Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

JokaKuu,

Naona inanilazim ku-clarify hicho kipande nilicho-bold hapo juu.

Wewe khabari na History ya Zanzibar itakupa taabu mno kama hao wenzio wengi tu.

Kila Nchi ina taratibu na kanuni zake za Uchaguzi kama ilivyokua Serikali ya Zanzibar kabla ya 1964 wakti huo.

Sharia za uchaguzi za Coalition Government au Serikali ya mseto, hutofautiana na kila nchi. Kumbuka yakuwa si lazima ati iku-bind yakuwa nani wa kushirikiana nae kutokana na idadi yake ya kura alopata! Angalia mifano ya hivi karibuni ya Coalition Governments za Uk,Italy,Germany na hata huko Pakistan na kwingineko kwingi tu.

Au nyinyi hamkupenda, kwa sababu utaratibu ule ulikua ukifanywa na kufuatwa na Waislam!?

Ndo maana hata hao ASP ati mnaowaita Wabantu/WaAfrika kwa kutokujua kwenu,nao pia walikubali kushiriki uchaguzi ule huku wakitambua uhalali wake. Walifanza kampeni na kuhamasisha watu kila pembe na kona ya visiwa vile, kama dasturi na taratibu za wakti huo zilivyokubalisha.

Lakini kama mlivyofanya Chadema hapo Tanzania; mara ASP waliposhindwa ndo ati wakaanza kulalama yakuwa uchaguzi haukuwa halali!? Je kama wangeshinda wao ASP,ati wangesema uchaguzi ndo halali!? Hizi ni akili za kitoto mno,japokuwa sisi ni watu wa Madrassa lakini kwa hili haiingii akilini asilan!

Kwa kifupi hao ASP hawakufikisha idadi ya kura-% ilotakiwa ili wao peke yao waweze kuunda Serikali kama kanuni za Uchaguzi zilivyokua zinataka.

ZN&ZPPP,waliweza kufanya majadiliano ya kina na kuunda Serikali ya Mseto. Kulikuwa hakuna kipengele cha uchaguzi kilichowakata au kuwazuia kisharia kuunda Serikali ya pamoja ati tu kwa kuzingatia idadi ya kura walizopata.

Shukran.

Cc;Ritz
gombesugu,

..hivi kila anayepinga hoja zako lazima awe na chuki dhidi ya Waislamu/Uislamu?? Do u know how many times u have made such accusations??

..Kuhusu uchaguzi wa 1963 nakuomba uzingatie lile jedwali aliloleta Mag3. ASP walipata viti 13, na 54.2% ya popular votes. ZNP walipata viti 12 na 29.9% ya kura. ZPPP walipata viti 6 na 15.9% ya kura. Source yake ni wikipedia na kule wameweka original source.

..Katika mazingira kama hayo it doesnt make sense[it defies common sense, hata kama sheria inaruhusu] kwa ASP kunyimwa nafasi ya kuunda serikali na chama kingine. Vyama vya ZNP na ZPPP vilipaswa kusubiri kuona ASP wanataka kufanya nini na ushindi walioupata na siyo kukimbilia kuunda serikali kwa kujificha nyuma ya sheria mbovu ya uchaguzi.

..Umesema ASP knew the rules when going into the elections. lazima uelewe kwamba ASP wangekataa kushiriki basi wangekuwa hawana hoja ya kudai kwamba sheria ya uchaguzi ni mbaya. They took part in the elections, they won, but still they were excluded from the government!!!

cc😡Nguruvi3, Mag3, Mdondoaji, Wickama, Ritz, Kadogoo
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohammed Said,

Asalaam Alaykum Al Akhiy.

Niwie radhi maana kitambo sijakuamkua Al Habiby. Nilitingwa kiduchu na vijishughuli hapa kibaruani.

Hapo juu umemtaja Alhaj Issa Mtambo. Namkumbuka uzuri mno. Alikua ni Sahib mkubwa wa Mzee wangu. Nakumbuka zamani wakija saana nyumbani na Sahib yake Rais Ali Mwinyi,wakti huo alikua ni Waziri wa mambo ya ndani nafikiri.

