Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Zomba; Baada ya salaam; imenibidi nicheke na JIKICHWA!!!!. Mali ya Bonde hiyo mwanangu. Ustadh mimi nimesoma shule ya msingi ya serikali pale moshi mjini. Fani zangu nilisomea SUA (soil sciences). Huyo father unayemsema ndiyo kwanza leo kuona hilo jina.

Ni kwamba Zomba, operation yoyote ya kijeshi ufaulu wake unategemea sana matayarisho na usiri. uliza askari wa jeshi wanajua. La tatu huwa kustukiza (kumtokea adui bila yeye kutarajia). Vyote hivyo vina umuhimu. Askari wanaodurusu hii thread wanajua details.

Tunachokiongelea hapa ni kuwa;

1. wale wamakonde hadi kufika kipumbwi, kulishwa, kufundishwa mbinu za uaskari wakiwa pamoja na wazenj haikuanguka kama mvua. lazima matayarisho yalifanywa, usiri ulitawala na sakura palichaguliwa kwa sababu (umbali toka zenj ni mdogo)

2. sasa kama kambini walikuja wazenj pia kujifunza na kurudi, kuna HUYO aliyewatafuta na kuwaleta toka makwao. Tulichouliza ambacho waheshimiwa wamegoma kujibu ni kimoja; kwamba hivi haya matayarisho, msaada wote huu, ndio kusema ASP walilazimishwa na TANU kuupokea au wao ndio walioanza kuomba msaada kuwa jamani tusaidieni tumngoe sultani? Ushahidi wa reports unaonyesha ASP wakipokea hadi silaha za rashasha toka kwa kina Kambona kwa ajili ya HILO WANALOLIJUA WAO.

Uzito wa hili swali na jibu lake ni kuwa; kama ASP ndio waliowaomba TANU msaada basi ASP ndio wamiliki halali wa mapinduzi na kutokana na umiliki huo, wao ndio waliwajibika na nidhaamu ya askari wao BAADA ya kuiangusha serikali waliyojiandaa siku nyingi waiangushe.

Sasa umeuliza masuala ya Geneva convention yanakuja vipi;

Kuja ni kwa sababu mamlaka inayomiliki askari ikisha twaa madaraka juu ya eneo lilikuwa linagombaniwa (yaani kama baada ya kina Okello kuiangusha serikali), inawajibika MOJAMOJA na usalama wa raia na mali zao. Bila hivyo unakuwa umehalifu na umeweza kufunguliwa mashataka. Kwa kesi za Zenj ilipaswa kuwa hivyo pia. nchi nyingi kwa mfano West Africa, Serikali imepinduliwa, lakini raia na mali zao haraka wanalindwa.

Kukwama kwa JIBU kutoka kwa jirani zangu (na wewe umo)ni kwa sababu kwa muda mrefu waliwekeza katika ghadhabu za matayarisho yanayoonekana(Nyerere hapo)wakamsahau aliyeomba HUO msaada. Kwa sababu OMBI la huu msaada ndio chimbuko la yote haya. Na hili ombi ndilo lilifanyiwa kazi ya kuanzisha kambi, kuleta askari, kuwanunulia silaha nk.

Tanganyika tumefundisha askari wa Msumbiji, Zimbabwe, Angola, nk, lakini nidhamu ya hao askari ndani ya mipaka ya nchi husika ni jukumu la makamanda wa hao askari. Huadhibu nchi walikojifunza.Kwa hiyo kama kuna wa kulaumiwa na kufunguliwa kesi za genocide ni Commander-in-chief aliyekuwa ana mamlaka na jeshi lililoangusha ile serikali na majenerali wake walioshindwa kusimamia nidhamu ya kijeshi.

Geneva Articles zinaongelea tabia zinazotakiwa juu ya jeshi linalokalia ardhi nyingine (iliyotekwa). Ndipo nasema basi natuseme kuwa wale FFU 100 waliofika baadae kitu kama 17/jan ( 5 days later) kuwa ni occupying army, jee wao walivunja hii nidhamu? Kwa sababu hawa 100 kamanda-inchief wao anajulikana (Julius) Ushahidi toka kitabu cha Kwaheri Uhuru.... unaonyesha kufika kwa hawa 100 kuliokoa maisha ya wazenj kibao. Mauaji yalisimama mara moja.

Mshikaji unakijihoma nini? maanake sijakuzoea kuuliza kwa sauti ya STARA. Usiku mwema.

Nakupa hint; google "father Cunningham".

Mengine naona unalalama tu, Jee huo ndio ushahidi wako wa jikichwa la habari? huna zaidi?
 
Daruwesh HASANALIS,

Ni kweli unachosema Wazee wetu wa Mzizima waliyafanya hayo yote kwa jinsi walivyokuwa na mahaba na Nyerere.

Wazee walikuwa wanamchukulia Nyerere kama kijana wao wala hawakuwa na ubaguzi wowote ndiyo maana walikuwa wanajumika naye kwenye ibada za Saum hata mwenyewe Nyerere kakiri msome hapa chani.

Kujumuika ktk saumu haikuwa zawadi kwa Nyerere.Kijana msomi,mwenye hekina wa enzi hizo akiwa ktk kundi la makuli,masheikh na wengine waliokuwa hawana elimu dunia...Nyerere alikuwa superstar haraka kwa vile alikuwa na vionjo vilivyowafanya wazee wamhitaji.Waislama always wana mapingano ktk yao ,the third person alifanya bora wote wakose.

Pia hakuna ushahidi Kuwa Nyerere alifunga ramadhani:rejea hapa
1.walifunga ili kuomba kitu maalumu kwa ajili kitu fulani.Hii ni purely Judeo-Christian.

