Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Yericko,
Hapana ugomvi wala usihamaki eleza yako nami nitaeleza yangu:
Msikilize Ally Sykes anazungumza mambo yalivyokuwa 1947.

Ally Sykes kadi yake ya TANU ni namba 2 namba moja ni ya baba yako
na aliyemwandikia alikuwa Ally Sykes na kadi namba 3 ni ya kaka yake
Abdulwahid Sykes.

Msikize hapa chini:

It was at the Central Hotel that I came to meet Jomo Kenyatta, Bildad Kaggia, Tom Mboya, W.W. Awori and other Kenyan nationalists.

I used to talk about my father and what he was doing in Tanganyika to further many issues of African interests.

Mboya
was a keen listener and he used to urge me to return back home and help in the struggle.

I also received many letters from Abdulwahid asking me to come home. He told me in his letters that the struggle against the British had begun.

I knew I had to get back home and join the struggle or I would miss an important opportunity to play a role in the history of my country.

Following persistent letters from my father asking me to come home I had to leave Nairobi and return home.

When I left Nairobi to return home in 1948 I was 21 years old.

PS:

Yericko,
Siwezi kusema Kleist alikuwa rais wa AA haiwezekani mie kufanya kosa kama hilo.

Wala mie sitakudai utoe ushahidi kuwa niliandika maneno hayo nakuchukulia kuwa
hukuwa makini tu katika kusoma na kuelewa.

Hahahaa unakikimbia kivuli chako mwenyewe?

Ngoja nilale bwana Mohamed Said,

Mida hii ni yakuihudumia ndoa yangu kwa bidii zote,

Shemeji yako anaanza kuninunia hapa, anataki haki yake, nami sina hiyana, nampa kile akitakacho na ambacho ni haki yetu ya ndoa!

Naamu nitarudi mita ya baadae sana mkuu!
 
ha haa haa! Umebadilika tena si ulikuwa unasema wanauza nyumba baada ya mazishi wanakimbilia mahakamani, halafu unajidanganya sana kuwa kuna mtu ataku escape wewe, haa haa ha, wewe una matatizo kwenye ubongo kweli.

Nibadilike kwa nini?wewe kushindwa kuelewa scenario watu wana descuss mamaboa mengi ndio kunamaanisha nimebadilika?Issue ya kuua ipi ,na issue ya hawa jamaa ku misuse fund ya AA na TAA ni ingine ila combination yake inamwelezea jinsi hao jamaa hawakuwa than great.

Nani hajui kuwa wewe ni professional kilaza.
 
Kauzu vipi umeishapata viroba mbona haueleweki unachoandika., andika kama mtoto wa kiume.
 
Ha haa ha, nilishakuambia tatizo lako la ubongo kamuone Dr J. Andrew Armour, akufanyie upasuaji wa ubongo wako, kuna kitu kinaitwa (Energetically) kwako kimekufa ndiyo maana unaropoka ovyo, ha haa haaa, hata Chadema wasipokuwa makini wakikupa mic unaweza kuitafuna.

"Energically" haiwezi kuwa noun wala adjective...kwa hiyo haiwezi wakilisha "kitu"....mwehu wewe.....Bora niwe na tatizo (unaloona linarekebishika kwa operation)la ubongo kuliko wewe usiokuwa n ahuo ubongo kabisa. wewe fikra zako hazizidi automation ya spinal cord.
 
Ha ha haa ukisikia paa hujue imekupata vipi una habari zozote za Padre Slaa.
 
Ritz,
Sie tuwe wanyonge kwa lipi?

Tushawarudisha wazee wetu kwenye historia.
Wenye mashaka ni nyie mnaoitaka historia hii
ifutwe.

Taratibu unakiri in between,kwa vile huna kipaji cha analysis ya vitu..umekuwa ukituletea junks zako km ushahidi wa uayasemayo,badala yake zinakuwa against you.

EH HEH...KWA HIYO MMESHAWARUDISHA WAZEE WENU KTK HISTORIA.KWANINI WALIJITOA?
Ni kusema kwa lugha nyingine, wewe ndio unawapa historia utakayo ila si wao kwa waliyowahi fanya.Watu humu ndani wamekuwa wakikushika ktk matendo ya kupika facts za kihistoria.
 
Nakushauri tena una tatizo la ubongo ambalo linaita surgeon halafu bado unakunywa valeur, angalia unavyoandika ovyo ovyo tu unachanganya herufi kubwa na ndugu kwa lugha ya kiuandishi unaonekana unafanya fujo lakini kuna punga lako moja humu litakusifia ha haa ha.
 
Kauzu vipi umeishapata viroba mbona haueleweki unachoandika., andika kama mtoto wa kiume.

Life must be boring on your side...huwezi kufurahishwa na mambo ya kijinga kihivyo bila hata kiu y aujinga kuisha...najua mna paesronlity problems, hakuna kitu kinawapa ridhiko la maisha.Ila kwako imezidi km appetite ya fisi.
 
