Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #101
Mimi ni CCM chama chenye kubeba Matumaini ya watanzania.Nikupe ushahidi we ni mke wangu?
Kwanini huo aliyewapa asingewapa hao wasio na nguo? Au alisikia hao Bawacha wana shida ya nguo?SIUNGI MKONO KUCHOMA NGUO HIYO NI LAANA WANAITAFUTA KWA NGUVU.
KUNA WANAWAKE HAWANA NGUO WANATEMBEA UCHI NI MASIKINI NI KWANINI WASINGEWAPA HAO???
HILO SIUNGI MKONO .
Kutekana kuna matumaini gani?Mimi ni CCM chama chenye kubeba Matumaini ya watanzania.
Hivi wewe huwa unajitambua kweli?Kwanini huo aliyewapa asingewapa hao wasio na nguo? Au alisikia hao Bawacha wana shida ya nguo?
Mbona wewe hujatekwa?Kutekana kuna matumaini gani?
Ningejitambua ningekuwa najipendekeza kama ww ili nitoke kimaisha.Hivi wewe huwa unajitambua kweli?
Kwani ugonjwa wa Covid uliua watu wote duniani. Kwakuwa kuna ambao hawakufa huo ni ushahidi kuwa hakukuwa na huo ugonjwa?Mbona wewe hujatekwa?
Lakini si bado anadunda,kama ndivyo huyo hakuuchomwaa?Kitenge Maulidi π
Mbona mfano wako hauendani ndugu yangu mtanzaniaKwani ugonjwa wa Covid uliua watu wote duniani. Kwakuwa kuna ambao hawakufa huo ni ushahidi kuwa hakukuwa na huo ugonjwa?
Sijasoma ni refuu ila headline tuUmeelewa andiko langu au umejikurupukia
Ndio maana siwezi kulijibu majibu ya kueleweka maana una matatizo makubwa kichwani mwako na ukurupukaji.Sijasoma ni refuu ila headline tu
unapenda sana vitenge na khanga..dogo rudi mbozi unazingua sana.
Huwezi kuelewa mfano wangu, maana haueleweki kwa mtu anayeishi kwa kujipendekeza.Mbona mfano wako hauendani ndugu yangu mtanzania
Wataambulia sifuri mwaka huu.hakuna wa kuwapa kura.Hakuna haja ya kuwalaani. Wananchi tutawaadhibu kwenye sanduku la kura kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu.
Kuna siku uliandika comment kama hiyo inayokemea utekaji na mauwaji wanayofanyiwa wapinzani?Inatosha tu kusema, "Walichokifanya BAWACHA si cha kiungwana na kinachochea chuki... Na kinapaswa kukemewa..."
Suala la laana Mungu hapangiwi; anajua yeye cha kuwafanya.
Unaelewa mada au umedakia tu? Jijibu mwenyeweKuna siku uliandika comment kama hiyo inayokemea utekaji na mauwaji wanayofanyiwa wapinzani?