Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wanajamvi wakati AA na TAA ikiwa under serious scrutiny nawarudisha kwenye Mapinduzi ya Zanzibar kidogo.
Mnakumbuka Mohamed Said alileta vipande viwili na kimoja ni hicho hapo juu kama majibu japo hayakuwa majibu.

Wickam aliomba reference na haraka Mohamed akaomba radhi kuwa hawaweza kutoa hizo reference.
Ikumbukwe kuwa suala la Kipumbwi si geni na amelishaliandikia na kuslisema sana huko nyuma. Kwahiyoo excuse ya kuwa source ni siri ima kwa kuzuia uandishi unaoendelea kama upo au kumkinga mtu si kweli na haina mashiko.

Nimeleta vkpengele hivyo kwasababu ukisoma kwa makini sana hiyo ni 'self quote' na hakuna mahali Mohamed amenukuu. Ni kawaida ya yeye kuji-quote na kusema ni reference. Narudia tena hiyo ni "self-quote''

Soma nukuu nambari moja between he lines kuna kitu kipo hapo ambacho kinaonyesha maandiko aliyonukuu si siku nyingi, pengine ni ya jana.

Natoa changamoto kwa Mohamed Said kufanya haya
Asitaje jina la mtu wala makala, kitabu, gazeti au paper na asitaje title.
Na wala asitaje mwaka, tunamuomba atoe muda (range) kwamba maneno hayo yalisemwa kati ya (mfano 1976-1986) basi

Kinyume chake iliombe radhi jamvi!

Muheshimiwa Nguruvi3,

Salaam ndugu yangu. Bado nakufuatilia bayana zako kwa makini.

Tafadhali/tafadhalini,muombeni Yericko Nyerere(kama apendavyo kujiita) atupatie sources ya Informations/statistics zake zoote hapa jamvini. Khasa tukianzia na ile khutba ya ufunguzi wake wa mada/shutuma hizi tunazozijadili kwa kina hapa jamvini.

Mengineyo yoote anayojadili au kupingana nayo hapa,lazim pia atupatie sources zake zoote. Haiyumkiniki tu kiwavi fulani akurupuke na kudai kitu fulani ni urongo au haikua vile,au kama anavyopenda kutumia neno "hakuna mantiki/logic" ,na utumbo wake mwingineo mwingi mno...

Kwa sasa inalazim tujue/atutajie hizo hoja zoote anazopinga ni kwa kutumia kigezo/sources zipi!? Au nayeye pia anatumia tu hisia na opinions zake,huku akishangiliwa!?ahaha!!

Kama kuna vitabu vyoyote,Articles,manuscripts,majina ya Historians na mengineyo mengi mno tunaomba aorodheshe hapa.

Lau kama pia alikhadithiwa naye na hao Wazee wenu huko Mikoani/kijijini atokeako au hata web- links/site na mengineyo mengi mno. Au kama kuna baadhi ya vitu/mambo yalitokea nae alikuwapo au alishuhudia enzi hizo,pia tutafurahika kuyapokea toka kwake.

Natumai ombi langu hili chechefu,utalizingatia kwa makini ndugu yangu na kuhakikisha utekelezwaji wake...kwa hishma ya kitaaluma ya Wanajamvi soote.

Niwie radhi kama kuna lolote nimenena kwenye huo uchechefu wangu,nawe labda limekukera au hukupendezwa nalo.

Ahsanta sana.

Cc;Shariff Ritz,Al Khalifa The Big Show,JokaKuu,Talib Boko Haram,Barubaru
 
Yericko; Ahsante; Nimeshatukanwa kwa kusema nilisoma somewhere kuwa Governor Cameron ndiye chimbuko la AA. Hawa wakina Matola na Sykes walikuwa Office bearers kama alivyoeleza Nicholas na Nguruvi. Sio founders. It is all clear Now. Shukran. Na ndio maana waliingia civil servants.

Hakuna aliyekutukana kama kuna tusi ripoti kwa Mods.

Naona maandiko ya Yericko Nyerere, Mag3, Nguruvi3, kwako wala hauitaji source yeyote unameza kama mamba lakini maandiko ya Mohamed Said, unataka source na povu linakutoka mpaka unawasemea wafuatiliaji wa huu mnakasha 100% ha ha haa.
 
Last edited by a moderator:
Ritz;
1. siwajui kina Sykes kama wewe na sioni tija;
2. aliyeeleeza mkasa mkasa wa nyumba ya Cameron ni Nguruvi forward malalamiko yako kwake;
3. AA na Sir Cameron nimesema awali vinaninipa matatizo kuelewa nikaomba msaada kwa nayaejua. Nicholas na Nguruvi wakajitokeza, wewe ulikaa kimya. Huna haki la lawama.
4. Ni kweli tarime ni nyumani kama vile Sykes kwao ni afrika kusini. Kama inakupa shida natanguliza pole zangu.
5. Mwisho nikiri kuwa sijajaliwa kipaji cha kuaga wanangu nyumbani kuja kutukuza na kutumikia mtu mwingine ONLINE tena mwenye username na password yake mahali kama JF!!! Tarime hatulelewi hivyo.

Chuki zako zina umri na wala hazitakufaa kitu. Weka mada, naona hu-paste tena Kwaheri Uhuru.....

Wickama,

Niwie radhi ndugu yangu kuingilia haya majadilano yenu na nduguyo Shariff Ritz.

Wala hapa sina upande,lakini nipa fursa kufanza marekebisho kiduchu hapo ulipotia nambari 4/BOLD.

Sykes family nyumbani kwao saana tena saana ni hapo hapo Tanganyika/Tanzania kule Zululand ni asili yao tu...kama ilivyo kwa Watanganyika wengi mno wenye asili ya sehemu au mataifa mengine akiwemo Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa".

Nafurahi umenisikiza kwa hicho kijiuchechefu changu kiduchu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
Muheshimiwa Nguruvi3,

Salaam ndugu yangu. Bado nakufuatilia bayana zako kwa makini.

Tafadhali/tafadhalini,muombeni Yericko Nyerere(kama apendavyo kujiita) atupatie sources ya Informations/statistics zake zoote hapa jamvini. Khasa tukianzia na ile khutba ya ufunguzi wake wa mada/shutuma hizi tunazozijadili kwa kina hapa jamvini.

Mengineyo yoote anayojadili au kupingana nayo hapa,lazim pia atupatie sources zake zoote. Haiyumkiniki tu kiwavi fulani akurupuke na kudai kitu fulani ni urongo au haikua vile,au kama anavyopenda kutumia neno "hakuna mantiki/logic" ,na utumbo wake mwingineo mwingi mno...

Kwa sasa inalazim tujue/atutajie hizo hoja zoote anazopinga ni kwa kutumia kigezo/sources zipi!? Au nayeye pia anatumia tu hisia na opinions zake,huku akishangiliwa!?ahaha!!

Kama kuna vitabu vyoyote,Articles,manuscripts,majina ya Historians na mengineyo mengi mno tunaomba aorodheshe hapa.

Lau kama pia alikhadithiwa naye na hao Wazee wenu huko Mikoani/kijijini atokeako au hata web- links/site na mengineyo mengi mno. Au kama kuna baadhi ya vitu/mambo yalitokea nae alikuwapo au alishuhudia enzi hizo,pia tutafurahika kuyapokea toka kwake.

Natumai ombi langu hili chechefu,utalizingatia kwa makini ndugu yangu na kuhakikisha utekelezwaji wake...kwa hishma ya kitaaluma ya Wanajamvi soote.

Niwie radhi kama kuna lolote nimenena kwenye huo uchechefu wangu,nawe labda limekukera au hukupendezwa nalo.

Ahsanta sana.

Cc;Shariff Ritz,Al Khalifa The Big Show,JokaKuu,Talib Boko Haram,Barubaru

Waalahi ndugu yangu gombesugu, mbona wataka kuchefua ukumbi leo miezi sita hakuna hata siku moja watu waliomba source yeyote wao ni kumeza kama mamba ha ha haa.

Yericko akiandika utumbo au pumba zozote utasikia Yericko ahasante, ha haa haa hakuna kuhoji lakini habari za wamakonde wa kipumbwi wanakuwa wakali mpaka wanatoa na % za wasomaji ha ha haa.
 
Shariff Ritz,

Unajua kwa kitambo kingi hawa jamaa tumewafanzia staha nyingi mno kwa makhanatha yao...lakini kama dasturi yao wanaleta dharau,kashfa tashtit...lakini tunajua wamerithi toka kwa yule Baba yao "Baba wa Taifa".

Huu mnakasha hauna lolote ni vishindo vya darini tu ambavyo mara zoote huishia sakafuni!ahaha!!

Kwa kifupi kabla hatujaanua jamvi hili bovu na chafu saana na kwenda kutandika jamvi jengine ili tupate Ilm zaidi toka kwa kipenzi chetu Sheikh Mohammed...inalazim jamaa sasa watupatie sources zao zoote kwa kina ili nasi tufanze unyambulisho wetu wa ki-Madrassa/summarize,huku tukiwaacha wao wakiendelea kutukana!ahaha!!

Ahsanta.
 
Yericko; Ahsante; Nimeshatukanwa kwa kusema nilisoma somewhere kuwa Governor Cameron ndiye chimbuko la AA. Hawa wakina Matola na Sykes walikuwa Office bearers kama alivyoeleza Nicholas na Nguruvi. Sio founders. It is all clear Now. Shukran. Na ndio maana waliingia civil servants.

Mohamed Said amejitahidi sana kuubadili ukweli na kuweka uogo,

Lakini ukweli unatabia moja tu, husimama wima!

Mungu aisaidie jf iendelee kuwepo!

Hakika tumeweka wazi ukweli wa mambo na dunia sasa inajua kweli huo!
 
Wickama,

Niwie radhi ndugu yangu kuingilia haya majadilano yenu na nduguyo Shariff Ritz.

Wala hapa sina upande,lakini nipa fursa kufanza marekebisho kiduchu hapo ulipotia nambari 4/BOLD.

Sykes family nyumbani kwao saana tena saana ni hapo hapo Tanganyika/Tanzania kule Zululand ni asili yao tu...kama ilivyo kwa Watanganyika wengi mno wenye asili ya sehemu au mataifa mengine akiwemo Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa".

Nafurahi umenisikiza kwa hicho kijiuchechefu changu kiduchu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz

Al Habiby gombesugu,

Mie bahati nzuri nimepita kote huko Tarime, Serengeti, Sirari, Bunda, Shirati, Rorya, hawa wote asili yao ni Kenya, hakuna hata Mtanganyika.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

Embu tujipe mfano ya hapo "kwetu" Tanganyika kiduchu;angalia jinsi ndugu zetu Wagogo na Wahehe jinsi walivyokua wakionekana duni na kunyanyaswa pita kiasi na bila ya sababu zozote kwa miaka mingi mno.

Nakumbuka wengi wao walikua ndo wasaidizi wa kwenye majumba mengi hapo D'Salaam na waajiiriwa wa kwenye mashamba viunga vya watu walikokua wakijimudu. Kazi zoote za kipumbavu zamani walikua wakifanza/kufanzishwa wao .

Cc;Ritz

Ebana eeh hao walikuwa dini gani?

Ehuuu!!!!!! Loo salaleeeeeee. Unafiki kweli kitu kibaya sana, sasa hii ndiyo nini tena mbona unamvua nguo mwalimu wako hadharani? Naona umeamua kumaliza mjadala sasa. Hiki si ndiyo anachoambiwa Saidi kila siku kwamba shida kwa watanzania ni kwa kwa wote lakini yeye kakazania ni watu wa dini yake tu! Amekwenda Ibadan, Northwestern, Berlin kueleza hayo na ametunga na vitabu na pepa kibao kutetea hiyo "currency" yake halafu kijana unamuumbua mchana kweupeeeeeeeeee!!!!!!! hahahahaha ahahahaha ahahahah ahahahah!
 
