Hakuna kitu kinachoitwa laana bali tafsiri.Ndugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
🤣 🤣 🤣Wanapaswa waombe radhi hadharani.maana nimeshuhudia nakusikia kwa masikio yangu huku mitaani namna watu wanavyolaani na kukemea sana kitendo kile cha hovyo kilichofanywa na wanawake wa CHADEMA
Mkuu kama wamefanya kosa, polisi wanasubiri nini kuwakamata na kuwafungulia mashtaka??Unajitambua vyema? Kama unajitambua vyema na una utimamu wa akili .unaweza kuunga mkono ushetani uliofanywa na BAWACHA?
Kwa pointi hii, upo sahihi. Ni moja ya maamuzi yasiyo na tija na yanayoambukiza tabia za visasi kwa vijana na watoto. WamezinguaWanapaswa waombe radhi hadharani.maana nimeshuhudia nakusikia kwa masikio yangu huku mitaani namna watu wanavyolaani na kukemea sana kitendo kile cha hovyo kilichofanywa na wanawake wa CHADEMA
Laana itakayo kuwa juu yao itakuwa ni kubwa sana kupita hata kuta za gereza lolote lile hapa Nchini.Mkuu kama wamefanya kosa, polisi wanasubiri nini kuwakamta na kuwafungulia mashtaka??
Au wewe chawa mwandamizi unasubiri nini kuwapeleka mahakamani kwa shetani huo??
Mkuu watu washakujua unavyotengeneza uhalali wa kutekwa kwao!!!
Laiti mnachokisema juu ya CDM kama wangekua sio tishio hakika mngeshaachana nao lakini inaonekana wanawamiza vichwa mnawawaza asubuhi mchana mpaka usiku inaonesha dhahiri kwenye fair ground hamuwawezi kwa hizi nguvu kubwa mnazotumiaNdugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umenena vyema kakaVizazi vya CCM vyote vimelaaniwa haswa
Hakuna chama kilicho tishio kwa CCM hapa Nchini.Laiti mnachokisema juu ya CDM kama wangekua sio tishio hakika mngeshaachana nao lakini inaonekana wanawamiza vichwa mnawawaza asubuhi mchana mpaka usiku inaonesha dhahiri kwenye fair ground hamuwawezi kwa hizi nguvu kubwa mnazotumia
Msingetumia nguvu namna hiyo kwa chama ambacho sio tishioHakuna chama kilicho tishio kwa CCM hapa Nchini.
Anaye laani na yeye atalaaniwa anayebariki naye Atabarikiwa nyie mioyoni mweni kumejaa mawazo ya uovu, utakuta mida hii wazee wachabo wanatazama tu message za watu waende kuwateka binadamu mnamwaga damu za watu wasiyo na hatia kwasababu tu mnataka kubaki madarakani kwa nguvuLaana itawatafuneni sana.
Vyombo vya dola vipewe taarifa ipi wakati wao ni wahusika wa utekaji?Nani anayeteka watu? Unaweza kusaidia taarifa ili vyombo vya dola vimkamate haraka sana? Je unaunga mkono ushetani uliofanywa na BAWACHA?
Kweli we ni jingalaokama unaweza kuchoma vitenge utashindwa kuua?
Laana???? Wee jitathmini utajiona hiyo laana ndo wewe imekuvaa.Tayari laana imeshakuingia ndio maana unajiropokea tu bila kujitambua
Kwa ushahidi upi ulionao ndugu yangu mropokaji na mkurupukaji?Vyombo vya dola vipewe taarifa ipi wakati wao ni wahusika wa utekaji?
CHADEMA mmelaaniwa kwa sasa.ndio maana kwa sasa chama kipo kwenye mkwamo mkubwa sana.Laana???? Wee jitathmini utajiona hiyo laana ndo wewe imekuvaa.
CHADEMA mmelaaniwa kwa sasa.ndio maana kwa sasa chama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vegetables jee mpo kwwnye nini?CHADEMA mmelaaniwa kwa sasa.ndio maana kwa sasa chama kipo kwenye mkwamo mkubwa sana.
Maneno ya kwenye kanga hayo, mbona mkuu wa chama flan alichoma vifaranga na bad hakuna aana yyt iliotpkea kweny chamaNdugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM tunaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.Vegetables jee mpo kwwnye nini?