Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wala hakuna aliyepoteza muda kubishana nae kihivyo,kwani kwa yote aliyoandika bado yanaweza tafsiriwa kwa mitazamo mbalimbalia.

Shida ipo kwenu kukimbilia kila kitu mkidhani kinawapa advantage..huo unguli lazima mumpe...Ila hamjaangalia kuwa alikuwa na hasira na taifa hili kwa kutaifisha kila kitu..Na pia dhidi ya ujamaa.In one hand mnamnashangilia kitu mnachokipiga vita.

By the way waislam huingia ktk mkumbo kwa vitu vya kupita sana:Mojawapo ya vitu vilivyowaponza ni hivi:

-Debate ya Wakristu na Atheist magahribi iliahamia ktk sayansi km source ya ushahidi...King wa Saudia akawahi mlipa Prof mmoja hela nyingi sana..ili akae chini atafutue kitu chochote ktk Quran kinachoweza thibitisha kuwa uislam unaendana na Sayansi.Jamaa akatafuta jukns kibao akaziweka ktk book na kuenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Bible ndio ipo kinyume na sayansi.Waislam wakadanganyika, wakaanza kusema magharibi waliiba ilm ya waislam....ila hawakua na majibu .Kama waliibiwa elimu ktk Quran ,Quran nayo iliibwa?Km iliibwa iliyopo itaaminika vipi kuwa si feki?Au km hawakuichukua na waislam wanaamini kuwa wao ndio waijuayo kuliko makafiri,kwanini tena wameshindwa isoma na kutengeza rocket?

-Injil ya Barnaba iliteka sana dunia ya kiislam..injil ya baranaba iliandikwa na scandalous writer karne kadhaa baada ya Yesu.Ila hadi leo wanamihadhara wa kiislam ambao hawaja update vichwa vyao wanaitumia majukwaani.

-Suala la atheist na ushoga kuulazimisha kwa nguvu hadi kuweka mapandikizi ktk makanisa.Waislam wametumia km kitu cha kutetea dini yao.Kitu ambacho dunia ya kiislam imekithiri kwa hilo na mafundisho yao yana mengi ya kuthibitisha kinyume.

-Conspiracy theories zimekuwa zikitikisa sana dunia ya kiislam..wamekuwa wakiamini kila kitu ni hila, fitna,na kina mkono wa wayahudi,marekani na mataifa ya magharibi.Mengine yalitokea kabla hata taifa la marekani halikuwepo.

-Sasa hivi issue ya Freemasons itawatafuna wakijaamka karibu wote ni wachawi,watoa makafara,huku wakiacha nyanja za elimu zikiwa zimekufa kabisa.Habri ya Freemason na masomo yake sasa hivi imeshakuwa ni multi-million project kwa Tanzania pekee.Huku karibu kila misikiti kuwa CD/DVD na vijarida vinauzwa kwa waislam masikini ili wajawe na hofu, wawe matomaso wasioamini kila kitu bila idhini ya Maalim.

Naweza waelewa nanyi ktk jitihada zenu za kutaka lazima huyu jamaa akubalike ili mumtumie km daraja.Amini nawaaambia hata sasa hivi tukichukua isatri ktk hicho kitabu ,bado hakuna kitu ch akuwasaidia sana waislama wa tanzania ktk tope walilonasa.Sanasana itazidi thibitisha jinsi gani waislam walivyoachwa solemba baada ya mabadiliko ya enzi kuja...wakristu walikuwa katika posistion nzuri(walijiweka) ya kupata faida na kuwa na minimum damage...

Kiongozi wa Chadema, Mrombo Nicholas

I was convinced that I was hallucinating by the degree of tribalism,Islamophobia,prejudice and stereotpyes I've seen in almost all of your posts.

Why you keep lumping all Muslims in one lumpsum,as if all Muslims act and think the same way!?

Probably I'm asking the wrong question,cause the idea that racial or ethnic groups should be persecuted is very popular in the Bible.
God
himself was keen on the extirpation of whole peoples,suchs as the Amalekites(I Samuel 15:3).

We need the past of course to learn from it;to be active in the past in building our future together as a Country.