Yale yale matatizo ya (Neuroplasticity) unaongea wewe unacheka wewe, vipi leo hauna matusi mapya.
 
Ndugu yangu

Wasamehe hao hawajui watendalo!
 
Sijui ni kwanini watu hawasomi na kuelewa point ya mtu.
Nadhani ni kwasababu wanaongozwa na hasira na jazba.

Niliposema Mohamed Said amejinukuu nina maana kuwa yeye anasema kuna source.
Mimi nasema hakuna source ya info zake isipokuwa source ni yeye kujinukuu na anadanganya kuwa kuna anonymous source. Angesena source ni yeye kusingekuwa na tatizo, tatizo ni kujikweza na kukweza jambo kama kawaida yake

Sasa hapa simwombi alete source ninachotaka ni kumdhihirishia kuwa yeye anadanganya jamvi kwa kusema zile taarifa za Zanzibar kuna mahali amezitoa na hapo ndipo hoja ilipo. Aliogopa kujinukuu akasingizia kuna source.

Ukinisoma nimesema hatuhitaji ataje jina, paper, kitabu, source au chochote bali atupe muda kazi hiyo ilipofanyika kwa range (1950-1970) basi

Hoja hapa si yeye aweke nukuu, hoja ni kuwa amejinukuu! hilo pia si tatizo, tatizo ni pale anapotaka kulifanya jamvi liamini kuwa hizo ni habari nyeti sana kutoka karika source maalumu huku tukijua kuwa ni yeye binafsi.
Muongo mkubwa huyu mzee na sijui urongo unamsadiia nini.

Naomba mnielewe hoja si yeye kuleta source, hoja ni kuwa anajifanya ana vyanzo muhimu sana ili kufunga akili zatu waamini kile anachokisema wakati tunafahamu kuwa ni maneno yake ametunga halafu anasema yametoka katika source.

Lengo ni kuonyesha kuwa haaminiki, hana credibility na hiyo ni tip of ice...
Narudia tena habari ya znz aliyonukuu ni yake personal hana source, I can prove it kwa maandishi na hoja zake.
 
Yale yale matatizo ya (Neuroplasticity) unaongea wewe unacheka wewe, vipi leo hauna matusi mapya.
tatizoo lako ni uwezo mdogo wa kuelewa na kuanalyze mambo! Eti na wewe unaronga kimombo wakati hata kiswahili hujamudu kukiandika. Halafu naona kila nikiandika lazima ukurupuke vpi huwa unatekenyeka ukiona maandishi yangu? just be honest.
 
Hakuna kitu kibaya kama utumwa wa kiakili kwa hiyo wewe unaona kimombo ni hatari sana, ha haa haa, nina kasuku watano nyumbani wote wanaongea kiingereza pamoja na mbwa wangu wawili.

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni kwanini watu hawasomi na kuelewa point ya mtu.
Nadhani ni kwasababu wanaongozwa na hasira na jazba.

Niliposema Mohamed Said amejinukuu nina maana kuwa yeye anasema kuna source.
Mimi nasema hakuna source ya info zake isipokuwa source ni yeye kujinukuu na anadanganya kuwa kuna anonymous source. Angesena source ni yeye kusingekuwa na tatizo, tatizo ni kujikweza na kukweza jambo kama kawaida yake

Sasa hapa simwombi alete source ninachotaka ni kumdhihirishia kuwa yeye anadanganya jamvi kwa kusema zile taarifa za Zanzibar kuna mahali amezitoa na hapo ndipo hoja ilipo. Aliogopa kujinukuu akasingizia kuna source.

Ukinisoma nimesema hatuhitaji ataje jina, paper, kitabu, source au chochote bali atupe muda kazi hiyo ilipofanyika kwa range (1950-1970) basi

Hoja hapa si yeye aweke nukuu, hoja ni kuwa amejinukuu! hilo pia si tatizo, tatizo ni pale anapotaka kulifanya jamvi liamini kuwa hizo ni habari nyeti sana kutoka karika source maalumu huku tukijua kuwa ni yeye binafsi.
Muongo mkubwa huyu mzee na sijui urongo unamsadiia nini.

Naomba mnielewe hoja si yeye kuleta source, hoja ni kuwa anajifanya ana vyanzo muhimu sana ili kufunga akili zatu waamini kile anachokisema wakati tunafahamu kuwa ni maneno yake ametunga halafu anasema yametoka katika source.

Lengo ni kuonyesha kuwa haaminiki, hana credibility na hiyo ni tip of ice...
Narudia tena habari ya znz aliyonukuu ni yake personal hana source, I can prove it kwa maandishi na hoja zake.

Maandishi ya Yericko Nyerere, mbona hauitaji source? ha haa haaa Wewe ni daraja tu kwa Mohamed Said, kuwafikia wanaukumbi, JF ikizimika masikini na wewe unazimika.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

Salaam ndugu yangu. Hatujazungumza kitambo.

Nilikua nachungulia kiduchu asubuhi hii hapa jamvini ndo nimekumbana na hii bayana yako.

Takriban mara zoote napenda mno ustaarabu unaotumia katika maandishi yako.

Hayo uloandika ni vyema,khasa tukizingatia yakuwa umekiri yakuwa ni mtazamo wako binafsi.

Nafikiri tunachopingana mimi nawe ni hiyo "description yako" ya ASP kwamba kilikua ni chama cha "WaAfrika".

Hapo ndo inarejea tena ile Race Issue, hii kitu ni very complicated/complex dunia nzima...na kwa siasa za Zanzibar ni mpaka kesho inasababisha utata/mzozo fulani kiduchu.

Nafikiri kwa mtazamo wako kama sikosei,huyo Mohammed Shamte wewe unamuona ni "Mwarabu"!?...hakuna mwarabu yeyote duniani aitwae Shamte,hayo ni majina yenye asili ya ndugu zetu Wandengereko!

Ule wakti pale Zanzibar ilikua ni Class and/or Political struggle,japo inawezekana pia yakuwa Racism/discrimination ili-play part kwa kiasi fulani.

Huu udhaifu upo pahala pengi,takriban pote duniani au kwenye societies nyingi mno ndugu yangu.

Embu tujipe mfano ya hapo "kwetu" Tanganyika kiduchu;angalia jinsi ndugu zetu Wagogo na Wahehe jinsi walivyokua wakionekana duni na kunyanyaswa pita kiasi na bila ya sababu zozote kwa miaka mingi mno.

Nakumbuka wengi wao walikua ndo wasaidizi wa kwenye majumba mengi hapo D'Salaam na waajiiriwa wa kwenye mashamba viunga vya watu walikokua wakijimudu. Kazi zoote za kipumbavu zamani walikua wakifanza/kufanzishwa wao maskini,na wala mimi sikuwaona hao "makatili wa kiarabu" kuhusika hapo!?ahaha!!

Kuna mengi mno ya kunena,lakini nafikiri ni uzuri tuaachilia kwa hapo.

Takupa mfano mwingine kiduchu;hivi unafikiri mpaka leo hii huyo "jamaa wa Ngaramtoni",kwa jinsi ninavyomsoma hiyo attitude na arrogance yake atathubutu kweli kupokea posa ya ndugu yake wa kigogo/Mgogo toka Mpwapwa hata kama ni Mkristo/Mkatoliki mwenzie!?

Nimejiepusha makusudi kutaja Muislamu au Mtu wa Mwambao...maana najua huyo jamaa ana allergy na Watu hao!ahaha!!

Nachelea tusirejee tena kulekule tutokeako,maana huu mnakasha najua hautokwisha asilan. Tunajua kuna baadhi hapa Jamvini wangependa usishe asilan ili kuendeleza maslahi yao binafsi!

Nimependa umenikubalia kunisikiza huo uchechefu wangu japo kiduchu.

Ahsanta.