2.Walifunga ila Nyerere alikuwa kaifunga na kuomba, baadaye ktk kufuturu Nyerere alikuwa nao.Ila kuulizia dawa na si chakula wakati wa wengine wanafuturu ni wazi kuwa nyerere alikuwa anafunga christiani ways.Kufunga muda mefu bila futarii,ila mara chache kula kidogo kitoshacho kutunza uhai.Sasa hapa nyerere alikuwa kakosa maji na pengine na necessary ions kwa ubongo...

Naomba muwe analytical kuliko kuwa storage media.
 
Nakupa hint; google "father Cunningham".

Mengine naona unalalama tu, Jee huo ndio ushahidi wako wa jikichwa la habari? huna zaidi?

Shukran;

Nimeishia kuwasoma several fathers of that surname. Haina tatizo thanks whatever the nia was. Baada ya hapo sina nalo lalamikia. wewe ndiye uliyetaka kujua masuala ya Geneva convention yanakuja vipi. Mtiririko ni kama huo. Hakuna lawama humo. Kulikuwa na mapengo ambayo yametumika kutukana watu for so long. It is strange sasa simple questions zinaleta ukimya. Ama kuhusu opinion yako kuhusu content ya maelezo hayo ni haki yako na wala humuudhi mtu.

Connection NA JIKICHWA LA HABARI; ni kuwa ukimuita Nyerere KAVAMIA Zenj maana yake ni kuwa ASP pia walivamiwa, maanake wao sio watanganyika. Ukigwaya kuwaita ASP wavamizi (kwao) kwa vile walimwomba Nyerere msaada, Ni kuwa UNAJIZUIA kuwaita WASALITI. MBELE YA SAFARI UTAJA WAITA WASALITI. NI SUALA LA LINI. Na unapolalama majukwaani kuwa JAMANI huyu ndiye aliyewasaidia bila ya KULALAMIKA PIA KWANINI ASP HAMKUBAKI KWENYE DHULMA ILIYOWAFANYA WAPINDUE ni kwamba wewe ni mchochezi. Link iko hapo.

Ndipo Yericko alipoaanzia UZI HUU.
 
Wewe ni mgala?

Hiyo ndio hoja uliokuja nayo kuhusu jikichwa la habari hapo juu?

Hivi nyinyi huwa mnasoma mkaelewa haswa? hivi unakijuwa ulichokiandika au unabwabwaja tu?

Mbona hujibu hoja?Unaongea vitu havihusiki.Ndio uelewa wa kinyumenyume hivyo?
 
Yericko Nyerere,

Huna hoja wala ubavu wa kupambana na kichwa cha Madrassa pamoja na Harvard University Dr Harith, kuna viporo nyako vingi sana unatakiwa kuvijibu, Wanaukumbi zaidi ya 200,000 wanasubiri majibu leo mwezi wa sita sasa.
Yericko Nyerere, hebu waweke wazi Wanaukumbi kuwa Julius Kambarage ni baba yako mzazi, Wanaukumbi hizi ni bayana ni zake mwenyewe wasije kulia lia kama kawaida yao kuwa Ritz, anafanya Spinning.
Yericko Nyerere, Wanajamvi zaidi ya 200,000 wanataka majibu wafahimishe hao wanajeshi waliopewa vyeo na kazi na wengi walikwenda kuwa mabalozi wa Tanzania nchi za nje...Al Habiby gombesugu, upo ndugu yangu subiri jibu kutoka kwa ndugu yetu swaiba Yericko bin Nyerere.

Shariff Ritz,

Niwie radhi,nimeingia kiduchu tu kuchungulia hapa kwa hishma yako Al Habiby kukwamkua.

Mimi nilishampa ushauri Yericko wiki ilopita,lakini naona nikaonekana mtu mbaya mno ati ikafikia mpaka kusemewa kwa Mfalme Mods na nduguye Chief Invisible!?ahaha!!

Kwa ufupi hiyo/hizo story hapo juu alotoa Yericko;kule Tanga ya mwambao wanaita "Masaguro",pale Unguja wanaita "rogi",na hapo Mzizima wakiita "malimwengu"!ahaha!!

Naona ndugu yetu JokaKuu,kakupa challenge ati umtajie Muislamu mdini yeyote umjuaye wewe!ahaha!!...naona yeye kaanza na Mchungaji Mtikila.

Naona Shariff wewe umejibu hujapata kusikia...mimi ninao kadhaa "Waislamu" ambao ni wadini saana, tena hapahapa
jamvini.

Kwa kuanzia namtaja yule "Muislamu" Dada Ashura,alieletwa hapa jamvini na Muheshimiwa Mag3,kuja kumtukana Sheikh Ponda na ati "kumwambia kweli"!?ahaha!!...nafikiri Wanajamvi wenzetu itakua bado wanamkumbuka uzuri "Muislamu Dada Ashura"!?ahaha!!

Al Akhiy,wacha nikwache maana tuna pahala inalazim tuwahi kwa pamoja as a group.

Nimefurahika mno kukuamkua.

Ahsanta.

Cc;Alhaj Boko Haram
 
Al Habiby gombesugu,

Taendelea kumwaga Basmat wanaukumbi wajipakulie wale mpaka wasaze, ndugu yangu wakati mwingine navunjika mbavu kwa kucheka humu ukumbini.

Kuna kichwa kimoja cha Madrassa Dr Harith Ghassany walahi kinanikosha sana bayana zake siku zote ukweli upo katika upande unaonewa.

