Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mzee Mohamed,
Nakushauri mzee mwenzangu tukunje jamvi kwa sababu naona mkanasha umemalizika. Huku unakoelekea wengine tutashindwa kufuatilia. Nitakutafuta nikifika Dar, inshallah!
 
Jasusi,
Hili nililiona kitambo kuwa mambo yanakwenda mrama.

Baadhi ya wenzetu hawajafikia nafasi ya kuweza kufanya mnakasha wa kistaarabu.
Kwa hapa tulipo faida inayopatikana katika mjadala huu ni ndogo sana.

Insha Allah nitashukuru sana kukutana na wewe.
 
habar zenu mi nimefuatilia mnakasha mwanzo mwisho nilichogunda ni kwamba ndg yerko ameshindwa hoja anahangaika hana elimu kubwa ameungaunga tuu mjinga flan hv anayetafuta umaaruf kwa kubshana na wasomi.........kwa mamlaka niliyojipa ninakuomba nzee wangu ms na wale wote wenye kuiona haki hii post yangu iwe ya mwisho kwenye huu uz aachwe mwenyewe yeriko x na ujinga wake mvania nasaba za wa2 ...mtafte babaako ndg kujaa mav weeeee
 
Mzee Mohamed,
Nakushauri mzee mwenzangu tukunje jamvi kwa sababu naona mkanasha umemalizika. Huku unakoelekea wengine tutashindwa kufuatilia. Nitakutafuta nikifika Dar, inshallah!

Jasusi,
Heshima yako sana ndug,
Labda mimi nishereheshe kidg kaul yako,
uliyoyasema ni kweli kbs,na kwa kias kikubwa kayasababisha yericko,kwa kuacha kuwasihi jamaa zake pale walipoonekana waz waz wakimkejeli na kumdhihaki ndug Moh Said ili kwa makusudi kbs wamtoe nje ya mstari wa kutoa ilm hapa jamvin,
Si mara moja wala mara mbili Moh Said amekua anatuonya sisi tuache hasira na maneno ya dhihaka kwao lakin sisi pia tuna nyongo,
hatuwez vumilia kuona ndug yetu anatukanwa pasi na sabab ya msingi huku yericko akitoa heko na likes,hilo haliwezekani,
kwaiyo yericko ndie kauanzisha huu uzi na yeye mwenyew kauharibu,.
Siku njema
 
Ndugu yangu

Kosa utende wewe sababu uzilete kwangu?

Mimi nimekuwa refa mhimu wa mjadala huu na kama utakuwa na moyo sana utakubaliana na mimi!

Mara ngapi nimejitahidi hapa kuwaonya ndugu zangu wa pande zote na tumekwenda sawa kabisa?

Mimi ninachoshukuru nikuwa dunia imefahamu ukweli hali na uchochezi wa Mohamed Said na Dhhihaka kwa wapigania uhuru wa nchi yetu,

Hilo tu linanipa tumaini jipya sana,
 
Mitume wote ni Maasuum! hakuna Mtume anayefanya dhambi...ama kuhusu kukosea katika masuala yasiyo ya kiWahyi hilo ni suala jingine.
Hiyo mpya....kwani dhambi ni nini?Musa alitenda dhambi,David na mwanae Solomon walitenda dhambi(Si watume),Mohamed alitenda dhambi(Ndio maana alitubu kwa dhambia alizofanya na atakazofanya).Jesus hakufanya(Biblia na Quran Zinathibitisha)
Mfano ukiangalia Surah Abasa utaona pale Mtume salalahu alayhi wasallam alikuwa amezama katika kuwapa daawah makafiri wakuu wa Kiquraish, katikati ya hii daawah Abdullah ibn Makhtoum (swahaba huyu) akajitokeza na kuanza kumuuliza Mtume swali kuhusu masuala ya dini, Mtume akaamua kuendelea na daawah kwa makafiri kwanza ili baadaye aje kumjibu Abdullah ibn Makhtoum ambaye tayari alikuwa ni Muislamu lakini hakujua kuwa alichotaka Allah ni kupewa kipaumbele huyu Muislamu kwanza kabla ya makafiri.. hii ndiyo sababu ya kushushwa Surah Abbasa na tunaona wazi kabisa kuwa hii si dhambi.
Oops there you go....Quran haina ushuhuda nje yake.........huwa ina jishudia yenyewe..km MS alivyojifunza kutumia kitabu chake km reference.Halafu kwanza mimi siwezi amini aya zishushwazo baada ya tukio.Hata sijui unataka sema nini hapa.Yesu kila alipotoa maelezo ya kitu alisema "...imeandikwa....".Alithibitisha kwa nukuu za yote yaliyoandikwa n amanabii ktk vitabu vyote vilivyotangulia..hata alipojaribiwa na shetani alimpa nukuu za maandiko.Pia kukusaidia ni kwamba waislam wanadhani Biblia ni Injili tuu,halafu Biblia ina vitabu vingi sana.Ni mkusanyiko wa vitabu.
Daud (David) alitoa hukumu kwa kuusikiliza upande mmoja tu bila ya kuusikiliza upande wa pili ndipo akagundua kuwa aliusikiliza upande mmoja tu na kutoa hukmu...tunaona tena hii si dhambi,labda uliite kosa la kiuhakimu wakati wa kutoa hukumu.
Quran 36:22-24. Walipo muingilia Daudi, naye akawaogopa. Wakasema: Usiogope! Sisi ni wagombanao wawili, mmoja wetu amemdhulumu mwenziwe. Basi tuhukumu kwa haki, wala usipendelee. Na utuongoe kwenye njia iliyo sawa.