Cc;Ritz
gombesugu,

..basi tukubaliane tu kwamba Znz kulikuwa na "mpasuko."

..vyovyote vile utakavyoamua kuuita "mpasuko" huo kama ni uarabu vs uafrika, au mabwanyenye vs wanyonge, au mabwana vs watwana, etc etc vyote ni sawa tu.

..mimi ninachosisitiza kwamba kulikuwa na tatizo/"mpasuko" ndani ya jamii ya wa-Znz, na hicho ndicho kilichopelekea mapinduzi yale kutokea.

..kwa mtizamo wangu, wa-Znz wengi wako ktk denial. wanajaribu kila njia kuonyesha kwamba kulikuwa hakuna tatizo lolote lile "internal"; kwamba mapinduzi na ukatili ulioyafuatia, umetokana na fitina za watu wa nje.

..ndugu yangu, kuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyajadili kama wa-Tanzania/wa-Tanganyika ikiwa utapenda. tatizo ni kwamba kuna "vichwa maji" wameiteka jamii yetu na kila jambo wanataka kutumbukiza masuala ya udini.

..umewataja ndugu zetu Wagogo, Wahehe, etc etc. sasa hawa tukitaka kuzungumza nao, au hata kuwapa "ukweli mchungu," basi tuna watani wao wanaweza kutusaidia.

..Kwa kweli wa-Tanzania/wa-Tanganyika tusipokuwa makini tunaweza kuisambaratisha nchi kwa haya masuala ya udini-udini. mimi nadhani tufike mahali kila mtanzania/Mtanganyika ajisaili kama matendo yake, na matamshi yake, haswa linapokuja suala la dini/imani, yanaijenga, kuilinda, na kuihifadhi, jamii yetu.

cc: Nguruvi3, Mag3, Wickama, Ritz, THE BIG SHOW, Yericko Nyerere, Jasusi
 
Last edited by a moderator:
Hakuna aliyekutukana kama kuna tusi ripoti kwa Mods.

Naona maandiko ya Yericko Nyerere, Mag3, Nguruvi3, kwako wala hauitaji source yeyote unameza kama mamba lakini maandiko ya Mohamed Said, unataka source na povu linakutoka mpaka unawasemea wafuatiliaji wa huu mnakasha 100% ha ha haa.

1. wewe sio msemaji wala katibu muhtasi wa mzee MS, hiyo ni point ndogo sana aliyoweza yeye kuisema, na anajua kwanini nilimjibu kwa vile aliahidi nini. Kuwa kitabu au papers ataweka lakini sio aliyopewa na wasiri wake. Nimemuuliza MS aliyoyaandika yanaangukia katika kundi lipi, hajibu wewe tayari.

So What are You?

Povu walijua?
 
Unajua maana ya forum? Kama ulikuwa unataka kujibiwa na Mohamed Said, peke yake ungemuandikia PM.

Povu linazidi kukutoka.
 
Last edited by a moderator:
Wickama,

Niwie radhi ndugu yangu kuingilia haya majadilano yenu na nduguyo Shariff Ritz.

Wala hapa sina upande,lakini nipa fursa kufanza marekebisho kiduchu hapo ulipotia nambari 4/BOLD.

Sykes family nyumbani kwao saana tena saana ni hapo hapo Tanganyika/Tanzania kule Zululand ni asili yao tu...kama ilivyo kwa Watanganyika wengi mno wenye asili ya sehemu au mataifa mengine akiwemo Nyerere a.k.a "Baba wa Taifa".

Nafurahi umenisikiza kwa hicho kijiuchechefu changu kiduchu.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz

Shukran Gombesugu; Point yako imeeleweka. Kuna Baunsa anamkimbia NICHOLAS. Huko kakutana na swaga za saizi yake.Kaumbuka kiroho mbaya kabakia mdogo. Sasa anavinjari kanda ya ziwa. hahhahahahahah. Ngoja nimpe nakala Nicholas just in case

cc Nicholas (kwa taarifa)
 
Back
Top Bottom