Kuna kituko kingine watu wanataka kufananisha SUA na Harvard University ni sawa sawa uzipambanishe RTC Musoma na Real Mardrid hata refa hatoke Tarime hawawezi kushinda. Ha haa haa

Haki ya Mungu hooooooo, Ritz, Unaniita? ndiyo maana unacheka. Umeanza, tarime, kisha SUA kasha umalizie JIKICHWA? ahahahahaha. Usipate shida na maeneo. Mimi na Tarime na Kavirondo kwenye zombies, haileti taabu kihivyo. Infact nakusifu mpaka sasa unafanya kazi nzuri. Mshikaji anaita BAYANA YAKO!!!!! Yaeleka hajui actual source yeye anajua unashusha vitu kiroho mbaya. Kisha kakutwanga LIKE, ilikuwa RIZK yako bwana. ahahahahah. Ama kuhusu SUA usipate shida. Dunia ina watu bilioni 5 wote. hawawezi kwenda kusoma Harvard. Na huko huko Marekani (haswa Silicon Valley-california) miaka ya karibuni wamekuwa wanaajiri sana (brain drain) computer programers toka INDIA na CHINA sio HARVARD au CHICAGO tena!!!!. Pana fumbo hapa.

Nisikusumbue wewe endelea na shughuli. Eti Ritz, utani pembeni Zali vipi jamani? Penality ilikuwa for how long? Mimi I loved our crossfire and the missiles Zali threw at me!!!! Nobody asked for a transfusion.

Ila sheikh wangu, ukishamaliza ku-paste page ya 500 kuna maswali hamjajibu. Labda urudie ku-paste kitabu upya.

Yericko, tafadhali mtunzie Ritz yale maswali hadi amalize anachofanya kwa sasa tusimchanganye (Kwa JKT-anakula shushi). MS asiguswe jamani. HAYUMO. Mzee MS heshima yako bwana!!!!!

cc; Nguruvi, Jokakuu, Mohammed Said, Jasusi, Hassanalis, BigShow
 
Last edited by a moderator:
Shukran;

Nimeishia kuwasoma several fathers of that surname. Haina tatizo thanks whatever the nia was. Baada ya hapo sina nalo lalamikia. wewe ndiye uliyetaka kujua masuala ya Geneva convention yanakuja vipi. Mtiririko ni kama huo. Hakuna lawama humo. Kulikuwa na mapengo ambayo yametumika kutukana watu for so long. It is strange sasa simple questions zinaleta ukimya. Ama kuhusu opinion yako kuhusu content ya maelezo hayo ni haki yako na wala humuudhi mtu.

Connection NA JIKICHWA LA HABARI; ni kuwa ukimuita Nyerere KAVAMIA Zenj maana yake ni kuwa ASP pia walivamiwa, maanake wao sio watanganyika. Ukigwaya kuwaita ASP wavamizi (kwao) kwa vile walimwomba Nyerere msaada, Ni kuwa UNAJIZUIA kuwaita WASALITI. MBELE YA SAFARI UTAJA WAITA WASALITI. NI SUALA LA LINI. Na unapolalama majukwaani kuwa JAMANI huyu ndiye aliyewasaidia bila ya KULALAMIKA PIA KWANINI ASP HAMKUBAKI KWENYE DHULMA ILIYOWAFANYA WAPINDUE ni kwamba wewe ni mchochezi. Link iko hapo.
Ndipo Yericko alipoaanzia UZI HUU.
Na ndio mfano mmoja kati ya mingi sana ya uchochezi.

Panaposemwa kuwa Wamakonde wa Kipumbwi walitumwa na Nyerere bila kuwa na maelezo ya kina nini kilitokea maana yake ni kuleta uchonganisha. Tatizo siyo wamakonde wa Kipumbwi, tatizo ni namna walivyoandaliwa, nani aliwaanda na nani alishirikiana nao.

Historia haiwezi kuanzia kwa Wamakonde tu halafu ikaishia katika mapinduzi tena nchi nyingine.
Hivi inawezekanje Haram ikawa halali baada ya muda fulani?

Hao wznz wanaosema mapinduzi daima lini wamepata uhalali wa kusema hivyo ikiwa hawakushiriki katika dhulma ya Nyerere?

Kukosa majibu kunaeleza mengi zaidi kuhusu hiki kinachoitwa historia.
Wickama hakuna anayekuja na jibu kila mtu anakimbia hoja kilichobaki ni blah blah
Nadhani tukubaliane kuwa hoja zifuatazo hazina majibu.

1. Nani alimuomba mwenzake msaada wa mapinduzi kati ya TANU na ASP
2. Mapinduzi ni halali au ni haram
3. Kwanini wznz waendelee kuenzi mapinduzi haram ya Nyerere
4. Kwanini viongozi wa mapinduzi washirikiane na Nyerere aliyekwenda ''kuua'' ndugu zao

Kwavile hazina majibu kutoka katika historia,jibu zuri ni kuwa huo ni sehemu ya uchochezi tuliouona katika ngano.
Historia ni mtiririko wa matukio ima yakiwa na watu(au vitu) na kwa nyakati.

Hata kama kuna majina milioni ya washiriki, kama haiwezekani kuunganisha vitu hivyo logically, historia hujikana na hujigeuza na kuwa hadithi.

Hadithi si kitu kibaya! ni kitu kizuri sana kwani zipo zenye mafunzo, lakini hadithi siyo historia.

207K hakuna majibu ya hoja, samahani tunaomba mwendelee kufyonza ilm

.
 
Wanajamvi, hapa chini nawakumbusha tu kuhusu serikali aliyoiunda Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofuatia mapinduzi yaliyoutimua utawala wa Kisultani visiwani. Baraza la Mawaziri lililoundwa lilikuwa na wafuatao.

nyerere+baraza+la+mwaziri.jpg

  1. Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President
  2. Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
  3. Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
  4. Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  5. Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  6. Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet's Office.
  7. Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President's Office.
  8. Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  9. Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  10. Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
  11. Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
  12. George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
  13. Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
  14. Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
  15. Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
  16. Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
  17. Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
  18. Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
  19. Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
  20. Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
  21. Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
  22. Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
  23. Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
  24. Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.

Wanajamvi wapendwa wakati huo Mwalimu alipendwa kikweli kweli na Watanzania wote bila kujali dini zao, rangi zao wala kabila zao...sura kwenye hili Baraza la Mawaziri mwaka 1964 ni ushahidi tosha kwamba Watanzania hawakubaguliwa wala kubaguana katika misingi yoyote ile. Mapokezi aliyokuwa anayapata Mwalimu kila alipofanya ziara visiwani hayakuwahi kuwa na mfanowe katika historia ya Zanzibar. Kama alikuwepo Mtanzania mwenye dukuduku lolote ni wale Waislaam wachache walioshindwa kuwashawishi Waislaam wenzao kuwaunga mkono hata kabla ya uhuru walipoanzisha chama cha AMNUT mwaka 1958.

Huu uchochezi tunaoushuhudia hivi leo ulikuja kujitokeza muda mfupi baadaye kutokana na chuki za baadhi ya wazee waliokataliwa katika hila zao za kutwaa madaraka kwa kupitia mgongo wa dini. Njama zilianza kufanyika kutaka kuvuruga umoja wa Watanzania kwa kupandikiza mbegu ya chuki ambayo hadi leo mtoto wa mmoja wa wazee hawa anaiendeleza kama tunavyoshuhudia ndani ya mnakasha huu. Swali la kujiuliza ni hili; hivi hawa Waislaam waliokuwa ndani ya hilo Baraza la Mawaziri kuanzia makamu wawili wa Raisi hadi Waziri wa Sheria walikuwa ni wasaliti kwa wananchi wa Zanzibar na Uislaam?

Je Abeid Karume, Abdulrahman Babu, Kassim Hanga, Amri Abed, Aboud Jumbe, Hasssan Moyo na Idris Abduwakil walikuwa ni wasaliti visiwani Zanzibar? Je Wazanzibari wanayathamini mapinduzi yaliyowaweka hawa madarakani? Je, kwa msingi wa madai ya wachochezi kama Mohamed Said, mapinduzi ya mwaka 1964 yalikuwa haramu? Je Waislam wa bara na visiwani wanawaona hawa kama wasaliti katika Uislaam? Je katika msingi huop huo viongozi wote wa juu wa Jamhuri ya Tanzania ambao wote ni Waislaam, kulingana na uchochezi unaoendelea ni wasaliti katika Uislaam? Je Kikwete, Dr. Bilal, Dr. Shein na Shariff ni wasaliti wa Uislaam?
 
Wickama,

..wasikusumbue hao. wengine ni binamu wa Sultani Jamshid.

..kama ni lawama apewe Muingereza kwa kubakisha utawala haramu wa Sultani.

..wanadai Sultani alikaribishwa na wenyeji kumuondoa Mreno. lakini huo siyo uhalali wa yeye kukaa hapo miaka yote najuu yake kuuza watu weusi Utumwani.

..Tanzania na sisi tulikaribishwa na Waganda kumuondoa nduli Iddi Amini, lakini baada ya kumaliza shughuli hiyo tulifunga virago na kuondoka.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi, hapa chini nawakumbusha tu kuhusu serikali aliyoiunda Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofuatia mapinduzi yaliyoutimua utawala wa Kisultani visiwani. Baraza la Mawaziri lililoundwa lilikuwa na wafuatao.

nyerere+baraza+la+mwaziri.jpg

  1. Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President
  2. Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
  3. Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
  4. Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  5. Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  6. Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet's Office.
  7. Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President's Office.
  8. Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  9. Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  10. Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
  11. Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
  12. George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
  13. Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
  14. Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
  15. Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
  16. Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
  17. Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
  18. Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
  19. Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
  20. Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
  21. Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
  22. Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
  23. Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
  24. Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.

Wanajamvi wapendwa wakati huo Mwalimu alipendwa kikweli kweli na Watanzania wote bila kujali dini zao, rangi zao wala kabila zao...sura kwenye hili Baraza la Mawaziri mwaka 1964 ni ushahidi tosha kwamba Watanzania hawakubaguliwa wala kubaguana katika misingi yoyote ile. Mapokezi aliyokuwa anayapata Mwalimu kila alipofanya ziara visiwani hayakuwahi kuwa na mfanowe katika historia ya Zanzibar. Kama alikuwepo Mtanzania mwenye dukuduku lolote ni wale Waislaam wachache walioshindwa kuwashawishi Waislaam wenzao kuwaunga mkono hata kabla ya uhuru walipoanzisha chama cha AMNUT mwaka 1958.

Huu uchochezi tunaoushuhudia hivi leo ulikuja kujitokeza muda mfupi baadaye kutokana na chuki za baadhi ya wazee waliokataliwa katika hila zao za kutwaa madaraka kwa kupitia mgongo wa dini. Njama zilianza kufanyika kutaka kuvuruga umoja wa Watanzania kwa kupandikiza mbegu ya chuki ambayo hadi leo mtoto wa mmoja wa wazee hawa anaiendeleza kama tunavyoshuhudia ndani ya mnakasha huu. Swali la kujiuliza ni hili; hivi hawa Waislaam waliokuwa ndani ya hilo Baraza la Mawaziri kuanzia makamu wawili wa Raisi hadi Waziri wa Sheria walikuwa ni wasaliti kwa wananchi wa Zanzibar na Uislaam?

Je Abeid Karume, Abdulrahman Babu, Kassim Hanga, Amri Abed, Aboud Jumbe, Hasssan Moyo na Idris Abduwakil walikuwa ni wasaliti visiwani Zanzibar?

Je Wazanzibari wanayathamini mapinduzi yaliyowaweka hawa madarakani?
Je, kwa msingi wa madai ya wachochezi kama Mohamed Said, mapinduzi ya mwaka 1964 yalikuwa haramu?
Je Waislam wa bara na visiwani wanawaona hawa kama wasaliti katika Uislaam?
Je katika msingi huop huo viongozi wote wa juu wa Jamhuri ya Tanzania ambao wote ni Waislaam, kulingana na uchochezi unaoendelea ni wasaliti katika Uislaam?
Je Kikwete, Dr. Bilal, Dr. Shein na Shariff ni wasaliti wa Uislaam?
Nasikitika kona kuwa nimetafuta mstari mmoja nifanye ''spinning'' sikupata. Ni facts tu zinazotamalaki.