Hakika huyu ndugu yangu ana kondoo wa kike tisiini na tisa; na mimi ninaye kondoo mke mmoja. Akasema: Nipe huyo nikufugie! Na amenishinda kwa maneno.

Akasema: Kweli amekudhulumu kwa kumtaka kondoo wako mmoja kuongezea kwenye kondoo wake. Na hakika washirika wengi hudhulumiana wao kwa wao, isipo kuwa walio amini na wakatenda mema. Na hao ni wachache. Na Daudi akajua kuwa tumemfanyia mtihani. Basi akamwomba msamaha Mola wake Mlezi, na akaanguka kusujudu na kutubia"
Quran imejaa fables na twisted strories from the Bible....nyingine hazikuwahi hata sikika ktk jamii za kiyahudi..Bado inajisema kuwa ipo sahihi.Tatizo ni kwamba Mohamed alikutana na Wakristu na wayahudi kipindi chake wakifanya biashara na kuishi bara Arabia.Sasa story alizokuwa akisikia kijujuu akazileta km aya.

-Story ya hukumu maarufu ni ya Suleiman, issue ya kondoo 99 na mchungaji mwema (tena haikutajwa jinsia) ilikuwa ktk mfano wa Yesu.

-Kuna stories za kuchekesha km kabila kupigana kwa ajili ya "ngamia wa kike", hizi ni habari za hovyo sana.kupigana vita bila sababu, na kutaja jinsia ndipo kumemalizia kabisa.Story ya Solomon kusikiliza lugha ya wadudu na kusikia wakitongozana haina faida ktk maisha ya binadamu wala mafunzo yoyote kwa binadamu na km ni unabii huo basi ni wa hovyo.Ni km evening story telling for kids.

Kuuna Ushahidi mkubwa sana ktk Quran unaonyesha Mohamed alipata story za Biblia kijuju tofauti na ambitions zake za kuijua.Hapo ndipo Wakristu walikosea wangempiga Injil leo tungekuwa na dunia ingine.Ktk Shutuma Mohamed anawashutumu Wakristu km alivyowaona kipindi kile ni :Wakristu ni wapenda starehe na walioficha Injil, wakati wayahudi aliwashutumu kwa kubadili Tourati kwa Kalamu zao.
Maandiko ya Kiislam pia yanaonyesha jitihada za Mohamed za kutaka wakristu wakubali kuwa Yesu alitabiri ujio wake km Msaidizi wake ambaye kiuhasilia ni ROHO Mtakatifu(Another ugly Msg to Gaddafi -Kuwa Yesu angekuwa enzi ya Mohamed angekuwa mfuasi wake).Alikwenda hadi kwa kasisi wa Kikristu kutaka aangalie ktk Bible amwambie kitu anayotaka sikia kuwa ni Mtume aliyetabiriwa.

Hii ni wazi kuwa mafaniko ya wakistu yalikuwepo tangu enzi za Mohamedi na si Tanzania ya Nyerere,na pia alipata habari za Biblia kijuju ktk story tuu.

