Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana ndani ya CHADEMA ambayo itakiangamiza na kukiteketeza kisipoomba radhi na kutubu hadharani

Wanapaswa waombe radhi hadharani.maana nimeshuhudia nakusikia kwa masikio yangu huku mitaani namna watu wanavyolaani na kukemea sana kitendo kile cha hovyo kilichofanywa na wanawake wa CHADEMA
🤣 🤣 🤣
 
Unajitambua vyema? Kama unajitambua vyema na una utimamu wa akili .unaweza kuunga mkono ushetani uliofanywa na BAWACHA?
Mkuu kama wamefanya kosa, polisi wanasubiri nini kuwakamata na kuwafungulia mashtaka??

Au wewe chawa mwandamizi unasubiri nini kuwapeleka mahakamani kwa ushetani huo??

Mkuu watu washakujua unavyotengeneza uhalali wa kutekwa kwao!!!
 
Wanapaswa waombe radhi hadharani.maana nimeshuhudia nakusikia kwa masikio yangu huku mitaani namna watu wanavyolaani na kukemea sana kitendo kile cha hovyo kilichofanywa na wanawake wa CHADEMA
Kwa pointi hii, upo sahihi. Ni moja ya maamuzi yasiyo na tija na yanayoambukiza tabia za visasi kwa vijana na watoto. Wamezingua
 
Mkuu kama wamefanya kosa, polisi wanasubiri nini kuwakamta na kuwafungulia mashtaka??

Au wewe chawa mwandamizi unasubiri nini kuwapeleka mahakamani kwa shetani huo??

Mkuu watu washakujua unavyotengeneza uhalali wa kutekwa kwao!!!
Laana itakayo kuwa juu yao itakuwa ni kubwa sana kupita hata kuta za gereza lolote lile hapa Nchini.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Laiti mnachokisema juu ya CDM kama wangekua sio tishio hakika mngeshaachana nao lakini inaonekana wanawamiza vichwa mnawawaza asubuhi mchana mpaka usiku inaonesha dhahiri kwenye fair ground hamuwawezi kwa hizi nguvu kubwa mnazotumia
 
Hakuna chama kilicho tishio kwa CCM hapa Nchini.
 
Laana itawatafuneni sana.
Anaye laani na yeye atalaaniwa anayebariki naye Atabarikiwa nyie mioyoni mweni kumejaa mawazo ya uovu, utakuta mida hii wazee wachabo wanatazama tu message za watu waende kuwateka binadamu mnamwaga damu za watu wasiyo na hatia kwasababu tu mnataka kubaki madarakani kwa nguvu
 
Nani anayeteka watu? Unaweza kusaidia taarifa ili vyombo vya dola vimkamate haraka sana? Je unaunga mkono ushetani uliofanywa na BAWACHA?
Vyombo vya dola vipewe taarifa ipi wakati wao ni wahusika wa utekaji?
 
Mtu kuchoma nguo yake aliyonunua yeye au kupewa wakati ni kosa? Hawa kuona sababu ya kuendelea kukaa
nazo, pia, kutoa msaada kwa kitu unachoona hakina maana kwako siyo tu ni vibaya Bali haitakiwi kabisa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mpaka sasa haieleweki ni nani alishauri ,kuwashauri na kuwapa mawazo ya kishetani BAWACHA kuchoma vitenge

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Maneno ya kwenye kanga hayo, mbona mkuu wa chama flan alichoma vifaranga na bad hakuna aana yyt iliotpkea kweny chama
 
Back
Top Bottom