Usipende kuingia JF huku umelewa viroba haueleweki unaandika nini, umeishapata kusikia habari za Erika Fiah?
 
ha ha ha Wickama hata mimi hiyo siku nilikaa mkao wa tangazo aisee! Msamehe Ritz juu ya watu wa Mara alikuwa awe shemeji yako mrembo akamkimbia ndio hizi hasira(kidding)

Shukran sana Prishaz. Kumbe tulikuwa wengi siku hiyo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nicholas,

Wewe ni mchanga wa Chadema tupe habari za mgogoro wa ardhi ya Wameru, kina Japhet Kirilo, Earle Seaton, punga nalo limejitokeza ha haa ha.

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Anamalizia kaburi la CCM....na mfumo chonyaji wa akina ponda.

Viroba vinazidi kupasua ubongo hebu jisome ulichoandika...ha haa haa labda mwambie raazizi aje kukusaidia kuandika.
 
Wickama,
Basi sina sababu ya kushangaa.

Kuna msemo wa Kiarabu usemao: Ukishaijua sababu ile ajabu hutoweka.

Haya mzee MS; huyu mwenye mtego kikawaida huwa hawamli chui? Ndio ilikuwa direction ya mada yako sio? haya sherehesha. Nimesha cheka vya kutosha nimekutajia chui ni kitoweo naona UME_retreat. Lets move forward. Unasemaje?
 
Haha..hata mimi nilicheka sana alipoweka huo mfano ambao haukuwa ukimpeleka popote......

Kuna siku nilikuwa na ustaadhi mmoja akawa anaelezea "..mwenzie mmoja alifariki...",km kawa huwa wanogopa sana kusema hali halisi ya tabia za marehemu ingawa Nyerere hawakomi.....jamaa akaanza msifia sana, kwa mbwembwe akaongezea alifikia mahali akawa kama mtoto mdogo...akaendelea....Alipofika mahali ktk kutaja sifa hizo za kitoto.Nikacheka sana..kwani alikuwa akiweka tabia ambzo ni wazi kuwa yule jama alikuwa hajakuwa kifikra na hivyo kufanya mambo ya kitoto...jamaa nae kwa kutoelewa aliona km ni utakatifu...Sitoshaa humu ndani watu kufany amambo ya kitoto hadi wafuasi wake wakaona kuwa kawa mtakatifu..Pengine kwa kaili yao hiyo explanation ndio plausible zaidi.

ktk huu mjadala nimeshuhudia mengi sana.....
 
Waungwana sasa tumehamia kwenye mipasho?

Turejee kwenye msingi wa majadiliano yetu!
 
Waungwana sasa tumehamia kwenye mipasho?

Turejee kwenye msingi wa majadiliano yetu!

Yericko,

Kwa kuwa mnakasha umetoka katika barabara yake nakuwekea hapa ''kitu'' kutoka
paper ya Ibadan huenda ikakupa fikra mpya katika kile kitabu chetu cha ugaidi.

Unaweza kujazia ikiwa utapenda la utaona hakuna jipya si kitu:

The Bombing of the US Embassies in East Africa
‘Chickens Coming Home to Roost'

Discriminate killing of innocent people or ‘terrorism' as the analogy is known today has never been a problem to Africa save the terror unleashed on its people by the colonising powers, notorious among them were the Portuguese in Mozambique and Guinea Bissau, the French in Algeria during the war of liberation, Boers in South Africa, and the British in Kenya during the Mau Mau.

Power is addictive to terror.

Acts of terror were not a monopoly of the colonial governments only. Indigenous African governments have their own share.

In East Africa there have been summary executions in Zanzibar under Abeid Amani Karume.

While under Jomo Kenyatta and Daniel Arap Moi Kenya has experienced torture and executions, Uganda experienced mass executions during the reign of Idi Amin Dada.

In other words Africans have experienced terror even before the word ‘terror' became fashionable.

There is no need to mention the 1994 Rwandan genocide. All this is enough proof that Africa has tasted terror from the colonising authorities as well as terror from its own indigenous governments.

The United States is more concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism.

The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate target for attack by terrorists? In the answer probably lies the key to solving the problem.

It is a pity that terrorism as a field of inquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism.

The inquiry has been monopolised by scholars from societies which at most have suffered one or two bomb attacks.

This erodes the realities of the subject as would be perceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing but sufferings.

Selective sampling will always as a rule provide wrong premise. Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who went through the extermination camps during the Holocaust.[1]

We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived and experienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented with the same intensity as the world had documented the holocaust.

[1] See ‘The Last Days of Auschwitz 50 Years Later: Untold Stories From the Death Camp,' Newsweek, January 16, 1995.
 
Back
Top Bottom