Mag3 hayo ndiyo tumeuuliza kwabahati mbaya mleta madai ameshindwa kuthibitisha na kubaki akichungulia hapo chini.
Wapo wanaosema anatupuuza, lakini je hawa 207K wanaosoma ukweli kama huo hapo juu nao ni wa kupuuzwa?

Wengine tumekubali kuwa wamakonde walitoka Kipumbwi ili tuweze kupata jibu huko mbeleni. Tukahojia, je walishinda jioni moja wakaamua wapande dau kwenda znz? Tukaambiwa hizi ni mbinu za Nyerere na yeye ndiye aliyewaanda akishirikana na viongozi wa Tanga.

Yupo mwislam mmoja ambaye Mohamed amemuita ''punda wao' (naomba niulizwe ushahidi).
Huyu alikuwa msaliti ndio maana akiaitwa jina la dhihaka.

Sasa hawa wznz walikubali vipi mapinuzi haram yaliyofanywa na Nyerere na punda wao?
Hata baada ya kujua kuwa zote ni mbinu ovu za Nyerere kwanini walikubai kushirikiana naye?
Hawa akina Babu, Hanga, Nasor Moyo, Karume wao wanaangukia kundi lipi, wanamapinduzi au wasaliti(angalia picha)
Miaka nenda rudi sasa Nyerere hayupo, tunajua wamkonde wa kipumbwi walipelekwa, inakuwaje basi hawa wznz waendelee kushangilia na kusherehekea uovu wa Nyerere?

Miaka 15 watu alikuwa waliaminishwa kuwa Sheikh Amir alifukuzwa tu na Nyerere bila sababu.
Leo tunajua kuwa alkuwa na siasa za pembeni( Ziddy) na alipewa fursa ya viongozi akaikataa.
Alipokuja kutoka unguja na kuwa katika sub political committeehadi uhuru, Amir alitenda jambo jema sana kwa Watanganyika. Vipi basi kama Nyerere alipeleka wamakonde kumuondoa Sultan ionekane ouvu?

Anyway, haya ya Amir tuyaache, hebu tujikite katika hoja zile zinazohitaji majibu.
 
Shukran;

Nimeishia kuwasoma several fathers of that surname. Haina tatizo thanks whatever the nia was. Baada ya hapo sina nalo lalamikia. wewe ndiye uliyetaka kujua masuala ya Geneva convention yanakuja vipi. Mtiririko ni kama huo. Hakuna lawama humo. Kulikuwa na mapengo ambayo yametumika kutukana watu for so long. It is strange sasa simple questions zinaleta ukimya. Ama kuhusu opinion yako kuhusu content ya maelezo hayo ni haki yako na wala humuudhi mtu.

Connection NA JIKICHWA LA HABARI; ni kuwa ukimuita Nyerere KAVAMIA Zenj maana yake ni kuwa ASP pia walivamiwa, maanake wao sio watanganyika. Ukigwaya kuwaita ASP wavamizi (kwao) kwa vile walimwomba Nyerere msaada, Ni kuwa UNAJIZUIA kuwaita WASALITI. MBELE YA SAFARI UTAJA WAITA WASALITI. NI SUALA LA LINI. Na unapolalama majukwaani kuwa JAMANI huyu ndiye aliyewasaidia bila ya KULALAMIKA PIA KWANINI ASP HAMKUBAKI KWENYE DHULMA ILIYOWAFANYA WAPINDUE ni kwamba wewe ni mchochezi. Link iko hapo.
Ndipo Yericko alipoaanzia UZI HUU.
Wickama, Mohamed Said katika moja ya paper zake anasema hivi.
Alipokuja John Garang kuhutubia UDSM alikaribishwa ukumbi wa Nkrumah,ukumbi ambao ni viongozi, wanataaluma na watu mashuhuri wanahutubia. Akasema makamu wa Rais wa Sudan alipelekwa katika vyumba vingine na siyo Nkrumah hall.
Sina hakika ni wapi lakini najua UDSM kuna vi-theatre kama ATB n.k. Huko ukienda utakuta mijadala kila siku na anayetoa mhadhara huko naye anasema katoa mhadhara UDSM. Anayway ilikuwa ni katika kachumbari za mnakasha kama unanifaham.

Nina uhakika wazanzibar waliopoteza ndugu zao katika kujikomboa wakisikia leo wanawekwa katika kundi la wasaliti tena wasaliti wa dini, au wakisikia mapinduzi yaliyochukua roho za ndugu zao ni haram hakika wanajawa na ghadhabu na mtu huyo kikamilifu.
 
Hassanalis,
Kwa Muislam Allah nafasi yake ni ya awal.

Halifanikiwi jambo bila ya kumtanguliza Allah.

Nimekupa jibu la swali lako huko nyuma kwa urefu
sijui vipi umelileta tena swali hilo hilo.
 
Ndugu yangu kipenzi Mohamed Said,

Unajisikiaje ukiona nondo kama hizi hapa chini kisha ukazikimbia?

Wanajamvi, hapa chini nawakumbusha tu kuhusu serikali aliyoiunda Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofuatia mapinduzi yaliyoutimua utawala wa Kisultani visiwani. Baraza la Mawaziri lililoundwa lilikuwa na wafuatao.

nyerere+baraza+la+mwaziri.jpg

  1. Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President
  2. Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
  3. Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
  4. Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President’s Office.
  5. Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President’s Office.
  6. Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet’s Office.
  7. Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President’s Office.
  8. Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President’s Office.
  9. Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President’s Office.
  10. Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
  11. Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
  12. George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
  13. Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
  14. Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
  15. Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
  16. Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
  17. Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
  18. Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
  19. Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
  20. Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
  21. Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
  22. Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
  23. Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
  24. Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.

