Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Umepanic man,

Wewe umeniuliza nitajie umri wa muasisi wa AA wakati anaanzisha chama, mimi bila hiyana nimekutajia.

Mimi kukuuliza Askofu na huyo Sheikh Issa wakati wanakutana Askofu alikuwa na umri gani? Sheikh Issa yeye tumepata umri wa miaka 104.

Badala ya kujibu unaanza kulia lia naona mipini bado imekuchanganya leo haupo sawa unatukana ovyo.

Maalim,

Sijachukia wala kupaniki,

Katika maisha yangu sijawahi kuchukia katika mijadala na maudhui ya aina yoyote!

Chozi pekee lililowahi kumwagika pasina kuchapwa fimbo ya mwili ni lile lililoshuka siku naletewa taarifa ya msiba wa Baba yangu,

Ninakumbuka vema nilikuwa Moscow, nikaambiwa

"unatakiwa kupelekwa Tanzania as soon as possible, Baba yako amefariki dunia, wewe ni mtoto wakiume hatuhitaji machozi hapa, jiandae haraka shika tiketi ya ndege tunaondoka sasa hivi"

Naam kimsingi maalimu tumewekana sawa juu ya Issa Bin Amir ambae nimmoja ya binadamu wa karne ya 20 walioishi mda mrefu!

Watu wengi maarufu wa Tanganyika wametumia hekima za Shehe huyo!

Pia Kaasisi Maranta alimtumia mzee huyu kwa mambo mengi
 
JokaKuu,

Ndugu yangu taratibu, na tupendane.

Hakuna anayependa au kuabudu Waarabu hapa!

Siwai Nogela Munukiwa,siwai nogela munu. Na uvale kitenge bure na uvale "Laizoni" bure...siwai nogela munu!!

Shukran kutoka kwa Mtanganyika mwenzio.

Cc;Ritz

Be mkwamisi, ikihehe siukiseli veve,

Wuse kuwunge yono!
 
gombesugu,

..Thank u.

..lakini kama SULTANI na vibaraka wake wa KIARABU hawakujihusisha na biashara ya WATUMWA, kwanini alisaini Moresby Treaty, na baadaye Hamerton Treaty??

cc: Nguruvi3, Mag3, Jasusi, Kadogoo, Ritz

JokaKuu,

Hakuna mtu alowahi ati kutetea biashara za kitumwa zilizofanywa na Waarabu. Na kama yupo basi atakuwa ni "Maluuni wa Kitaaluma"!

Hata Mtume wetu Mtukufu Muhammad hakupendezwa asilan na dasturi na matendo hayo ya Waarabu.

Ndipo Mtume/Uislam ukamu-elevate
na kumpa darja ya juu mtumwa alokombolewa kutoka mikononi mwa Waarabu makatili na wabaya.....Huyu Blackman -Saydina Bilal(yasemekana asili yake ilikua ni Abysinia-Ethiopia) ndo mmojawapo ya Maswahaba wakubwa walokua extremely close na Mtume....na piani mmojawapo ya viumbe wachache duniani kuambiwa/kutabiriwa na Mtume yakuwa wamehakikishiwa pepo tukufu ya Allah kabla hata ya kufa! Inna Lillahi....

Ndipo Mtume/Uislamu ulikataza mambo hayo takriban miaka 1400 iliyopita! Japo British Empire hivi sasa wanaleta propaganda yakuwa ati wao ndo walokataza biashara yakuwa utumwa usifanywe tena duniani!ahaha!!

Niwie radhi,usijekuhisi yakuwa ninaku-patronise,la hasha ndugu yangu. Nakujuza tu kiduchu,halafu pia hizi khabari/topic ni ndefu mno

Tutaongea siku nyingine ndugu yangu JokaKuu,maana inalazim nifanye vijishughuli vingine japo kiduchu hapa.

Ahsanta na nimefurahika mno tumezungumza japo kiduchu.

Shukran.

Cc;Ritz
 
Yericko,

Lazim ujue yakuwa hawa Jamii Forum wako hawana uwezo wala credibility ya ku-verify mtu au kitu chochote.

Ndo maana ilimlazim aje Andrew Nyerere mwenyewe hapa Jamvini ili kukuweka sawa!?

Don't expect easy ride here Sir,especially when you being disrespectful to Wazee wetu and Muslims.

Deers cannot invite Lions over for dinner and get shocked that they became the meat to eat.

Abdicate responsibility and you pay!

People like you are Lunatics they have no clue what the hell they are talking about. You are in effect saying that Muslims are stuppid and cannot fix their own problem/s!?

You are an infectious minded fool bought into the lies you have been fed for decades.

Indeed your kinds are the real fools!

....


Cc;Ritz


Na katika kupngezea hapo,@Yericko anapaswa kujua suala si kujiverify,suala ni kwamba anajiverify kwa nasaba ipi??

Kuna bandiko lake hapa nyuma alisema kwamba yeye hawa wote kina butiku,nyerere,Abdul sykes.warioba,kingunge ngombale mwiru n.k n.k wote ni wazee wake,kwaiyo haina shida kujiweka karibu nao,

Tukamuuliza sasa kwanin kaamua kuchagua jina moja tuh la julius nyerere kuja nalo JF??

