu.

Washiriki mbalimbali walotajwa kwa kile kitabu cha Dr. Ghassany,aidha ni jamaa zetu,ndugu wa karibu au close family friends kuanzia Unguja mpaka hiyo Tanganyika.

Kama pia unafuatilia huu mnakasha kwa utuvu,kuna wakti pia nilikhadith jinsi nilipoalikwa Iftaar Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pale Portsmouth,nilipata nafasi ya kuamkuana japo kiduchu na Al Khalifa Jamshid Ibn Abdallah.

Nilialikwa tena,mara hii aliniita kujibu "masuala fulani" ya kina nilomuuliza.

Pia nilkutana na jamaa wengine mbalimbali,walokimbia hayo maafa ya 1964. Baina yao walikuwapo hao mnaowaita "Waarabu" na pia niliwakuta hao mnaowaita "Wabantu"....kati ya masuala nilowauliza kiundani pia ilikhusu hiyo race issue. Mwisho wa mazungumzo yetu woote kwa pamoja walipenda mno nijue yakuwa wao woote ni Waswahili.

Ndo maana napata taabu yakuwa baadhi ya jamaa hapa ati hawamuelewi Sheikh Mohammed anazungumza nini!?
Nafikiri la muhimu ni sisi kumuuliza maswali ya kitaaluma na kwa njia ya ustaarabu.

Kama vile ufanyavyo wewe Yericko tangia jana. Hapo ndipo soote tutapata manufaa au kumpinga kwa sisi kuonyesha ushahidi tulonao. Lakini sio report za CIA asilan!ahahah!!

Lakini mimi binafsi;sina cha kumpinga Sheikh Mohammed Said. Ndo maana nalisema tangia awali yakuwa nipo hapa jamvini chini ya himaya na uangalizi wake wa kitaaluma, ili nipate mafunzo toka kwake japo kiduchu.

Maana najua ana mengi mno,nami nachelea nisijekuwa miongoni mwa wale wapendao kujipunja.

Nashukuru kwa suali lako,na niwie radhi kwa mnyambuo wangu chechefu.

Ahsanta.

Nimefurahi kusikia maelezo hayo mazuri sana,

Pia umenikumbusha jambo moja muhimu sana ambalo huenda watu wengi hawakulifahamu, nalo nikuwa, Zanzibar ni nchi pekee yakwanza barani afrika kuwa na Makomandoo wa kijeshi,

Na hata vita vya Uganda ni makomandoo wa Kizanzibar ndio waliotawala platuni nyingi!

Nikirejea katika majibu yako, bado swali lamsingi hujalijibu mkuu wangu,

Swali hilo niliuliza kuwa umeuangalia vizuri huo mkanda wa video uliopo hapa jf unaomuonyesha Field Marshal Okello akifanya mapinduzi?

Kama umeuona kuna maswali yamsingi nataka tuyajenge hapo na kuyapa ufumbuzi mkuu!

Lakini kama hujauona, tafadhari maalim, hebu upitie kwaumakini!
 
WildCard,

Ndugu yangu sidhani kama kuna mtu kaja kushindana humu jamvini.

Mimi binafsi ni mwanafunzi humu jamvini najifunza sina ninachokijua.

Tuendelee kusemezana siku moja tutakutana Mkendo Kati mie na wewe tupate ugali wa mtama kwa sato...ha haa ha.
Ritz,
Sikuwezi ndugu yangu. Mkate wa ufuta kwa maziwa ya ngamia umo. Ugali wa Mtama kwa sato pia umo! Tende, halua,..., umo.
 
Ah! Ritz,

Au unamsema Mzee Mohamed kiaina. Umesahau anavyojisifia na Journals za Cambridge, Marekani zinavyotukuza kitabu chake? Thread hii imekuwa ndefu sana. tumeanza kusahau tulikotoka. Nawaomba tujaribu kupitisha MAAZIMIO tumekubaliana lipi, tumeshindwana lipi, nini kifanyike ili tuwe na historia kamili isioegemea DINI, mtu mmoja, jamii moja?

Naamini hakuna atakayejitangaza kashinda au kashindwa. Baadhi yetu tunataka mshindi awe ni TANZANIA moja, TAIFA moja, DINI nyingi za kila mtu na yake.

Wild Card,
Hizo journals...

Pale ni mwisho wa ubishi ni kama vile muimbaji
kutumbuiza Carnegie Hall.

Akisema nilifanya onyesho Carnegie tutamlaumu
kwa ndaro?
 
Back
Top Bottom