Ukiwa mwaminifu vya kutosha utayaona haya,na kujiona jinsi navyojidanganya.
Ninaweza kuendelea na Mitume wengine ukitaka lakini hutakuta wakifanya dhambi zozote kama vile uzinifu,wizi,ujambazi na maasia mengine.Unachosema wewe ni kigeni! kwa sababu karibu kila mtu ndani ya duru za kidini anajua kuwa Mayahudi walimhukumu Jesus (Yesu) kwa ushirikina, uchawi, uzinzi na usaliti. Jisomee mwenyewe wanavyofundishana katika Talmud:
"The Talmud (Babylonian edition) records other sins of 'Jesus the Nazarene':
1) He and his disciples practiced sorcery and black magic, led Jews astray into idolatry, and were sponsored by foreign, gentile powers for the purpose of subverting Jewish worship (Sanhedrin 43a).

2) He was sexually immoral, worshipped statues of stone (a brick is mentioned), was cut off from the Jewish people for his wickedness, and refused to repent (Sanhedrin 107b; Sotah 47a).

3) He learned witchcraft in Egypt and, to perform miracles, used procedures that involved cutting his flesh, which is also explicitly banned in the Bible (Shabbos 104b).
SItaki sana tupoteze muda ktk haya ila kukusaidia tena😀ini ya Judaism ilikuwepo kabla ya ujio wa Yesu,ulichonukuhu ni baada ya Yesu ,huwezi tumi akili tuu kuona ni kutaka mchafua Yesu tuu.Na Yesu aliwajibu vyema sana..kwani kuna waliomuuliza natoa pepo kwa mamlaka ya nani.Akatoa maelezo ya ufalme uliofitinika...kuwa hatawezaje shetani akamtoa shetani mwenzie...si kuvunja utawala wake..ndio maana siku hizi kuna dini hazitoi mashetani ila zinayatuliza kwa vile nazo ni za shetani.
 
Ndugu yangu

Kosa utende wewe sababu uzilete kwangu?

Mimi nimekuwa refa mhimu wa mjadala huu na kama utakuwa na moyo sana utakubaliana na mimi!

Mara ngapi nimejitahidi hapa kuwaonya ndugu zangu wa pande zote na tumekwenda sawa kabisa?

Mimi ninachoshukuru nikuwa dunia imefahamu ukweli hali na uchochezi wa Mohamed Said na Dhhihaka kwa wapigania uhuru wa nchi yetu,

Hilo tu linanipa tumaini jipya sana,

Yericko(...,WEKA JINA LA BABA YAKO RASMI)

Usizid kutuharibia mood zetu,umeskia??

Pindi Nguruvi3,anamtukana Moh Said kwa kumwambia yuko uchi na anaoga na watoto ulimkanya au ulimpa heko??
pindi yule msukuma mikokoteni anamtukana Moh Said matusi mbali mbali ya nguon ulimzuia au ulimpa heko na likes??

pindi Nikolas anamtukana matusi ya reja reja Moh Said ulimzuia au ulimpa heko??

List ni ndefu sana,just to mention few,ulitaka sisi tukae kimya huku tunaona huyu MZEE MASKINI YA MUNGU ANATUKANWA BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI HUKU WEWE ULIELETA SHUTUMA DHIDI YAKE NA YEYE KWA KUJALI UMUHIM WA KUJA KUTOA ILM BILA SHURTI WALA LAZIMA KAJA HAPA,KWANIN HUKUONA UMUHIMU WA KULISIMAMIA HILO??

WEWE HUKUWAHI KUNIREPORT MIMI KWA MODS KWAMBA NIMEKUTUSI KWA KUKUITA YERICKO X?KISHA NA MODS WAKANIFUNGIA??UMELISAHAU HILO??

WEWE SIO KINARA WA KUHARIBU MJADALA HUU??HUJANITUSI MIMI NA KUNIITA SHOGA?KISHA MODS WAKAIFUTA NA BILA KUKUCHULIA HATUA YYTE??UNAPINGA HILO??

WEWE HAKUNA ULICHOFANIKIWA,ANDREW KAJA HAPA KUSEMA HAKUFAHAM,ALICHOAMBULIA NI MATUSI KUTOKA KWA NIKOLAS NA KEJELI KWA JAMAA ZAKO WENGINE,UMELIKARIPIA HILO??

SKIA NIKUHABARISHE JAMBO,HUJAFANIKIWA KUUONESHA UCHOCHEZ WA MOH SAID,
INSTEAD UMEFANIKIWA KUTUTHIBITISHIA KWAMBA WEWE NI CHAKUBIMBI,KICHWA BOX NA MDADNIA NASABA ZA WATU,

SHAHID NI WANAJAMVI WOTE HAPA,NA ALIEPIGIA MSUMARI WA MWISHO KATIKA HILO NI NDUGU YETU
Andrew Nyerere...

GO TO HELL YERICKO....
 
Last edited by a moderator:
Wewe kauzu kweli unanipangia pakujibia, wewe mbona unajibia hapa junks bogus zako! Leo umekula embe ngapi sokoni.

We kweli hujui hata km unakojoa au unakunya....wewe si ndio maarufu sana huku kwa kuwaambia mod "Threads zipelekwe jukwaa utakalo"?

Sasa kwanini thread kumi tofauti zikae pamoja.
 
TUNATOA shukrani kwa mara ingine kwa moyo wa kujitolea wa mshume.
attachment.php
Hapo akiwa pembeni ya Nyerere
 
Huyu Mshume Kiyete ni mzee wetu waTanzania wote nashangaa Mzee wa Gerezani anambinafsisha na kumfanya Mzee wake pekee yake ha ha ha ha ha.
attachment.php
 
Yericko(...,WEKA JINA LA BABA YAKO RASMI)

Usizid kutuharibia mood zetu,umeskia??

Pindi Nguruvi3,anamtukana Moh Said kwa kumwambia yuko uchi na anaoga na watoto ulimkanya au ulimpa heko??
pindi yule msukuma mikokoteni anamtukana Moh Said matusi mbali mbali ya nguon ulimzuia au ulimpa heko na likes??

pindi Nikolas anamtukana matusi ya reja reja Moh Said ulimzuia au ulimpa heko??

List ni ndefu sana,just to mention few,ulitaka sisi tukae kimya huku tunaona huyu MZEE MASKINI YA MUNGU ANATUKANWA BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI HUKU WEWE ULIELETA SHUTUMA DHIDI YAKE NA YEYE KWA KUJALI UMUHIM WA KUJA KUTOA ILM BILA SHURTI WALA LAZIMA KAJA HAPA,KWANIN HUKUONA UMUHIMU WA KULISIMAMIA HILO??

WEWE HUKUWAHI KUNIREPORT MIMI KWA MODS KWAMBA NIMEKUTUSI KWA KUKUITA YERICKO X?KISHA NA MODS WAKANIFUNGIA??UMELISAHAU HILO??

WEWE SIO KINARA WA KUHARIBU MJADALA HUU??HUJANITUSI MIMI NA KUNIITA SHOGA?KISHA MODS WAKAIFUTA NA BILA KUKUCHULIA HATUA YYTE??UNAPINGA HILO??

WEWE HAKUNA ULICHOFANIKIWA,ANDREW KAJA HAPA KUSEMA HAKUFAHAM,ALICHOAMBULIA NI MATUSI KUTOKA KWA NIKOLAS NA KEJELI KWA JAMAA ZAKO WENGINE,UMELIKARIPIA HILO??

SKIA NIKUHABARISHE JAMBO,HUJAFANIKIWA KUUONESHA UCHOCHEZ WA MOH SAID,
INSTEAD UMEFANIKIWA KUTUTHIBITISHIA KWAMBA WEWE NI CHAKUBIMBI,KICHWA BOX NA MDADNIA NASABA ZA WATU,

SHAHID NI WANAJAMVI WOTE HAPA,NA ALIEPIGIA MSUMARI WA MWISHO KATIKA HILO NI NDUGU YETU
Andrew Nyerere...

GO TO HELL YERICKO....

Taratibu za jf zipo wazi kwa kila mmoja,
Ulipoyaona hayo uyaitayo matusi ulichukua hatua gani?

Vigezo vya kuwa Mods unavijua?

Hawafanyi kazi kumfurahisha The Big Show, bali uzingatiaji wa sheria na kanuni ambazo members waliziridhia siku ya kujiunga!
 
Last edited by a moderator:
Yericko(...,WEKA JINA LA BABA YAKO RASMI)

Usizid kutuharibia mood zetu,umeskia??

Pindi Nguruvi3,anamtukana Moh Said kwa kumwambia yuko uchi na anaoga na watoto ulimkanya au ulimpa heko??
pindi yule msukuma mikokoteni anamtukana Moh Said matusi mbali mbali ya nguon ulimzuia au ulimpa heko na likes??

pindi Nikolas anamtukana matusi ya reja reja Moh Said ulimzuia au ulimpa heko??

List ni ndefu sana,just to mention few,ulitaka sisi tukae kimya huku tunaona huyu MZEE MASKINI YA MUNGU ANATUKANWA BILA SABABU ZOZOTE ZA MSINGI HUKU WEWE ULIELETA SHUTUMA DHIDI YAKE NA YEYE KWA KUJALI UMUHIM WA KUJA KUTOA ILM BILA SHURTI WALA LAZIMA KAJA HAPA,KWANIN HUKUONA UMUHIMU WA KULISIMAMIA HILO??

WEWE HUKUWAHI KUNIREPORT MIMI KWA MODS KWAMBA NIMEKUTUSI KWA KUKUITA YERICKO X?KISHA NA MODS WAKANIFUNGIA??UMELISAHAU HILO??

WEWE SIO KINARA WA KUHARIBU MJADALA HUU??HUJANITUSI MIMI NA KUNIITA SHOGA?KISHA MODS WAKAIFUTA NA BILA KUKUCHULIA HATUA YYTE??UNAPINGA HILO??

WEWE HAKUNA ULICHOFANIKIWA,ANDREW KAJA HAPA KUSEMA HAKUFAHAM,ALICHOAMBULIA NI MATUSI KUTOKA KWA NIKOLAS NA KEJELI KWA JAMAA ZAKO WENGINE,UMELIKARIPIA HILO??

SKIA NIKUHABARISHE JAMBO,HUJAFANIKIWA KUUONESHA UCHOCHEZ WA MOH SAID,
INSTEAD UMEFANIKIWA KUTUTHIBITISHIA KWAMBA WEWE NI CHAKUBIMBI,KICHWA BOX NA MDADNIA NASABA ZA WATU,

SHAHID NI WANAJAMVI WOTE HAPA,NA ALIEPIGIA MSUMARI WA MWISHO KATIKA HILO NI NDUGU YETU
@Andrew Nyerere...

GO TO HELL YERICKO....
Kumbe na wewe ufitini na uchochoezi ndio fani yao....so mpo ktk team work?sijui hayo matusi ya nguoni na au nje ya nguo aliyotukanwa jamaa ni yapi?

Msiwe viumbe dhaifu namna hii....hoja mmeshindwa gear ya kutokea hamjapa..hata MS nae kajaribu sana kujenga hisia za mwadhirika na si mwaribifu km ilivyopasa....Kweli Internet ni ukombozi..hizi tabia za hooligans unazotaka zitumia hapa..ungezitumia sana ktk ingekuwa ni public debate ktk ukumbi.mngekuwa mmefanya fujo, mmemuinua na kumtangaza mshindi..halafu mkapande majukwaani mkisema alimshida fulani na fulani ktk debate.

Mtajidanyanya sana.
 
Wala wasikushughulishe mkuu,

Hawa tumewashinda ndani ya uwanja na nje ya uwanja!

Dunia iliyoanza kupotoshwa sasa imeujua ukweli halisi!

Sasa hivi wamepaki ma mc tu!
 
TUNATOA shukrani kwa mara ingine kwa moyo wa kujitolea wa mshume.
attachment.php
Hapo akiwa pembeni ya Nyerere

Haha ....hapa kazee kanapewa ahsante kwa kukaaa pembeni ya Nyerere+ kupokea kula ya siku hiyo....hayo ndio marupurupu ya wazee wa kiswahili...Hizo ndizo ahadi za miungu yao...
 
Hiyo mpya....kwani dhambi ni nini?Musa alitenda dhambi,David na mwanae Solomon walitenda dhambi(Si watume),Mohamed alitenda dhambi(Ndio maana alitubu kwa dhambia alizofanya na atakazofanya).Jesus hakufanya(Biblia na Quran Zinathibitisha)

Oops there you go....Quran haina ushuhuda nje yake.........huwa ina jishudia yenyewe..km MS alivyojifunza kutumia kitabu chake km reference.Halafu kwanza mimi siwezi amini aya zishushwazo baada ya tukio.Hata sijui unataka sema nini hapa.

Quran imejaa fables na twisted strories from the Bible....nyingine hazikuwahi hata sikika ktk jamii za kiyahudi..Bado inajisema kuwa ipo sahihi.Tatizo ni kwamba Mohamed alikutana na Wakristu na wayahudi kipindi chake wakifanya biashara na kuishi bara Arabia.Sasa story alizokuwa akisikia kijujuu akazileta km aya.

Kuuna Ushahidi mkubwa sana ktk Quran unaonyesha Mohamed alipata story za Biblia kijuju tofauti na ambitions zake za kuijua.Hapo ndipo Wakristu walikosea wangempiga Injil leo tungekuwa na dunia ingine.Ktk Shutuma Mohamed anawashutumu Wakristu km alivyowaona kipindi kile ni :Wakristu ni wapenda starehe na walioficha Injil, wakati wayahudi aliwashutumu kwa kubadili Tourati kwa Kalamu zao.
Maandiko ya Kiislam pia yanaonyesha jitihada za Mohamed za kutaka wakristu wakubali kuwa Yesu alitabiri ujio wake km Msaidizi wake ambaye kiuhasilia ni ROHO Mtakatifu(Another ugly Msg to Gaddafi -Kuwa Yesu angekuwa enzi ya Mohamed angekuwa mfuasi wake).Alikwenda hadi kwa kasisi wa Kikristu kutaka aangalie ktk Bible amwambie kitu anayotaka sikia kuwa ni Mtume aliyetabiriwa.

Hii ni wazi kuwa mafaniko ya wakistu yalikuwepo tangu enzi za Mohamedi na si Tanzania ya Nyerere,na pia alipata habari za Biblia kijuju ktk story tuu.

Ukiwa mwaminifu vya kutosha utayaona haya,na kujiona jinsi navyojidanganya.

SItaki sana tupoteze muda ktk haya ila kukusaidia tena😀ini ya Judaism ilikuwepo kabla ya ujio wa Yesu,ulichonukuhu ni baada ya Yesu ,huwezi tumi akili tuu kuona ni kutaka mchafua Yesu tuu.Na Yesu aliwajibu vyema sana..kwani kuna waliomuuliza natoa pepo kwa mamlaka ya nani.Akatoa maelezo ya ufalme uliofitinika...kuwa hatawezaje shetani akamtoa shetani mwenzie...si kuvunja utawala wake..ndio maana siku hizi kuna dini hazitoi mashetani ila zinayatuliza kwa vile nazo ni za shetani.

Hueleweki,hujulikan unataka ujibiwe kipi au usaidiwe na lipi,
Mara uislam uuchanganye na uchoche wa moh said,mara uuchanganye na maisha ya mwalim nyerere,mara Mtume Mohomed s.a.w uje umweke kwenye malumbano na Nabii Issa a.s yan ili mradi shida tuh,

Maudhui ya uislam hayajazungumza na hayazungumzi kumkashifu na kumzushia na kumdhika Nabii Issa a.s(jesus)

Katika uislam yeye ana heshimika na kupewa cheo kikubwa kama messenger of god kwa wana wa israel na anatambulika kama mwenye darja kubwa kwa ALLAH S.W,

SIELEW MABANDIKO YAKO MSINGI WAKE NI NIN,HATA WENZAKO ISIPOKUWA TUH YERICKO,WATAKUWA WANAKWAZIKA SANA SEMA WANASHINDWA WAKUONYE VIPI,

KWAUFUPI UISLAM NI MPANA,HUTAUWEZA NA HUUWEZ KUUINGIA JUU JUU KAMA UNAVODHANI,

BESIDES KAMA UMEAMUA KUINGIA KWENYE VITA YA CRUSADE VS JIHAD TAMBUA UNAJISUMBUA,KILA MTU ATABAKIA KUWA NA IMAN YAKE INAYOMPA PEACE OF MIND,NA MAANDIKO YATABAKIA KAMA YALIVYO NA YANAFAHAMIKA YEPI YAMECHAKACHULIWA NA YEPI YANA UHALISIA,

NAONA UNATAKA KUJENGA CHUKI BAINA YA MUSLIMS VS CHRISTIANS,KWA KUWA HATUJAKUBALIANA TUINGIE KWENYE MAMBO KAMA HAYA RASMI,KAMA UNATAKA HILI TWENDE KWENYE JUKWAA LA DINI,

WEWE HUWEZI KUKIABUDU KILE NACHOKIABUDU MIMI,NA WALA MIMI SIWEZ KUKIABUDU KILE UNACHOKIABUDU WEWE,WEWE UNA DINI YAKO NA MIMI NINA DINI YANGU,FUATA YAKO NA MIMI NAFUATA YANGU.
 
Back
Top Bottom