This is exactly what Sheikh Mohammed Said has been trying to achieve. Also as a Scholar/Historian has dedicated almost his entire life to educate others too.

Armed with the knowledge of our past,we can with confidence charter a course for our future together as a Country.

Muslims and/or Tanzanians must be instructed by our true History and should transform this History into concrete reality.

Nicholas,you are not entitled to your silly opinion. You are entitled to your informed opinion. No one is entitled to be ignorant.

Your shit University degree course represents a wasted four year Prison sentence, in which you have been primed for a lifetime of hate and arrogance.

Your mental condition is designed to distance your consciousness from well being of others in the society especially Muslims!?

Basically,you are lost into fantasy seeking to find reality.

You are the Enemy and Vampire of this Nation. Only the sick violent crave and the savages can listen and support your talk show!

Why don't you do something to help instead of verbally downtroddening Muslims at every opportunity for not doing this and that!?

It's easy to hate and run your mouth in the benches at the stadium,when you haven't rolled up your sleeves to get your hands dirty to help a Team win.

It's not your intellectual ability that I question(that if is indeed it exists!?).

I question your ability to analyse current situation with the same passion and brutality as Our Brother Sheikh Mohammed Said and to offer clear consistent and concise response to the problems faced by majority of Muslims and other Tanzanians today.

One word says loads about your small mind...You stupid fool!.

Ahsanta saana.

CC;Ritz,The Big Show
 
Lunatics and possessed people huwa wanasikia vitu vingi san vichwani mwao...uzao wapiga ramli mtakuwa hivyo hadi mwisho.CIAO

I believe that the world still has some really good people. Level headed, kind, just, upright, sincere, loving and a true asset to many. Are you one?
 
Kiongozi wa Chadema, Mrombo Nicholas

I was convinced that I was hallucinating by the degree of tribalism,Islamophobia,prejudice and stereotpyes I've seen in almost all of your posts.

Why you keep lumping all Muslims in one lumpsum,as if all Muslims act and think the same way!?

Probably I'm asking the wrong question,cause the idea that racial or ethnic groups should be persecuted is very popular in the Bible.
God
himself was keen on the extirpation of whole peoples,suchs as the Amalekites(I Samuel 15:3).

We need the past of course to learn from it;to be active in the past in building our future together as a Country.

This is exactly what Sheikh Mohammed Said has been trying to achieve. Also as a Scholar/Historian has dedicated almost his entire life to educate others too.

Armed with the knowledge of our past,we can with confidence charter a course for our future together as a Country.

Muslims and/or Tanzanians must be instructed by our true History and should transform this History into concrete reality.

Nicholas,you are not entitled to your silly opinion. You are entitled to your informed opinion. No one is entitled to be ignorant.

Your shit University degree course represents a wasted four year Prison sentence, in which you have been primed for a lifetime of hate and arrogance.

Your mental condition is designed to distance your consciousness from well being of others in the society especially Muslims!?

Basically,you are lost into fantasy seeking to find reality.

You are the Enemy and Vampire of this Nation. Only the sick violent crave and the savages can listen and support your talk show!

Why don't you do something to help instead of verbally downtroddening Muslims at every opportunity for not doing this and that!?

It's easy to hate and run your mouth in the benches at the stadium,when you haven't rolled up your sleeves to get your hands dirty to help a Team win.

It's not your intellectual ability that I question(that if is indeed it exists!?).

I question your ability to analyse current situation with the same passion and brutality as Our Brother Sheikh Mohammed Said and to offer clear consistent and concise response to the problems faced by majority of Muslims and other Tanzanians today.

One word says loads about your small mind...You stupid fool!.

Ahsanta saana.

CC;Ritz,The Big Show
Ili kupunguza hizi rubbish...hembu tuambie nini kimemuhalalishia huyu Jamaa Yenu kufundisha wengine?Kwanini mnakomaa sana kufundisha wengine wakati hawaoni cha kujifunza?

By the way naona umeamua tumia ID ingine ili kuiokoa roho yako ktk hii thread.Kaanzishe ingine ya kujisafisha au kueleimisha hao utakao.Hii hapa imeshamaliza kazi yake.KUFUTA UCHOCHOCHEZI ,fitrana na dhihaka...MS (Km mtuhumiwa -si hizi ID zingine)kaingia chaka.

Kupoteza muda mrefu ktk maisha yake haikuwa project yetu ni yake.Anajua atalipwa wapi so.Asiyeyushe.....hata wadada poa wanaweza malizia muda mrefu wa maisha yao madanguroni.Kila mbuzi kitanzini atakula ktk eneo la urefu wa kamba.
 
Al Habiby gombesugu,

Unity & harmony cannot be achieved without tolerance & respect even when in disagreement.
 
Last edited by a moderator:
Ili kupunguza hizi rubbish...hembu tuambie nini kimemuhalalishia huyu Jamaa Yenu kufundisha wengine?Kwanini mnakomaa sana kufundisha wengine wakati hawaoni cha kujifunza?

By the way naona umeamua tumia ID ingine ili kuiokoa roho yako ktk hii thread.Kaanzishe ingine ya kujisafisha au kueleimisha hao utakao.Hii hapa imeshamaliza kazi yake.KUFUTA UCHOCHOCHEZI ,fitrana na dhihaka...MS (Km mtuhumiwa -si hizi ID zingine)kaingia chaka.

Kupoteza muda mrefu ktk maisha yake haikuwa project yetu ni yake.Anajua atalipwa wapi so.Asiyeyushe.....hata wadada poa wanaweza malizia muda mrefu wa maisha yao madanguroni.Kila mbuzi kitanzini atakula ktk eneo la urefu wa kamba.

Correcting others publicly can become offensive, may show lack of sincerity or make matters worse. Consider correcting others privately.
 
Yericko Nyerere hembu waombe mods wafunge hii kitu.hawa jamaa hawana tena jipya.wanatamani hii thread iwe ya kidini km ilivyokuwa nia yao ktk vitabu alivyoandika huyu jamaa.

CC:Invincible,nguvuvi3
 
In fact sikujua km huyu jamaa alikuwa humu ndani....ningekuwa nimeshandika long time.

Nilikuwa najaribu fikiria namna ya kulisema hili ..uwepo wa matakataka ktk list ya vitabu vya historia ya tanzania.
The small minded will take our words wrongly & the evil minded will go out of their way to misinterpret them. It happens to revelation too.
 
Ritz akili za ramli ni za watu possessed na lunatics, usipende sana zitumia ktk mambo ya msingi.Otherwise utaleta demons na miseries ktk maisha ya watu.

Umepiga kelele sana ila umesahau sana kusema kuwa na uganga na issue za kwa "...wazee....",wazee wenu walisaidia sana.Issue hizo ndizo zinazowapa nguvu sana ktk CCM...(Lazima CCM wakapige Goti kwa prince of the darkness)..kwa mkeka wa wazee wa CCM.Sijui mlikuwa mnapima upepo ili mpate nafasi ya kulisema.

Huo ni ushetani tuu hauwezi kuwa excuse kwetu.....sishangai nyie kuongea uongo kwani "wale wafalme wa jehanum" uongo ni tool nzuri sana kwao.Nchi yetu inamwaga damu kwa ajili hiyo...blood suckers wanafaidi mikataba yao minono "ya kunywa damu za watu wetu" km wachina walivyo na mikataba ya yenye maslahi ya bwereree kwao..

Two "blood suckers dancing" ...uchina wanasupply silaha..na demons wanapata damu yetu kwa mikataba ya wana CCM.Kwa udalalali wa Saigon.
 
Nicholas said:
Hiyo mpya....kwani dhambi ni nini?Musa alitenda dhambi,David na mwanae Solomon walitenda dhambi(Si watume),Mohamed alitenda dhambi(Ndio maana alitubu kwa dhambia alizofanya na atakazofanya).
Katika Kiarabu lugha iliyoteremshiwa Quran utakuta kuna tofauti ya kitu kina choitwa dhamb (dhambi) na khat`a
(kosa).
Narudia tena Mitume walikuwa hawafanyi dhambi wala makosa yanayohusiana na Wahy!
Mfano; haiwezekani kuwa Musa (alayhisalaam) aliteremshiwa Wahy au aya isomeke katika Torah namna fulani yeye akakosea na kufanya ionekane vingine hii haiwezekani.

Vilevile haiwezekani kuwa Mtume SAW ameshushiwa Aya isomeke namna hii yeye akosee aseme vingine hii haiwezekani.

Ila makosa ya kibinaadamu hapo tena ni suala jingine na Mtume SAW anasema;
"Kila mwanadamu ni mkoseaji (mwenye kuanguka katika kosa) na bora ya wenye kukosea ni yule anayetubia"
*Neno lililotumika katika kiarabu ni khata si dhambi!
Ndio maana Sheikhul Islam thaaniy Ibn Qayyim al-Jawzee anasema kuwa "muumin mcha Mungu anapofanya kosa basi huwa ni "baraka iliyojificha" kwa sababu inamfanya huyu mcha Mungu ajijue kuwa yeye ni binadamu na hujirudi, kinyume kama angekuwa hafanyi kosa lolote angeweza kuangukia katika kujikweza na kujiona bora kuliko wote na pengine kutakabbar.
Nicholas said:
"...imeandikwa....".Alithibitisha kwa nukuu za yote yaliyoandikwa n amanabii ktk vitabu vyote vilivyotangulia..
Hakuna Gospel ya Yesu katika Biblia!
Kama utanukuu basi itakuwa ni Gospel kufuatana na Mark,mathew,Luke na John na hakuna anyejua majina yao ya mwisho aidha!
Nicholas said:
-Story ya hukumu maarufu ni ya Suleiman, issue ya kondoo 99 na mchungaji mwema (tena haikutajwa jinsia) ilikuwa ktk mfano wa Yesu.
Kwa maana hiyo itabidi tuziweke quran na Biblia katika mizani tupime ni nani mkweli, si mimi bali Quran yenyewe inatoa changamot hii kwa wasio Waislamu:
4: 82. Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi"

Kwa hiyo mimi ninaanza kukuonyesha khitilafu tatu kwanza kutoka kwenye Bbilia ili wewe unifafanulie, halafu na wewe lete hizo unazoziona kuwa ni khitlafu tatu kutoka kwenye Quran na itakuwa ni juu yangu mimi kufafanua, tuanze na tatu tatu, ninaanza kunukuu maswali ambayo kina Sheikh Deedat wameyauliza kwa miaka:
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]II Kings 24:8[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jehoiachim was eighteen years old when he began to reign, and he reigned in Jerusalem three months. [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] VS
II Chronicles 36:9
[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jehoiachim was eight years old when he began to reign, and he reigned three months and ten days in Jerusalem.

[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]II Samuel 24:1 [/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]And again the anger of the Lord was kindled against Israel, and he moved David against them to say: "Go, number Israel and Judah." [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] VS
I Chronicles 21:1
[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]And Satan stood up against Israel, and provoked David to number Israel.
Nicholas said:
SItaki sana tupoteze muda ktk haya ila kukusaidia tena😀ini ya Judaism ilikuwepo kabla ya ujio wa Yesu,ulichonukuhu ni baada ya Yesu
Unajichanganya![/FONT]Kwa sababu kutokana na Wakristo Yesu ni mungu na ndiye mungu huyohuyo ambaye kufuatan na Mayahudi anaisoma Talmud hali ya kuwa amesimama kutokana na heshima anayoipa Talmud:
"Jehovah Himself studies the Talmud standing, he has such respect for that book."-Tract Mechilla.
 
Ndugu zangu wanajamvi wote mlioshiriki mjadala huu,

Kwa namna moja ama nyingine naomba niwashukuru sana wote bila kujali itikadi ama mitazamo yetu,

Nafanya hivyo nikitambua umuhimu wa kila mmoja wetu hapa katika uzi huu tangu ulipoanzishwa nami 12/01/2013 mpaka hii leo tumekuwa hapa bega kwa bega usiku na mchana,

Nasema wote ninawashukuru kwa ushirikiano wenu, tumeongea pamoja, timecheka pamoja, tumekwazana pamoja, naam na sasa tunaagana pamoja!

Sisi sote ni waswahili na ni binadamu, tofauti zetu zilizotawala mjadala wetu tuziache hapa hapa, vinyongo vyetu tuviache hapa hapa, na kila husda tuliokuwa nao na tuuache hapa hapa!

Tumepata fursa adhimu ya kuzungumza yamoyoni, pia tumepata fursa yakufahamiana na kwa hili hakika tumejenga mtandao imara wa kifikra!

Shukrani zangu za pekee zimuendee Mzee wetu Mohamed Said, amekuwa mvumilivu sana mpaka mwisho akashindwa na hakika amejitahidi, nampongeza kwa hilo tu,

Pia niwapongeza wanahistoria wenzangu waliosimama nami kwa weledi wao kutetea ukweli na kuukemie upotoshaji wa Mohamed Said, hawa si wengingine bali ni Nguruvi3, Mag3, Mwanakijiji, JokaKuu, Jasusi, Son of Alaska, Nicholas, Zumbemkuu, Gwalihenzi, na wengine wengi walioshiriki nasi!

Lakini nitakuwa sina fadhila kama sitawashukuru ndugu zetu kama Ritz, The Big Show, Barubaru, Zomba, Sadeeq, Spike Lee, na wengine wote wakufanana nao!

Niwashukuru sana uongozi wa JF hasa Mods kwa kuusimamia mjadala huu kwa weledi wa hali ya juu sana! Hii ni heshima kubwa sana kwa JF na Tanzania kwa ujumla!

Mwisho,

Wale mliotaka kunifahami nini ni nani hasa? Ninawajibu rasmi!

Naitwa: Yericko Yohanesy Nyerere

Mahali nilipozaliwa: Nyololo, Mufindi, Iringa.

Kabila: Ni Mhehe,

Baba yangu: Yohanes Msambila Nyerere, (marehemu)

Mama yangu: Venancia Geremias Mgimwa,

Elimu: Muhandisi wa Umeme na Compyuta kutoka Chuo cha Beijing Information Technology College China (BITC)

Kazi: Mfanyabiahara, Mwenyekiti Mtendaji wa Umoja wa Makampuni ya YECCO GROUP LTD yanayojishughulisha na Ujenzi wa Majengo, Ujenzi wa Mabarabara, Umeme, Teknohama, Uwakala wa Usafirishaji, Uwekezaji katika Majengo, na Usanifu na Ukadiriaji Majenzi

Kuishi: Kigamboni Mbutu,

Nina mke mmoja na watoto wa wili ambao ni Che-Lee na Su-Yang

NB:

Mimi sina UNDUGU na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, lakini chimbuko la Babu yake na Babu yangu Mzee Msambila Kihulo Lihangawike Nyerere "inasemekana" alikuwa ni wa kaskazini mwa Tanzania!

Kwahiyo katika uzi huu nimesimama kama Mtanzania mwingine yeyote anaekwazwa kuona dhihaka wanayofanyiwa Wanaukombozi wetu!

Nawashukuru nyote, nawaomba tofauti zetu zote tuziache hapa hapa na tuongee lugha moja ya maelewano na kidugu!

Kwa heshima na taadhima ninaomba niufunge mjadala huu kwakuwa ukweli tumeuwkea huru!

Asanteni sana!
 
Nasikitika mjadala wenu juu ya ' Historia halali ya Tanganyika' umeingiliwa vibaya sana.
Sikuwahi ku-comment hapa hii ni mara yangu ya kwanza lakini nilikuwa nafuatilia karibu kila siku, tena zaidi ya thread zingine za jukwaa la siasa.

Nicholas ana matatizo ya kutizama kila kitu kwa jicho la ki-crusade. Yupo CHADEMA kupigania dini yake na yupo kwenye mjadala huu kupigania dini.

Jamaa hajawahi kuandika kitu chochote chema juu ya jamii ya kiislam na hana uvumilivu wa kidini hata kidogo.

Hii thread inaelekea kufungwa, na inawezekana ndio lengo la Nicholas and co.
 
sema usemacho ila tayari wahusika walishahama long time.....walikuwa wanaongelea side issues.
 
Ndugu zangu wanajamvi wote mlioshiriki mjadala huu,

Kwa namna moja ama nyingine naomba niwashukuru sana wote bila kujali itikadi ama mitazamo yetu,

Nafanya hivyo nikitambua umuhimu wa kila mmoja wetu hapa katika uzi huu tangu ulipoanzishwa nami 12/01/2013 mpaka hii leo tumekuwa hapa bega kwa bega usiku na mchana,

Nasema wote ninawashukuru kwa ushirikiano wenu, tumeongea pamoja, timecheka pamoja, tumekwazana pamoja, naam na sasa tunaagana pamoja!

Sisi sote ni waswahili na ni binadamu, tofauti zetu zilizotawala mjadala wetu tuziache hapa hapa, vinyongo vyetu tuviache hapa hapa, na kila husda tuliokuwa nao na tuuache hapa hapa!

Tumepata fursa adhimu ya kuzungumza yamoyoni, pia tumepata fursa yakufahamiana na kwa hili hakika tumejenga mtandao imara wa kifikra!

Shukrani zangu za pekee zimuendee Mzee wetu Mohamed Said, amekuwa mvumilivu sana mpaka mwisho akashindwa na hakika amejitahidi, nampongeza kwa hilo tu,

Pia niwapongeza wanahistoria wenzangu waliosimama nami kwa weledi wao kutetea ukweli na kuukemie upotoshaji wa Mohamed Said, hawa si wengingine bali ni Nguruvi3, Mag3, Mwanakijiji, JokaKuu, Jasusu, Son of Alaska, Nicholas, Zumbemkuu, Gwalihenzi, na wengine wengi walioshiriki nasi!

Lakini nitakuwa sina fadhila kama sitawashukuru ndugu zetu kama Ritz, The Big Show, Barubaru, Zomba, Sadeeq, Spike Lee, na wengine wote wakufanana nao!

Niwashukuru sana Mods kwa kuusimamia mjadala huu kwa weledi wa aina ya juu sana! Hii ni heshima kubwa sana kwa JF na Tanzania kwa ujumla!

Mwisho,

Wale mliotaka kunifahami nini ni nani hasa? Ninawajibu rasmi!

Naitwa: Yericko Yohanesy Nyerere

Mahali nilipozaliwa: Nyololo, Mufindi, Iringa.

Kabila: Ni Mhehe,

Baba yangu: Yohanes Msambila Nyerere, (marehemu)

Mama yangu: Venancia Geremias Mgimwa,

Elimu: Muhandisi wa Umeme na Compyuta kutoka Chuo cha Beijing Information Technology College (BITC)

Kazi: Mfanyabiahara, Mwenyekiti Mtendaji wa Umoja wa Makampuni ya YECCO GROUP LTD yanayojishughulisha na Ujenzi wa Majengo, Ujenzi wa Mabarabara, Umeme, Teknohama, Uwakala wa Usafirishaji, Uwekezaji katika Majengo, na Usanifu na Ukadiriaji Majenzi

Kuishi: Kigamboni Mbutu,

Nina mke mmoja na watoto wa wili ambao ni Che-Lee na Su-Yang

NB:

Mimi sina UNDUGU na Mwalimu Julis Kambarage Nyerere, lakini chimbuko la Babu yake na Babu yangu Mzee Msambila Kihulo Lihangawike Nyerere "inasemekana" alikuwa ni wa kaskazini mwa Tanzania!

Kwahiyo katika uzi huu nimesimama kama Mtanzania mwingine yeyote anaekwazwa kuona dhihaka wanayofanyiwa Wanaukombozi wetu!

Nawashukuru nyote, nawaomba tofauti zetu zote tuziache hapa hapa na tuongee lugha moja ya maelewano na kidugu!

Kwa heshima na taadhima ninaomba niufunge mjadala huu kwakuwa ukweli tumeuwkea huru!

Asanteni sana!

Ahsante Sana.Brilliant finishing.
 
Ritz akili za ramli ni za watu possessed na lunatics, usipende sana zitumia ktk mambo ya msingi.Otherwise utaleta demons na miseries ktk maisha ya watu.

Umepiga kelele sana ila umesahau sana kusema kuwa na uganga na issue za kwa "...wazee....",wazee wenu walisaidia sana.Issue hizo ndizo zinazowapa nguvu sana ktk CCM...(Lazima CCM wakapige Goti kwa prince of the darkness)..kwa mkeka wa wazee wa CCM.Sijui mlikuwa mnapima upepo ili mpate nafasi ya kulisema.

Huo ni ushetani tuu hauwezi kuwa excuse kwetu.....sishangai nyie kuongea uongo kwani "wale wafalme wa jehanum" uongo ni tool nzuri sana kwao.Nchi yetu inamwaga damu kwa ajili hiyo...blood suckers wanafaidi mikataba yao minono "ya kunywa damu za watu wetu" km wachina walivyo na mikataba ya yenye maslahi ya bwereree kwao..

Two "blood suckers dancing" ...uchina wanasupply silaha..na demons wanapata damu yetu kwa mikataba ya wana CCM.Kwa udalalali wa Saigon.

Hakika wewe ni baba wa wajinga, hivi unalipia huo ubongo wako au ushakufa. Charger ya ubongo wako imepotea nini!
 
Katika Kiarabu lugha iliyoteremshiwa Quran utakuta kuna tofauti ya kitu kina choitwa dhamb (dhambi) na khat`a
(kosa).
Narudia tena Mitume walikuwa hawafanyi dhambi wala makosa yanayohusiana na Wahy!
Mfano; haiwezekani kuwa Musa (alayhisalaam) aliteremshiwa Wahy au aya isomeke katika Torah namna fulani yeye akakosea na kufanya ionekane vingine hii haiwezekani.

Vilevile haiwezekani kuwa Mtume SAW ameshushiwa Aya isomeke namna hii yeye akosee aseme vingine hii haiwezekani.

Ila makosa ya kibinaadamu hapo tena ni suala jingine na Mtume SAW anasema;
"Kila mwanadamu ni mkoseaji (mwenye kuanguka katika kosa) na bora ya wenye kukosea ni yule anayetubia"
*Neno lililotumika katika kiarabu ni khata si dhambi!
Ndio maana Sheikhul Islam thaaniy Ibn Qayyim al-Jawzee anasema kuwa "muumin mcha Mungu anapofanya kosa basi huwa ni "baraka iliyojificha" kwa sababu inamfanya huyu mcha Mungu ajijue kuwa yeye ni binadamu na hujirudi, kinyume kama angekuwa hafanyi kosa lolote angeweza kuangukia katika kujikweza na kujiona bora kuliko wote na pengine kutakabbar.Hakuna Gospel ya Yesu katika Biblia!
Kama utanukuu basi itakuwa ni Gospel kufuatana na Mark,mathew,Luke na John na hakuna anyejua majina yao ya mwisho aidha!Kwa maana hiyo itabidi tuziweke quran na Biblia katika mizani tupime ni nani mkweli, si mimi bali Quran yenyewe inatoa changamot hii kwa wasio Waislamu:
4: 82. Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi"

Kwa hiyo mimi ninaanza kukuonyesha khitilafu tatu kwanza kutoka kwenye Bbilia ili wewe unifafanulie, halafu na wewe lete hizo unazoziona kuwa ni khitlafu tatu kutoka kwenye Quran na itakuwa ni juu yangu mimi kufafanua, tuanze na tatu tatu, ninaanza kunukuu maswali ambayo kina Sheikh Deedat wameyauliza kwa miaka:
II Kings 24:8Jehoiachim was eighteen years old when he began to reign, and he reigned in Jerusalem three months.
VS
II Chronicles 36:9
Jehoiachim was eight years old when he began to reign, and he reigned three months and ten days in Jerusalem.

II Samuel 24:1 And again the anger of the Lord was kindled against Israel, and he moved David against them to say: "Go, number Israel and Judah."
VS
I Chronicles 21:1
And Satan stood up against Israel, and provoked David to number Israel.Unajichanganya!Kwa sababu kutokana na Wakristo Yesu ni mungu na ndiye mungu huyohuyo ambaye kufuatan na Mayahudi anaisoma Talmud hali ya kuwa amesimama kutokana na heshima anayoipa Talmud:"Jehovah Himself studies the Talmud standing, he has such respect for that book."-Tract Mechilla.

Endelea kufukua vumbi wakati wengine wakifungulia maji kuondoa vumbi...ciaooo
 
Wakuu tumeshaufunga mjadala, hivyo sio vema kuendeleza malumbano ya kidini hapa!
 
Pindi Nguruvi3,anamtukana Moh Said kwa kumwambia yuko uchi na anaoga na watoto ulimkanya au ulimpa heko??
pindi yule msukuma mikokoteni anamtukana Moh Said matusi mbali mbali ya nguon ulimzuia au ulimpa heko na likes??

pindi Nikolas anamtukana matusi ya reja reja Moh Said ulimzuia au ulimpa heko??

GO TO HELL YERICKO....
Wewe mjinga kutoka Mtwara, nakwambia hivi, Mohamed Saidi hakuwahi kutukanwa hata siku moja bali aliambiwa ukweli unaouma sana kwake na kwenu nyie wafuasi wake mliokuwa mnafyonza sumu yake bila hata kutumia akili bali dini yenu. Ni kweli kabisa Mohamed Saidi hata bila kutumia akili aliamua kuoga na nyinyi watoto wajinga na watukutu mliyekuwa mnamtibulia maji akidhani angetakata, matokeo yake aliishia kuoga tope na kutoka akiwa mchafu zaidi! Mohamed Saidi aliulizwa maswali likuki ili atetee hoja zake lakini aliishia kuimba ule wimbo wake wa kipumbavu wa ati na nyie muandike kitabu cha kipumbavu kama chake! alipobanwa mbavu zaidi aliishia kujigamba na kujisifu kwamba anafahamika duniani kote hasa ulaya, Marekani na Ibadani! Kwalipi? kwa uongo na uzandiki wake! Nyie wajinga wake akaamua kuwafunga kamba ya ujinga kupitia imani za dini - poleni sana! Leo wewe mjinga mkuu na kiongozi wawajinga unakuja hapa kwa jitihada za kijinga ati unataka kujua baba yake Yericko ni nani! ajabu!kwanini usijiulize wewe baba yako ni nani? Mpumbavu usiye na maana wewe! jadili hoja, nasaba ya Yericko inamtoaje Mohamed Saidi katika shutuma alizotwishwa?
 
Aksante sana Yericko Nyerere kupitia uzi huu tumejifunza mambo mengi kuhusu historia ya taifa letu tukufu Tanganyika na pia historia ya nchi jirani Zanzibar.Kwa hakika Mzee wetu wa Gerezani Mohamed Said amepatiwa darasa maridhawa,najua kupitia michango mbali mbali hasa ya Nguruvi3 Jasusi Mag3 Nicholas Mkandara Ritz gombesugu sweke34 zumbemkuu Mzee Mwanakijiji Mwita Maranya Pasco na wengineo wengi atachukua hatua stahiki za kurekebisha makosa mengi yaliyomo ndani ya kitabu chake cha Historia ya Gerezani.

Niseme wazi nimefaidika kwa kiasi kikubwa kuijua historia ya Gerezani kupitia simulizi za Mzee Moh kama si yeye mitaa maarufu ya Kariako nisingeijua.
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere hembu waombe mods wafunge hii kitu.hawa jamaa hawana tena jipya.wanatamani hii thread iwe ya kidini km ilivyokuwa nia yao ktk vitabu alivyoandika huyu jamaa.

CC:Invincible,nguvuvi3
Ha ha haaa mumeanza kukimbilia kwa mods makamanda mbona munaingiza upepo mapema Nicholas nakushauri hivi soma signature ya huyo unayempa CC kwanza invisible na Nguruvi hujui kuandika au umekaa kwenye kiti kirefu
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!:coffee:
24/7
 
Back
Top Bottom