Wazee wake wengine mbona hajawatendea haki??

Sasa atueleze yeye ni yericko bin nani??

Yericko bin nyerere?

Yericko bin butiku?
Yericko bin warioba??

Yericko bin abdulwahid sykes??

Au Yericko bin kingunge ngombale mwiru??

Asiishie kuforce watu kuja kuwa verified member,hakuna anaeweza kuwa na roho ngum kama yake ya kudandia nasaba za watuh...

Hoja ya uchochez wa Moh Said imeshamshinda,akae kitako asomeshwe historia sasa...
 
Ritz,

..mimi nazungumzia hapa Tanganyika.

..aliyeonekana kwenye misafara ya watumwa ni MWARABU.

..kwamba baada ya kufikisha bidhaa zake pwani, na Zanzibar, alimuuzia Mzungu hilo wala sijabisha.

..mimi nadhani nyinyi ndiyo mna mahaba yaliyopitiliza na Uarabu na Sultani.

NB:

..wako Waafrika pia waliojishughulisha na biashara ya utumwa huku Tanganyika.

cc: Mag3, Nguruvi3, gombesugu, Wickama,


Somebody or Someone can have an arabic origination but not necessarily for him/her to believe in islam..
 
Ritz,

..mimi nazungumzia hapa Tanganyika.

..aliyeonekana kwenye misafara ya watumwa ni MWARABU.

..kwamba baada ya kufikisha bidhaa zake pwani, na Zanzibar, alimuuzia Mzungu hilo wala sijabisha.

..mimi nadhani nyinyi ndiyo mna mahaba yaliyopitiliza na Uarabu na Sultani.

NB:

..wako Waafrika pia waliojishughulisha na biashara ya utumwa huku Tanganyika.

cc: Mag3, Nguruvi3, gombesugu, Wickama,


Tough topic; mchango wangu huu hapa chini;

Home

hii itasaidia kuongea huku tukijua tunaongelea nini.

Shukrani
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

Hakuna mtu alowahi ati kutetea biashara za kitumwa zilizofanywa na Waarabu. Na kama yupo basi atakuwa ni "Maluuni wa Kitaaluma"!

Hata Mtume wetu Mtukufu Muhammad hakupendezwa asilan na dasturi na matendo hayo ya Waarabu.

Ndipo Mtume/Uislam ukamu-elevate
na kumpa darja ya juu mtumwa alokombolewa kutoka mikononi mwa Waarabu makatili na wabaya.....Huyu Blackman -Saydina Bilal(yasemekana asili yake ilikua ni Abysinia-Ethiopia) ndo mmojawapo ya Maswahaba wakubwa walokua extremely close na Mtume....na piani mmojawapo ya viumbe wachache duniani kuambiwa/kutabiriwa na Mtume yakuwa wamehakikishiwa pepo tukufu ya Allah kabla hata ya kufa! Inna Lillahi....

Ndipo Mtume/Uislamu ulikataza mambo hayo takriban miaka 1400 iliyopita! Japo British Empire hivi sasa wanaleta propaganda yakuwa ati wao ndo walokataza biashara yakuwa utumwa usifanywe tena duniani!ahaha!!

Niwie radhi,usijekuhisi yakuwa ninaku-patronise,la hasha ndugu yangu. Nakujuza tu kiduchu,halafu pia hizi khabari/topic ni ndefu mno

Tutaongea siku nyingine ndugu yangu JokaKuu,maana inalazim nifanye vijishughuli vingine japo kiduchu hapa.

Ahsanta na nimefurahika mno tumezungumza japo kiduchu.

Shukran.

Cc;Ritz


Gombesugu na Jokakuu na Ritz;
Ni kweli kuwa awali waarabu waliofika pande hizi walishughulishwa zaidi na biashara ya meno ya tembo, dhahabu na mambo kama hayo. Mvuto wa biashara ya watumwa ulikuja pale wazundu walipopata makoloni na wakataka labour. Hapo human labour ghafla ikawa na soko kubwa na hapo ndipo hata waarabu wa pande hizi waliifanya ili kuwauzia hao wazungu. Mashamba ya miwa ya seyschelles na mauritus yalianza na slave labour na yale ya Brazil.

Ni kweli pia Sultan wa Zanzibar alipiga marufuku hii biashara katika himaya yake, lakini hakuna records zilizowazi za kuonyesha offenders walifanywa nini. Waingereza wanapo-claim Credit ya kuisimamisha hii biashar ni kwa sababu wao kama DOLA waliunda utaratibu wa kutafuta misafara hii na kuwaadhibu wanaifanya na hata kuwasainisha watawala wengine kuwa kuwa himaya zao kusiwe na biashara hii.

Hiyo haina maana Uingereza haikushiriki. Ushahidi wa skave trade hapa kwetu bado upo. Mtu hawezi kuukimbia.

Home
 
Somebody or Someone can have an arabic origination but not necessarily for him/her to believe in islam..

Bigshow; Arabs are only 15% (approx.) of the Muslim population. However, not all Arabs are Muslims. But it is also not correct to assume that all Arabs slave traders were not Muslims. Offenders are just offenders, their faith notwithstanding. To date, as individuals, Muslims and Christians and Jews DO a lot of STUFF prohibited in both FAITHS.
 
Ritz,

..mimi nazungumzia hapa Tanganyika.

..aliyeonekana kwenye misafara ya watumwa ni MWARABU.

..kwamba baada ya kufikisha bidhaa zake pwani, na Zanzibar, alimuuzia Mzungu hilo wala sijabisha.

..mimi nadhani nyinyi ndiyo mna mahaba yaliyopitiliza na Uarabu na Sultani.

NB:

..wako Waafrika pia waliojishughulisha na biashara ya utumwa huku Tanganyika.

cc: Mag3, Nguruvi3, gombesugu, Wickama,

JokaKuu,

Kwa hiyo unaamini kabisa kuwa wazungu hawakufanya biashara ya utumwa Tanganyika?

Hapa hakuna mtu anayewatetea waarabu dini yetu inakataza utumwa na dini yetu mmbora ni yule anayemcha mungu tu hakuna cha muarabu wala mzungu wala muhindi wala mwafrika.

Kwa hiyo yoyote anafanya biashara ya utumwa ana nafasi mbele ya Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Na katika kupngezea hapo,@Yericko anapaswa kujua suala si kujiverify,suala ni kwamba anajiverify kwa nasaba ipi??

Kuna bandiko lake hapa nyuma alisema kwamba yeye hawa wote kina butiku,nyerere,Abdul sykes.warioba,kingunge ngombale mwiru n.k n.k wote ni wazee wake,kwaiyo haina shida kujiweka karibu nao,

Tukamuuliza sasa kwanin kaamua kuchagua jina moja tuh la julius nyerere kuja nalo JF??

Wazee wake wengine mbona hajawatendea haki??

Sasa atueleze yeye ni yericko bin nani??

Yericko bin nyerere?

Yericko bin butiku?
Yericko bin warioba??

Yericko bin abdulwahid sykes??

Au Yericko bin kingunge ngombale mwiru??

Asiishie kuforce watu kuja kuwa verified member,hakuna anaeweza kuwa na roho ngum kama yake ya kudandia nasaba za watuh...

Hoja ya uchochez wa Moh Said imeshamshinda,akae kitako asomeshwe historia sasa...

Hahahaa nabaki kucheka tu,
 
Yericko,

Lazim ujue yakuwa hawa Jamii Forum wako hawana uwezo wala credibility ya ku-verify mtu au kitu chochote.

Ndo maana ilimlazim aje Andrew Nyerere mwenyewe hapa Jamvini ili kukuweka sawa!?

Don't expect easy ride here Sir,especially when you being disrespectful to Wazee wetu and Muslims.

Deers cannot invite Lions over for dinner and get shocked that they became the meat to eat.

Abdicate responsibility and you pay!

People like you are Lunatics they have no clue what the hell they are talking about. You are in effect saying that Muslims are stuppid and cannot fix their own problem/s!?

You are an infectious minded fool bought into the lies you have been fed for decades.

Indeed your kinds are the real fools!

....


Cc;Ritz

Shariff gombesugu,

The remedy of fire is fire...
 
Last edited by a moderator:
@Yericko,

Kitabu cha ugaidi kimeishia wapi??

guantanamo.jpg

Naona umeshakitupa jalalani,Guantanamo mlisema munaifunga,vp mbona kimya hadi leo?
Alichokisema OBAMA leo Washington Defence University umekiskia??



Guantanamo 3.jpg


Bora umeamua kukitupia jalalani...
 
Bigshow; Arabs are only 15% (approx.) of the Muslim population. However, not all Arabs are Muslims. But it is also not correct to assume that all Arabs slave traders were not Muslims. Offenders are just offenders, their faith notwithstanding. To date, as individuals, Muslims and Christians and Jews DO a lot of STUFF prohibited in both FAITHS.


In Islam Slavery is prohibited...!
 
Ritz, ..mimi nazungumzia hapa Tanganyika.
..aliyeonekana kwenye misafara ya watumwa ni MWARABU.
..kwamba baada ya kufikisha bidhaa zake pwani, na Zanzibar, alimuuzia Mzungu hilo wala sijabisha.
..mimi nadhani nyinyi ndiyo mna mahaba yaliyopitiliza na Uarabu na Sultani.
NB:

..wako Waafrika pia waliojishughulisha na biashara ya utumwa huku Tanganyika.
cc: Mag3, Nguruvi3, gombesugu, Wickama,
JokaKuu, unasumbuka bure ndugu yangu...hapa ni kama vile unampigia mbuzi gitaa, unategemea nini? aanze kusakata rumba? Biashara ya Utumwa Tanganyika na Mwarabu ni kama pete na kidole!
Slavery always existed in Africa as part of a social system but trade started with Arab raiders arriving around the 9th century to take Africans to markets in Mesopotamia, India, Persia and Arabia. In the 19th century slave trading was a flourishing commercial practice with regular and massive deportations organised by Arab slavers helped by local tribes such as the Nyamwezi who became their redoubtable partners.

In East Africa the most renowned Arab trader was Tippu Tip (Hemedi bin Muhammad el Marjebi), born in Zanzibar, who at 18 began slave and ivory trading between the interior and coastal towns, and by 1880 he had built a large commercial empire between the Upper Congo, Lake Tanganyika and Bagamoyo on the coast, where the slaves were shipped-off to Zanzibar for sale to foreign merchants.
 
Ritz,..mimi nazungumzia hapa Tanganyika...aliyeonekana kwenye misafara ya watumwa ni MWARABU...kwamba baada ya kufikisha bidhaa zake pwani, na Zanzibar, alimuuzia Mzungu hilo wala sijabisha...mimi nadhani nyinyi ndiyo mna mahaba yaliyopitiliza na Uarabu na Sultani. NB:..wako Waafrika pia waliojishughulisha na biashara ya utumwa huku Tanganyika.cc: Mag3, Nguruvi3, gombesugu, Wickama,
JOKAKUU,Hatuko hapa kuwatetea Waarabu au Wazungu! ktk vitabu vya historia ya biashara ya Utumwa Afrika Mashariki msafara wa Watumwa unaonekana picha za kuchora za Muarabu akiongoza msafara wa Watumwa wakati picha halisi zinamuonyesha Mzungu na Watumwa huku ameshika mgolole!swali; kwanini picha ya Muarabu ni yakuchora huku ya Mzungu ni picha halisi?Kama unazo picha halisi za Waarabu wakiongoza msafara wa Watumwa utakuwa umenisaidia sana!
 
Last edited by a moderator:
@Yericko,

Kitabu cha ugaidi kimeishia wapi??

View attachment 94888

Naona umeshakitupa jalalani,Guantanamo mlisema munaifunga,vp mbona kimya hadi leo?
Alichokisema OBAMA leo Washington Defence University umekiskia??



View attachment 94889


Bora umeamua kukitupia jalalani...

Kitabu hakina uhusiano na sera za ndani ama nje za USA!

Kitabu kinahusu simulizi za yaliyotukia kabla na baada ya vita!

Haya pata hiyo kutoka "Vita dhidi ya Ugaidi"


UCHUMI WA DUNIA CHINI YA FIKRA ZA KIGAIDI

Suala la ugaidi kwa kiasi fulani, limeonekana kujitenga na dhana ya uchumi duniani hususani katika bara la Afrika. Amerika na baadhi ya nchi pale Ulaya ndizo zilizo athirika kiuchumi. Marekani walilazimika kuwekeza katika ulinzi huku wakiacha sekta muhimu ambazo ni uti wa mgongo wa taifa hilo zikidorora kama vile elimu, afya, ajira, viwanda, kilimo na miswaada mingi yenye mwelekeo wa mageuzi kiuchumi. Hali kadharika Uingereza na mataifa mengine washirika.

Kuingia kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa kulileta mageuzi makubwa katika uchumi wa Tanzania. Tanzania inajivunia kuwa ni moja kati ya nchi za mfano wa maendeleo barani Afrika tangu ikumbatie sera za soko na uchumi huria kutokana na kupigwa mwereka kwa Azimio la Arusha la 1967 na Azimio la Zanzibar la 1992. Takwimu zinaonyesha kuwa uchumi wa Tanzania umeendelea kukua kwa kasi nzuri kwa kipindi kifupi.

Kwa mfano mwaka 1996 uchumi ulikuwa kwa asilimia 4.2, mwaka 1999 asilimia 4.7, mwaka 2001 asilimia 5.7, mwaka 2002 asilimia 6.2 nakufuatia hali mbaya yahewa mwaka 2003 kasi ya ukuaji wa uchumi ilipungua na kukua kwa asilimia 5.6, mwaka 2004 ulipanda tena asilimia 6.3. Kwaupande mwingine mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana. Ulishuka kutoka zaidi yaasilimia 16 desemba 1997 na kufika asilimia 6.0 Novemba 2000 na kushuka zaidi hadi kwenye asilimia 4.5 kwa wastani hadi 2005. Hii tena ni dalili njema kabisa kwakuwa hakuna atakayependa kuwekeza katika uchumi ambao mfumuko wa bei unakimbilia asilimia 100. Lakini dalili hii nzuri yakukua kwa uchumi inakwenda sambamba na kukua kwa tabaka la matajiri na masikini. Ongezeko hilo limekuwa kwa kupindukia, Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 20% ya matajiri mwaka2001 ilitumia kiasi cha 44% ya matumizi yote ya kaya, ikilinganishwa na 43% ya mwaka 1991.

Kukua kwa uchumi kunakoambatana na ongezeko la pengo la walionacho na wasio nacho kunaonyeshwa na kipimo kiitwacho GINI ambacho kwa Tanzania kilionyesha kuongezeka toka 0.34 mwaka 2001 hadi 0.345 mwaka 2005. Kadiri tarakimu hii inavyokua ndivyo pengo linavyozidi kukua. Mfano: jamii ambayo mgawanyo wa pato unauwiano mzuri sana tarakimu hii hupungua nakuwa ndogo, na kwa jamii au nchi yenye mgawanyo mbovu tarakimu huwa kubwa sana. Matharani, tarakimu hii ikiwa 0 nikwamba wote mnagawana pato sawa, naikiwa 1 inawezekana mtu mmoja anakuwa na pato kubwa.

Ninadra! Haijapata kutokea na haitotoke tarakimu hii iwe 0 au 1 kutokana na mageuzi ya kiuchumi huku ufisadi ukishika kasi katika dola nyingi duniani hususani Tz. Mfano, nchi za China na Norway ambapo kuna uwiano mzuri wa mgawanyo wa pato bado hawawezi kuwa na 0 au 1. Takwimu zinazotumika kujua pato la nchi kwa Tanzania, zinakinzana na ukweli wa pato la kaya. Mfumo unaotumika kujua wastani wa pato la kila mmoja hupatikana baada ya kujumlisha pato la nchi na kuligawa kwa idadi ya watu wa nchi hiyo.Inamaana kwamba kila mwananchi anahesabika kuwa ni mmiliki wa.kilichozalishwa katika uchumi kwa mwaka huo. Dalili hii ya kukua kwa uchumi na pengo la masikini na matajiri kuongezeka, linaendelea kuumiza vichwa vya wanauchumi wengi duniani kwani tatizo hili si kwa Tanzania tu bali nchi zote zinazo endelea kukua.

Nukuu za wanauchumi maarufu dunia zinazoonyesha kutimilika: John Maynard Keynes wa Uingereza ananena yakuwa, “Yamukini pengo la masikini na matajiri likawa dhahiri kadiri nchi zinavyo endelea kukua”. Brentano Lujo aliyezaliwa Aschaffenburg, Bavaria (Ujerumani ya sasa) “Inafurahisha na kusikitisha kwani kuna uwezekano wa kuongezeka maradufukwa umasikini kwa nchi zinazo endelea:. Simon Kuzinets mwanauchumi wa Marekani aliyezaliwa Kharkiv nchini Ukraine: “Mgawanyo wa pato hautakuwa sawia na huenda usawa ukaongezeka kupungua baadae kadiri pato lanchi linavyo zidi kukua”. Joseph A. Schumpeter mchumi wa Kimarekani aliyezaliwa Triesch, Moravia (Jamuhuri ya Czech kwa sasa)

“Katikati ya mwanga mwanana wa machipuko ya kiuchumi panaibuka zuio la tathimini, tatizo hili litastawi katika mataifa yanayoendelea”.Kwa Tanzania kinacholeta kanganyiko huu wa kutopungua umasikini wakati ambapo uchumi unakua ni kwamba ukuaji wa uchumi haujagusa sekta kiongozi ya kilimo. Sekta hii inayoimbwa kila siku kuwa ndio uti wa mgongo wa taifa letu. Licha ya sekta ya kilimo kuchangia kiasi cha asilimia 45 ya pato la taifa, asilimia 85 ya mauzo ya nje na kuajili asilimia 80 ya watanzania wote, ukuaji wa sekta hii umezorota kwa kipindi cha miaka ya karibuni.

Mfano sekta hii ilikua kwa asilimia 5.5 mwaka 2001, mwaka 2002 asilimia 5.0, mwaka 2003 asilimia 4.0, mwaka 2004 asilimia 3.8, mwaka 2005 asilimia 3.7 na mwaka 2006 asilimia 3.5. Hii inaonyesha kwamba vipato vya asilimia 80 ya waajiliwa wa sekta hii vimekuwa duni kwa miaka hiyo, hivyo kutia shaka kama umasikini unaweza kupungua miongoni mwa watu hao. Sekta iliyokua kwa kasi ni ya madini ambayo inaonyesha kwamba imekua toka asilimia 13.5 mwaka 2001 hadi asilimia 15.0 mwaka 2002 na asilimia 17.0 mwaka 2003. Sekta hii ni mpya na imekuwa ikipata wawekezaji wengi kwa haraka sana. Tatizo kubwa la sekta kama ya madini hasa katika nchi za Afrika ambazo husafirisha madini ghafi ni kwamba haizalishi ajira zinazoweza kupunguza umasikini kwa kasi sambamba na ukuaji wa uchumi.

Hii inatokana na ukweli kwamba madini ghafi husafirishwa nje ya nchi na kukatwa katika maumbo mbalimbali tayari kwa uuzaji. Hivyo sekta hii haina uhusiano wa karibu na sekta ya viwanda katika nchi zinazo zalisha na kusafirisha madini ghafi. Pili ajira inayozalishwa ni ndogo kutokana na matumizi ya mashine katika uzalishaji wa madini hayo. Hali ya ardhi yetu si mbaya na njia pekee itakayo harakisha kupungua kwa umasikini wetu pamoja na kuongeza thamani ya madini ni kuwekeza katika kilimo. Fedha zinazopatika katika madini ziwekezwe katika kilimo ilikuwasaidia asilimia 80 ya
watanzani walioajiliwa katika sekta hii. Hii ni changamoto kubwa kwa Tanzania kufikia malengo ya milenia ya kupunguza idadi ya watu wanaoishi katika umuasikini wa kupindukia ifikapo mwaka 2015. Ili malengo ya timie inatakiwa uchumi ukue kwa wastani wa asilimia 3.8 hadi 4.5 kwa mwaka, mpaka ifikapo 2015

Nimuhimu kutilia mkazo elimu itakayo wawezesha watu kujiajiri wenyewe,kwani hii ni njia rahisi ambayo inaweza kumkwamua mtu katika umasikini. Bilashaka nchi nyingi za Asia ya Mashariki ambazo tunapenda kuiga namna zilivyoweza kukua kiuchumi kwa kasi ya ajabu ni kwamba ziliweza kuua ndege wengi kwa jiwe moja, ukuaji wa pato la kila mwananchi kwa wastani ulikua kwa kasi ya kutisha, wastani wa umri wa kuishi uliongezeka, kuongeza kasi ya elimu na upunguzaji wa umasikini kwa kasi. Waliweza kufanya hayo bila kufuata TORATI walizopewa na mabwana wa IMF na Benki ya Dunia. Walitilia mkazo elimu ya ufundi, utafiti na uwekezaji katika teknolojia sahihi. Ukuaji wa uchumi ambao hauwezi kubadili maisha ya watu masikini hautakuwa na mafaa yoyote. Utakuwa ni ukuaji wa uchumi kitakwimu zaidi kuliko kuleta maisha bora ya watu. Hayo ndiyo tumekuwa tukishuhudia zaidi katika nchi nyingi za kiafrika na Latini Amerika ambapo takwimu huonyesha kuwa uchumi unapanda kwa kasi nzuri, lakini ukweli ni kwamba ukiingia kwenye nyumba ya mtu wa kawaida kunawaka moto.

Ukuaji wanamna hiyo wa uchumi hunufaisha kundi dogo la jamii na kujikita katika ukuaji wa vitu vichache ambavyo huwa nafaida ndogo kwa jamii kubwa. Mf: sekta ya madini ikikua kwa faida kubwa ya mwekezaji, haitakuwa na maana kama watanzania hawafaidi matunda yake. Badala yake tunapewa viini macho vya wawekezaji kwa kujengewa shule na zahanati ambazo maranyingi huwa na lengo la kuwaduwaza wanavijiji na wanaotembelea migodi hiyo. Kinachotakiwa ni maendelo ya kweli yatakayoletwa na ukuaji wa sekta hii kwa maana ya kodi za kutosha na gawio linaloonekana. Tusizugwe na wanayoipa jina la misaada ya milioni 200 kwa kupoteza mabilioni ya fedha zetu za madini na ajira ambazo kwakukata madini hapa nchini tungezipata. Kwaujumla ukuaji wa uchumi haujapunguza makali ya maisha ya watanzania walio wengi

Tangu nchi yetu ifuzu kujiunga na kikundi cha nchi tegemezi zinazotembeza bakuli kila kukicha mwaka 1997 baada ya kuifurahisha Benki ya Dunia (WB) na Shirika la fedha la Kimataifa (IMF) juu yauzingatiaji wa TORATI ya mashirika hayo mumiani, zaidi ya watanzania 50% ni masikini wa kutupwa wanaoishi chini ya mstari wa umasikini (Poverty line) kwa matumizi chini ya Tsh 260 kwa siku, asilimia36% ni masikini sana, Wakati watanzania asilimia 14% ni matajiri wa kupindukia wanaoishi maisha ya anasa, wakimiliki mahekalu, magari ya kifahari na ya gharama kubwa na watoto wao kusoma shule za sifa ya kimataifa. Hawa ndio wanaodhibiti uchumi na siasa ya nchi hii kwa gharama ya watanzania asilimia 86 walio nje ya kundi hili.


Na Yericko Nyerere
 
Kitabu hakina uhusiano na sera za ndani ama nje za USA!

Kitabu kinahusu simulizi za yaliyotukia kabla na baada ya vita!

Ebo...!!
Sasa kumbe ni simulizi tuh kama simulizi za mapenz zile za mwanakijiji??

Sasa kwanin ukajiita nawewe ni mtafiti??

Aanhaaa,sasa nimeelewa,ndio kwa maana tulipokawa tunakuomba utuwekee literature survey ukawa una weweseka wewesekaa et eeh??

Sasa copy na kupaste kila mtu anafaham,,ushan fahamu eeeh??

Haya pinda mgongo hapa Moh Said akupatie Darsa la historia,tena uwe na adabu na utiifu wa hali ya juu...
 
Mohamed,
Bahati mbaya The Citizen haliko mtandaoni. Tutazipataje wengine hizo serialization? Ahsante

Jasusi,

Ile siku ya mazishi pale nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach niliombwa nitoe ''eulogy'' kwa ufupi kabla
hatujaswalia maiti.

Nilizungumza maisha yake kwa ufupi sana lakini nilijikita zaidi katika masikitiko kuwa vyombo vya habari
vimepuuza kifo cha Ally Sykes.

Nikamalizia kwa kusema kuwa juu ya hayo yote Ally Sykes kabla hajafa alikuwa amekwisha andika maisha
yake na jina la kitabu lilikuwa ''Under the Shadow of British Colonialism'' lakini kitabu kilipokwenda kwa
publisher yule publisher akaomba kitabu kibadilishwe jina kiitwe ''Dreams Unfulfilled.'' Alipoulizwa sababu
akajibu kuwa jina hili jipya linaendana na ukweli kuwa yale ambayo Ally Sykes na wenzake waliyapigania
hayakuwa...

Wanajamvi,

Nawawekea hapa instalment mbili zilizochapwa na The Citizen la Jumanne na Jumatano na In Sha
Allah nitaweka kipande cha mwisho baada ya The Citizen kukamilisha instalment ya mwisho:

Ally Kleist Sykes

1926 – 2013
Before Ally Sykes died he had with assistance of Mohamed Said completed writing his biography which to date remains unpublished. The following are excerpts from the manuscript titled, ''Under the Shadow of British Colonialism.'

'
My name is Ally Kleist Sykes. I was born in Dar es Salaam on 10 thSeptember 1926 from Kleist Sykes Mbuwane, the son of a Zulu mercenary, SykesMbuwane and Bibi Mruguru bint Mussa who my father married in February 1923.

My father's other name is Abdallah but he never identified himself by this name.This is the name written on his tombstone, which today identifies his grave at the Kisutu Muslim graveyard in Dar es Salaam.

I was named Ally after my father's elder brother Ally Sykes, or Kattini Mbuwane, as he was known back home in Mozambique. My grandfather is from the Shangaan a Zulu clan, which originated from SouthAfrica but settled in Mozambique.

The reason, which caused the Zulu migrationto Mozambique,was to run away from civil upheavals caused by the reign of Shaka, the ZuluKing.

My father was the second child; the first one was Ally Kattini who wasborn from Mbuwane's first wife back home.
My uncle Kattini was blind. WhenMbuwane came to Tanganyikahe came with him but he was later sent back home.

The village, which my peoplesettled, is known as Kwa Likunyi. I had the occasion to visit the village ofour origins in 1952 and I was able to trace some members of our family.

At that time the country was under the harsh rule of the Portuguese. I will narrate thestory of my travel to trace my people later on.

The history of my family begins at a village called Kwa Likunyi in the then Portuguese Mozambique about a hundred years ago.
I learned most of the history of my forefathers from my father, KleistSykes. Kleist Sykes was born in Pangani in 1894.

His mother, my grandmother, was a Nyaturu from Central Tanganyika. My father always considered himself an aristocrat of sorts and had his own exceptional way of carrying himself.

He behaved and even dressed differently in comparison to other Africans.

He waas always immaculatelydressed and all his existing photographs show him in suit and tie. Heconsidered himself a modern man, a man of the times. He was very conscious ofhis Zulu origins and loved and longed for the country which he never set foot on.

My father sentimental and melancholyused to talk about his father, Sykes Mbuwane, who he never even knew because Mbuwane my grandfather, died soon after my father was born.

My grandfather was part of mercenarieswho came to Tanganyika with Harmine von Wissman and landed in Pangani at the turn of 19[SUP]th[/SUP] century.

The Zulu were under the leadership of Chief Mohosh. The mercenaries were recruited from Kwa Likunyi.

This was just afterthe Berlin Conference of 1884 in which Africa was partitioned between imperial powers in Europe.

This caused resistance from the people of Tanganyika who roseup in arms to defend their freedom.

Germans had a military camp at Pangani,which today is a small coastal town few miles from Tanga, but in those days it was an important town in the Germany administration.

It was from this Germany camp in Pangani that mygrandfather and fellow mercenaries under the command of Chief Mohosh mobilised under von Wissman and prepared themselves to go into action against the local population resisting German rule.

My grandfather fought against Abushiri bin Salim bin Harith as well as ChiefMkwawa…

In 1942 my elder brother, Abdulwahid was conscriptedinto the King's African Rifles (KAR) and was transferred to Nairobi to undergo military training.

This was a nightmare, which every parent in Dar es Salaam was dreading.
Some parents wentas far as to hide their boys in the back yard of their houses not allowing them to be seen outside.

When Abdulwahid left I felt lonely and out of place intown. I decided to run away from home and join the army.
Conscription centre was at Kilwa Road, not very far from town. Iwent there and asked to be registered for military duty.

I was 15 years old butwith huge built. I looked well above my age.

When my father came to know about this he came to the military camp to complain that I could not be conscripted because I was under age.

But by then I had signed all the papers. My father hadto return home without me. I was transferred to Nairobi for training and was posted in the East African Education Corps.

In 1943 I left Kilindini Harbour Mombasa in aconvoy of ships heading for Ceylon escorted by the Royal Navy. I was ready to join the war…

After demobilisation I disembarked in Mombasa from Bombay,Kalieni camp where we were regrouped after the war.
I took a train from Mombasa to Nairobi.

In Nairobi Ilodged at a hotel called the Central Hotel, which at that time was classified as an Asian class hotel therefore out of bounds to Africans.

But I had registered myself in Kenyaas a Zulu and due to that I was considered a "high class African" compared to my Kikuyu and Luo brothers. I therefore qualified to be accommodated at the hotel.

Colonialism was all about colour and class qualifications.


Colonialism had very strange laws as well as verystrange perceptions. The place was owned by a Goan called De Souza.
This hotel was behind Government Road at the centre of Nairobi town and was a meetingplace of Kenyan nationalists.

I had a friend by the name of James Kariuki.Kariuki a Kikuyu was a taxi driver. Webecame very close friends and he came to know just about everything about me.

He was a member of Mau Mau, the underground peasant movement which was struggling against the British. Kariuki used to take me to Ngong, Limuru and Kiambu in his taxi.

We did these trips at night under the cover of darkness andin great secrecy. In Burma Ihad known "General" China who we served together in the K.A.R General China came to be one of the leaders the Mau Mau force fighting the British in the Aberdeen Mountains.

At the beginning I did not realise how deep Kariuki was involved in that secret society and if he had at all taken the oath.

The oath I later came to learn was the driving force behind the successof the Mau Mau movement because once taken one was to obey and undertake whatever assignment given.

Usually the assignment was to undertake an operationto kill white settlers.


It was at the Central Hotel that I came to meet Jomo Kenyatta, Bildad Kaggia, Tom Mboya, W.W. Awori and other Kenyan nationalists…

I used to talk about my father and what he was doing in Tanganyika to further many issuesof African interests.

Mboya was a keen listener and he used to urge me toreturn back home and help in the struggle. I also received many letters from my brother Abdulwahid asking me to come home. He told me in his letters that thestruggle against the British had begun.

I knew I had to get back home and join the struggle or I would miss an important opportunity to play a role in thehistory of my country.

I returned homein 1948.

I was twenty- one years old…

It was while serving in the Labour Department that I was in 1951 elected General Secretary of Tanganyika African Government Servants Association (TAGSA) as well as representative in the Government Establishment Committee.

The 1951 TAGSA election elected Thomas Marealle (later to become Paramount Chief ofthe Chagga) as President and Rashid Kawawa later to become Vice-President of Tanganyika, committee member.

The constitution of TAGSA provided for annual elections.
I was returned to office assecretary four times until October 1954 when I had to resign after being transferred to Korogwe.

This record was unprecedented. I was the only secretary under TAGSA since its inception in 1927 to have been returned to the post in each election four times.

I would have been returned again and again if it were not for the transfer, which was my punishment for being with Julius Nyerere among the seventeen founder members of TANU, the party which led Tanganyika to independence in 1961.

It is generally believed that the people of Tanganyika asserted their mandate status in March 1955 when Nyerere spoke before the Trusteeship Council.

But we had established our status as a mandate territory in 1950 when Abdulwahid, HamzaMwapachu, Stephen Mhando and Dr. Kyaruzi took over the leadership of TAA.

Very few people are aware that the speech, which Nyerere delivered before theTrusteeship Council of the United Nations in 1955, was in TAA files since 1950...
 
Shariff gombesugu,

The remedy of fire is fire...

Gombesugu; Soma kuhusu privacy policy ya hawa JF, wamesha kutahadharisha kuwa in the event they are forced ku-reveal your identity they may have to. SASA WANAWEZAJE? NDIVYO ULIOMUULIZA YERICKO. HAMNA MWENYE SHIDA NA Jina Lako halisi. leo Uki-Log out angalia screen inaandika nini. All Cookies Cleared!!!! Cookies huwa zinatumwa na wao, na kazi yake ni kuku-locate uliko. Komputer yako ina namba binafsi, Hizo cookies zinaiambia mitambo yao computer yako ni namba ngapi na iko wapi. Anuani yako kwenye internet ina kitu kinaitwa IP, popote utakapofungua account yako huwa IP inajionyesha, wanajua imetoka kwenye IP address gani na computer yenye physical address ipi. Kwahiyo Pakizuka suala la kama la uhaini na pengine unatakiwa wao wanachofanya ni kuipa mamlaka husika hiyo IP, na physical address ya computer yako, sasa address zinajulikana mahali mtumaji alipokuwa. Kwa hiyo kama ni uingereza ni kuwa wanawaomba jamaa wa huko wanai-trace address na kukulocate. Kama umeuza computer yako ina maana uliyemuuzia atawaleta ulipo, na kama mawasiliana ni kwenye café lazima wenye hiyo café watakufahamu kama ni mteja wa kila mara.Isitoshe wakisha iwekea MARKERS hiyo IP yako ni kuwa popote utapo-log kwenye internet through account zako wanakufata. Laptop na simu ni Sawa kaka yangu.

Majina hayana maana kwao. Ndiyo maana hata ukijiita Chumvi hamna mwenye tatizo. Mpaka msako ukianza. Nilitaka kuchangia japo kiduchu.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

Ndugu yangu taratibu, na tupendane.

Hakuna anayependa au kuabudu Waarabu hapa!

Siwai Nogela Munukiwa,siwai nogela munu. Na uvale kitenge bure na uvale "Laizoni" bure...siwai nogela munu!!Shukran kutoka kwa Mtanganyika mwenzio.

Cc;Ritz
Mkuu gombesugu, hapo kwenye red umeugusa moyo wangu! ni maneno mazuri ya ndugu zetu wahehe!
 
Back
Top Bottom