Wanajamvi wapendwa wakati huo Mwalimu alipendwa kikweli kweli na Watanzania wote bila kujali dini zao, rangi zao wala kabila zao...sura kwenye hili Baraza la Mawaziri mwaka 1964 ni ushahidi tosha kwamba Watanzania hawakubaguliwa wala kubaguana katika misingi yoyote ile. Mapokezi aliyokuwa anayapata Mwalimu kila alipofanya ziara visiwani hayakuwahi kuwa na mfanowe katika historia ya Zanzibar. Kama alikuwepo Mtanzania mwenye dukuduku lolote ni wale Waislaam wachache walioshindwa kuwashawishi Waislaam wenzao kuwaunga mkono hata kabla ya uhuru walipoanzisha chama cha AMNUT mwaka 1958.

Huu uchochezi tunaoushuhudia hivi leo ulikuja kujitokeza muda mfupi baadaye kutokana na chuki za baadhi ya wazee waliokataliwa katika hila zao za kutwaa madaraka kwa kupitia mgongo wa dini. Njama zilianza kufanyika kutaka kuvuruga umoja wa Watanzania kwa kupandikiza mbegu ya chuki ambayo hadi leo mtoto wa mmoja wa wazee hawa anaiendeleza kama tunavyoshuhudia ndani ya mnakasha huu. Swali la kujiuliza ni hili; hivi hawa Waislaam waliokuwa ndani ya hilo Baraza la Mawaziri kuanzia makamu wawili wa Raisi hadi Waziri wa Sheria walikuwa ni wasaliti kwa wananchi wa Zanzibar na Uislaam?

Je Abeid Karume, Abdulrahman Babu, Kassim Hanga, Amri Abed, Aboud Jumbe, Hasssan Moyo na Idris Abduwakil walikuwa ni wasaliti visiwani Zanzibar? Je Wazanzibari wanayathamini mapinduzi yaliyowaweka hawa madarakani? Je, kwa msingi wa madai ya wachochezi kama Mohamed Said, mapinduzi ya mwaka 1964 yalikuwa haramu? Je Waislam wa bara na visiwani wanawaona hawa kama wasaliti katika Uislaam? Je katika msingi huop huo viongozi wote wa juu wa Jamhuri ya Tanzania ambao wote ni Waislaam, kulingana na uchochezi unaoendelea ni wasaliti katika Uislaam? Je Kikwete, Dr. Bilal, Dr. Shein na Shariff ni wasaliti wa Uislaam?
 
Ndugu yangu kipenzi Mohamed Said,

Unajisikiaje ukiona nondo kama hizi hapa chini kisha ukazikimbia?

Yericko,
Mdogo wangu kipenzi huo mfano ulotoa ulikuwa mwaka 1964.

Nakuwekea hapa chini hali ilivyokuwa mwaka wa 1968 wakati wa mgogoro wa EAMWS:

It is from these developments that we can now start tracing and analysing how the government finally moved to subvert Muslim unity through campaigns of intrigue, sabotage, bribery and misinformation against the EAMWS leadership, which it perceived as a threat to its own political domination over the Muslim majority.

The government was now literally in Christian hands.

Apart from Zanzibaris in the union government - A.M. Maalim, Minister of Commerce and Industry; Aboud Jumbe, Minister of State; A.M. Babu, Minister of Lands, Settlement and Water development; Hasnu Makame, Minister of Information and Tourism; Nyerere's right-hand man, First-Vice President Rashid Mfaume Kawawa, the only Muslim minister from the Mainland in the fifteen-man cabinet was Said Ali Maswanya, Minister of Home Affairs.

How could such a situation have arisen? The answer to this question lies in the past history of Tanzania when the first missionaries arrived to ‘civilise the black continent.'

(Kutoka ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 - 1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika.'')
 
Yericko,
Mdogo wangu kipenzi huo mfano ulotoa ulikuwa mwaka 1964.

Nakuwekea hapa chini hali ilivyokuwa mwaka wa 1968 wakati wa mgogoro wa EAMWS:

It is from these developments that we can now start tracing and analysing how the government finally moved to subvert Muslim unity through campaigns of intrigue, sabotage, bribery and misinformation against the EAMWS leadership, which it perceived as a threat to its own political domination over the Muslim majority.

The government was now literally in Christian hands.

Apart from Zanzibaris in the union government - A.M. Maalim, Minister of Commerce and Industry; Aboud Jumbe, Minister of State; A.M. Babu, Minister of Lands, Settlement and Water development; Hasnu Makame, Minister of Information and Tourism; Nyerere’s right-hand man, First-Vice President Rashid Mfaume Kawawa, the only Muslim minister from the Mainland in the fifteen-man cabinet was Said Ali Maswanya, Minister of Home Affairs.

How could such a situation have arisen? The answer to this question lies in the past history of Tanzania when the first missionaries arrived to ‘civilise the black continent.'

(Kutoka ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 - 1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika.'')

Ndugu yangu kipenzi Mohamed Said,

Bado hujaenda sambamba na hii kitu hapa chini!

Wanajamvi, hapa chini nawakumbusha tu kuhusu serikali aliyoiunda Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofuatia mapinduzi yaliyoutimua utawala wa Kisultani visiwani. Baraza la Mawaziri lililoundwa lilikuwa na wafuatao.

nyerere+baraza+la+mwaziri.jpg

  1. Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President
  2. Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
  3. Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
  4. Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President’s Office.
  5. Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President’s Office.
  6. Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet’s Office.
  7. Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President’s Office.
  8. Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President’s Office.
  9. Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President’s Office.
  10. Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
  11. Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
  12. George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
  13. Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
  14. Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
  15. Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
  16. Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
  17. Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
  18. Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
  19. Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
  20. Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
  21. Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
  22. Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
  23. Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
  24. Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.

Wanajamvi wapendwa wakati huo Mwalimu alipendwa kikweli kweli na Watanzania wote bila kujali dini zao, rangi zao wala kabila zao...sura kwenye hili Baraza la Mawaziri mwaka 1964 ni ushahidi tosha kwamba Watanzania hawakubaguliwa wala kubaguana katika misingi yoyote ile. Mapokezi aliyokuwa anayapata Mwalimu kila alipofanya ziara visiwani hayakuwahi kuwa na mfanowe katika historia ya Zanzibar. Kama alikuwepo Mtanzania mwenye dukuduku lolote ni wale Waislaam wachache walioshindwa kuwashawishi Waislaam wenzao kuwaunga mkono hata kabla ya uhuru walipoanzisha chama cha AMNUT mwaka 1958.

Huu uchochezi tunaoushuhudia hivi leo ulikuja kujitokeza muda mfupi baadaye kutokana na chuki za baadhi ya wazee waliokataliwa katika hila zao za kutwaa madaraka kwa kupitia mgongo wa dini. Njama zilianza kufanyika kutaka kuvuruga umoja wa Watanzania kwa kupandikiza mbegu ya chuki ambayo hadi leo mtoto wa mmoja wa wazee hawa anaiendeleza kama tunavyoshuhudia ndani ya mnakasha huu. Swali la kujiuliza ni hili; hivi hawa Waislaam waliokuwa ndani ya hilo Baraza la Mawaziri kuanzia makamu wawili wa Raisi hadi Waziri wa Sheria walikuwa ni wasaliti kwa wananchi wa Zanzibar na Uislaam?

Je Abeid Karume, Abdulrahman Babu, Kassim Hanga, Amri Abed, Aboud Jumbe, Hasssan Moyo na Idris Abduwakil walikuwa ni wasaliti visiwani Zanzibar? Je Wazanzibari wanayathamini mapinduzi yaliyowaweka hawa madarakani? Je, kwa msingi wa madai ya wachochezi kama Mohamed Said, mapinduzi ya mwaka 1964 yalikuwa haramu? Je Waislam wa bara na visiwani wanawaona hawa kama wasaliti katika Uislaam? Je katika msingi huop huo viongozi wote wa juu wa Jamhuri ya Tanzania ambao wote ni Waislaam, kulingana na uchochezi unaoendelea ni wasaliti katika Uislaam? Je Kikwete, Dr. Bilal, Dr. Shein na Shariff ni wasaliti wa Uislaam?
 
Shariff Ritz,

Niwie radhi,nimeingia kiduchu tu kuchungulia hapa kwa hishma yako Al Habiby kukwamkua.

Mimi nilishampa ushauri Yericko wiki ilopita,lakini naona nikaonekana mtu mbaya mno ati ikafikia mpaka kusemewa kwa Mfalme Mods na nduguye Chief Invisible!?ahaha!!

Kwa ufupi hiyo/hizo story hapo juu alotoa Yericko;kule Tanga ya mwambao wanaita "Masaguro",pale Unguja wanaita "rogi",na hapo Mzizima wakiita "malimwengu"!ahaha!!

Naona ndugu yetu JokaKuu,kakupa challenge ati umtajie Muislamu mdini yeyote umjuaye wewe!ahaha!!...naona yeye kaanza na Mchungaji Mtikila.

Naona Shariff wewe umejibu hujapata kusikia...mimi ninao kadhaa "Waislamu" ambao ni wadini saana, tena hapahapa
jamvini.

Kwa kuanzia namtaja yule "Muislamu" Dada Ashura,alieletwa hapa jamvini na Muheshimiwa Mag3,kuja kumtukana Sheikh Ponda na ati "kumwambia kweli"!?ahaha!!...nafikiri Wanajamvi wenzetu itakua bado wanamkumbuka uzuri "Muislamu Dada Ashura"!?ahaha!!

Al Akhiy,wacha nikwache maana tuna pahala inalazim tuwahi kwa pamoja as a group.

Nimefurahika mno kukuamkua.

Ahsanta.

Cc;Alhaj Boko Haram

Gombesugu,

Mtikila, Mtikila, Mtikila...
Hebu Insha Allah angalia haya hapa chini:

Soon opposition to Mwinyi's rule within his cabinet and ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) surfaced into the open. Joining in this anti - Mwinyi anti Muslim campaign was the newly established free press controlled by the Christian lobby.

In the Christian camp one person who was been able to unite all Christians in their subtle opposition to Mwinyi was the self proclaimed Reverend Christopher Mtikila, Head of Full Salvation Church and Chairman of Democratic Party. [1] In a daring and dramatic encroachment of the Church into politics, the Tanzania Press Club hosted Reverend Christopher Mtikila.

In that press luncheon of the Tanzania Press Club Mtikila attacked Mwinyi's government as being corrupt echoing Nyerere's speech delivered in February that year.
[2]

Mtikila was not a new name in this anti- Mwinyi campaign. In 1987 during the CCM-NEC conference in Dodoma he distributed a document, which among many allegations to Mwinyi he accused him of supporting “Muslim fundamentalism”[3] and slotting Muslims into important positions in his government.

In reality Muslim cabinet ministers were negligible and Muslim principle secretaries non-existing. Mwinyi like his predecessor Julius Nyerere ignored Muslims’ call for rectifying this imbalance.

The Church should have raised to condemn Reverend Mtikila but it did not do so instead Catholic Bishops of Tanzania through the Tanzania Episcopal Conference (TEC) began to issue what came to be known as‘Pastoral Letters’which were very critical of Mwinyi's rule accusing his government of every ill in the country from incompetence to corruption.[4]

Nyerere also joined in attacking Mwinyi accusing him of religious bigotry. [5]

The Pastoral Letters and Nyerere’s views were echoed by the media and state-radio.

The Pastoral Letters were the last straw, which broke the camel's back.

It was now evident that the Catholic Church was mixing politics with religion to the detriment of the state, the aim which was to destabilise President Mwinyi and undermine his confidence.

During the struggle for independence when Muslims were in control of politics they never allowed Nyerere to be humbled by dissident Muslims. Sheikhs always rose up in unison to defend and protect the political system from religious sentiments.

Such patriotism was not forthcoming from neither from the Church or from Nyerere.

President Mwinyi did not help the situation because whenever he talked about the problem of religious conflict in the country, his speeches were vague, middle of the road type.

He eluded pointing at the source of the problem for fear of aggravating the already volatile situation even further.[6]

The government paper would report a typical speech by Mwinyi that he has declared war on agitators and the disgruntled. It would be reported that those ‘few misguided’ would not be allowed to divide the nation along religious lines.
[7]

And by the ‘agitators’ and the ‘disgruntled’ Mwinyi meant Muslims.

On the other hand Muslims insisted that the agitation against the Christian dominated government was not directed towards Christianity nor were Muslims struggling to establish ‘sharia’ in Tanzania.

However the problem of religious conflicts was treated as a case of few misguided Muslim fundamentalists financed by external forces[8] and was on the rise due to Mwinyi's weakness.

Muslims kept on repeating that they were agitating against discrimination by the government. Their cry fell on deaf ears. The danger signs were on the wall for all to see and take heed.

But all said and done the government was not yet ready to face the realities much as the Christian lobby was not yet ready to accept a Muslim president least of all a Muslim from Zanzibar.[9]

[1] For more information see MSAUD paper, “Vita vya Mchungaji Mtikila Dhidi ya Uislam,” 3 February, 1993. Also Rev. C. Mtikila kwa Mwenyekiti Kamati ya Masuala ya Dini Nchini FSC/ADM/370 27 April, 1989.

[2]Business Times, 22 June 1990.

[3] The Reverend openly declared his mission as that of defending Christianity against Islam. Mtikila’s DP manifesto is to break the union between Zanzibar and Tanganyika and to expel Arabs, Somalis and Indians from the country. Conspicuously absent from his expulsion list were Europeans. In his many speeches Mtikila has shown outright contempt to religious tolerance, the union and the ideals of multi-racial society. Strange enough the state-radio provided airtime for the Reverend. At that time more than ten private newspapers under Christian ownership were in circulation and Muslims had nothing. The Christian monopoly in politics and in the media contributed into fuelling religious tension because of its anti- Muslim stand. The press picked on Muslims ministers scandalising them at will. Muslims in the governments were accused by the press for all sorts of offences from ‘praying in their offices’ to ‘selling the country to rich Arab Sheikhs’ from the Middle East. Even the vocabulary had to change. People began to be refereed to by the colour of their skins. The press began to identify people as ‘Arabs’, ‘Indians’ and ‘indigenous Africans’ reminiscent of colonial days; with the exception that during colonialism Africans were then refereed to as ‘natives.’

[4] Al-Markaz Sheikh Suleiman Takadir, “Barua ya Kisiasa ya Maaskofu: Maaskofu Wana Nafasi Gani Katika Serikali ya Nchi Hii.”

[5] Kiongozi, 1-15 January, 1994.In a press conference Nyerere warned of the dangers of to the nation of mixing politics and religion, castigating those who mix the two as “conmen,” and “politically bankrupt.” Baraza Kuu unofficial mouthpiece An-nuur attacked Nyerere in no uncertain terms accusing him of abusing his privilege as president during his 24 years reign as president to subvert Islam. The attack was so fierce and convincing that from that time Nyerere avoided being engaged in discussing Muslim-Christian relations in the country.

[6] The ruling party also was responsible for creating religious tension not so much by ignoring Muslim grievances but by meddling into them. On several occasions CCM had organised seminars purported to create understanding between the government, party and religious leaders on topics the government thought needed participation and support of religious leaders. Whereas these seminars were not a problem to the Church, they posed fundamental problems to Muslims. In reality these seminars were organised as a way to try and subjugate basic teachings of Islam. Between 1988 and 1989 CCM organised two seminars on population control. These seminars funded from Christian powers in Europe had a hidden agenda incompatible with Islam. The party handpicked sheikhs were invited to these seminars. The inclusion of sheikhs had to effects, first it was meant to improve the image of government in the eyes of Muslims and second, the inclusion of sheikhs was to act as rubber stamps to whatever decisions passed.

[7]Daily News, 9 November, 1989.

[8] At the international level the Church wanted the world to believe that the problem was not Islam but “Muslim fundamentalists.” While visiting Tanzania the Archbishop of Cantebury Dr. George Leonard Carey warned the country of “Muslim fundamentalists” as a danger to peace. Likewise in a special synod held in Rome on Islam, the Catholic Church singled out “Muslim fundamentalism” as its greatest challenge.

[9] The Church also tried to improve its relations with Muslims. The Catholic Church made arrangements with a mediocre Muslim organisation, (BALUKTA) Tanzania Council of Qur’an Reading and the Church was able to present to Muslims the Pope’s message to mark the 25th anniversary of the World Peace Day. The message was delivered by Pope’s ambassador to Tanzania, Monseigneur Agostino Machetto and the Secretary of the Apostolic, Father Gabriele Gaccia and Peter Smith, an expert propagandist and resource person in Muslim-Christian affairs in the Catholic Church. The message was received on behalf of Muslims by Tewa Said Tewa and Sheikh Yahya Hussein BALUKTA’s secretary and chairman respectively. [9] It is not difficult to understand why the Catholic Church could not dare come out openly and deliver Pope’s message of peace to BAKWATA. Amidst all this politicking Prof. Malima stood firmly behind President Mwinyi.
 
Back
Top Bottom