Alipopatwa na maradhi Rais Mwinyi alishughulika uzuri kumuuguza mwenzie. Nami niliwahi kwenda kumwamkua mara kadhaa pale kwake.
Alipofariki nilikuwapo hapo D'salaam na nilikwenda pale kwake msibani.

Nafikiri alizikiwa kwao Korogwe. Alikua ni mtu mtaratibu mno na akinipenda saana maskini.

Nafikiri mtoto wake Salim Mtambo,mpaka leo ana mahusiano mazuri mno na Rais Mwinyi na family yake.

Najua kuwa alikua karibu mno na Oscar Kambona. Na ni kati pia ya watu Nyerere alowatumia baadae kumwangamiza huyo Kambona.

Nakumbuka Babu Shariff Abdallah Al Attas,ndo alokuwa Best Man wake alipokwenda kuoa kule Mwanza kwa jamaa zao kina Marehemu Balozi Idd Mtingwa.

Najua pia alikua Zanzibar "kusoma dini" kwa Sheikh Abdallah Saleh Farsy. Najua pia uhusiano wake ulokua "wa karibu mno" kikazi na Mzee KK.

Najua pia ndie yeye alomsaidia mno Sheikh Nurdin Hussein,alipopata matatizo na Nyerere. Na ndie yeye alomsaidia Sheikh Nurdin Hussein pia kupata ile ardhi kubwa kule Mgombezi na kufungua ile Al Qadiria kubwa.

Pia alikuwa na mahusiano makubwa mno na family ya kina Sheikh Mohammed Ayoub wa Tanga,khasa yule ndugu yao alokuwa sana D'Salaam-Ahmad Ayoub.

Kwa kifupi,kuna vitu nami pia vyanitatiza kiduchu. Lakini Insha Allah,naviweka moyoni mpaka tukikutana tuzungumze kwa undani na nikunong'oneze niyajuayo. Maana hawa woote ni Wazee wetu,na ni wajibu wetu kuwastiri.

Ahsanta.

Cc;Ritz

Al Akhiy

Najua nawe pia unamjua Mzee Mtingwa uzuri.

Gombesugu na Ritz,
Kila nikikusomeni nazidi kupata mshangao najisema mwenyewe:
''This is too good to be true."

Inakuwaje wazee wa watu hawa ndiyo wazee wangu pia?

Inakuwaje taarifa zetu kuhusu watu hawa zinashahabiana sawa
sawa?

Pale unaponambia hawa ni wazee wetu lazima tuwasitiri na kwa
hakika hivyo ndivyo itakiwavyo.

Salim Mtambo ni mtu wangu sana zamani akija Tanga akiwa hana
gari ananyanyua simu tu, ''Mohamed niazime gari yako nina mizunguko.''

Mie humwambia mie nende wapi bwana wala usipande juu (ofisini)
funguo naziacha mapokezi askari watakupa.

Kanikuta Lamu Maghrib sijavaa kanzu...siku ya kusoma maulid baada ya Isha.
Ananambia, ''Kwa hisani yako hebu kabadili hilo shati haraka utie kanzu.''

Huu ndiyo uhusiano wangu na Salim.

Akija barazani anamshabulia Sal Davis kwa stizai ya kumwita Shariff Sal anamwambia,
''In Sha Allah mwaka kesho lazima twende sote Lamu maulidini.'' Abdallah Jabir
atachomeka, ''Tena Sal lazima utunge na kasda twende tukaisome Riadha.''

Sal Davis
hataki kushindwa anajinasibu kwa usharifu wake, ''Mimi ni mtoto wa Shariff Abdallah
Salim, Lamu ile yote mali yetu nenda kawaulize akina Ahmed Bin Sumeit na mdogo wake
Mundhar Khitami, au muulize Mwinyibaba au Shariff Hussein Badawiy usikie watasema nini.''

Hapo sasa Sal ili kukoleza barza atazungumza kwa lafidh yake ya Kimombasa, Kibokoni.
Ghafla kabadilika anazungumza Kiingereza kwa ile ''accent'' yake ya London, Finsbury Park.

Nikirudi kwenye mada yetu hii kuwa maelezo yetu kufanana kwa kila kitu ni kwa kuwa sie
tunasema kweli.
 
gombesugu,

..hivi kila anayepinga hoja zako lazima awe na chuki dhidi ya Waislamu/Uislamu?? Do u know how many times u have made such accusations??

..Kuhusu uchaguzi wa 1963 nakuomba uzingatie lile jedwali aliloleta Mag3. ASP walipata viti 13, na 54.2% ya popular votes. ZNP walipata viti 12 na 29.9% ya kura. ZPPP walipata viti 6 na 15.9% ya kura. Source yake ni wikipedia na kule wameweka original source.

..Katika mazingira kama hayo it doesnt make sense[it defies common sense, hata kama sheria inaruhusu] kwa ASP kunyimwa nafasi ya kuunda serikali na chama kingine. Vyama vya ZNP na ZPPP vilipaswa kusubiri kuona ASP wanataka kufanya nini na ushindi walioupata na siyo kukimbilia kuunda serikali kwa kujificha nyuma ya sheria mbovu ya uchaguzi.

..Umesema ASP knew the rules when going into the elections. lazima uelewe kwamba ASP wangekataa kushiriki basi wangekuwa hawana hoja ya kudai kwamba sheria ya uchaguzi ni mbaya. They took part in the elections, they won, but still they were excluded from the government!!!

cc😡Nguruvi3, Mag3, Mdondoaji, Wickama, Ritz, Kadogoo

Joka Kuu,
Katika wapiga kura katika chaguzi za Zanzibar kulikuwa na wapiga kura
wa Kimakonde kutoka Kipumbwi wakivushwa na Mohamed Omari Mkwawa
na Victor Mkello.

Hawa walikuwa wanapiga kura upande wa ASP.
Matatizo haya ya kuiba kura hayakuanza leo.
 
GOMBESUGU,
nimefurahi umenikumbusha Home na vitumbua vya Waswahili! bado niko Madrasa za cairo najifunza nahau na historia ya ulimwengu wa Kiislamu na utamaduni wake!
Nikirudi home nitakujulisha inshaallah!

Kadogoo,
Nilikuambia usikose kutembelea Greco Roman Museum iko Alexandria.
 
gombesugu,

..hivi kila anayepinga hoja zako lazima awe na chuki dhidi ya Waislamu/Uislamu?? Do u know how many times u have made such accusations??

..Kuhusu uchaguzi wa 1963 nakuomba uzingatie lile jedwali aliloleta Mag3. ASP walipata viti 13, na 54.2% ya popular votes. ZNP walipata viti 12 na 29.9% ya kura. ZPPP walipata viti 6 na 15.9% ya kura. Source yake ni wikipedia na kule wameweka original source.

..Katika mazingira kama hayo it doesnt make sense[it defies common sense, hata kama sheria inaruhusu] kwa ASP kunyimwa nafasi ya kuunda serikali na chama kingine. Vyama vya ZNP na ZPPP vilipaswa kusubiri kuona ASP wanataka kufanya nini na ushindi walioupata na siyo kukimbilia kuunda serikali kwa kujificha nyuma ya sheria mbovu ya uchaguzi.

..Umesema ASP knew the rules when going into the elections. lazima uelewe kwamba ASP wangekataa kushiriki basi wangekuwa hawana hoja ya kudai kwamba sheria ya uchaguzi ni mbaya. They took part in the elections, they won, but still they were excluded from the government!!!

cc😡Nguruvi3, Mag3, Mdondoaji, Wickama, Ritz, Kadogoo

JokaKuu,

Nitakujibu kiduchu tu...

Hivi nyinyi mara ngapi watu tunapojibu hoja za Nyerere au kumpinga huyo Nyerere wako,mnadai tuna chuki na Ukatoliki/Ukristo na pia chuki binafsi na Nyerere!?

Mimi nina only few weeks hapa jamvini...wewe ni Senior Member wa hapa Jf,nakupa challenge upitie posts zenu zoote halafu urudi tena hapa kuzungumza na mimi! Acha kujivunjia heshima yako,ukweli unaujua.

Wengi wenu ni Wadini,posts zenu zoote zinajulikana! Punguza hasira na ghadhabu,ili usijivunjie hishma yako zaidi ok! Huyo Mwanakijiji wako ndio namtafuta zaidi,na anajua hilo!

Kwa kuanzia pitia posts za jana toka kwa huyo "Muislam" wenu,uone accusations alizotoa halafu na LIKE anavyopata kutoka kwenu nyoote wewe ukiwa ni mmojawapo!!
 
Joka Kuu,
Katika wapiga kura katika chaguzi za Zanzibar kulikuwa na wapiga kura
wa Kimakonde kutoka Kipumbwi wakivushwa na Mohamed Omari Mkwawa
na Victor Mkello.

Hawa walikuwa wanapiga kura upande wa ASP.
Matatizo haya ya kuiba kura hayakuanza leo.
Mohamed Said,

..lakini hata Karume wanasema ni Mnyasa!!

..Je, hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya ZNP na ZPPP kuwatenga ASP ktk kuunda serikali??

..Znz kulifanyika chaguzi ngapi, na mara ngapi ASP walishinda??
 
Mzee Mohamed,
Serikali haikuwa ya ASP halafu waachiwe kuiba kura! Wezi na wachakachuaji wa kura mara zote huwa ni walio na serikali/dola. Wewe ukiwachukia watu utawatungia kila aina ya uongo! Mkubwa sasa wewe. Acha hizo.
 
Wild Card,
Kwani haya nimesema mimi?

Wenye nchi yao na wanaoijua historia yao ndiyo wamesema.

Miaka na miaka tulikaa hatukuwa tunayajua hata kwa kudhani
ya kambi ya Kipumbwi hadi waliopindua akima Mzee Mkwawa na
Aboud Mmasai walipofungua vinywa vyao.

Hawakuishia hapo tu wakaeleza hata Hanga alivyouliwa nk. nk.
Sasa ndugu yangu utamuua mjumbe kwa kosa na kisa kipi?

Kwa kukuletea ujumbe tu?
 
Duh WildCard wakti mwingine jitahidi kuwastahii hawa wazee wa Gerezani tanguli lini mwenye dola akaibiwa kura hii ndiyo kwanza nasikia toka kwa Mzee wetu Mohamed Said ha ha ha ha ha nabaki nacheka.

Mzee Mohamed Said ukiambiwa jambo hata kama halina maana unalichukua mzege mzege bila kulifanya utafiti.

Wild Card,
Kwani haya nimesema mimi?

Wenye nchi yao na wanaoijua historia yao ndiyo wamesema.

Miaka na miaka tulikaa hatukuwa tunayajua hata kwa kudhani
ya kambi ya Kipumbwi hadi waliopindua akima Mzee Mkwawa na
Aboud Mmasai walipofungua vinywa vyao.

Hawakuishia hapo tu wakaeleza hata Hanga alivyouliwa nk. nk.
Sasa ndugu yangu utamuua mjumbe kwa kosa na kisa kipi?

Kwa kukuletea ujumbe tu?
 
Last edited by a moderator:
Samahani mzee mohamed, naomba kufahamishwa kuhusu waraka wa kigoma marima kuhusu elimu ya tanzania

Mtz.mzalendo,

Inaelekea mengi yamekupita lakini si kitu hebu soma kipande hicho hapo chini.
ingawa unaturudisha nyuma:
Prof. Malima Minister of Education
In 1987 Prof. Malima became the first Muslim to be appointed Minister of Education. This ministry had consistently been under a Christians since independence in 1961. There were accusations that the ministry was a Christian stronghold particularly when at one time a pastor was appointed minister to head the ministry. When Professor Malima became minister of education he thought it was imperative that some changes be effected in the ministry to win back the confidence of Muslims. There were accusations that the ministry was discriminating against Muslim youths barring them from higher institutions of learning and was frustrating career advancement of Muslims functionaries in the ministry. In 1981 before Prof. Malima had cautioned the government on education of Muslim youths, ‘Warsha' under BAKWATA had conducted a social research project, which no Muslim organisation had attempted before. It commissioned its educationists to write a research paper to find out reasons why Muslim students were lagging behind in education. When these findings were made public and distributed to throughout the country it came as a shock to Muslims and the government. For the first time it was revealed that there was a system in the Ministry of Education supported by Christian functionaries which was discriminatory to Muslim youths, purposely barring them from institutions of higher learning. [1] Prof. Malima found out that professionalism and objective decision-making had long been forgotten. Examinations were marked using candidate's actual names instead of numbers, as is the norm the world over. This created an environment in which it was easy for Christian candidates to be favoured. Prof. Malima also found that Muslim functionaries were barred from promotions. Prof. Malima had to rectify the discrepancies at the ministry. First he promoted three Muslims whose promotions were long overdue after retiring three Christians whose retirement was long overdue. Prof. Malima also promoted a Muslim to the post of commissioner. This change made the balance of distribution of top post at the ministry between Muslims and Christians to stand at 30% to 70% scales still tipping in favour of Christians. Yet in spite of this imbalance Christians in the ministry complained that Prof. Malima's promotions were religiously motivated. Second he directed that examinations numbers should be used in marking examinations. After this changes the number of Muslims students admitted to secondary schools increased by 40%. Having seen this unequal apportionment between Muslims and Christians in the ministry, Prof. wrote a confidential report to the President on the state of affairs he had found in the ministry. In that report [2] Prof. Malima mentioned the stagnation of Muslims in education. Prof. Malima warned that if this problem was not solved it was going to create problems to the country in the future. Although following Prof. Malima's advice President Mwinyi had tried to clean up his office he was not utterly successful, Prof. Malima's report somehow got leaked to the press. This letter by Prof. Malima made him a hero to his own people and a villain to the establishment and to the most fervent enemies of Islam in Tanzania. It is said that among those who received the report was the former Vice-President and Prime Minister Joseph Warioba. It was obvious that Nyerere was monitoring President Mwinyi in everything he did. To be able to do what he did Nyerere had to have people deep inside President Mwinyi's establishment. Nyerere and Warioba were outraged by the letter and tried to have him sacked from the government and party in the same style, which ousted Jumbe four years earlier. But this time the issue on the agenda was more sensitive and transparent then was the case with Aboud Jumbe wihch was covered by political intrigues. Muslims were the people who fought for independence and Nyerere became what he was because of the Muslim support.

[1] Muslim Writers' Workshop, "The Importance of Establishing Islamic Seminaries," 21 December 1981.
[2]See Kiongozi, July 15-31, 1993.
 
gombesugu,

..hivi kila anayepinga hoja zako lazima awe na chuki dhidi ya Waislamu/Uislamu?? Do u know how many times u have made such accusations??

..Kuhusu uchaguzi wa 1963 nakuomba uzingatie lile jedwali aliloleta Mag3. ASP walipata viti 13, na 54.2% ya popular votes. ZNP walipata viti 12 na 29.9% ya kura. ZPPP walipata viti 6 na 15.9% ya kura. Source yake ni wikipedia na kule wameweka original source.

..Katika mazingira kama hayo it doesnt make sense[it defies common sense, hata kama sheria inaruhusu] kwa ASP kunyimwa nafasi ya kuunda serikali na chama kingine. Vyama vya ZNP na ZPPP vilipaswa kusubiri kuona ASP wanataka kufanya nini na ushindi walioupata na siyo kukimbilia kuunda serikali kwa kujificha nyuma ya sheria mbovu ya uchaguzi.

..Umesema ASP knew the rules when going into the elections. lazima uelewe kwamba ASP wangekataa kushiriki basi wangekuwa hawana hoja ya kudai kwamba sheria ya uchaguzi ni mbaya. They took part in the elections, they won, but still they were excluded from the government!!!

cc😡Nguruvi3, Mag3, Mdondoaji, Wickama, Ritz, Kadogoo

JokaKuu,

Hivi unafahamu hata mimi hapa nilipo sasa hivi ninaweza kuingia kwenye hiyo Wikipedia na kuibadilisha hiyo chart yenu mliyoileta ati yakuwa ni kigezo!?

Jaribu kufikiria;hivi hiyo chart ya Wkipedia kama ndo angeileta Sheikh Mohammed hapa jamvini...ni vipi angepata kebehi na kashfa!?.... na nina hakika labda wewe usingesema lolote lakini lazim ungetia LIKE!!
 
JokaKuu,

Nitakujibu kiduchu tu...

Hivi nyinyi mara ngapi watu tunapojibu hoja za Nyerere au kumpinga huyo Nyerere wako,mnadai tuna chuki na Ukatoliki/Ukristo na pia chuki binafsi na Nyerere!?

Mimi nina only few weeks hapa jamvini...wewe ni Senior Member wa hapa Jf,nakupa challenge upitie posts zenu zoote halafu urudi tena hapa kuzungumza na mimi! Acha kujivunjia heshima yako,ukweli unaujua.

Wengi wenu ni Wadini,posts zenu zoote zinajulikana! Punguza hasira na ghadhabu,ili usijivunjie hishma yako zaidi ok! Huyo Mwanakijiji wako ndio namtafuta zaidi,na anajua hilo!

Kwa kuanzia pitia posts za jana toka kwa huyo "Muislam" wenu,uone accusations alizotoa halafu na LIKE anavyopata kutoka kwenu nyoote wewe ukiwa ni mmojawapo!!
gombesugu,

..duh!!

..punguza udini.

..tatizo lako ni kufikiri kila anayepingana na wewe basi ana chuki dhidi ya Uislamu.

..hebu ona hapo unamuita mchangiaji mwenzako "Muislamu" wenu.

..hivi ni uungwana kweli kufanya hivyo??

..
 
Last edited by a moderator:
Wild Card,
Kwani haya nimesema mimi?

Wenye nchi yao na wanaoijua historia yao ndiyo wamesema.

Miaka na miaka tulikaa hatukuwa tunayajua hata kwa kudhani
ya kambi ya Kipumbwi hadi waliopindua akima Mzee Mkwawa na
Aboud Mmasai walipofungua vinywa vyao.

Hawakuishia hapo tu wakaeleza hata Hanga alivyouliwa nk. nk.
Sasa ndugu yangu utamuua mjumbe kwa kosa na kisa kipi?

Kwa kukuletea ujumbe tu?
Kwa muda huu tulioishi wewe na mimi humu JF nimekuelewa ni mtu unayependa kuambiwa kile unachotaka uambiwe au usikie.

Ukiambiwa hicho unachopenda usikie hata kama ni cha uongo unakibeba kama kilivyo!

Weledi hapo unakuwa wapi?

Unaweza kunikosoa ukitaka lakini mifano iko mingi sana.
 
Duh WildCard wakti mwingine jitahidi kuwastahii hawa wazee wa Gerezani tanguli lini mwenye dola akaibiwa kura hii ndiyo kwanza nasikia toka kwa Mzee wetu Mohamed Said ha ha ha ha ha nabaki nacheka.

Ngongo,
Hujasikia labda kwa kuwa husomi.

Hizi taarifa siyo ''news'' ni mashuhuri kwa wafuatiliaji mambo.

Sasa mimi sitakucheka kama ulivyonicheka.
Sikucheki kwa kuwa nafahamu hakuna ajuaye kila kitu.

Naamini baada ya sasa ushajua habari hii ya kuvusha watu
kupiga kura Zanzibar utaitafuta.

Na si la lazima uamini kuwa ni kweli.
Waratibu wa haya wanajulikana sana katika historia ya TANU.

Naamini umesoma katika moja ya post yangu niliposema kuwa
Waingereza walikuwa na ''mole'' wao katika uongozi wa juu
kabisa wa TANU akiwapelekea siri zote za chama.

Huyo ''mole'' ndiyo alomchoma Idd Faiz Mafongo akakamatwa
Turiani akitokea Tanga kwa Mwalimu Kihere kuchukua fedha
za safari ya Nyerere UNO 1954.

Huyo ''mole'' ndiyo aliyemchoma Rashid Ali Meli alochukua fedha
za Dar es Salaam Municipal Council kuzileta TANU kutunisha
mfuko wa safari ya UNO.

Nadhani umemsoma Gombesugu leo akinambia kuwa hawa wazee
wetu lazima ''tuwasitiri.''

Hukujua tuwahifadhi kwa lipi?

Ni kwa haya mambo waliyofanya ambayo athari yake ikaja kuwa
mbaya sana.

Tofauti kubwa kabisa kati yetu na nyie ni kuwa wazee wenu walikuwa
kwenye ''sidelines'' sie wazee wetu ndiyo waliolisukuma lile gurudumu
la historia ya nchi hii.
 
Mohamed Said,

..lakini hata Karume wanasema ni Mnyasa!!

..Je, hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya ZNP na ZPPP kuwatenga ASP ktk kuunda serikali??

..Znz kulifanyika chaguzi ngapi, na mara ngapi ASP walishinda??

JokaKuu,

Mbona hapo unakua mbaguzi wa makabila!? Kwani Mnyasa sio Kabila!?

Halafu wewe unadai ati "wanasema Karume ni Mnyasa"...kwani wewe ulikua hujui!?

Kwa kifupi kuwa Mnyasa wala si aibu na wala si kumtusi mtu. ...ni sawa na kusema yakuwa Nyerere alikuwa ni Mzanaki.

Kwa hiyo Sheikh Mohammed hakosei kuwataja hao Wamakonde na Wakwavi kwa makabila,sisi miaka yoote tunaitwa Waswahili na mbona tunafurahia tu!?
 
Kwa muda huu tulioishi wewe na mimi humu JF nimekuelewa ni mtu unayependa kuambiwa kile unachotaka uambiwe au usikie.

Ukiambiwa hicho unachopenda usikie hata kama ni cha uongo unakibeba kama kilivyo!

Weledi hapo unakuwa wapi?

Unaweza kunikosoa ukitaka lakini mifano iko mingi sana.

Wild Card,
Hilo si kweli.

Ingekuwa hiyo ndiyo hulka yangu nisingekuwa nasema kuwa ''si
lazima uamini'' haya nisemayo.
 
JokaKuu,

Hivi unafahamu hata mimi hapa nilipo sasa hivi ninaweza kuingia kwenye hiyo Wikipedia na kuibadilisha hiyo chart yenu mliyoileta ati yakuwa ni kigezo!?

Jaribu kufikiria;hivi hiyo chart ya Wkipedia kama ndo angeileta Sheikh Mohammed hapa jamvini...ni vipi angepata kebehi na kashfa!?.... na nina hakika labda wewe usingesema lolote lakini lazim ungetia LIKE!!
gombesugu,

..haina tabu.

..sasa kama una data nyingine za uhakika zaidi ziweke hapa tuone kama ni tofauti na hicho kilichokuwa posted wikipedia.

..kuhusu Mohamed Said, I think ppl went over board ktk lile suala la balozi wa Marekani na bunge la jamhuri.

..kwa upande mwingine, nadhani Mohamed as a historian and scholar alipaswa kuwa makini zaidi ktk paper yake kuhusu alichokifanya balozi wa Marekani na wabunge wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom