gombesugu,JokaKuu,
Naona inanilazim ku-clarify hicho kipande nilicho-bold hapo juu.
Wewe khabari na History ya Zanzibar itakupa taabu mno kama hao wenzio wengi tu.
Kila Nchi ina taratibu na kanuni zake za Uchaguzi kama ilivyokua Serikali ya Zanzibar kabla ya 1964 wakti huo.
Sharia za uchaguzi za Coalition Government au Serikali ya mseto, hutofautiana na kila nchi. Kumbuka yakuwa si lazima ati iku-bind yakuwa nani wa kushirikiana nae kutokana na idadi yake ya kura alopata! Angalia mifano ya hivi karibuni ya Coalition Governments za Uk,Italy,Germany na hata huko Pakistan na kwingineko kwingi tu.
Au nyinyi hamkupenda, kwa sababu utaratibu ule ulikua ukifanywa na kufuatwa na Waislam!?
Ndo maana hata hao ASP ati mnaowaita Wabantu/WaAfrika kwa kutokujua kwenu,nao pia walikubali kushiriki uchaguzi ule huku wakitambua uhalali wake. Walifanza kampeni na kuhamasisha watu kila pembe na kona ya visiwa vile, kama dasturi na taratibu za wakti huo zilivyokubalisha.
Lakini kama mlivyofanya Chadema hapo Tanzania; mara ASP waliposhindwa ndo ati wakaanza kulalama yakuwa uchaguzi haukuwa halali!? Je kama wangeshinda wao ASP,ati wangesema uchaguzi ndo halali!? Hizi ni akili za kitoto mno,japokuwa sisi ni watu wa Madrassa lakini kwa hili haiingii akilini asilan!
Kwa kifupi hao ASP hawakufikisha idadi ya kura-% ilotakiwa ili wao peke yao waweze kuunda Serikali kama kanuni za Uchaguzi zilivyokua zinataka.
ZN&ZPPP,waliweza kufanya majadiliano ya kina na kuunda Serikali ya Mseto. Kulikuwa hakuna kipengele cha uchaguzi kilichowakata au kuwazuia kisharia kuunda Serikali ya pamoja ati tu kwa kuzingatia idadi ya kura walizopata.
Shukran.
Cc;Ritz
..hivi kila anayepinga hoja zako lazima awe na chuki dhidi ya Waislamu/Uislamu?? Do u know how many times u have made such accusations??
..Kuhusu uchaguzi wa 1963 nakuomba uzingatie lile jedwali aliloleta Mag3. ASP walipata viti 13, na 54.2% ya popular votes. ZNP walipata viti 12 na 29.9% ya kura. ZPPP walipata viti 6 na 15.9% ya kura. Source yake ni wikipedia na kule wameweka original source.
..Katika mazingira kama hayo it doesnt make sense[it defies common sense, hata kama sheria inaruhusu] kwa ASP kunyimwa nafasi ya kuunda serikali na chama kingine. Vyama vya ZNP na ZPPP vilipaswa kusubiri kuona ASP wanataka kufanya nini na ushindi walioupata na siyo kukimbilia kuunda serikali kwa kujificha nyuma ya sheria mbovu ya uchaguzi.
..Umesema ASP knew the rules when going into the elections. lazima uelewe kwamba ASP wangekataa kushiriki basi wangekuwa hawana hoja ya kudai kwamba sheria ya uchaguzi ni mbaya. They took part in the elections, they won, but still they were excluded from the government!!!
cc😡Nguruvi3, Mag3, Mdondoaji, Wickama, Ritz, Kadogoo
Last edited by a moderator: